Asanteni kwa uinjilishaji wimbo mtamu balaa nimeurudia mpaka mke kachukia sasa😂😂😂 Naomba hicho kibwaguzo Cha mwisho kama Kuna mwenye nacho kipekeer. "ANASTAHILI UMPE MUDA WAKO WOTE........."
BRILLIANT. Video concept plus creativity A+, audio (choral) A+, audio (Organ play) A, Message A+, overall delivery A+. Here's to God and the newly Weds🥂
Ngoma Kali Sana hongereni Sana maharusi hongera Sana mwalimu Hendry kwa utunzi mzuri , hongeren Sana kmk hamnaga Jambo dogo hongereni Sana rafiki zangu
Hongera sana kwa wimbo huu mtamu sana wa wanaharusi au wanandoa..nimefurahia haswa upigaji kinanda wake Vinny mukasa..mola awabariki Kenya twawapenda sana jameni
In my wedding day I will just change the names 😂😂😂am in love with what am seeing here hongereni sana maharusi ❤❤
Wooow...nice
Wimbo mtamu, nimeona mwalimu wangu pale st Francis Xavier choir mikindani mombasa Kenya, kaka Emmanuel conrald ametuwakilisha vyema sana
Wimbo bora. Asante kwa tungo hii.
Asanteni kwa uinjilishaji wimbo mtamu balaa nimeurudia mpaka mke kachukia sasa😂😂😂
Naomba hicho kibwaguzo Cha mwisho kama Kuna mwenye nacho kipekeer.
"ANASTAHILI UMPE MUDA WAKO WOTE........."
Mwakola ,mkama katonda abae emigisha
BRILLIANT. Video concept plus creativity A+, audio (choral) A+, audio (Organ play) A, Message A+, overall delivery A+. Here's to God and the newly Weds🥂
Ngoma Kali Sana hongereni Sana maharusi hongera Sana mwalimu Hendry kwa utunzi mzuri , hongeren Sana kmk hamnaga Jambo dogo hongereni Sana rafiki zangu
Hongereni sana wanakwaya ya Mt.kizito mbarikiwe sana wimbo mzr sana
Amina. 🙏
Bonge la wimbo mm nawakubali kmk.
Hongera sana kwa wimbo huu mtamu sana wa wanaharusi au wanandoa..nimefurahia haswa upigaji kinanda wake Vinny mukasa..mola awabariki
Kenya twawapenda sana jameni
Tamu Sana Bwana Mukasa pamoja Na kwaya yako mt kizito
Niulize mtu anaeza tumia Huu wimbo kwenye harusi yake?
❤❤❤ wimbo mzuriii sana
Hongereni❤
Wimbo ni mtamu sana na ujumbe mzuri ❤❤❤❤
Wimbo mtamu sana…. Pongezi ziende kwa composer, Vinny, na waimbaji… everything is beautiful🎊
Kazi safi sana na wimbo mzuri congratulations are in order.❤❤❤
Mungu awajalie mkayaishi mauzui yaliyomo kwenyewimbo hongeleni sana mmeupigamwingi
Wimbo n mtamu sana n uko na ujumbe mzuri kweli kweli❤❤❤❤❤❤❤❤
Swadakta
Hongereni sana mwalimu
Pia hongera sana kwavipaji unavyozidi kuzalisha katika kumtukuza mungu hongereni sana
Imeisha hiyo katika ubora wake/wenu 👌Mr. Kimario 👏👏👏
🎉🎉🎉🎉🎉safi sana
Wow!!!🎉🎉🎉 Pongezini Sana Kwa kazi nzuri Sana 🎉🎉🎉
❤❤Hongera sanaaaa!
