Kaka Dudu Baya Mungu akubarki sana sana kwa ,Mungu amekupa neema kubwa sana ya kuona mambo yanayoendelea ulimwengu wa giza,Yesu yu karibu kurudi kwa sasa hivi kidogo Mungu alichokupa ridhika nacho acha kutamani mafanikio ya watu hujui wamepataje hizo pesa,wengi ni kwa njia za kishetani ,Wanadamu tukubali kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yetu tupone kwenda jehanamu,Mungu akubarki Dudu Baya siku zote unaongea hekima tu
Huhitaji kuwa mtumishi kurlewa au kutamka maneno Kama hayo ya kimungu. Unahitaji tu kubadilika kuwa mwelewa,mkweli, mwadilifu na kuamua kuishi Kama mungu alivyoagiza tuishi…..simple and clear
Ndio maana namshukuru Sanaa BWANA YESU KRISTO kwakuniokoa nikiwa hivi amenifundisha mengi Sana nikweli dunia iko kwashetani, Yesu Kristo ameniokoa namemgi,karibuni Sana kwa YESU KRISTO,yohana 3:16
Ulaya Wana roho mbaya sana mara 1000 upige Dili na mchina,ila sio wazungu...mchina kwanza ni mwizi ukitulia nae mnapiga pesa,Mimi walinitajirisha sana pindi madubwi yanaingia nchini,wazungu sio kwanza WANAHTAJI wakutumie kwa manufaa yao na si upate wewe..niliwah kumsaidia mmarekani mmoja alitapeliwa nusu billion nikimpa mdada kuishi Bure kwenye gest yangu,alipoondoka aliwah kunikopesha pesa kma million 5 weee ikawa yamoto,alisahaau kma aliishi mwaka kwenye gest yangu,nilipoona makelele mengi nikamwambia hunidai umelipa deni lako la kulala Bure gest,wasenge sana hawa jamaa
Ndo maana Biblia inasema hivi, mpingeni shetani naye atawakimbia Yakobo 4:7-8. Afu ikasema hivi, mkaribieni Mungu naye atawakaribia, itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi na kulisafisha mioyo yenu enyi wenye nia mbili. Wapendwa, dunia ukiambiwa imeharibika bac ujue ndo hivo imeshaharibika mbaya mbovu. Turudi kwa Bwana Yesu kwa roho na kweli ili tuokoke. Amen. Bwana Yesu Kristo asifiwe. Samahani ni Imani yangu. Naomba mtu asinielewe vibaya. Amen.
Nakuombea sana kwa Mungu YESU AKUOKOWE uokoke na ulelewe na mch. wa kweli na si hawa mitume na manabii unaojichanganya nao ili upate kuukulia wokovu wa kweli usimame naamini Mungu ana haja kubwa sana na wewe kukutumia kama chombo chake akutengeneze ili uwe nuru kwa watu kupitia wewe waokolewe wengi na shetani aaibishwe KWA JINA LA YESU KRISTO
Fact broo dudu baya mungu akuongoze na kulinde zidi ya maadui love so much best
Eee mwenyezi Mungu mupe maisha marefu dudu baya
This gentleman spoke the facts 👌👌
Dudu baya i salute you waongea point fungua kanisa amen sure pastor mamba kama waugana na mimi weka like
Uyu baba umeongea point sana mungu akupe afya njema siku zote ❤❤❤
Konki! Konki! Konki! Master ...my all time icon..mungu akupe maisha marefu bro.
