BALAA! VILIO VYATAWALA, MKE WA MAREHEMU AZUNGUMZA KWA UCHUNGU MBELE YA LISSU, "MSIMUUWE MUME WANGU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 99

  • @HezronKaaya
    @HezronKaaya День назад +12

    Polemi sana wana Manyoni.Hakika machozi yanu hayatakuwa bure,Yupo aliye juu ya wote mtetezi wa wanyonge atawaadhibu kwa wakati wake,bila kujali nafasi zao,

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 День назад

      AMEEENI.

    • @lucylyuki4852
      @lucylyuki4852 День назад

      Tumwamin8 zMungu kwa sababu kweli tumeumbwa kwa mafano wa Mungu.
      Kila mtu ni mano wa Mungu.neno hilo limguse kila mtu ...wewe na mimi ni mafano wa Mungu.
      Kila mwenye pumzi apumzi na Amheshimu na kumpenda binadamu mwenzake kama nafsi yake.

  • @RachelMaeda-cq3mo
    @RachelMaeda-cq3mo День назад +4

    Hawa watu wanaofanya haya wana nguvu wanayoitegemea ndio maana mnashuhudia haya yanayotendeka mungu atuponye ayuondolee haya

  • @NethrinePaul
    @NethrinePaul День назад +3

    Mmejaza gari mafuta kwa Kodi za wanachi hizo Kodi wengine tunatoa kwa alali Hadi kanisani na kama aishivyo Mungu kwa sadaka ya ngu Mimi itamaliza kila atakayeitwa kwa jina langu

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange День назад

    Poleni Sana ndugu zangu,Bwana Mungu awape faraja kuu.,Bwana ametoa(ameleta uhai kwa George),na Chama watani wa jadi Wametwaa(wameondoa uhai),jina la Chama chao na lilaaniwe vibaya.

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c День назад +4

    Nakuamini unakifua kipana, Ila Allah ndie Jabar, Allah Mujib

  • @RoseKipimo
    @RoseKipimo День назад +4

    Nchi imeharibika hatuna viongozi.Unauwa sababu ya cheo? Mungu fanya jambo kwa Majambazi na vizazi vyao saa yaja

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md День назад +2

    Ee mungu tusamehe sana watanzania hivi askali wamegeuka leo wanapiga lisasi laia kisa kuwapigania watawala ili wakae madalakani jamani jamani jamani huu ushindi wa damu unaashilia nini unatabili nini na unaelekeza nini leo kesho na vizazi vyetu tunawafunza nini ?

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 День назад +2

    Hii yote nikuwatisha wananchi wasiwe wanachama wa chadema kwa sababu CCM wanajua vyema kuwa wakati wao wa kutawala umefikia ukingoni ndio maana CCM wanatumia vyombo vya dola kuwaua wanachadema na hii ni muendelezo walianza kwa tundu lisu bahati nzuri Mungu alimjalia akapona Mzee kibao nawengine wengi kina soka kinachosikitisha police anasema eti mtu waliompiga risasi alileta vurugu kwenye kikao cha ccm kwahiyo hii ndio hukumu yake

  • @Mussaphanuel-p1q
    @Mussaphanuel-p1q День назад +2

    Wanainchi tuamke.kwani police hawana watoto ambao wanapatikana mitani? Na ccm siwanapatikana miaan? Sasa tunashindwa nn sasa.au uoga? Tuache kujidanganya kwa kuongea tu.haitasadia kitu.Kinacho takiwa tuonyeshe mfano.hawa police na ccm hawa kubaliki watatumaliza tusipokuwa makin.ujinga huu tuwakomeshe tusikubali hata kidogo.

