"TUMEKODISHA NDEGE IBEBE KOMBE LA CRDB" TAMBO ZA ALLY KAMWE AKIWA SERENGETI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 июн 2024
  • #DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi
  • СпортСпорт

Комментарии • 77

  • @narcissusmakenge4710
    @narcissusmakenge4710 3 дня назад +11

    Kwenye kitengo cha mawasiliano na matangazo Yanga tumefanikiwa sana. Kongole na Hongera vijana wa kazi. Daima mbele nyuma mwiko.👏👏👏👍

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 3 дня назад +7

    Ally kamwe anajua kuwakera watu, yaani na maisha yao, raha 💚💚🇹🇿🇹🇿

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 3 дня назад +12

    Kombe limekaa kwenye siti yake linakula raha ya dunia,hongera cn semaji letu kijana mdogo mwenye akili nyingi👏👏👏💛💛💚💚💚

  • @allymanyika3502
    @allymanyika3502 3 дня назад +8

    Kama nawaona vile makolo wanakereka hongera sana semaji langu ally kamwe 💚💛💚💛

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu 3 дня назад +5

    Kombe zuri sana kama la CAF tujipongeze wana Yanga 🎉🎉

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 3 дня назад +8

    Hongera semaji Ali kamwe kwa ubunifu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 3 дня назад +4

    Hongera semaji Ali kamwe kwa ubunifu

  • @user-ox3ij7ki3t
    @user-ox3ij7ki3t 3 дня назад +9

    Hakika hili kombe ni vile haliwezi kusema tu lakini lina injoy sana kubebwa na yanga halijawah kupanda fuso tangu limekuja yanga

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 3 дня назад +8

    Daima mbele nyuma mwiko is 🎉🎉🎉

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 3 дня назад +8

    Injinia hersi hongera kwa ubunifu

  • @ramadhankombe2643
    @ramadhankombe2643 3 дня назад +7

    Kombe nalo limekula belt kwenye city yake.hatar sana😂😂😂wana thimbaaa Mletee mdhunguuuu😢😢😢😢😢

  • @nuhu-sanda
    @nuhu-sanda 3 дня назад +6

    Wape wape ally Dawa iwaingie

  • @mohamedpeta9549
    @mohamedpeta9549 3 дня назад +8

    Yanga raha sana.

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 3 дня назад +7

    🎉🎉🎉🎉injinia hersi rais hongera 😮😮😮

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 3 дня назад +7

    Ali Kamwe ni mmoja tuuh

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 3 дня назад +4

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h 3 дня назад +6

    Hengerni vijana kwa kukodi ndege kwa niaba ya Yanga.

  • @dianarosekaugira5608
    @dianarosekaugira5608 3 дня назад +6

    Yanga raha jamani

  • @magrethmakauki235
    @magrethmakauki235 3 дня назад +6

    Mtauwa watuu jaman

  • @saliieking7279
    @saliieking7279 3 дня назад +7

    Nilidhani kombe ujalifunga mkanda kumbe umelifunga mkanda yanga damu

  • @SenaseMalemi
    @SenaseMalemi 3 дня назад +4

    Hayo maumivu hatayasahau unakera kijana wetu wanyooshe

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 3 дня назад +7

    Rais wa yanga 🎉🎉🎉🎉

  • @MoroNyomboki-bb7re
    @MoroNyomboki-bb7re 3 дня назад +7

    Duh!! Itakaa kizazi sana kama ndo hivo ,ni wakati wako Sasa Ally Kamwe kutamba usiiçhezee furaha hii ,iliyo na wakat TU!! Ya yeyuka yaenda upande mwingine ،👏👍 ،،،wanayanga nipen pongez zangu....

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 3 дня назад +5

    Sasa ndugu yangu c umchukue hata yule mtoto wa MUDI uzunguke nae kidogo, aone msemaji mwenzie UNAVYOSEMEA klabu Yako....ajifunze Nini maana ya MAKOMBE

  • @user-hy3en6vk5f
    @user-hy3en6vk5f 3 дня назад +5

    Humu tuuu 🤣🤣🤣💐💐💐 makolo apo wanatamani Ata wakuloge🤣🤣

  • @user-nn8yj7fe4n
    @user-nn8yj7fe4n 3 дня назад +3

    " kombe linatengenezewa heshima yake ili msimu ujao ,wachezaji wakipewa video wajue ni deni kubwa"" I love my team napenda mipango yetu aisee " Risk at starting then enjoy more in future "

  • @ThomasGai-kz5cu
    @ThomasGai-kz5cu 3 дня назад +5

    Makolo mbona mnakereka sana na gharama za Yanga ,zinawahusu. Yanga hasara b.1 makolo mnadaiwa b.21 na Mo.

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 3 дня назад

      Una madini kichwani, ebu wape machinbo wamezidi domodomo. Hela ya Yanga inawahusu nini?