Congrats 🇬🇷 dudu baya.watching from Greece santorine
Kaka Dudu Baya Mungu akubarki sana sana kwa ,Mungu amekupa neema kubwa sana ya kuona mambo yanayoendelea ulimwengu wa giza,Yesu yu karibu kurudi kwa sasa hivi kidogo Mungu alichokupa ridhika nacho acha kutamani mafanikio ya watu hujui wamepataje hizo pesa,wengi ni kwa njia za kishetani ,Wanadamu tukubali kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yetu tupone kwenda jehanamu,Mungu akubarki Dudu Baya siku zote unaongea hekima tu
Acha tamaa pambana na lizika ktk angle yako maana dunia iko kiganjani mwa shetani adi pale BWANA YESU atakapo rudi tena nice speech
Dudu Baya hapo ume sema kweli iko kitu sibure na kuaminiya dudu Baya 😂😂😂👍👍
Burundi tunalizika na ulocal wetu😄😄 big up to our Big Fizzo
uyu baba ana mafunzo mazuri sana na anaonekana ana hofu ya Mungu
Dudu baya huwa anaongea kama mzaha ila ana point nzuri sana
Wachting form germany 🇩🇪 🇪🇺
Asante dudu baya naunga mjini mkono mwombe Mungu akupe kazi yakufanya una Jambo la Mungu kwa dunia hii kwa sasa
Mwambie Dudu Baya wakenya twampenda Sana...He is smart and his comments are always enlightening.
Nakukubali miaka 100000 my brother upo sahihi sana Jah akulinde
Nani anaungana na mimi dudubaya awe mchungaji ? Like
Wamifugo gan ama ww 😂😂😂
mimi hapa
❤❤
Haya ni maubiri Tosha
Asante bro
Dudu baya Jesus loves you. Karibu tumtumikie pamoja
Huhitaji kuwa mtumishi kurlewa au kutamka maneno Kama hayo ya kimungu. Unahitaji tu kubadilika kuwa mwelewa,mkweli, mwadilifu na kuamua kuishi Kama mungu alivyoagiza tuishi…..simple and clear
Dudu baya ni mwalimu mzuri sana katika jamii anauelewa na IQ kubwa
Dudu baya your the best. Motivation speaker for younger generation (GEZ). Keep it up
Kwa hiyo huyo P Did ni pepo likemewe kwa jina la Yesu wa Nazareth.
@@Kwazulu1😢
Mh wewe mbona mraibu
TRUE, Nilishawahi kuwaambia watu kuwa Dudu baya ana IQ kubwa
Dudu baya, unaonaje ukageukia utumishi kwa MUNGU. Una kitu fulani, unaweza kumtumikia MUNGU,
Kweli kabisa
Kabisaa
Huyu jamaa alikua anasomea upadre sema mambo ya dunia yakachukua nafac
Genius and free to speak
Ukitaka aharibike, aanze kujiita "mtumishi wa Mungu"; alivyo hivyo ni mtumishi tayari. Sio mpaka awe na swaga zileee
Ila dudu baya mimi huwa na mkubali kwasaab huwa ana nyoosha mistar hapindi ameongea fact bila chenga sio mnafiki😂😂
Brother dudu baya sio mnafiki kabisa .ishi maisha marefu kaka
😂😂😂 Mamba haraaa mimi namwamini mamba ❤
Nakubali konkiii masterrrr...
❤❤❤❤❤
Mungu akubariki sana bro i really appreciate you❤
Smart interview 👏👏
🙌🏿🙌🏿🙌🏿🔥🔥🔥👊🏿👊🏿👊🏿 Living Legend.. Kama hutamuelewa Mamba.. Baby Oil inakuhusu
😂😂😂
Kong master unanifurahisha sana 😂😂😂😂
Konk,konk...konk master ......unaakili nyingi sana !mungu akutie nguvu na uendelee kuwashtua vijana katika jamii
😂😂😂😂😂😂acha wapigwe miti malimbukeni wakubwa hao😂😂😂😂
Wallah humpenda sana huyu dudu baya hafichi kitu 😂😂😂😂Wala haogopi
Brother Dudu Baya Anaongeleya Ukweli ,Naisha USA I can prove what he is saying.
Ubarikiwe sana kaka umeongeya neno nzur sana🙏🙏🙏😭😭😭
DUDU BAYA awe mtumishi😂😂😂😂
Wow ireally like hes conversation he deserve ❤
Yani unamsaliti Mwenyezi Mungu kwasababu ya simu, noma
Yesu kristo akupe mwisho mwema kwasababu unaongea kweli mimi niko burundi tunakupenda sana
This is great Description of what life is...
