HARMONIZE: MSINICHONGANISHE NA DIAMOND PLATNUMZ/ KUONDOKA WCB/ SITAKI KUWA NAMBA MOJA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 май 2019
  • HARMONIZE: KUONDOKA WCB MSINICHONGANISHE NA DIAMOND PLATNUMZ/ SITAKI KUWA NAMBA MOJA
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 693

  • @saikalyasi2707
    @saikalyasi2707 3 года назад +102

    Tunaoitazama hii interview 2021 tujuane

  • @ramseymayunga276
    @ramseymayunga276 Год назад +6

    Good harmonize 🇿🇦👍

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 3 года назад +6

    From Mozambique 🇲🇿. Harmonze atimaye leo upo Wasafi Tv wow

  • @HarunaFernando-hc4kd
    @HarunaFernando-hc4kd 2 месяца назад +1

    like hapa kama unatazama 2024

  • @riamiurassa7765
    @riamiurassa7765 5 лет назад +129

    Ereni za nn mzeee laana iwe nanyi wote mnaojifanya mastaaa kufanya vitu kinyume na sheria kama unaona. Ni vibaya kwa jamaa kuvaa Helen b like apa

  • @catherineraphael1589
    @catherineraphael1589 4 года назад +32

    Nachompendea harmonize ni mnyenyevu sana ana. Jua kujishusha

  • @gervasmlowe916
    @gervasmlowe916 5 лет назад +10

    Baba atabaki kuwa baba konde boy usilewe sifa umejibu point nice it

  • @aljimmykabumbabinazam9904
    @aljimmykabumbabinazam9904 3 года назад +1

    I love you harmonize jeshiiii konde genge

  • @ezapesambili2130
    @ezapesambili2130 4 года назад +7

    Leo tena nimerudii kucoment 2020 \5\5; Usailit wa harmonize kweli ulionekana

  • @speedreacts01
    @speedreacts01 3 года назад +13

    Likes za 2021 ssaru to the world eastern Africa hip hop lady am targeting Cardy B

  • @auntiemylee3157
    @auntiemylee3157 3 года назад +18

    2020 watching😂😂
    Interview tuliachia akina ibrah c jeshi

  • @ComedyPlustz
    @ComedyPlustz 4 года назад +1

    Konde boy ipo vzr

  • @amiriomari9568
    @amiriomari9568 5 лет назад +2

    Harmoniz saivi anakujavizuri mungu amjalie

  • @yusuphmlangali7295
    @yusuphmlangali7295 5 лет назад +14

    Big up kajibu kwa akili sana hapa konde boy

  • @News254Kenya
    @News254Kenya 4 года назад +88

    Nani anatizama hii Leo? Like kama yesi.

    • @thecourtcourt1753
      @thecourtcourt1753 3 года назад

      ruclips.net/video/BRABDSPQcd4/видео.html

    • @bahatijeshi9087
      @bahatijeshi9087 3 года назад +1

      Jeshi nisha kubali unaweza unamuzidi mbona huwamini jeeeshii

  • @Driuddagascows438
    @Driuddagascows438 Год назад +1

    Harmonize ni tofauti na platnum😍

  • @ELISSKGTV
    @ELISSKGTV 3 года назад +3

    I love you KONDE Gang...yaani ulitishia hadi bosi ..haha

  • @jofreykayomo7561
    @jofreykayomo7561 3 года назад +9

    saf sana harmonize yan ameongea ukweli baba uwezi kumlinganisha na mtoto big up sana ameongea ukweli diamond n level nyingne jaman

  • @sammysammy2001
    @sammysammy2001 4 года назад +1

    Big up yeye pia anafurahia mwanao akingara

  • @zainahali1274
    @zainahali1274 5 лет назад +12

    Kondeboy ndio kusema 😍😍😍

  • @alfamolide4124
    @alfamolide4124 4 года назад +3

    Harmonaz nakupenda sana sana

  • @birikumanapascal6798
    @birikumanapascal6798 3 года назад +5

    sikuzote msani anatakiwa kujiongeza, i'm so proud kwa kuona ujasili wa konde boy, na jinsigani anavyo jituma

