GB 64 AMVAA ALLY KAMWE KULIPA BILION 3 KWA SANDALENDI | KUROPOKA KUMEMPONZA | AJIFUNZE KWA AHMED ALI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 ноя 2024

Комментарии • 29

  • @NsubiRaphael
    @NsubiRaphael 3 часа назад +1

    Wewe I.Q yako iko vzr tufundishe tulisahauliwa sana mwanga tumeuona toka gizani intelligence quality yako iko vzr tengeneza kipindi tupatè kuuliza maswali you know we black people we have been forgotten by new civilization

  • @johnmwita9370
    @johnmwita9370 50 минут назад

    Ali kamwe ajafunzwa na wazazi, acheni wafunze adabu😊

  • @sadatiomary-o2o
    @sadatiomary-o2o Час назад

    Swala lakupanda ndege moja alipo na atutaki atakusikia boss mo dewiji 2nakuomba ukodi ndege kama miaaka ya apo awali 2kipanda ndege moja 2meisha

  • @Farida-vg5ry
    @Farida-vg5ry 3 часа назад +2

    Ally comwe kazidi kulopoka hakuna huruma kilahisi hivyo lazima aombe msamaha lasivyo alipe bilioni

  • @GulamuafatiMawazo
    @GulamuafatiMawazo 3 часа назад +1

    Wasikubali kupanda ndege moja

  • @DavidJonathan-s6e
    @DavidJonathan-s6e 4 часа назад +1

    Bado mchome na ila uyu achukuliwe hatua amezid UK hafua watu alimtukana juma mgunda na mama ake fei

  • @YusuphPaul-c6r
    @YusuphPaul-c6r 3 часа назад +1

    GB 64 unaweza Mzee waambie waeelewe

  • @AllyKimeme
    @AllyKimeme 4 часа назад +2

    Anaongea maneno ya hovyo huyo mtoto hakina madili kabisa hata mshome Ina takiwa ashukuliwe hatua

  • @frankkitomary3878
    @frankkitomary3878 3 часа назад +1

    simba tuna uruma kweli

  • @EnockNgonyani
    @EnockNgonyani 2 часа назад

    Kila mmoja apande ndege yao sisi yanga hatuitaki

  • @JosephMakolo-n9j
    @JosephMakolo-n9j 2 часа назад

    Hakuna kulipwa hela yoyote marejesho yanamsumbua

  • @MirajiKijuu
    @MirajiKijuu 2 часа назад

    Ali kamwe cyo msemaji nimropokaji ndo mana hajifunz ata kuongea mech tatu hajifunz Bado anaropoka tu

  • @CharlesKabuje
    @CharlesKabuje Час назад

    Wew ndo mashamba unasema muache mtoto kinakuuma nn wewe ndo fala mtoto Ako kwan

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc 4 часа назад +1

    Nyie nguvu mmoja yakunyea makolooooo kamajezi imedodo tuwachangie

  • @acariusamos6228
    @acariusamos6228 2 часа назад

    Wewe usipo ongea kwenye media unaona bas

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 3 часа назад

    Kann siku zote tulikuwa tunasafiri na yanga

  • @asifznz
    @asifznz 2 часа назад

    SASA MSEMAJI WAO HAJAWAHI KUPONDA JEZI ZA YANGAAAAAA? NAULIZA ,KILA SIKU WANAPONDAJEZI ,TIMU ,WACHEZAJI BRANDS ZAO

  • @MADINAKITEMO
    @MADINAKITEMO 2 часа назад

    Masikini njiti wa watu sa itakuwaje iyo bilioni 3 ataitowa wapi

  • @TOMNYEREZA
    @TOMNYEREZA 2 часа назад +1

    Ally camwe ni mjinga sana, usemaji wake ni wa kijinga, kwanza anasababisha mpira uonekane kama ni uadui, kasababisha sasàiv tuishi kama maadui badala ya utani wa jadi, ashikishwe adabu tu, au atoke hadharani aombe msamaha yeye mwenyewe, na siyo kuombewa na wengine tumemchoka

  • @DenisMalima-cq9hp
    @DenisMalima-cq9hp 3 часа назад

    Utumbo mtupu hunaongea.

  • @amanedwin2082
    @amanedwin2082 Час назад

    Hii timu inawatu wajinga sana ndio maana wakaitwa Makolo yaani hamna kitu kichwani

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 4 часа назад +6

    Wewe GB 64 acha ijinga mishipa shingoni inakusimama povu linakutoka nini mwache mtoto wa watu akifukuzwa kazi utamlisha wewe tatizo nini zungumzia msemaji wako au kwa vile yanga tumeamua kukaa kimya?

    • @fikiriniyahya
      @fikiriniyahya 3 часа назад

      😂😂😂

    • @OlarivKirika
      @OlarivKirika 3 часа назад +2

      You gat a point. Don't try to be weak. Sipendi ukionesha uzaifu. Be strong, this is war. #Simba Nguvu Moja# @#UbayaUbwela#

    • @zanblueplus
      @zanblueplus 3 часа назад +3

      GB amemuomba Sandaland amsamehe Ali kwamwe pia amemtaka aachane na Ali kwamwe ili maisha yaendelee hilo huualiona ww? Acha kukurupuka

    • @BarakaRasa
      @BarakaRasa 2 часа назад

      Kwan unazan kukaa kmya uko unataka bal shda izi🤣😂🤣😂🤣

    • @sadatiomary-o2o
      @sadatiomary-o2o Час назад

      Kwani wanao msema ali kamwe kwaili ni gb 64 mbona unakuchwa kigumu kama kuku elewa anacho kiongea