JIBU LANGU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 585

  • @erastomagaho482
    @erastomagaho482 4 года назад +31

    Jamani m sjui wa ngapi like zenu tafadhali

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 года назад

      👇🏻💖💖💖👇🏻
      ruclips.net/video/kWzwu4jv75I/видео.html

  • @dennisisrael2187
    @dennisisrael2187 4 года назад +3

    Daaaaah akil ndo tungekuw nazo Kitambo primary ingekuw magoli sana

  • @njobaintertainment5807
    @njobaintertainment5807 4 года назад +1

    Huyo mwalimu usimuachie Kaka joti kipaji sana hicho

  • @humycymachambula1719
    @humycymachambula1719 4 года назад +25

    Joti the great.kama mmeliona ilo wekeni likes hapa.

  • @titojohn412
    @titojohn412 4 года назад +42

    Kijana uko vzr ,unafanya week end ianze vzr ,Big up kwako

  • @njobaintertainment5807
    @njobaintertainment5807 4 года назад +1

    Kaka joti huyo mwalimu kipaji sana yaaani noma nimecheka sana

  • @mohammedrajabu7449
    @mohammedrajabu7449 4 года назад +14

    😀😀😀😀 Dah comedy hii inatufunza mambo tuna yo kura na nayo ktk halakati za maisha yetu ila bigap Sana kwa wote mlioshiriki ila naomba saport kwajoti na wengineo na mm ninafani ya comedy so mkinisapot Nita Fanya kazi nzuri

  • @rajabomary6674
    @rajabomary6674 4 года назад +6

    Hi inaitwaa walimuuu mkomeeee

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 4 года назад +12

    Joti Msenge kwelii ww🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Nadir_Abdullah
    @Nadir_Abdullah 4 года назад +30

    Hahahaha thanks joti for your comedy love you from Oman🇴🇲🇴🇲🇹🇿

    • @Thebking
      @Thebking 4 года назад

      ruclips.net/video/uyIcwBtA74k/видео.html merlin imetafsiriwa usisahau ku subscribe

    • @lizzybahati9833
      @lizzybahati9833 4 года назад +1

      Wanatupa raha sana 😃😃😃😃

    • @DesipnaBetweel-tw5nb
      @DesipnaBetweel-tw5nb Год назад +1

      Hahaha. Jot. Bhana. Unasaund san

  • @soudybaroog2753
    @soudybaroog2753 4 года назад +1

    Nice mapacha mmekua nawatambua kitambooo

  • @francmtinia6962
    @francmtinia6962 4 года назад +1

    Duuuh joti kauza kesi noma sana

  • @edzekoamour2219
    @edzekoamour2219 4 года назад +2

    Ahsante kaka joti pmj

  • @budahman2908
    @budahman2908 4 года назад +8

    Content iko vizuri bravo joti
    Sasa tuletee part two
    Mwalimu kashinda kesi na karudi kufundisha shule

  • @LearnwithMadamnaomi
    @LearnwithMadamnaomi 4 года назад

    Umeni chekesha sanaaa jot MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU

  • @ahmedloya7674
    @ahmedloya7674 2 года назад

    Apo jot uli cheza hasa.wew ni mkal mwamba.

  • @mwajaybyamungu3068
    @mwajaybyamungu3068 4 года назад +1

    Surahimehanza kukubali huzee

  • @hassanally446
    @hassanally446 4 года назад +10

    Aise hii noma kweli mambo kama haya huwa yanatokea kweli? Mana Andunje kammaliza mwalimu yani akitoka jela ana wewe 🤣🤣🤣 thanks bro nakukubali

  • @tresorkongolo8591
    @tresorkongolo8591 4 года назад +15

    Yani uyu kaka noma 🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 4 года назад

    Andunje moto wakuotea mbali duuu😀😀😀😀💪💪💪💙💙🌷🌹

  • @mosesbusanya3528
    @mosesbusanya3528 4 года назад +5

    🤣🤣🤣sema ukweli..umemkomesha hyo yeacher andunje

  • @deomkanula7983
    @deomkanula7983 4 года назад +1

    Pale ambapo joti aki mlazimisha dem wake akubali kuwa antembea na Mwalim hili tuu kumaliza Mwalim nimecheka sanaa .