Ndio maana namshukuru Sanaa BWANA YESU KRISTO kwakuniokoa nikiwa hivi amenifundisha mengi Sana nikweli dunia iko kwashetani, Yesu Kristo ameniokoa namemgi,karibuni Sana kwa YESU KRISTO,yohana 3:16
SAWASAWA 🤓🤓🤓🤓🇲🇿🇲🇿
uje kwa kupoa wee namsikiliza dudu umejawa na upako😂😂 yeye ameshiriki disko kibao ajasema aliyoyafanya huko ushaanza namshukuru Bwana Yesu
Amen
Dudu baya, nimekukubali,unaongea kwa kuielimisha jamii ,,so good dudubaya.
Jamaa kaongea kama mzazi🎉💥👍
Mwenyez mungu akujalie maisha malef unahofu ya mungu
Noted thanks 😊
Leo mi wa 4 from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Vp Mozambique hawajapigwa miti?
Kuna kitu nataka nikuulize kama upo Mozambique
Dudu baya big ups 💪 👏 brother that is great talk 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu akupe neema ya kumtumikia. Ndani yako kunakitu cha maana. Ungana na wachugaji wa kweli ufanye kazi ya mungu.
Upo good sana Mzee umejaa hekima
Shauri nzuri kwa wana muziki wetu wa African
Napendaga interviews za Dudu maana utaanza kucheka mwanzo ady mwisho😂😂😂
😂😂😂😂 we siuache mimi apa kuna shoga angu ka mgusaaaaa kabisaa
Ulaya Wana roho mbaya sana mara 1000 upige Dili na mchina,ila sio wazungu...mchina kwanza ni mwizi ukitulia nae mnapiga pesa,Mimi walinitajirisha sana pindi madubwi yanaingia nchini,wazungu sio kwanza WANAHTAJI wakutumie kwa manufaa yao na si upate wewe..niliwah kumsaidia mmarekani mmoja alitapeliwa nusu billion nikimpa mdada kuishi Bure kwenye gest yangu,alipoondoka aliwah kunikopesha pesa kma million 5 weee ikawa yamoto,alisahaau kma aliishi mwaka kwenye gest yangu,nilipoona makelele mengi nikamwambia hunidai umelipa deni lako la kulala Bure gest,wasenge sana hawa jamaa
Dudu baya🎉🎉🎉🎉 ❤❤ hiii imeendaa
Dude baya mungu akuweke
Napenda uyu jamaa anakuanga straight to the point. Nampenda sana
Is very smart man.. Kama wakimwelewa
Uyu jamaa akawe ata mchungaji, nimempenda sana uyu ndo anajua usanii👏👏👏
Point sana mtumishi.karibu ktk utumishi wa mbingu.umutumikie mungu.kwa umli uliyonao sasa njoo kwa yesu na hiyo huduma.
Mungu atabaki kuwa mungu tuu....
I love his thinking ❤
Kaka yangu Dudu baya nakupenda sana 😂😂😅
Ndo maana Biblia inasema hivi, mpingeni shetani naye atawakimbia Yakobo 4:7-8. Afu ikasema hivi, mkaribieni Mungu naye atawakaribia, itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi na kulisafisha mioyo yenu enyi wenye nia mbili. Wapendwa, dunia ukiambiwa imeharibika bac ujue ndo hivo imeshaharibika mbaya mbovu. Turudi kwa Bwana Yesu kwa roho na kweli ili tuokoke. Amen. Bwana Yesu Kristo asifiwe. Samahani ni Imani yangu. Naomba mtu asinielewe vibaya. Amen.
On your side and that's true God bless you kwa huo ufahamu ulionao na wenye kuelewa waelewe ❤
Uko sawa kabisa mtu wa Mungu
@@sylvestermhojaaron9659 amen
@@janemumbua4683 ahsante
Amen brother 🙏
Nimekuelewa Mungu naona anakutumia sio bule ubarikiwe sana
Basi nilikuwa naumia mbona watoto wadogo wanahela wanaendesha gar kumbe ndo wanafanyaga hivyo duh
Pole ishia hapo hapo kuumizw na mafanikio yao wanafirwa sanaaa
😂😂😂😂 mie sijawahi kutamani maisha ya mtu kabisa maana watu mpaka wanajiuza ili watoke
@@paskaziasholla7471 kabisa usije tamani vya watu kabisa aisee ✔
@@paskaziasholla7471 ha😂😂😂😂 nimecheka sana
Vijana sasa hiviii wanatabia chafu tamaa zimewajaa.Mimi ndio maana mambo yao siyataki.Tulieni.
