YOMBO KISIMBANI - KESI YA KUMPA MIMBA MWANAFUNZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 294

  • @yombocomedy
    @yombocomedy  Год назад +48

    KAMA UNAPENDA TAMTHILIA ZETU ZA YOMBO MSUKUMA NA HAUJAGUSA NENO SUBSCRIBE PLEASE GUSA ILI UWE MWANA FAMILIA WETU KILA SIKU HAPA ❤

  • @MwasuMwasu
    @MwasuMwasu Год назад +14

    Hongera sana yombo mngu akulinde ufike pale unapo taka kufika aminiiiii

  • @sangudelia-hj7zm
    @sangudelia-hj7zm Год назад +9

    Oy yombo anatufrahisha kweli

  • @amahorofaridah519
    @amahorofaridah519 Год назад +39

    Jaman huyu yomb awe tu first comedians in Africa 🌍 from Burundi 🇧🇮 ❤️ 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @anold118
    @anold118 Год назад +10

    Dah! Yombo bhn anavi2ko kwl

  • @SharifuAbdallah-g5k
    @SharifuAbdallah-g5k Год назад +5

    Brooo nakukubali sana alooo tu unanichekesha sana

  • @mwajumaanthony5470
    @mwajumaanthony5470 Год назад +61

    Wahaya mpooo Kama mnampenda yombo nipeni like tujuane😂😂😂😂

  • @christinafrancis8452
    @christinafrancis8452 Год назад +17

    Noma Sana aisee wahaya shkamoni jomoniiii, nipeni like ata moja

  • @mwajumaanthony5470
    @mwajumaanthony5470 Год назад +16

    Yombo weka na kihehe basi 😁😁😁😁

  • @rubbyrobin1092
    @rubbyrobin1092 Год назад +15

    Yombo manumbu 😁😁😁😁😁 utaniua mie

  • @stanleyevanda797
    @stanleyevanda797 Год назад +6

    Daaah mim ni mgum kuchekeshwa na macomedian ila hapa nimeshindwa

  • @tallwhitesuperdesigner634
    @tallwhitesuperdesigner634 Год назад +11

    Daaaaah hili lijamaa linanimaliziaga bando hatari

  • @luckynoah
    @luckynoah Год назад +7

    Make kwanza nicheke mjue nampenda sana kaijage anavyo jisifia duuuu

  • @nellymarylucas
    @nellymarylucas Год назад +11

    Yombo nakupenda

  • @benardmukani902
    @benardmukani902 Год назад +12

    Kaijake bana masifa ,boss kubwa na jeuri😂😂🇰🇪

  • @ClementMwaluko-mn9sy
    @ClementMwaluko-mn9sy Год назад +5

    Wapo wanakula senen

  • @asaniafechi1181
    @asaniafechi1181 Год назад +11

    Yombo husi rudi nyuma mzee kaza buti

  • @benardmukani902
    @benardmukani902 Год назад +14

    😂😂😂Yombo bana uko vizuri 👍🇰🇪🇰🇪

  • @Thealthcare.education-96
    @Thealthcare.education-96 Год назад +4

    Jamani yombo utafundishana ubishi utatuma watu wanafia jela kwajili yahizo kahuli zako🤣🤣🤣🤣🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @renatusmlugo6357
    @renatusmlugo6357 Год назад +8

    Yombo anaweza kha

  • @japhetpaschal6354
    @japhetpaschal6354 Год назад +8

    Kaz nzuri yombo (we wakuweza)🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @JamesGoege-k7s
    @JamesGoege-k7s 9 дней назад +1

    Utafk mbali unajua sana

  • @DembiMukambilwa
    @DembiMukambilwa 18 дней назад +1

    😂😂😂😂namupendayombosana yukowapinatakanimuone🎉🎉🎉🎉🎉

  • @thomasjohn2554
    @thomasjohn2554 Год назад +7

    Duuu we Jamaaa unajua mpaka unakera

  • @barackjackson6005
    @barackjackson6005 Год назад +15

    Nakubali kaka 🔥🔥

  • @josephmarigi6374
    @josephmarigi6374 Год назад +5

    Doctor kutoka sumbawanga kaamka kama amenyolewa Yombo utaona 🔥🔥🔥uko Binguni😂😂😂😂😂

  • @mathiaslaurent756
    @mathiaslaurent756 Год назад +5

    Yombo bana dah

  • @emmymajula5164
    @emmymajula5164 Год назад +14

    😂😂😂😂😂 baba wa mwanafumzi anatangaz biashara Sasa 😂😂😂

  • @leilaibrahim5380
    @leilaibrahim5380 Год назад +5

    😀😀👈👈haki yombo anajuwa kuchekesha watu

  • @ShaningwansiaMbowe
    @ShaningwansiaMbowe 5 месяцев назад +2

    Honger sana yombo yan tunakupenda sana jaman😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤

  • @TanzaniaGossip
    @TanzaniaGossip Год назад +28

    Nimecheka mpaka nimejamba 🤣🤣🤣🤣

    • @janemumbua4683
      @janemumbua4683 Год назад

      Eti ukajamba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @AgnesiMkanyago
      @AgnesiMkanyago 3 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂kujamba tena

  • @AgsQkar-px2rj
    @AgsQkar-px2rj Год назад +5

    Daah w noma asee

  • @hamismustafahalfansulaiman6620
    @hamismustafahalfansulaiman6620 Год назад +18

    Wakwanza Mimi 💪🇲🇿

  • @osmanabuu7989
    @osmanabuu7989 Год назад +10

    Kwa wee kuweza!!