  • @Mussaphanuel-p1q
    @Mussaphanuel-p1q День назад +2

    Haki itendeke mtamrudisha? Au watoto wake mtawalea? Nyie mnaongea ujinga tu.alie poteza maisha kwa uchu wa madaraka ya ccm.wanainchi tusikubali ujinga huu ujirudie.tufanye kweli.kuongea imetosha imebaki vitendo.afadhali wabaki watu 20 ila wakiwa na amani

  • @justicebridge
    @justicebridge День назад +2

    Just uchaguzi wanaua watu.police nao wamekuwa ccm mumelaaniwa na mnatuaribia nchi

  • @mozesamizi931
    @mozesamizi931 День назад +2

    Damu zinamwagika nchi nzima, viongozi wa dini mko kimya, halafu doctor shoo anasema samia mitano tena, lazima Damu hii itanena juu yako na juu ya watoto wako, na watoto wa watoto wako

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li День назад +4

    Ccm. Hii damu unayo mwagika itawarudia. Mchana kweupe amuwezi kuuwa mtu kisa siasa. Ccm vita hii Mnayo iyandaa. Itawamaliza mpaka vizazi vyenu ccm msubili maumivu huko mbele mwenyezi Mungu tusaidie viumbe vyako ccm inatumaliza Mungu tunaumia sana

    • @augustinomakoye2396
      @augustinomakoye2396 День назад

      Mmh!!

    • @lucylyuki4852
      @lucylyuki4852 День назад

      Haha ya milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa mikeke unwangazir Apumzike jwa Amani marehemu Goerge.

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 2 дня назад +2

    Eti risasi ilivyatuliwa juu ikamdondokea, polisi kile kitakachowapata wamwaga damu ktk nchi hii kisiwaache na ninyi mteketee

  • @AmosJohhn-f1l
    @AmosJohhn-f1l День назад +2

    Suala la ukombozi wa nchi hii sio la mbowe ,na tundu lissu pekee ni la watanzania wote

  • @Castory-k4j
    @Castory-k4j День назад +1

    Mimi nilishasema ccm mtaharibu nchi mjitafakari sana kwa kutumia nguvu niliwachangua ila kwa mipango hii mtatukatisha tamaa hatupendi damu ya mtu kumwangika uhai wa mtu ni mumoja tu uchanguzi upo milele.

  • @MagdalenaBeenad
    @MagdalenaBeenad День назад +2

    Jamaani kumbe walizamilia kabisa mungu atawaona

  • @MariamJeremia-u7e
    @MariamJeremia-u7e 9 часов назад

    Unaongea Nini J4??? We mwenyewe unasemekana ulikwepo kwenye tukio mungu ANAWAONA,,,

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 2 дня назад +3

    Katika Mahakama ya ndege ..
    Mende hashindi kesi !!
    Fuatilia historia ya matukio..
    Hakuna la siri litakalo baki sirini.

  • @MonicaMushi-z8s
    @MonicaMushi-z8s День назад +2

    Mama samia wewe ni mwanamke na uliingia leba ukazaa kwa uchungu kama wanawake wengine damu unazomwaga zitakulilia wewe na kizazi chako. Mungu anakuona. Haya yanayofanyika ukiwa kama raisi wa nchi kisasi cha Mungu hakika kitakurudia Mungu yupo na anakuona anyajua hata mawazo yako huwezi kujificha.

  • @lucylyuki4852
    @lucylyuki4852 День назад

    Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania

  • @JacksonMahende-ho2wb
    @JacksonMahende-ho2wb 2 дня назад +4

    Poleni sana Wana manyoni

  • @AmosJohhn-f1l
    @AmosJohhn-f1l День назад +2

    Naona serikali ya ccm imehalalisha watu kuuwawa

  • @abdulhakeem959
    @abdulhakeem959 День назад +1

    AIBU KUBWA SANA KWA NCHI KAMA TZ KUWA NA UPUUZI KAMA HUU.HII NI DAMU INAPOTEA BILA KOSA.BADO MMETOA MATOKEO MKIJINASIBU KUSHINDA

  • @ezekielmadindula2679
    @ezekielmadindula2679 День назад +2

    Si wanajulikana😂 kwanini mnawaacha wanatamba mitaani? Hata watoto wao hawawezi kuuliwa?

  • @HawaOman
    @HawaOman День назад +2

    CCM tumewachoka mauwaji kila wakati aaaah

  • @FabianJustine-bq6qv
    @FabianJustine-bq6qv День назад +1

    Wafukuzwe wote na wenye wauwawe tu diyo twende sawa halfu kwanini polisi hawajue wao niwahaga nijaa na shida diyo inawafanya wafanye hivyo

  • @AmosJohhn-f1l
    @AmosJohhn-f1l День назад +1

    Itambulike kuwa polisi ni adui zetu

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai День назад +1

    Mungu yupo mama anasikia kilio chako

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c День назад +1

    Kwani wameshiriki kuua kwa matakwa yao, au ni amri, tusiwalaumu wauaji, huwenda wanatekeleza amri

    • @dennissamora729
      @dennissamora729 День назад

      @@HijaSaid-t6c kwa hiyo we bosi wako akikuamuru kula mavi, utakula?