  • @kitasyajohn9592
    @kitasyajohn9592 4 года назад +2

    Kanikumbusha s/m chikumbulu,nipe jibu langu nilikuwa nahonga Sana karanga

  • @erasmosnicholaus1127
    @erasmosnicholaus1127 4 года назад +1

    Joti mwehu kweli kanivunja mbavu zangu

  • @elenzianjk5543
    @elenzianjk5543 4 года назад +9

    Ndioo!! Akirudi lazima uhame...shenzi wee!!😂😂

  • @aproh_online4970
    @aproh_online4970 4 года назад +8

    Wakwanza kwanza kuview ☺️☺️👌🔥

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 года назад

      👇🏻💖💖💖👇🏻
      ruclips.net/video/kWzwu4jv75I/видео.html

  • @MOPEBLETv657
    @MOPEBLETv657 4 года назад +7

    Nishai you made my day, ety shule unahama heheheheee mmmmmmh,

    • @MOPEBLETv657
      @MOPEBLETv657 4 года назад +1

      @ben Official do it too on Texas online Tv

  • @abdulwahidmsellem1998
    @abdulwahidmsellem1998 4 года назад

    Uyu kiumbe namkubali kinnyaaama yaani
    Katika hali ya utoto yupo sawa,uzee,mwanamke pia ana fit, nice broo

  • @mariajoseph9735
    @mariajoseph9735 4 года назад

    Nimependa Shati la mwalimu mkuu

  • @lasalocomedian
    @lasalocomedian 4 года назад +3

    Nakutambua Sana bro...big up from mji mkuu +254

  • @Soccer_Life2
    @Soccer_Life2 4 года назад +164

    Wakwanza leo Sijapataka Like kwa Joti Nipeni like zenu

    • @2GENDAHONLINETV
      @2GENDAHONLINETV 4 года назад

      ruclips.net/video/2Uh862MTQm8/видео.html

    • @Mccyv
      @Mccyv 4 года назад +1

      Jibu langu subscribes hapa ruclips.net/video/egYms6QrRXo/видео.html

    • @Mccyv
      @Mccyv 4 года назад

      DJ mack

    • @mussarukigwa3453
      @mussarukigwa3453 4 года назад

      @DJ AFRO1 DJ MACK MOVIES joti kweli

    • @Emmamusiccmb
      @Emmamusiccmb 4 года назад

      *_TAFADHALI KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAKUOMBA ANGALIA VIDEO YA WIMBO WANGU MPYA KWA KUGUSA PICHA YANGU HAPO PEMBENI LAKINI PIA NAOMBA SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YANGU ILI NIWEZ KUMONITIZE CHANNELi YANG_*

  • @saulinashon6758
    @saulinashon6758 4 года назад +13

    Kama unamkubali joti kama mimi gonga like twende sawa

  • @denisdejo5033
    @denisdejo5033 4 года назад +25

    Kama akitoka, me shule na hama hii 🤣😂🤣

  • @allyabbakary7197
    @allyabbakary7197 3 года назад

    Haaahaaaa andunje kweli kalizua baraaa kajiongeza

  • @sixbertanton5979
    @sixbertanton5979 4 года назад

    Safii anduje mwalimu badala angekamata andunje anakamata manzii

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 4 года назад +1

    Hahahaaaa daaaah kitambo saana nilifilis misngi wa biskuti

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 4 года назад +3

    Mr.Malima kumbe uliambiwa mda mrefu oaa,unataka kulima watoto.

  • @mrpissame3487
    @mrpissame3487 4 года назад +2

    It's awesome joti

  • @dalali_professionalwa_dodo8330
    @dalali_professionalwa_dodo8330 4 года назад +1

    Joti mazafanta...hahahhahahahha... kma akishinda kesi mi shule nahama😁😁😁

  • @lilianlameck9693
    @lilianlameck9693 4 года назад +1

    hongera sana Joti
    umetuanzishia weekend vyeeeeeema sana

  • @babusadala5732
    @babusadala5732 4 года назад +4

    😂😂😂😂kaandunje kajinga kweli yani ....

