AHMED ALLY: MUTALE AMESHUKA KIWANGO SIMBA/ HATUJAMZOEA AKIWA HIVI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 117

  • @AdnaneisufomomadeMomade
    @AdnaneisufomomadeMomade 2 месяца назад +10

    Nawapata nikiwa msumbiji. Nampenda sana Mohamed Ally. ni mfasaha

  • @kessysenga8700
    @kessysenga8700 2 месяца назад +12

    Mm n yanga lkn napenda jamaa anavyoweka mbwembwe au vionjo ktk Maneno yake 😂

  • @IbraMwakipesile
    @IbraMwakipesile 2 месяца назад +7

    Hance ni mnafiki sanaaaaa

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 2 месяца назад +21

    Simba mbele wachoyo. Kila mmoja anataka kufunga badala ya kupasia wenzake ambao wako kwenye good position. Yanga ni tofauti hawana uchoyo. Wachezaji wetu wajue Simba kwanza halafu ndio mchezaji. Wachezaji washirikiane tushinde sote. Kibu, Budo, Chasambi, Balua kumbukeni ili Simba ishinde pasi ya mwisho (assist) nzuri ni muhimu. Kama upo sehemu nzuri piga direct ufunge lakini ukiwa position mbaya mpasie mwenzako afunge sisi tutakupenda

    • @adrianndunguru3092
      @adrianndunguru3092 2 месяца назад +2

      Upo sahihi hata mimi huwa na kwazika sana badala ya mchezaji kutoa pasi kwa mwenzake ambaye YUPO kwenye position nzuri analazimisha afunge mwenyewe sio poa kabisa

    • @Mwinyi-xo7jt
      @Mwinyi-xo7jt 2 месяца назад +3

      Yategemea n mchezo wenyewe huwez toa pasi kma uko mbali n m2 c mgeangalia mpira vile ulikuwa

    • @Kasika-hi6hf
      @Kasika-hi6hf 2 месяца назад

      ​@@Mwinyi-xo7jt usibishe, wachezaji wetu wa mbele wachoyo, tofauti na Yanga, wao wanashindania toa assist

    • @georgekalulu2545
      @georgekalulu2545 2 месяца назад

      Kaka umeongea points sana, shida ni kupeana pasi na hata kujiposition wachezaji bado sana

    • @jacksule7557
      @jacksule7557 2 месяца назад

      Simba mchezaj mhm ni chassambi na mkwala lkn hawapew nafas

  • @Niika870
    @Niika870 2 месяца назад +12

    Hao ni Yanga wanataka kumtoa Budo kweny mpira ili wamchukue,hilo ni kosa la kawaida tu kwenye game ,Hemed Ally kuwa makini na sycolgy ya Utopolo iskunase kuwasema wachezaji wako

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u 2 месяца назад

      ASA huyo ahmedy aly ushawahi kuona ana bahati hesabu wachezaji aliowasifia kipindi Cha usajili utaona kuwa wote ni wabovu,mnajihangaisha wenyewe tu yanga wametulia wanawachora tu mnavyopapalika msimu ukiisha anashangilia ubingwa

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u 2 месяца назад

      Afu nyie mnaandamana

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u 2 месяца назад

      Na nakuhakikishia mtawalaumu wote hao wachezaji we subili uone

    • @AlcherausMalinzi
      @AlcherausMalinzi 2 месяца назад +1

      Kabisa.Mimi sikupenda hata aongee na machawi haya.

    • @gilbertfuria5817
      @gilbertfuria5817 2 месяца назад +1

      Mimi ni yanga, ila umeongea ukweli, Jamaa kambomoa sana, alipaswa aangalie anayoongea juu ya mchezaji

  • @abdallahhajj4270
    @abdallahhajj4270 2 месяца назад +3

    Semaji umetisha

  • @RobinsonMushi
    @RobinsonMushi 2 месяца назад +2

    mutale still ni hot cake ,,,,mkimuacha tuu utawaona hao makolo hizo mbio,,,,,hawa ni chura fc
    wanaopampisha

  • @PhiniasAbdalah
    @PhiniasAbdalah 2 месяца назад +1

    Medi ally pamoja sana kaka tiketi zitaisha Leo hii jmosi

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 месяца назад +1

    ❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA SIMBA SIMBA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 2 месяца назад +1

    Semajii umetishaa

  • @SubziAlattar
    @SubziAlattar 2 месяца назад +2

    Mke mzuri ni wakeako,

  • @augustinekatikiro8444
    @augustinekatikiro8444 2 месяца назад +3

    Wewe siyo msemaji wa klabu kubwa tu ! Wewe ni mwalimu wa wasemaji wa Afrika ! bigerup kwa kujibu vizuri .