  • @musasamwel5544
    @musasamwel5544 Год назад +6

    Wahaya sifa nyingi sana

  • @fredyemmanuel9834
    @fredyemmanuel9834 Год назад +6

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
    Eti mganga kanyolewa nywele kabla hajaanza kaz 😅😅😅

  • @monikaestoni-te5bm
    @monikaestoni-te5bm Год назад +4

    ,,,,,,,,,,,,,,Daaaaaaa kazi nzuri kaka Tombo@*!

  • @fatumamohammed15
    @fatumamohammed15 Год назад +6

    Kwa weeeee kuwezaaaaaaaaaa

  • @NancySimon-dm8zp
    @NancySimon-dm8zp 9 месяцев назад +4

    Yombo you are awesome ❤️

  • @zaynd5366
    @zaynd5366 Год назад +15

    😂😂😂😂 nasubir miaka 30 hiyo mliyoniahidi

  • @justinadanieli
    @justinadanieli Год назад +16

    Nampenda yombo kwa sauti yake inavutia sana npe like

  • @hemedsalum6706
    @hemedsalum6706 Год назад +12

    Yani Kuna yombo namba Moja alafu Kuna mwamba kaijage Yani hawa jamaa kama una majonzi utafurahi tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @emilywilly2306
    @emilywilly2306 Год назад +11

    Ilikua mipango ya mungu tujuane😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ester8297
    @ester8297 Год назад +4

    😢😢😢😢 nimekimbia mpaka sijui nilipo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kwan hapa tandika ni wapi

  • @ErietJames-br5vl
    @ErietJames-br5vl Год назад +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yombo hatakama unahasila lazima ucheke tu

  • @JoharPereus-bi2cd
    @JoharPereus-bi2cd Год назад +5

    Uki vizur yombo

  • @athanaslihilu7745
    @athanaslihilu7745 Год назад +6

    Very nice yombo

  • @ldmfromkenya6273
    @ldmfromkenya6273 Год назад +7

    Safi san yombo💪💪💪

  • @sadikisalumu7965
    @sadikisalumu7965 Год назад +7

    Wahaya kujisifia 😃😃

  • @AjayJoseph-tv1mu
    @AjayJoseph-tv1mu Год назад +2

    Ananifulahisha sanaaaaa kaijage ananivunja mbavu sanaaaaa

  • @martinewambu9770
    @martinewambu9770 Год назад +4

    Yombo,uko,,vizuri

  • @yusterchesco8818
    @yusterchesco8818 Год назад +9

    Utamu tofauti na jera 🤣🤣🤣😱

  • @annaphilipoumbedo5471
    @annaphilipoumbedo5471 Год назад +11

    Ila yombo jamanii mbona mkorofi🤣🤣🤣🤣🤣

  • @meshackmngela9249
    @meshackmngela9249 Год назад +12

    Yomboo unanin lakinii😂😂😂

  • @MiburoEvariste-g5r
    @MiburoEvariste-g5r Месяц назад

    Jamani yombo namupenda
    Inside anachekesha mi nampenda😂😂🎉💕

  • @AjayJoseph-tv1mu
    @AjayJoseph-tv1mu Год назад

    Wahayaaaa👍👍👍👍👍👍misifa kama yote,Wacha tujisifiee mwataka atusifie naniii jomoniiii🎉🎉🎉🎉

  • @adelaungwa9232
    @adelaungwa9232 Год назад +9

    Yombo moja hiyo🤣🤣🤣🤣

  • @KINGSURE987-df9vf
    @KINGSURE987-df9vf Год назад +5

    Yombooooo hatari sana

  • @eshamohd7268
    @eshamohd7268 Год назад +10

    😁😁😁😁gd job

  • @bobgreenrutuku3895
    @bobgreenrutuku3895 Год назад +4

    Rwandan nampenda sana

  • @rashdazunde3038
    @rashdazunde3038 Год назад +9

    Eti unaongea sana unauchungu mwanao huyu 😂😂

  • @newtonoskar1566
    @newtonoskar1566 Год назад +9

    🤣🤣🤣 paka nime subscribe 👐

  • @msakamaboga5712
    @msakamaboga5712 Год назад +2

    Akina kaijagee 😅😅😅😅

  • @hamisayubu6498
    @hamisayubu6498 Год назад +1

    Yombo tia mimba wote hao mahakama ikome

  • @walesvenant3118
    @walesvenant3118 Год назад +3

    Nakubal xan

  • @ngasalagambi6585
    @ngasalagambi6585 Месяц назад

    Thumbs up yombo 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 wewe ni number moja