  • @khalilfeisal8647
    @khalilfeisal8647 5 лет назад +27

    " I don't wanna" io kizungu joo. C mumpatie likes

    • @thecourtcourt1753
      @thecourtcourt1753 3 года назад

      ruclips.net/video/BRABDSPQcd4/видео.html

    • @gene2037
      @gene2037 2 года назад

      Who told you that😁

  • @emflashtv6211
    @emflashtv6211 3 года назад +1

    Me naamin muda wa harmonze ni huu jamn 2021

  • @officialmrtop1018
    @officialmrtop1018 5 лет назад +6

    Jibu nzuri sana najuwa wew unaelewa vizuri uchonganishi wawatu mbali mbali sababu kabla hujawa Harmonize wa Leo ulikutana na maneno mengi ukacgonganishwa wakakuzarau so huwezi kuyasikiza maneno hayo unaelewa na umewazoea big up sana

  • @HassanHassan-dk5db
    @HassanHassan-dk5db 3 года назад +14

    Much respect harmonize

  • @zakiaathuman3636
    @zakiaathuman3636 3 года назад +9

    I don't wanna be number one akati sikuhizi majukwaani utaskia...when I say Harmonize say number one😄

  • @ErickGadson-yg2xj
    @ErickGadson-yg2xj 2 месяца назад

    Tujuane walio Angelia 2024

  • @iddyjm4830
    @iddyjm4830 3 года назад

    good san brother unajua kujielez

  • @folizoomwangibile2846
    @folizoomwangibile2846 2 года назад

    Umejibu vzr kumber

  • @janerupia4189
    @janerupia4189 3 года назад

    Harmonizer nimeipenda hyooo KATIBU family WCB

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 Год назад

    We mchawii harmonize

  • @patrickasifiwemugara4393
    @patrickasifiwemugara4393 4 года назад +22

    Harmonize ni namba 1 kwangu.
    He is talented than dian, with time you will...

  • @shemsuabrahman1669
    @shemsuabrahman1669 3 года назад

    Mnfiki sna hyu

  • @alovijoseph.1872
    @alovijoseph.1872 4 года назад

    Nakubali hizi studio.

  • @MrSmartBrand
    @MrSmartBrand 4 года назад +20

    Who is here after seven months

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 3 года назад +1

      😆😆😆😆after kusign chid na wenzake😂

  • @ndihokubwayohilali476
    @ndihokubwayohilali476 3 года назад

    Nakubali boss we nimwanaume

  • @ibraluxetz5493
    @ibraluxetz5493 2 года назад

    Anaweza hamo

  • @franklinrobert7727
    @franklinrobert7727 Год назад

    If someone likes this I will come back and watch again

  • @leeiddykgg8504
    @leeiddykgg8504 5 лет назад +6

    shukran kubwa sana kwa simba alie mpokea wcb .pia homo nakupa hongela sana kwa mziki wako mzl i love u

  • @jemisisendummnikokenyalaki7200
    @jemisisendummnikokenyalaki7200 3 года назад

    Kweli siyo sahii

  • @tonyboy9513
    @tonyboy9513 4 года назад +2

    Harmonize yupo vzur

  • @shagoldtz8866
    @shagoldtz8866 3 года назад +1

    Kijana wng😍😍❤

  • @bobanjuma66
    @bobanjuma66 4 года назад

    mungu mbele sisi nyuma....diamond lazma akubali...tizama fally kwa koffi olomide alafu utaona kama kila kitu kinawezekana

  • @onyaitignatius4941
    @onyaitignatius4941 2 года назад +1

    The mix killer haba

  • @jimmyapostle3435
    @jimmyapostle3435 2 года назад

    Nice good

  • @kingrasdee445
    @kingrasdee445 2 года назад

    Kwo unaona saaafiiii kushndan na boss wak alokufnya mpka leo unashndana.

  • @naifathassan2607
    @naifathassan2607 3 года назад +1

    Daaah kaka mnafiki huyooo

  • @user-iv6hu1vg3c
    @user-iv6hu1vg3c 2 месяца назад

    Mutotooo non n mutotooo kwababayyyy bahhhh

  • @neemdamas5457
    @neemdamas5457 4 года назад

    Mkishakua mastar Basi vingereza vyaajabu

  • @khamickagere6158
    @khamickagere6158 2 года назад +1

    Hamoniz kajibu poa sana

  • @user-jn2qj5wf6c
    @user-jn2qj5wf6c 2 месяца назад

    Konde nimekukubar kama umekumbuka aliye kutoa kwenye mbali nimejisikia vizur mko poa♥️♥️🤝

  • @alexmurogo998
    @alexmurogo998 5 лет назад +6

    I think harmonize ame outgrow wcb. Anafaa aondoke awe kivyake na pia awachukue wasanii chipukizi aanzishe label yake. Amefika ile place ya 'when your idols become your rivals'. As long as ako wcb atakuwa hindered kwenda to the next level.