  • @JosephAdam-e9w
    @JosephAdam-e9w 2 месяца назад +1

    Kweli kabisa mtale aende pamba jiji uko lakini Simba anavgezo vyakucheza Simba kumsumbua kapombe ni sawa kumsuka mlevi kwenye mtelemko kapombe nae ndouyo zimeisha ko mtale alipatia mlevi wake akasukuma chini😊😊😊😊

  • @AlexNyagawa-mr9op
    @AlexNyagawa-mr9op 2 месяца назад +4

    Ametisha sanaaaa

  • @luckygmdegela8477
    @luckygmdegela8477 2 месяца назад +3

    Mbona mutale yuko good tu au mna mna mtafuta tu

  • @thevibe3172
    @thevibe3172 2 месяца назад +1

    Huyu ndo anamsababishia Joshua awe pressure, sgr Mara tren inatengeneza pressure

  • @godsonmngoya7264
    @godsonmngoya7264 2 месяца назад +2

    Nakuelewa sana semaji la caf

  • @davidmwanantellah920
    @davidmwanantellah920 2 месяца назад +4

    M. Ally Hana mpinzani hata kidogo nampa kongole semaji.

  • @IbrahimMkwama-m3n
    @IbrahimMkwama-m3n 2 месяца назад +5

    Kwel Mutale Anakokota sana mpira

  • @emmanueldiyamett2385
    @emmanueldiyamett2385 2 месяца назад +4

    Semaji Caf katika ubora wake

  • @OmyCrez
    @OmyCrez 2 месяца назад +2

    Simba nguv moja

  • @elisharaphael8680
    @elisharaphael8680 2 месяца назад +1

    Kocha anatakiwa ashughulikie hili swala la mchezaji anakuwa na mpira kwenye nafasi nzuri badala ampe aliyeko kwenye nafasi nzuri ya kufunga bado anang'ang'ana tu kupiga mahala ambapo sio sahihi,kama mtale tatizo lake kubwa ni kutokutoa pasi wakati sahihi mwisho wake wapinzani wanajaa eneo lake anatoa pasi ambayo inanaswa
    na wapinzani,abadilike

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 2 месяца назад +2

    Kwangu Radak Chasambi apewe nafasi zaidi kuliko Mutale.

  • @jayman7865
    @jayman7865 2 месяца назад

    Huyu jamaaa anaongea vizur sana anaongea uharisia wa mpira haweki propaganda kwenye ukwer hapa ndo ulipo utofauti wa msemaji na afsa habar anajua na anajua tena

  • @EphraimRuvuza
    @EphraimRuvuza 2 месяца назад +1

    Hans mnafiki sana

  • @AllyHussein-u1m
    @AllyHussein-u1m 2 месяца назад +1

    Crown mnatufanya tujisikie wenye furaha snaaaa kutuletea huyo kiumbe Ahmed Ally

  • @mariamshibanda3358
    @mariamshibanda3358 2 месяца назад

    🦁🦁💪💯

  • @phakundigervas1360
    @phakundigervas1360 2 месяца назад +2

    AHMED ally usikosoe jesho lako likingLi vitani, nyama a Tena acha a ujinga WA waandishi acha unauharibu moral ya kikozi

  • @LomayanimGerson
    @LomayanimGerson Месяц назад

    Mambo VP VP fei anakuja simb kweli

  • @YohanaMagesa-p7w
    @YohanaMagesa-p7w 2 месяца назад

    😊simba

  • @AbdrazackNassoro
    @AbdrazackNassoro 2 месяца назад

    Allah akupe umri mlefu semaj letu

  • @HajiSimai-pp9cm
    @HajiSimai-pp9cm 2 месяца назад +2

    Hatakama thamani ni ileile lakinimarahii tim zina uboramkubwa sana

  • @HassaniMsigala
    @HassaniMsigala 2 месяца назад +1

    Mtu kacheza mechi hata kumi hazifki mnaanza kumjadili Sana,msichokijuwa ndo mnamtowa katika game

  • @Amahujohn
    @Amahujohn 2 месяца назад +2

    Nipe namba ya semaji nimshauri,,,,

  • @KevinKalonge
    @KevinKalonge 2 месяца назад +5

    Mim yanga lakin huyu jamaa ananifrahisha sana

  • @zakayomosha13
    @zakayomosha13 2 месяца назад +1

    Semaji la CAF unatisha sanaaa

  • @Amahujohn
    @Amahujohn 2 месяца назад +1

    Sasi mashabiki tupo tayari kuwa changia mashabiki wenzetu wa Simba waingie ,,bure

