Dizasta Vina - Kesho

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 май 2023
  • Official Music Audio of the record Kesho
    Written and Performed by Dizasta Vina
    Music by Ringle Beatz
    Produced by Ringle Beatz
    Audiomack - audiomack.com/dizastavina/son...
    Boomplay - www.boomplay.com/songs/635549...
    Mdundo - mdundo.com/song/2081302
    Spotify - open.spotify.com/track/60dmJt...
    lyrics - genius.com/Dizasta-vina-kesho...
    Other Musical contents
    Audiomack - audiomack.com/dizastavina
    RUclips - / dizastavina
    Deezer - www.deezer.com/artist/67967532
    Apple music - artists.apple.com/a/profile
    Mdundo - mdundo.com/a/2263
    Genius - genius.com/DizastaVina
    Boom play - www.boomplay.com/artists/3288... - artists.spotify.com/c/artist/...
    Connect with Dizasta Vina on social medias
    Instagram - / dizastavina
    Twitter - / dizastavina
    Facebook - / theblackmaradona
    Business: Pan.authentik@yahoo.com
    Website - bio.link/dizastavina
    Lyrics
    Okay
    Wanasema tomorrow is the mystery
    Wanasema tomorrow...
    Leo zawadi ikumbatie, jana ni History
    Ya jana hayawezi yakafana kwenye script hii
    Wanasema tomorrow is the mystery
    Wanasema tomorrow...
    Leo zawadi ikumbatie, jana ni History
    Ya jana hayawezi yaka....
    ah Kesho nafasi ya kuanza upya
    Kumaliza kuishi nafasi ya kuanza kufa
    Kuivunja sheria nafasi ya kufata ruksa
    Kuikumbuka jana au kuanza kuifuata FUTURE
    FUTURE ni leo siku ambayo miti hukimbia
    Jua hushuka upendo wa marafiki HUFIFIA
    HUFIFIA wimbi la wanafiki huingia
    Kesho ya TUMAINI hubakia
    TUMAINI shika walau shika walau
    Na ujifunza kuziba kombe pindi anapopita nyang'au
    Akishapita tenda wema alafu kisha sahau
    Na uchunge unaponena watakuzika WADAU
    WADAU walikuwa uchi ukawavika mavazi
    Nyumba yako ikavunjika wakakunyima hifadhi
    Je utasamehe utasahu kulipa kisasi?
    Au kesho itakukuta umeshika RISASI?
    RISASI nawaza wapi itakukutisa kesho
    Utatoroka kambi ama utavungia Ghetto
    Tusipofikia lengo utahama ukoo kwa kitu kidogo
    Au utaiitumikia NEMBO?
    NEMBO ya mjeshi ninayekaza mwendo kishujaa
    Kama unavyoza nyonga kwenye tendo la zinaa
    Napiga goti nashukuru uwepo wa sanaa
    Kihisia nawapeleka kesho MAJAMAA
    MAJAMAA walikuwa wavivu hawakukazana
    Waliishia kuamini kuwa kuna wingu la laana
    Wali-set mipango ila siku hazikufanana
    Huwezi kuikabili kesho kwa mbinu za jana ah!
    Wanasema tomorrow is the mystery
    Wanasema tomorrow
    Leo zawadi ikumbatie, jana ni History
    Ya jana hayawezi yakafana kwenye script hii
    Wanasema tomorrow is the mystery
    Wanasema tomorrow...
    Leo zawadi ikumbatie, jana ni History
    Ya jana hayawezi yakafana kwenye script hii
    Nakuwekea Logic penye Faith
    Nakutazama ukishahama nakuwekea topic kai-debate
    Ninakunyima msosi kwenye Plate
    Njaa ya kesho ikufunze kuheshimu pochi yenye PAY
    PAY huna unatia neno kwenye bao
    Ukirudi unalalama kuhusu kesho ya wanao
    Myahudi ukisujudu kwenye uwepo wa Farao kwa wayahudi
    Utaishia kwenye Tempo ya KARAO
    KARAO kazikwa kama Historia ilivyozikwa na jana
    Kesho ni siku ya kujitwika lawama
    Kesho ni mbali natumai nitafika salama
    Najipa moyo kisha ninaibusu picha ya MAMA
    MAMA sishiki simu wakati na-drive sitii vocha
    Na mafuta full tank kwa gari sisikii uwoga
    Big G za kutosha, Chupa za maji na Diclopa
    Na Cd za muziki wa Papii KOCHA
    KOCHA kasema Kesho inataka bidii tosha
    Nawaeleza watu wangu na bado hawasikii hoja
    Wamesahau kesho ni nini, Niliwaamini leo najuta
    ila kesho sirudii KOSA
    KOSA ni kuchoka maana akili haifikiri
    Taswira ya kesho naiona na mboni hazihimili
    Kelele zimeshamiri masikio yameshagota na
    Na mdomo unaropoka, Dunia haina SIRI
    SIRI ikasambaa viganja vikanakiri
    Miguu ikalemaa ila ubongo ulikariri
    Tumbo halikujaa na mwili haukunawiei
    Kesho ifike mapema inikute nipo Kamili
    Wanasema tomorrow is the mystery
    Wanasema tomorrow
    Leo zawadi ikumbatie, jana ni History
    Ya jana hayawezi yakafana kwenye script hii
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 226