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 года назад

    🦁🐘msigombanee nyie mme toka mbali

  • @michaelniyonkuru534
    @michaelniyonkuru534 2 года назад +3

    Respect to harmonize

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 5 лет назад +1

    hollaaaaa kwa Konde Booooy...love yo Melody bro

  • @easterjoachem5524
    @easterjoachem5524 3 года назад +7

    Cmmnts z 2020 lky twend saw

  • @salvinamahondo3210
    @salvinamahondo3210 5 лет назад +15

    Umejb point San bro

  • @filmonmtinda562
    @filmonmtinda562 4 года назад

    Uyu mshikaji jonijo anaboa sana

  • @harmoniofficialtz6065
    @harmoniofficialtz6065 4 года назад +10

    Majina haya ni ya watu wakubwa tunatengenezwa then tunakuwa na malengo ya kwenda kujitegemea na sikuendelea kulelewa
    NakubaliSana unachokiwazia brother @Harmonize

  • @chicharitoronaldo5950
    @chicharitoronaldo5950 5 лет назад +52

    Unafanya vizuri konde boy ila level ya simba ni nyengine🔥bado sana bro hao wachonganishi wasikujaze upepo ukajiona umefika!!!

    • @sospetersiame906
      @sospetersiame906 5 лет назад +3

      Wengi wanaoshindana na mondi kwa kutaka kujiona wao bora wanaishia kuwa under ground kabisa na kupotea mm rich mavoko kashuka kabisa

    • @chicharitoronaldo5950
      @chicharitoronaldo5950 5 лет назад

      @@sospetersiame906 kweli kabisa

  • @husnahassan4771
    @husnahassan4771 4 года назад +5

    Aaliyah icho kingerez vepe😶😶 mbn unafoc

  • @sammushi1512
    @sammushi1512 2 года назад

    Conde yuko vzr

  • @hamidaabdallah8146
    @hamidaabdallah8146 4 года назад

    Kond 😍umejibu vizuri lakini usivae hayo mahereni tuna kukubali unaweza

  • @khamysamursally5932
    @khamysamursally5932 3 года назад +1

    Mungu atawasimamia wala msikubali kuchonganishwa pia Mungu awape masikilizano Utulivu na mapenzi yake kama zamani hongera sana kwa Interview nzuri Sanaa sanaaa tena sanaaaaa 💪

  • @Deejay_muddrah
    @Deejay_muddrah 4 года назад +1

    be blessed maneno ni kitu cha kawaida sana bro

  • @nadineblessing2608
    @nadineblessing2608 5 лет назад +2

    Harmonize

  • @venonjay9723
    @venonjay9723 4 года назад

    Matured Harmonize

  • @user-bf5jg1tn5w
    @user-bf5jg1tn5w 2 месяца назад

    Yan harmonize hunakilikweryani watutulkupendea kwasabu yakunzulumiwa manyanyAso watutuka kusapoty umetubowasana mashabikiwako

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 5 лет назад +9

    Harmonize unajua kujibu maswali. Nakutambua konde boy.

  • @joxeesalifsalif4965
    @joxeesalifsalif4965 4 года назад

    Harmonize anasumbuliwa na tamaa

  • @sammyboy2485
    @sammyboy2485 2 месяца назад

    Kwan mara ya kwanza kaka nimekuskia ukiongea maneno ambayo Yana uzito mkubwa na funzo kwa jamii nzima keep it up broo

  • @imanijafari9286
    @imanijafari9286 4 года назад

    Baba wawili

  • @daudimasese3724
    @daudimasese3724 5 лет назад +15

    hamonaizi is the second after diamond is the good challenge

  • @franklinmganga736
    @franklinmganga736 3 года назад +1

    1,11,2020 natazama 🔥🔥

  • @josephtemba10520
    @josephtemba10520 3 года назад

    Hiii nimeielewa mkuuuu...

