BATA LA WACHEZAJI WETU KWENYE BOTI BAADA YA KUONGOZA LIGI/CHAMA NA PACOME BALAA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 окт 2024

Комментарии • 22

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 2 часа назад +9

    Jeshi letu mungu awabariki daima mbele ilove yanga yetu 💓💓💓💓💓❤❤❤❤❤❤

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek Час назад +2

    Naipenda !, Naipenda !,Naipenda sana sana sana mno YANGA yetu,vjn nyie Mungu awalinde muwe na siha njm,Amin !,nanenepa kwa matokeo bora kwa timu yetu,Daima mbele nyuma mwiko💛

  • @MalaikaBright-rv6yb
    @MalaikaBright-rv6yb 2 часа назад +5

    Yanga mbele Kwa mbele nyuma mwiko🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 2 часа назад +4

    Yanga ya moto 🔥yanga bingwa inshaallah 🎉🎉🙌🙌🙏🙏🥰🥰💛💛💚💚

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 Час назад +1

    ALIHAMUNDULILAH UPENDO NA AMANI KWA SANA💚💛💚💛💚💛💚MUNGU NI MWEMA.

  • @ZakiaJuma-w6h
    @ZakiaJuma-w6h 57 минут назад

    Mungu alilinde jeshi let

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 2 часа назад +4

    Wachezaji wa Yanga wana raha sana

  • @claratango9262
    @claratango9262 2 часа назад +4

    Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏

    • @AnnaMzava-o2j
      @AnnaMzava-o2j Час назад

      Yanga raha kuanzia wachezaji mpk mashaniki ni aman tu namshikano

  • @khatri1963
    @khatri1963 2 часа назад +3

    Yanga bingwa

  • @NaimaNayla-m2l
    @NaimaNayla-m2l 36 минут назад

    I love yanga💚💛🇹🇿🇿🇦

  • @Mhabeshi.Madayi
    @Mhabeshi.Madayi 2 часа назад +2

    Kasongo yeyeyeeeeee😂😂😂Kosi la mauaji jitahidini jamani mechi na azam tushindee inshaallah

  • @selemaniidemu4206
    @selemaniidemu4206 Час назад

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @GeradinaJohn-xh8pw
    @GeradinaJohn-xh8pw 2 часа назад +3

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KudraEliasa
    @KudraEliasa Час назад

    Hadi laha San

  • @Shebe_traLove
    @Shebe_traLove 2 часа назад +1

    Hakika akuna timu yenye amani naupendo nafuraha kama sisi wana yanga Africans tuzidi she kushikamana umoja na upendo kila idara njo sila ya ushindi wetu wana yanga ote na inshallah tuta furahia juma mosi pale chamanzi

  • @ernestndauka9301
    @ernestndauka9301 2 часа назад

    Mimi naomba kujua ilo game linaitwaje tu!! Asante

  • @mtafyatv
    @mtafyatv 22 минуты назад +1

    Upande wà pili huwezi ona hiii 😅😅

  • @zsdhalhinai3367
    @zsdhalhinai3367 2 часа назад

    Na ndio maana wanafanikiwa kwenye furaha huvuna furaha

  • @AristarickTarimo
    @AristarickTarimo 42 минуты назад

    Kuna wanaoomba tuzame majini ili tusikutane nao tena. Roho mbaya hizo za kikolo

  • @Mhabeshi.Madayi
    @Mhabeshi.Madayi 2 часа назад +1

    Kasongo yeyeyeeeeee😂😂😂Kosi la mauaji jitahidini jamani mechi na azam tushindee inshaallah