  • @boscoamosi2274
    @boscoamosi2274 Год назад +2

    Namkubali sana yombo

  • @halimaabdallah2743
    @halimaabdallah2743 Год назад +3

    Sio muhaya huyo ni msukuma kaka

  • @ZonbiJaivah
    @ZonbiJaivah Месяц назад

    ❤😂😂😂😂😂😂😂 nakukubali Sana mwanangu

  • @Safinamfinanga
    @Safinamfinanga 2 месяца назад

    😂😂😂😂😂 mh combo unanipa ela ta kuweka bandana lingine

  • @sendi565
    @sendi565 Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Yombo mwanangu heee😅😅😅😅😅😅

  • @oscaroscar2555
    @oscaroscar2555 Год назад +4

    🤣🤣🤣🤣 w yombo hakatai babuu w kwawe kuweza

  • @getrudazachalia6617
    @getrudazachalia6617 Год назад +2

    Who like yombo

  • @trendingstoryTz
    @trendingstoryTz 8 месяцев назад

    Hhhh... 😂😂 Yombo Itabidi Uwe hivi kwenye reality

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express Год назад +22

    Mimi napenda sana Yombo unavyoongea hiyo sauti ya MUHAYA yaani nafurahi sana. 😁😁 Akili za Muhaya hatari sana 😁

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 Год назад +2

      Yani mie ananifurahisha kwel na maneno yake ya shombo 🤣🤣🤣🤣

    • @eliamanyisapallangyo337
      @eliamanyisapallangyo337 Год назад +3

      Ni kisukuma hicho

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 Год назад +1

      @@eliamanyisapallangyo337 ndio ila yule anaeongea saut ya kihaya ni yule mama mawigi na ni muhaya kweli

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express Год назад

      @@zayumar2955 🤣🤣🤣 kawaharibu vijana wengi

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express Год назад

      @@eliamanyisapallangyo337 hapana kwenye sauti ya MUHAYA ni sauti ya YOMBO huyo huyo anabadilisha tu lakini ni mtu mmoja

  • @annastephano9698
    @annastephano9698 Год назад +5

    Gd job

  • @medsonmedson929
    @medsonmedson929 Год назад +4

    Yombo nihatar

  • @WinnieHumphreyRingo
    @WinnieHumphreyRingo 8 месяцев назад

    Yombo mimihapo kwa kaijage hoiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤

  • @vicentsanga448
    @vicentsanga448 Год назад +5

    Tisha sanaa yombo on🔥🔥🔥🔥

  • @prosperremi8674
    @prosperremi8674 Год назад +2

    Nimekuwa wa 61

  • @daudiflavour913
    @daudiflavour913 Год назад +3

    Noma san

  • @bhokewarioba3224
    @bhokewarioba3224 Год назад +8

    Penda Sana wewe yombo

  • @penueldjuma2845
    @penueldjuma2845 Год назад +1

    Uzee huyo kwiyooo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @josephinegeorge4406
    @josephinegeorge4406 Год назад +6

    Eti Kwio 😂

  • @LeoniaSenyagwa
    @LeoniaSenyagwa 4 месяца назад

    Nampenda sn yombo😅😅

  • @LovenessMwaipaja
    @LovenessMwaipaja 7 месяцев назад +1

    Baba wa mwanafunzi shenzi zako umeulizwa kazi unayoifanya kwani😏😏😏😏😏

  • @DullahMakabari
    @DullahMakabari Месяц назад

    Nakukubali jamayangu unahakiri nyingi

  • @florencejames-jo1cz
    @florencejames-jo1cz Год назад +1

    Nimecheka mpaka bx wahaya chukueni maua yenu

  • @mwantumumsele2131
    @mwantumumsele2131 Месяц назад

    wanafanya kikaaoo seblenii🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @HadijaaAbasi
    @HadijaaAbasi Месяц назад

    Napenda vichekesho vya yombo

  • @SalamaSopai
    @SalamaSopai Месяц назад

    Mmmh ila wewe kka yombo😂😂😂😂

  • @Brenda-wm1on
    @Brenda-wm1on Год назад +2

    Utanivunja mbavu wewe yombo

  • @ramlawaziri9671
    @ramlawaziri9671 Год назад +12

    I appreciate you yombo 😁

  • @MamaAshfaina
    @MamaAshfaina 11 месяцев назад +1

    Jaman yombooo😂😂😂😂😂

  • @sendi565
    @sendi565 Месяц назад

    Heheee yombo azalisheeee😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @MimahCute-b2z
    @MimahCute-b2z Месяц назад

    😂😂😂😂 yan kwann imekua mariamu

  • @enediamifwa4332
    @enediamifwa4332 Год назад +2

    hy noma😂😂😂

  • @rehemachablumaofficial6967
    @rehemachablumaofficial6967 Год назад +3

    Kwa wewe kuweza

  • @sheilamuhammedgungo5763
    @sheilamuhammedgungo5763 Год назад +2

    Tupo nampenda sana

  • @JenipharDavid
    @JenipharDavid 4 месяца назад

    umetisha oyomb