  • @haidarywenge3607
    @haidarywenge3607 2 месяца назад +1

    Hili kweli semaji la boll

  • @AllyImrani
    @AllyImrani 2 месяца назад +1

    Nitampa dada

  • @EmmanuelThomas-z1w
    @EmmanuelThomas-z1w 2 месяца назад +1

    Ahmed ally ni hatar ila swali langu ni juu ya Elie mpanzu

  • @magesachenge8193
    @magesachenge8193 Месяц назад

    Mwacheni Joshua mutale aendelee na simba moto wake utakuwa balaa

  • @DercioGilGabrielDuarte
    @DercioGilGabrielDuarte 2 месяца назад +1

    Pamoja kaka ari

  • @JaphetLukos
    @JaphetLukos 2 месяца назад +1

    Simba wachezaji mbele waache uchoyooo, wapasiane mpiraa, kila mtu anataka kufunga

  • @PatrickKato-vf1jv
    @PatrickKato-vf1jv 2 месяца назад

    Ni kweli wacezaji awakucheza vizri woye si mtale t na kwann kocha atakikumpa nafasi awesu

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 2 месяца назад +1

    Wenye D mbili tumeelewa mpanzu nimnyama tayr january hiyo

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 2 месяца назад +1

    Ilaaa semajii la caf wa motoo

  • @zakayomosha13
    @zakayomosha13 2 месяца назад +1

    Semaji Fei toto lini anakuja?

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 2 месяца назад +1

    Hakuna mchezaji anayecheza kw kiwango kilekile kila wakati na mahali popote na kwa wapinzani tofauti na bado hali ya kiakili na kimwili kwa kila mchezaji inakuwa tofauti kila siku.

  • @WilbrodNducha-wu4bg
    @WilbrodNducha-wu4bg Месяц назад

    Mutamuona wala msijali mashabiki wa utopolo😂😂😂😂😂

  • @jascoTzmaendr
    @jascoTzmaendr Месяц назад

    Simba inapomsajiri mpanzu inaachana na mchezaji gani maana wachezaji wa kigeni wameenea naomba majibu Mimi majukum Toka kigoma

  • @goodlucklukumay
    @goodlucklukumay 2 месяца назад +1

    Elia mpanzu ni Mali yetu

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 2 месяца назад

    Simba inazungukwa na wabaya wengi wapinzani wanachukua majina yao na kwenda ukiyafanya vibaya ili wao waendelee kuimbwa hivyo wazee wa Simba nao waamke watoke kwenye vijiwe vya kahawa mpira wa Bongo wanaujua

  • @shaameshaame2837
    @shaameshaame2837 2 месяца назад +2

    Tatizo mnasifia kupitiliza kabla hamujamuona mchezaji. Ligi ya Tz ugumu wake ni kama vile England utawaka sana kwengine lakn si rahisi kuwaka England. Sasa ligi hii ni ngumu mchezaji kuchemka ni vitu vya kawaida kikubwa tupunguze kuwapa sifa ambazo hajazionesha hapa nyumbani

  • @AllyHussein-u1m
    @AllyHussein-u1m 2 месяца назад +1

    Ktka sehem ambayo mmetumia akili nying ni kumleta huyu jamaa Crown fm atawaongezea sanaaa Views huyu Ahmed

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 2 месяца назад

    Tatizo la mutale. Hana malengo sio objective akili yake Ni ya kitoto lengo LA timu yoyote Ni kushinda sio kuchenga

  • @reginamluviji9405
    @reginamluviji9405 2 месяца назад

    KIMBEYA TU IKI S UWA UNASEMA WEWE NA ULISEMA TUTAFUNGWA UACHE PAPARA PAPARA

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 месяца назад

    Umri haudanganyiki jamani.

  • @officiallucar
    @officiallucar 2 месяца назад

    Watu Akina nani, sema ni wewe mwenyewe Hans Rafael mnafiki wewe

  • @touchgloves2613
    @touchgloves2613 2 месяца назад

    Kibabu huyo hadi ana upala

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 месяца назад

    Tulikuambia usiwapambe sana wachezaji huu ni mpira

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 месяца назад

    Kijana gani ana kipara?

  • @protaspessa8615
    @protaspessa8615 2 месяца назад +1

    Tutamnanga vile vile

  • @lwelenjalferdinand671
    @lwelenjalferdinand671 2 месяца назад

    Kwa nini mnahangaika kumchezesha Kibu Denis ambaye hana mchango wa maana kwenye timu?

