#live

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 25

  • @KarokiaNdirango-lj3wf
    @KarokiaNdirango-lj3wf Месяц назад +2

    Azam fc tumenyongwa na refa heri sasii hafai kwenye ligi yetu akachezeshe daraja la 4

  • @SimbabweSaid
    @SimbabweSaid Месяц назад +3

    Weee sio uongo ambokile anasema kweli TU kwani Azam ni ndugu wa Simba kwani wewe kipofu huo ni au hujui

  • @kasimuhamidu8467
    @kasimuhamidu8467 Месяц назад

    Umeanza vizur mwisho unahalibu

  • @HemedMjema
    @HemedMjema Месяц назад +1

    Unaongea ukweli sana ambokile

  • @MalulaMgasa
    @MalulaMgasa Месяц назад

    Azam akifungwa inakuwa hivyo.

  • @kasimuhamidu8467
    @kasimuhamidu8467 Месяц назад

    Ateba ambokile fact

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 Месяц назад +2

    Azam pale wapate mtu kama Rais wa Yanga

  • @JosephMakolo-n9j
    @JosephMakolo-n9j Месяц назад +3

    Unataka kuwa chawa ww au vp.

  • @athuman7480
    @athuman7480 Месяц назад

    Huyu si alisema Denis nkane anaanza first eleven pale simba

  • @OmaryKiduka
    @OmaryKiduka Месяц назад

    Mm nilikuambieni Hawa sio wachambuz ni makada tu

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud Месяц назад

    Ukweli siku zote unauma simba wanaumia ata ukiangalia comments zao utajua

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 Месяц назад +1

    Chawa wa Yanga maji yamemfika shingoni

    • @avivtelcomms
      @avivtelcomms Месяц назад +1

      kamsikilize GB 64 kaka🤣🤣🤣

  • @danielchamoto9376
    @danielchamoto9376 Месяц назад +1

    Hili takataka nalo iko siku litapiga goti na litakiri kwamba aimba ni lidude likubwa

    • @DenisSanga-bj5ud
      @DenisSanga-bj5ud Месяц назад

      Mbumbumbu unajiziirisha hata kwenye mwandiko tu

  • @IsihakaMakoa
    @IsihakaMakoa Месяц назад

    Ambokile.azam.ni.genge.la.wauni

  • @RichardNgumbulu
    @RichardNgumbulu Месяц назад

    Mpuuzi uy iv anachumbua au anauzungumzia mpira mbon cmwelew

  • @optatusndikwege6250
    @optatusndikwege6250 Месяц назад +2

    Mwanzo nilikua najua mchambuzi wamaana kumbe hana maana yoyote chawa wayanga tu alisema Azam msimhuu niyamoto Sana sahizi mbovu tukuelewaj

    • @JobJohnson-gp1qz
      @JobJohnson-gp1qz Месяц назад

      Ila ww uxhabiki utakuua ebu jibu Hoja xomatus unajufunza mpila

    • @elvisnzovu8282
      @elvisnzovu8282 Месяц назад

      Sema mawazo yako sio kudharau maoni na mawazo ya mtu mwingine. Toa mawazo yako tuu

    • @avivtelcomms
      @avivtelcomms Месяц назад

      kamsikilize GB 64 kaka

  • @KarokiaNdirango-lj3wf
    @KarokiaNdirango-lj3wf Месяц назад

    Makolo nao wanataka wasifiwe tu washamba nyie madunduka

  • @wilfredbalohho2283
    @wilfredbalohho2283 Месяц назад +1

    Ng'ombe ni ng'ombe TU!

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n Месяц назад

    huyu sio mchambuzi ni mpiga debe wa gongo lamboto

  • @HemedMjema
    @HemedMjema Месяц назад

    yaani mtangazaji unahoji mambo ya kijinga sana