  • @digoyaguitarally2790
    @digoyaguitarally2790 4 года назад +3

    Kamausiki mwali akifungwa alafu akatoka shule na hama ngonga like

  • @athumaniwazirisengoli4321
    @athumaniwazirisengoli4321 4 года назад

    Duh joti noma eti kama akienda police akirudi mi shule ahama

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 4 года назад +5

    Mfano mkimfunga akatoka mimi shule nahama hii. 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @dominicalbinus1729
    @dominicalbinus1729 4 года назад +7

    Duuuh wee Joti hatari sana umemuuzia kesi mwalimu mnoko

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 года назад

      👇🏻💖💖💖👇🏻
      ruclips.net/video/kWzwu4jv75I/видео.html

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 4 года назад +1

    Unaomba jibu lako huku unatimua mbio..atakujibu vipi sasa 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @amlynn4454
    @amlynn4454 4 года назад

    Hahahahaha nimecheka et mkimfunga afu akarud me shule naama dah ila joti bhana

  • @costalukeha5191
    @costalukeha5191 3 года назад

    Umetisha dada

  • @manfredyrichard5739
    @manfredyrichard5739 4 года назад

    Hahahahahahahahaaa joti kwani we akili zako ulimpaga nani duuuuuuuh

  • @saidjuma25
    @saidjuma25 4 года назад

    joty umetishaa

  • @kingfocustzog
    @kingfocustzog 4 года назад +8

    Chama la wanatupia like kwanza ndio tuwende sawa

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 4 года назад

    Walimu wanapata shida Sanaaaaaaa hapa duniani!!!!! Woga unanipa umesababisha nidhamu ipungue kwa vijana wetu.....

  • @Djnunny96
    @Djnunny96 4 года назад +2

    Daaah maskini ticha msala uo 😭😭😭😭

  • @jeremiamisango9553
    @jeremiamisango9553 4 года назад

    jot hatari sana kesi ilivyouzwa mwalimu kabaki mdomo wazi

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 4 года назад +1

    🤣🤣🤣andunje muongo khaa umemuuzia kesi mwalim

  • @rahimamkumbo3238
    @rahimamkumbo3238 4 года назад

    Mhindi wa iringa umetishaa 😁😁😁😁😁😁😁

  • @geraldkbona5595
    @geraldkbona5595 2 года назад

    qmmake 😂😂😂😂😂 joti ni msenge xna

  • @ibrahimsleiman4455
    @ibrahimsleiman4455 4 года назад +2

    Safi sana joti

  • @barakarevocatus7104
    @barakarevocatus7104 4 года назад

    umetisha joti

  • @Pastor1815
    @Pastor1815 4 года назад

    Mtangazaji Naomba Mawasiliano yako

  • @dannyrapha6661
    @dannyrapha6661 4 года назад

    Andunje mungu anakuona

  • @ramxoketti7521
    @ramxoketti7521 4 года назад +20

    😂😂 andunje kapindua meza. Leo mapemaa wa 23 kukomet😁😁

    • @Thebking
      @Thebking 4 года назад +1

      ruclips.net/video/uyIcwBtA74k/видео.html merlin imetafsiriwa usisahau ku subscribe

    • @zakrinoh
      @zakrinoh 4 года назад +1

      😂😂😂

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 года назад

      👇🏻💖💖💖👇🏻
      ruclips.net/video/kWzwu4jv75I/видео.html

  • @pinduzbabu5816
    @pinduzbabu5816 4 года назад +1

    Joti ww ni mfalume wa kuigiza da aise

  • @samsonmateru6170
    @samsonmateru6170 4 года назад +4

    🤣🤣🤣🤣 andunje umeunguza tambi

  • @mwitajackson1157
    @mwitajackson1157 4 года назад

    Hahaha et awez kuowa uyo jot bhana

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 года назад +7

    😂😂😂😂😂😂😂 Joti fala kweli dah!!!!! Kesi imegeuzwa kisomi manina

  • @malimabwanjiga8984
    @malimabwanjiga8984 4 года назад +1

    Aloo jotii Mwl Malima unazingua😃😃😃😃

  • @gideonsmzuka596
    @gideonsmzuka596 4 года назад +1

    Kama wakimfunga akatoka me nahama hii shule Anduje huyo😃🤣😃🤣

  • @agnespeter8740
    @agnespeter8740 4 года назад

    Hahahahaa Andunje kamzidi mwalimu ujanja

  • @abdulrahmanabubakar6934
    @abdulrahmanabubakar6934 4 года назад +2

    Hii inaonyesha wazi kweli wanao kwenda jela sio wote wenye hatia🤔by the way big up joti umetisha😀😀😀

  • @specialmusic747
    @specialmusic747 4 года назад +3

    Andunje wewe noma 🤣🤣🤣

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 года назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mapupu nayo kala

  • @leonardmustafa1175
    @leonardmustafa1175 4 года назад +131

    Kamaa unanamkubaliijotii mwagaa like👇

    • @Thebking
      @Thebking 4 года назад

      ruclips.net/video/uyIcwBtA74k/видео.html merlin imetafsiriwa usisahau ku subscribe

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 года назад

      👇🏻💖💖💖👇🏻
      ruclips.net/video/kWzwu4jv75I/видео.html

    • @mariammamumugisha8274
      @mariammamumugisha8274 4 года назад

      Nalukubal

    • @asilisheshe6469
      @asilisheshe6469 3 года назад

      Jamii jifunze nn kwahaya ?