  • @HasaniKitumba
    @HasaniKitumba 2 дня назад

    Shinda ni vvituo vicheche kuuza tigenti waogeze vito

  • @abdundimbo5170
    @abdundimbo5170 2 месяца назад

    Hapo umedanganya simba dei nikitukipya

  • @JumaMukhtar
    @JumaMukhtar 2 месяца назад +2

    Ili jamaa senge sana 😂😂😂 verry comed

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 месяца назад +1

      TUNDU LAKO LA MKUNDU HILOOOOOOOO HILOOOOOOOO 😂😂😂
      SENGE WEWE 😂😂

  • @SaidiIduri
    @SaidiIduri 2 месяца назад

    Watu elfu 10 mnawapataje ukiwa na watu wa hovyo km huyu jemedar??

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 2 месяца назад

    Simba hamjamzue kwa mda gani?

  • @hajially4527
    @hajially4527 2 месяца назад

    😅

  • @OnesmoParesso-z2h
    @OnesmoParesso-z2h 2 месяца назад

    Kutoka Karatu mkoani Arusha yani Aly magazeti yameandika leo kuwa mpanzu ni simba vp mbona unapapasa maneno ?

    • @LearntowinLTN
      @LearntowinLTN 2 месяца назад

      Watu wa karatu tupo live😅

  • @AbasiShabani-lw2fd
    @AbasiShabani-lw2fd 2 месяца назад

    Hapo kibu anatoka

  • @SULEIMAN-l8v
    @SULEIMAN-l8v 2 месяца назад

    watz hawajui mpira mutale ni penetration pass receiver hana mtu kama Chama angefunga sana

  • @KulwaSalum-l5j
    @KulwaSalum-l5j 2 месяца назад +1

    nakili kuwa mutale kiwango chake si chakuichezea simba, bado sana.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 месяца назад +1

      TOPOLOOOOOOO SUPU FC WEWE 😂😂😂😂😂

  • @SuleimanIbrahim-lp7qs
    @SuleimanIbrahim-lp7qs 2 месяца назад

    Poa

  • @KitasaWaaction-gm9zr
    @KitasaWaaction-gm9zr 2 месяца назад +1

    Alie nanga ni manara ndie alisema ni mashindano yawaliofeli msiirudishe simba hio kauli,kasema akiwa huko utopoloni

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 месяца назад +1

      KWELI KABISA UJINGA HUWO ALIULETA MANARA

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 месяца назад +1

      ATI KOMBE LA MALUZA ASHURA HUYO

    • @KitasaWaaction-gm9zr
      @KitasaWaaction-gm9zr 2 месяца назад +1

      @@salimmalaka256 nashangaa wanairudisha kauli hio kwetu na Ahmed anakubali wkt sio neno letu neno la chawa wa gsm

  • @MgosiYohana-vq1uk
    @MgosiYohana-vq1uk 2 месяца назад

    Leo ndio nimeamini jemedari huwa anamuogopa ally kamwe, manake Kila ally kamwe akitimba studio jemedari anatimua mbio😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @DripGod-js4ss
    @DripGod-js4ss 2 месяца назад

    We endelea kuwadanganya mambumbumbu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 месяца назад +1

      VP MZEE MPILI HUJAMBO?? UMEWAHI SUPU LEO??? 😂😂😂😂

  • @beatricemshiu2816
    @beatricemshiu2816 2 месяца назад

    Tatizo hao akina Budo sijui Ahoua wachoyo wanahangaika wafunge wenyew matokeo yake wanaharibu, huyo Budo ana kazi ya kukimbia tu uwanjan kama king'ora

  • @Sampovoice8088
    @Sampovoice8088 2 месяца назад

    Ahmed kiredio

  • @AbasiShabani-lw2fd
    @AbasiShabani-lw2fd 2 месяца назад +2

    Yaaan wanchambuzi wajinga Sana wao ndo wanaongoza kuwasema vibaya wachezaji alafu wanasingizia mashabiki huyu Hans anaichukia Sana simba kenge 🚮

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 2 месяца назад

    Ahmed Ally hafai bwege

    • @yokoi3970
      @yokoi3970 2 месяца назад +1

      Ha ha ha ha ha duh umeshidwa kuficha aibu yako 😂😂😂😂😂 kalale tu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 месяца назад +1

      BWEGE MATAKO YAKO SUPU FC WEWE 😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO 😂😂