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 3 дня назад +2

    Kweli Yanga ya msimu huu kiboko 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @patrickkiwali578
    @patrickkiwali578 3 дня назад +5

    Ni hatar yanga hii

  • @user-lx9ph7lj4u
    @user-lx9ph7lj4u 3 дня назад +3

    Kombe linakula bata kuliko kibu😅

  • @user-ql2hc7zt6b
    @user-ql2hc7zt6b 3 дня назад +4

    Tutalogwa san

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 3 дня назад +5

    Kwani Jirani yako wanasemaje Kibegi Kilipanda Mtei Bus

  • @mgambohalua6244
    @mgambohalua6244 3 дня назад +3

    Jaman hata hamkumpa semaji la makolo lifti

  • @NyunduMtewele-ez7ei
    @NyunduMtewele-ez7ei 3 дня назад +4

    Yaan ili kombe wamelitangaza kuliko ata kombe ka ligi

  • @masomaso4049
    @masomaso4049 3 дня назад +4

    😅😅😅😅ila Kamwe au basi...😅😅😅you are unbelievable

  • @Official83640
    @Official83640 3 дня назад +3

    Ila Ally we huogopi 😂😂😂😂😂

  • @ismailkiwawas5982
    @ismailkiwawas5982 3 дня назад +2

    😂😂😂kanifurahisha Sana bwana ruban

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 3 дня назад +4

    Kombe lilotaka kuwatoa uhai zaka

  • @user-ox3pd3vc9d
    @user-ox3pd3vc9d 2 дня назад +1

    Haya maisha haya bas tu mm nafkish miaka 43 cjawahi panda ndege lkn kombe Lina siti yake dah kweli hii dunia Haina usawa hapa nimelela kumekucha lkn usk ckupata usingizi rejesho laki Saba lkn hata laki 2 Sina nataman hata kufa Ila ngoja tumwachie yeye Alie tumba lkn kwa hakili zangu km nimezidiwa na maisha Sina furaha mpka mtu unatamani niwe mkenya nikandamane na niwe wa mbele waniue

  • @shafiimdogwa1482
    @shafiimdogwa1482 3 дня назад +1

    Uwa Anakula Chakula Gan? Mkuu

  • @AshaSahili
    @AshaSahili 2 дня назад

    Ndugu yangu mungu usi msahau sana kumuabudu. Hapa nisehem ya kupita tuu.

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 День назад

      Tukusaidieje! Raha ni duniani! Kaburini hakuna ndege! Tulia

  • @saidrajab3808
    @saidrajab3808 2 дня назад

    Muvibe anaogopa😂😂

  • @user-jl5mm6cp3r
    @user-jl5mm6cp3r 2 дня назад

    FURAHA KUBWA KWA YANGA TUNAFURAHI SANA KWA HILI

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 2 дня назад

    Kombe nalo limefungwa mkanda

  • @dengahmediatz1230
    @dengahmediatz1230 3 дня назад +1

    Yani hela zetu wanachama ndo mnazitumia vby hivi😢😢

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 3 дня назад +1

      Umetoa ngapi? CRDB wenye kutoa fedha wala siyo ijichenji wasemeje? Acha roho ya kifukara!!

  • @mwajayhaxxan5507
    @mwajayhaxxan5507 3 дня назад +2

    Halafu mwisho wa msimu deni Billion 2😢😢😢

    • @user-lx9ph7lj4u
      @user-lx9ph7lj4u 3 дня назад

      Kwaio unataka wew??umeombwa ulipie

    • @user-ox3ij7ki3t
      @user-ox3ij7ki3t 3 дня назад +1

      Mbna nyie makolo hamfanyi chochote na hamna furaha lakini mnadaiwa had pesa za mchicha???😂😂😂😂😂😂

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 3 дня назад +1

      Mo Alishainunua Simba na makolokolo yote ukiwemo wewe! Tangu lini dunduka likajitambua? Achana na matanuzi ya Yanga pam ana na utumwa wenu!

    • @erickpaschal1639
      @erickpaschal1639 3 дня назад

      Matumizi yake yanaonekana@mwajayhaxxan5507 kuwa makini usije ukashangaa tanapa katia udhamini wake kwa Yanga

    • @mwajayhaxxan5507
      @mwajayhaxxan5507 2 дня назад

      @@sylvestercameo6263 koma me sio kolo,, labda we ndo dunduka,, we unafurahia maden au unaleta Usenge?
      Ukute unajitumisha msg humu ata kadi huna mbwa ww

  • @AbdallahHussein-z7o
    @AbdallahHussein-z7o 3 дня назад +1

    Grut

  • @methodpeter1323
    @methodpeter1323 3 дня назад +1

    ally kamwe ushba mwingiii

  • @aishahaji3128
    @aishahaji3128 3 дня назад +1

    Lakininhakuna msemaji anatumiampesa za timu km huyu jamani hizi sifa zinatumianpesa sana tu

    • @AmanaHassan-cy4fi
      @AmanaHassan-cy4fi 3 дня назад

      Ingia darasani kwanza...
      Ndio utajua pesa wapi zinarejeshwa kwa hilo zoezi

  • @jumangaumba500
    @jumangaumba500 3 дня назад +1

    Alafu baadae hizo gharama zisizo na sababu ya msingi mziingize kwq Yanga , na kusema imepata hasara.

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 3 дня назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿

  • @Zaburi-
    @Zaburi- 3 дня назад +1

    Huyo mu sijui nani muoga kinoma😂😂😂

  • @nelsoncosmas5639
    @nelsoncosmas5639 3 дня назад +2

    Huuu ni uzwazwa mwisho mwa mwaka mseme mmekula hasara hiyo ni akiri au matope

  • @richardmaimu9596
    @richardmaimu9596 3 дня назад +1

    Napata hisia hizi ni moja ya sababu za matumizi kuzidi bajeti

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 3 дня назад

    Tuachane na habari za Chama Kwa Sasa hawezi kucheza yanga licha ya playing style yake lakini umri hana kasi

  • @KhadijaKiwambu-qx8qh
    @KhadijaKiwambu-qx8qh 3 дня назад +1

    We kazi kutembea na makombe tu kuna mtu mtandaoni unamriza anakupe urimuadi utaenda nae morogoro ujaenda nae anakuriria

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 3 дня назад +8

    Hongera semaji Ali kamwe kwa ubunifu

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 3 дня назад +6

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 3 дня назад +3

    haha mumekwenda serengeti na kurudi, ikirudi inakuwa tupu