Wimbo safi ongereni
Barikiwa sana watalaamu nyimbo saf utukufu kwa mungu tunda la kanisa nyie 🥳Tupokee mungu anachotupa
🥳
Kaz nzur MUNGU awabariki
another banger!👏👏hongereni waimbaji na watayarishaji kwa kazi nzuri. Hongereni wanandoa kwa sakramenti takatifu!🙏🙏
Wimbo mzuri sana❤❤ Well done👌👌
Kazi Safi wapenzi
Hongera sana wimbo mzuri na pia big up mpiga kinanda Kwa mbali umenichanganyia Ile ya akanana akanana kaile Kona kaile kaile nikeyogora 👍
🤝🥀🥀🥀🥀
Safi sana ❤❤
Wow wimbo mtamu kweli kweli,lazima nimpokee 🤣🥰
Wimbo zinapigwa vizuri 🎉🎉
Safi ❤
Creativity at its level ....hongera sana script writer ....composer ...shooter ...singers ...simple appearance but interesting ❤❤❤
Sichoki kiangalia hii nyimbo🎉🎉🎉🎉
Asante Sana mungu huwa anawafaham waja wake hongereni sana ❤❤❤❤❤
Ila Beatrice ❤❤❤❤❤ na Gaspar mmejaliwa sauti nzuri sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Natamani ningejaliwa na mimi mbona ningeringaaa
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻Mungu ni Mwema
Kazi safi 👏hongereni
Waooooo ❤❤❤❤❤ Mungu awabariki kwa hii kazi nzuuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Bonge la wimbo
wimbo mtamu sana nahongereni sana 🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri
Hongera sana KMK, Holy Trinity Studios,Mtunzi Hendry Kimario na Divine Studios kwa kazi nzuri 🔥🔥🔥 Pia hongera nyingi kwa Mr&Mrs Teoslas Mbunda.
Maneno mazuri sana kwa wana ndoa
Weee Vinny weeee umepigaje hapo!!!
Kazi nzur san
Aloooh hongereni sanaaa
Wow nice vocals 😊❤
A very nice song
Wow ❤
Hongeren kwa wimb mzur kmk makubur
Hongera sana kwa wote mliofanikisha
Hongera sana Mwl Hendry Kimario kwa utunzi mzuri
Second to None. The vocals are excellent ❤❤🎉🎉.
Wimbo una ujumbe sana
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️Mungu awabariki sana nyimbo nzuri mnooo
Hongera Teoslas, hongera pia kwa waimbaji kazi nzuri
🎉🎉🎉🎉🎉Hongera Sana mtunzi ujumbe safiii Hongereni Sana waimbaji sauti safiiii🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Inapendeza saana
Wimbo mtamu sana ❤❤❤❤❤ hongereni maharusi
Aisee wimbo mzr kinoma sasa nimeshapata wimbo wangu Wa ndoa hapa ni kubadilisha majina tu😂😂
Wooow🎉🎉🎉❤❤❤❤
Wimbo mzuri sana sana hongeren mnoo familia ❤❤❤❤
Hongereni sana Kazi Nzuri sana Merody Safi kabisa Mtunzi Nakupongeza sana Kwa Tafakari hii.
Wow hongereni wimbo mzuri Sana naomba note plse❤❤
Lovely 🎉❤❤
Nice song...+254 love you
Nice❤
naona mwalimu emmanuel wa chaani holy cross msa
Wow ❤️🙌 Love is truly a beautiful thing
Banger 🔥🔥
Woyoooooooooooo...good work my favourite choir KMK
Nyimbo nzuri sana
🔥🔥🔥
Wimbo mtamu
Hongereni.
Mbona nimetaman ndoa jaman
Njoo
congratulations
Marvelous creativity❤❤❤
🎉🎉🎉nice song
Hongeren xana jaman
Wimbo Bora kabisa mwalimu Emanuel nakuona pale.....share notes kwa wall ya holy cross chaani plz . Otherwise congratulations
nice
❤❤🔥🔥🔥 nota zake naomba
Link ya kupata nota zake ipo kwenye mwisho kabisa description
interesting song and awesome
Jack mama 👏🏻
❤❤🔥🔥🔥🔥
Nice
👏👏👏👏👏👏👏
Nzuri Sana hongereni.... NAOMBA NOTA ZAKE
Mbona mkasa simwoni kapotelea wapi jaman?
Mtafanya sasa nioe😅
👏👏👏
Huu wimbo unahamasisha kufunga ndoa 😂
🔥🔥🔥🙏🙏🙏