    • @yudeboe
      @yudeboe 3 года назад

      ruclips.net/video/_iyEtrjb05o/видео.html

  • @isaacwahome1823
    @isaacwahome1823 4 года назад

    Hii safi sana Joti.

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 года назад +2

    Et ukimfunga akatoka me shule nahama hii 😂😂😂

  • @isackmwaipole9947
    @isackmwaipole9947 4 года назад

    Nkubliii mzee

  • @abdulyusufu2875
    @abdulyusufu2875 3 года назад +1

    Awezi kuowa uyo🤣🤣

  • @nasrijabir9718
    @nasrijabir9718 4 года назад

    Andunje hahahahaah unajua kaka

  • @ialunga9653
    @ialunga9653 4 года назад +3

    This is comedy easy beautiful is gold thank you so much thank you I like this comedy 🤩🤩🤩🤩🤩💖💖😍🥰🥰🥰🤩😍😍

  • @haisujuma2348
    @haisujuma2348 4 года назад +1

    Mm nshakuwa mkubwa

  • @wakishuamoviestoretv8616
    @wakishuamoviestoretv8616 4 года назад

    Kwa kweli mwalimu akitolewa jela we hama shule mapema sana maana kitakachotokea ni balaa kutwa nzma

  • @rehemajuma2971
    @rehemajuma2971 4 года назад

    Mashabiki wa sopa tujuane

  • @thomasysanga2420
    @thomasysanga2420 4 года назад

    Nishachapwa sana mm

  • @selemankomba6523
    @selemankomba6523 4 года назад +1

    Joti umetushinda tabia🙌🙌🙌

  • @najmakikula4929
    @najmakikula4929 4 года назад +4

    Etiiiii kam mkifunga mwalim akitok hii shule nahama hahah kos lako kapewa mwalimu

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 года назад

      👇🏻💖💖💖👇🏻
      ruclips.net/video/kWzwu4jv75I/видео.html

  • @officalhellen691
    @officalhellen691 4 года назад

    Jipu jibuu sayansi inaeleza kila kituuu

  • @abdulrahmankanduka1977
    @abdulrahmankanduka1977 4 года назад +2

    Andunje upo vzr umepiga chenga uyo mwalim kama Messi vileeee...🤣🤣🤣

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 года назад

      👇🏻💖💖💖👇🏻
      ruclips.net/video/kWzwu4jv75I/видео.html

  • @mes4144
    @mes4144 4 года назад +2

    I appreciate you broo.. keep it up!!@

  • @mathayowilson1525
    @mathayowilson1525 4 года назад +5

    Nakununulia mapupu, mabandama, pipi,

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 4 года назад +2

    😜😂😂😂 jot unamaweng 😂😂😂😂

  • @yvonnemutole3982
    @yvonnemutole3982 4 года назад +1

    Aaaaahhh nimechelewa kweli leo

  • @arlocavallari2140
    @arlocavallari2140 4 года назад +1

    Kwamba akirudi hii shule mm nahama🤣🤣

  • @williammwakabana3969
    @williammwakabana3969 4 года назад +1

    Hahahahahaha hapo siyo kuhama shule tu hama na makazi kabisa

  • @emtisalramadhani8904
    @emtisalramadhani8904 4 года назад +1

    Mariana sema ukweli

  • @wakishuamoviestoretv8616
    @wakishuamoviestoretv8616 4 года назад +3

    Joti kazinguwa kweli 😂😂😂😂😂😂

  • @simontchaz5272
    @simontchaz5272 3 года назад

    Nipe jibu langu huku mwamba anatililika mbio hatar.

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 4 года назад +2

    Akitoka police shule nahama😂😂😂😂😂😂😂

  • @Njombeinforchannel
    @Njombeinforchannel 4 года назад +1

    😀😀😀😀😀😀hahahhahahahaha safii sanaaa nimeipendaaa hiii

  • @b.warron4631
    @b.warron4631 4 года назад

    Mwalimu alivyorudi nyuma nyuma khaaaa

  • @goodhopejonas1001
    @goodhopejonas1001 4 года назад +1

    Amepost mda muafaka🥰🥰