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u День назад

    Yaani nyie polisi ndio waliohusika na CCM tena mnawaomba kuwa wawasaidie au mmechanganyikiwa hapo Hakuna haki.

  • @LivinusMwinuka
    @LivinusMwinuka День назад +2

    Halafu mnasema amani.

  • @SimonMelon-k9p
    @SimonMelon-k9p День назад +2

    Hli ni tukio la aibu Sana,

  • @habibakusaga-tf4uu
    @habibakusaga-tf4uu День назад

    duh waje waniuwe tu na mm hawa wtu wasenge

  • @magrethsengati2564
    @magrethsengati2564 День назад

    Tuna elekea wapi kama Taifa ni kiongozi gani huyo anaye shawishi askari wakafanye unyama huu kwa Mtanzania mwenzao ina maana siasa imukuwa bora kuliko utu

  • @AmoIslamicTv
    @AmoIslamicTv День назад

    Mama Samia Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee piga kazi Mama tumalize tuu ukimaliza safari kapumzike Zanzibar.😭😭

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c День назад +1

    Hebu tufunge nakuomba, Allah atatujibia

  • @MussaMarwa-r8g
    @MussaMarwa-r8g 16 часов назад

    Serekali nyinyi munaua watu munafikilia nin nyinyi ni mungu au Malaika sas uweni waishe tu mutaua ila mungu atawashugulikia tu amuweji kukwepa

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 День назад +5

    RPC Singida Afukuzwe Kz Kwa kusema uwongo wa kusema kulikuwa chadema kuwafanyia CCM fujo

  • @dennissamora729
    @dennissamora729 День назад

    Halafu lile kuu la polisi linazungumza uongo bila hata haya! Nchi ishaooza! Haki hamna tena

  • @SubiraJohn-v9s
    @SubiraJohn-v9s День назад

    Innalilah wainnaylilah rajiuun!

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka День назад

    Poleni sana

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u День назад

    Kifua kipana ameuwa watu bila kuwa na huruma kweli nyie CCM mtajibu Kwa Mungu hayo yote Tanzania hakuna Sheria na haki kweli tutafika.

  • @Jackson-n2c
    @Jackson-n2c День назад +1

    Siasa za Tanzania

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 День назад +3

    Rais samia hatukutegemea kama selikari yako inaweza kushindana uchanguzi kwa kuuwa watu mlaaniwe kabisa na vizazi vyenu usingizi msilale tena damu za watu mlio wauwa iwasumbue maisha yenu yote amin

  • @janeshija6638
    @janeshija6638 День назад

    Huu ni uchaguzi wa S/MITAA je uchaguzi wa mwaja ujao 2025 si watu Watamalizwa kwa kuuawa. CCM haipigi kura Tunashindana na policeccm na wapinzani..MUNGU TUSAIDIE WANANCHI HATUNA RAHA YA KUISHI KWENYE HUU UTAWALA WA CCM NA SERIKALI YAKE.

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 День назад

    Huyu msemaji anaongea nini sasa figo mara mauwaji mara CCM hajui anaongea nini

  • @abou.salimu1795
    @abou.salimu1795 День назад

    khaa!! mauaji yasiyo rasmi??

  • @benedictgamuya8855
    @benedictgamuya8855 2 дня назад +2

    Mpaka lini upuuzi huu jamani....

  • @veronicamwanjala8590
    @veronicamwanjala8590 День назад

    Roho inaniuma saana serikali ya ccm😢

  • @clarencelazaro9600
    @clarencelazaro9600 День назад

    Huyu mwenyekiti wa ccm anapoza jazba za wafiwa ccm Janja njanja wenyewe wanajifanya wanaakiri zaidi.

