Lissu afunguka ishu ya kutaka kupimwa mkojo na mengine

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa TLS Tundu Lissu amekutana na Waandishi wa Habari ikiwa ni saa chache tu baada ya kuachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo 27, 2017 na kuzungumzia mambo mbalimbali ikiwepo ishu ya kutaka kupimwa mkojo.

Комментарии • 85