Alahamdullillah Kisugu amepona. Simba tunakuombea dua uwe na afya njema zaidi kaka etu. Kisugu mmoja tu lkn anawakalisha wengi mno ktk battle ya wanaoongea point yaana broo una kipaji sana cha kuongea fact. Kwanyuma namuona mdogo ako na mwanafunzi wako Dosa akinyonya material na ujuzi wako na busara zako ktk kuongea. Hakika kisugu unawafundisha watu namna ya kuongea. Dosa wa sasa ni zao la Kisugu hobgera kaka fundisha vijana namna ya kua mbele ya camera nini cha kuzungumza.
Mtangazaji bora umwambiye huyo Kisugu wasisuse kununuwa hizo Sanda wavae kwa kutaa kuitwa Maiti na huyo Sandalendi kutaka kumuuzia hizo Sanda Ally Kamwe yeye akamvishe nani ?
Natokea sumbawanga Nakukubali sana kisugu maneno yenye pointi tupu
Kisugu una fact
Kwenye la SANDA umeongea vizuri sana
Linamuhusu Ally na SANDA
Alahamdullillah Kisugu amepona. Simba tunakuombea dua uwe na afya njema zaidi kaka etu. Kisugu mmoja tu lkn anawakalisha wengi mno ktk battle ya wanaoongea point yaana broo una kipaji sana cha kuongea fact. Kwanyuma namuona mdogo ako na mwanafunzi wako Dosa akinyonya material na ujuzi wako na busara zako ktk kuongea. Hakika kisugu unawafundisha watu namna ya kuongea. Dosa wa sasa ni zao la Kisugu hobgera kaka fundisha vijana namna ya kua mbele ya camera nini cha kuzungumza.
Ulipotelea wapi kisugu🎉🎉🎉
Mtangazaji bora umwambiye huyo Kisugu wasisuse kununuwa hizo Sanda wavae kwa kutaa kuitwa Maiti na huyo Sandalendi kutaka kumuuzia hizo Sanda Ally Kamwe yeye akamvishe nani ?
Hao yanga wamechanganyikiwa ! Kuifunga nomungo kelele zote hizi? Wakati namungo wamechoka na kocha hawana
Umepona Tena acha kuisema uongo wako
KWANI ALLY KAMWE ANAOMBEWA MSAMAHA KWANI AMEKUFA? SI YUPO
MIMI NAAMINI KWELI KISUGU HANA AKILI KICHWANI
YANGA KUMFUNGA NAMUNGO VILEMA
ILA SIMBA SIO VILEMA
Wewe unazo