  • @DannySanga-gh1oj
    @DannySanga-gh1oj 2 дня назад

    Hapo ndipo penye makosa jitu limewatuma watu kuua halafu mnalipa nafasi litoe salamu za rambirambi,ilitakiwa lizomewe na hata kupigwa

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 День назад

    😢

  • @RutaJuvent-d8z
    @RutaJuvent-d8z День назад

    Achen ushenz serkal,askari. Ccm na wote watekeleza wauji ni kwaajili ya utawala wa samia.rais ndo responsible zaid.be transparent.

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 День назад

    Nasema ukweli Samia na genge lake lawauni wanajua yote

  • @MussaMarwa-r8g
    @MussaMarwa-r8g 15 часов назад

    Wew kak wa ccm unaongea tu uondoke.au.unasem vitu ambavyo fiko waji watanzania awana haki iyo niaiyasa tu

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 День назад

    hii nikama laana yakuku haimpati mwewe sasa damu hii iliyomwangwa Mungu angalia wewe tunaisha usalama hakuna

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 2 дня назад

    Hivi mlishindwa kuharibu hayo Magari kweli?

  • @EllyMasam
    @EllyMasam День назад

    MAUWAJI HATA LINI? DAMU INAYOMWAGIKA BILA HATIA NI LAANA KUBWA. WANAOTENDA HAYA WANAENDA MISIKITINI NA MAKANISANI KUMFANYIA MUNGU USANII. NDUGU ZANGU MUNGU HADHIHAKIWI. ATALIPA KILA MMOJA SAWASAWA NA MATENDO YAKE. HAKUNA MWENYE HAKI YA KUONDOA UHAI WA MWENZAKE. UHAI NI MALI YA MUNGU YEYE ATALIPA.

  • @ElneySheddy-is1dv
    @ElneySheddy-is1dv День назад

    Ccm wote kumamae zao wauwaji wakubwa

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x День назад

    Inasikitisha lkn Samia utakuja kujuta

  • @joycebayo8106
    @joycebayo8106 2 дня назад

    Kwa kwel inasikitisha sana

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 2 дня назад

    Sasa Silo ajibu na hilo, kwenye mkutano na wanasheria alisemi tuviamini vyombo vya ndani?

  • @duniakidogo8516
    @duniakidogo8516 2 дня назад

    Lissu, una moyo mkuu kaka.
    Unamsikiliza huyo mtu wa wauaji?

  • @SimonMelon-k9p
    @SimonMelon-k9p День назад

    Yaaani mtu anafunga safari,gari inajazwa mafuta kwenda kuumuua mtu, Tena raia

  • @DannySanga-gh1oj
    @DannySanga-gh1oj 2 дня назад

    Police kama wantama na zaidi ya wanyama

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 дня назад

    R.I.P poleni sana

  • @philemonsnyanda9450
    @philemonsnyanda9450 2 дня назад +3

    Polisi munatumika vibaya

  • @RobertChacha-si1js
    @RobertChacha-si1js День назад

    Ccm mnalaana

  • @BugangaEdwin
    @BugangaEdwin День назад

    Haipendezi kabisa kusikia vitu hivi,hadi machozi yanatoka je ni madaraka tu au kuna kitu gani kinatafutwa?

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 День назад

    Mbona walimfuata kama jambazi mwenye silaha.

  • @kennedythomas7282
    @kennedythomas7282 День назад

    😢😢😢😢mmmhhh.

  • @jovinsimon4670
    @jovinsimon4670 День назад

    Hiii ni hatari sana

  • @jafetzani8568
    @jafetzani8568 День назад

    Rafiki wa Mbowe naye kaungana na hawa magaidi unaambiwa hata ukiwa malaika ukiingia kwa shetani na wewe unakuwa shetani

  • @abdallahalwardi588
    @abdallahalwardi588 2 дня назад

    ●nani anawatuma ??!!! 😢

  • @abeidsanga7361
    @abeidsanga7361 День назад

    Kumbe uko manyoni mkuu

  • @briankatani6770
    @briankatani6770 День назад +1

    Matatizo ni makubwa mno,polisi polisi polisi hii ni kwa ajili ya nn hasa.

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c День назад

    Huyo unaemwambia ni wa Chadema, Acheni kuzunguka Mbuyu

  • @MariamJeremia-u7e
    @MariamJeremia-u7e 9 часов назад

    Unaongea Nini J4??? We mwenyewe unasemekana ulikwepo kwenye tukio mungu ANAWAONA,,,