  • @yaedlifemedia3203
    @yaedlifemedia3203 5 лет назад

    Jamaa kavaa elen maskin ya mungu dah wanadai swaga.safi sana mdogo wangu rajab inasikitisha ila kwasababu maisha hayo ndio unayoyatala be blessed vaa mbaka gauni sisi tunalik tu

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 2 года назад

    Umejibu vizur

  • @clarafavor5974
    @clarafavor5974 4 года назад +2

    Safi Kaka kaza we unajua wasafi nzima ,,,,,wanasubili ...unajua sanaa

  • @erickmbilinyi2056
    @erickmbilinyi2056 3 года назад +1

    tunajikumbusha huu unafki wa konde saiz

  • @georgekagwebe2461
    @georgekagwebe2461 5 лет назад +73

    Mbna you know!! You know!! Ming sema kiswahili lugha ya taifa mamaee

    • @judithpeter1174
      @judithpeter1174 5 лет назад

      George Kagwebe hahahaaa

    • @linahmadame2128
      @linahmadame2128 5 лет назад

      Wivu nawewe kwan amesoma unataka asiongee BA's secondary wasingweka tusome English

    • @takyatupu6839
      @takyatupu6839 5 лет назад +1

      🤣😂😂😂😂anaka kutuonesha km ameaza Englishcouse

    • @takyatupu6839
      @takyatupu6839 5 лет назад

      Wacha dharaau kutaja wasani wengine 🤨kiba anawajambisha

    • @evelynouma975
      @evelynouma975 5 лет назад

      🤣🤣🤣🤣

  • @Vickyoung_Ensanako
    @Vickyoung_Ensanako 5 лет назад +21

    If you knew how you guys inspired us to start impressing Kiswahili in Kenya, you couldn't have forced that Kizungu. Lol

    • @abrahmaniomar9858
      @abrahmaniomar9858 5 лет назад

      konde boy sio mwalimu wa kiswahili kashidwa nyerere nyie wafuasibwa wazungu mtabaki kuws slave2, siye wabingonwe take english as joke lunguage

    • @sara_228
      @sara_228 2 года назад

      Harmonize wcb

  • @kambiyusufu7709
    @kambiyusufu7709 3 года назад

    Jamani tembo tunaikumbuka hii

  • @juniorlute9520
    @juniorlute9520 4 года назад +28

    Harmonize accent achia Khaligraph bana penda kiswahili ndo kimekuweka ulipo sasa😎😎

    • @nasranoor8500
      @nasranoor8500 4 года назад +1

      uwe na shukuran kumbuka uriko toka wewe mmakonde !!!ro

  • @Xamaaza_iconic
    @Xamaaza_iconic 2 года назад +1

    Harmonize 💥💥

  • @milambojames8897
    @milambojames8897 4 года назад

    Hiiii bhn mbona hatli sana

  • @inagongabyjavarofficialvid9166
    @inagongabyjavarofficialvid9166 3 года назад +1

    Ok

  • @rhinaamiry8535
    @rhinaamiry8535 5 лет назад +6

    Yani mtihani hamo kavaa mielen mwezi wote huu 😱

  • @AfandmoneymukambaMbale
    @AfandmoneymukambaMbale 8 дней назад +1

    Ndo ivyo

  • @SpikesTrendy
    @SpikesTrendy 3 года назад +1

    April 2021 wangapi tuko hapa

  • @naomialoyse3174
    @naomialoyse3174 4 года назад +2

    He's watching now 2020

  • @roselineawinja6604
    @roselineawinja6604 5 лет назад +1

    Hapa Leo napita, nikienda kupambana na hali yangu

  • @josephmushai6108
    @josephmushai6108 5 лет назад +5

    Hamo ako juuu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪wasafi

  • @tresorviwe5655
    @tresorviwe5655 4 года назад +1

    Harmonize Ali fanya vibaya kutoko wcb

  • @williamdungumaro6668
    @williamdungumaro6668 2 года назад

    Maisha yanaenda kas sana

  • @jonikisomo_19969
    @jonikisomo_19969 5 лет назад +2

    Hamornize

  • @shadowvoicetz3232
    @shadowvoicetz3232 4 года назад

    Good

  • @farajafaston9982
    @farajafaston9982 4 года назад +1

    Harmonize unazngua kimombo king I mjomba

  • @ludwickernest3588
    @ludwickernest3588 5 лет назад +12

    Huna pesa unyanyaswe, ukiwa nazo tena unyanyaswee mzee baba ringaaaa tena huringi kabisaaa daah!! Harmo ringaaaa ndiyo maana ya pesa, unazo usiringe afu masikini afanye nini

  • @mudifataki9440
    @mudifataki9440 5 лет назад +8

    mmmhhh hereni mtt w kiislamu mwz mtukufu wote huu

    • @sophiaomary8627
      @sophiaomary8627 5 лет назад +1

      MUDI FATAKI dah unapotea kakangu Helen tena pesa mwana haram broo muogope mwenyenzi mungu