Dudu baya anaonekana muhuni lakini kumbe sivyo anazungumza mambo ya msingi
Kabisa anaebisha msenge pombet ukiona mtu anakuandama kukununulia ujiandae kufiwa sembuse maisha wanafilwa vizuriii kataatu.
Wakenya tunasemaga iligulwaa😂😂😂
Hakika umenena,"TAMAA NI MBAYA SANA ",big up Dudu baya/oil chafu !!!!
Huyu jamaa kawa na akili sana siku izi Kudos to Dudubaya
Umeonge vizuri mashaallah
Na kubari sana Braza Dudu Baya Wachane Ukweli👏👏👏
Dudu baya legend 😊
Anaongea point
This man speaks alot of sense
Alhamdhulillah yarabi 🤲
Mie nahisi tanzania hii wasanii wameliwa wengi sana ila huyo simba wao do kaliwa zaidi
Kumbe kazagamuliwa 😂😂😂, ingekuwa ni Harmonize ndio tungewajua akina Baba levo na Juma Lokole.
Mapema sana emekumbana na mwamba wanyankindo kupitiliza
Inna lillahi wa inna ileyhi rajhuun,#Konki master # yuaongea point
Kweli kabisa mkubwa
Dudu nimekuelewa sana.... MUNGU Akubariki sana kwa kukumbusha jamii juu ya matukio ya siku za mwisho. Barikiwa sana
Noma
Asante kwa ujumbe mzuri kwa Jamii
Nakuombea sana kwa Mungu YESU AKUOKOWE uokoke na ulelewe na mch. wa kweli na si hawa mitume na manabii unaojichanganya nao ili upate kuukulia wokovu wa kweli usimame naamini Mungu ana haja kubwa sana na wewe kukutumia kama chombo chake akutengeneze ili uwe nuru kwa watu kupitia wewe waokolewe wengi na shetani aaibishwe KWA JINA LA YESU KRISTO
Dudu baya ameongea maneno mazito sana sana saluti kwako
Kwani aliokokaa lini jaman, well said!!
😂😂😂huyu mm huwa nampendeaga u reality wake, Ako straight hamna kuzunguka huku wala kule,,,😂😂
Uko vizur una kitu MUNGU kaweka ndani yako.
Sasa p did mbona anacheka hapo😂😂😂
Uko vizuri
Wakenya tunakupenda zaidi,imba wimbo moja kuja Kenya tutakusapoti
Dudu baya bana😂😂😂😂utapigwa miti😅😅
😀😀😂🤣🤣🤣 Mwandishi Muoga huyu anaogop kuisha
Wametoma kwenye familia masikini. Wengi wao wamepakuliwa......
Unang'ang'ana kufanya "collabo" na Ricky Ross utapigwa miti😂😂😂😂... Dudu baya senge sana
Yani wale sijui kama wamepona wamegongwa
Anasema ukweli😂😂😂😂 huyu jamaa namkubali sana
@@rukiaiddyyahaya9506😂
Sketi vazi la wanawake tu. 😅😮😢😂
Mr Konki master namfagilia sana hapendagi
Kuhepa au ku zungusha maneno hapana yeye anagonga straight
Upo sahihi sana Dudu baya👏👏👏
Dudu umetisha❤
😂😂😂😂😂😂 waache wawashindue kinyang'indo😅😅😅😅😅😅😅
Haha ati lukamba alitaka kupigwa miti akahepa adi usafini😂😂😂😂
😂😂😂kwisha hbr
Konki Konki Konki Mastar uko vzr san bratha kwel hiii nchi ipo kiganjani mwako👊