  • @LugomboMaKaNTa
    @LugomboMaKaNTa Год назад +5

    The Great Dizasta Vina 🔥🔥🔥

  • @starboss8131
    @starboss8131 Год назад +13

    Kuifwata ruksa - mwinyi
    Upendo wa marafiki hufifia -rapcha
    Je utasamehe utasahau kulipa kisasi ? -Lisu
    Utahama ukoo -lowasa 😂
    Huwezi kuikabili kesho kwa mbinu za jana -Chadema
    Myahudi kwenyew tempo ya falao -baba levo
    Kalao kazikwa kama historia - Mengi
    Dmt the best artists we will ever see 🙌🫡🇹🇿

  • @shadybrowngallary
    @shadybrowngallary Год назад +26

    KESHO NAFASI YA KUANZA UPYA gonga like kama umeenda hii

  • @oscaroscar2555
    @oscaroscar2555 Год назад +7

    Huyu mwamba ni wachache wanamuelewa halaf hana pupa na upepo wa mziki wa bongo ila anaamin kwakila anachosema kuwa ni sahihi so ipo sku ataeleweka kwa umma i do appreciate you Vinna

  • @silasgerrychannel225
    @silasgerrychannel225 Год назад +24

    Dammn,,, the guy is killin.
    This guy is a master of hip hop,, I compare him with none of them rappers in a game

  • @karimshabani771
    @karimshabani771 Год назад +3

    black maradona 💥💥 midundo ieendlee mwafrica

  • @mdkkomba5403
    @mdkkomba5403 Год назад +1

    Mmmh nabiih wa kweliih ajitangazi vina vina kweli tungo wanaelewa wenye uelewa🔥🔥🔥

  • @saidamour6938
    @saidamour6938 Год назад +4

    Wa kwanza ktk uwanja wa comment, Disasta Vina you're always the real and Best rapper alive, Mungu ndo Kila kitu ipo siku wataelewa tu, one love from Zanzibar.

  • @daudisinani8342
    @daudisinani8342 Год назад +6

    Kesho ndio siku ya kuanza upya
    ... let's do it...tuifanye kesho hii ngoma iwe kwenye mainstream ....🇹🇿🇹🇿

  • @RickChazy
    @RickChazy Год назад +3

    Uwezi kuikabili kesho kwa mbinu za jana✍️📌💥💥▶️🎶🎶🫡

  • @onesmokigora6669
    @onesmokigora6669 Год назад +1

    Mwenye connection na huyuu jamaa dizasta naombeniii

  • @josureabely8899
    @josureabely8899 Год назад +1

    Huwez kuikabiri kesho Kwa mbinu za Jana✌️✌️🎧

  • @valencepaul4604
    @valencepaul4604 Год назад +2

    Huwezi kuikabili kesho kwa mbinu za jana💥💥💥DIZASTA "hakuna rapper atakaye survive bongo akikutana na MAJANGA

  • @abdulmngombe5384
    @abdulmngombe5384 Год назад +3

    Muundo wa Pindu... Neno la mwisho, linaanzisha Beti mpya... Utunzi wa akili nyingi sana

  • @UPCOMINGWHALE
    @UPCOMINGWHALE Год назад +2

    kazi nzuri brother dizasta hii nchi umebaki peke yako wa madini kama haya

  • @onlinewinner8891
    @onlinewinner8891 Год назад +1

    Uwepo wa haya madini ,inabidi ujulikane kote, kuna wa2 wanaretire hip hop, wengine wanakufa. Wanakosa basic needs za kufeed brain zetu kama hizi✊️

  • @hamisinyondo161
    @hamisinyondo161 Год назад +4

    Brilliant.. Hip Hop is on safe hands 🔥 support from+254🇰🇪

  • @emanuelmasanja8312
    @emanuelmasanja8312 Год назад +2

    Madj maboya kweli eti wanapanga top ten tena za hip hop vina hayumo harafu ngoma ya kwanza dunga mawe

  • @emanuelmasanja8312
    @emanuelmasanja8312 Год назад +2

    Wanao fanya hip-hop isishike namba moja ni madj siku nzima nyimbo zinazopigwa radio tv ni kinabonge la nyau na

  • @g-father9352
    @g-father9352 Год назад +1

    Kazi Kali sana ,. Fundi sna vina ,,

  • @alexelnest4110
    @alexelnest4110 Год назад +2

    Nakubar xanaa we ni mtu na nusu kwenye vina unatisha kila ngoma ni kari hujaway tuangusha mashabiki zako

  • @tracejeezy8917
    @tracejeezy8917 Год назад +4

    The first one to comment.... Kesho the verteller.... My best song

  • @shaphyvuai6805
    @shaphyvuai6805 Год назад +2

    Vile ulikua una tease hii Ngoma insta nilitafuta sana sikujua kama ilikua haijatoka
    Leo ipo naikumbatia kama zawadi kesho ni mystery VINA VIPO MAHALA PAKE....ELIMU KUBWA KWENYE UANDISHI HII NGOMA.... SALUTE D..🎉❤❤❤❤

  • @denzafighter
    @denzafighter Год назад +2

    Nimegundua kuna mtu atageuzwa sajna kabisaaaa

  • @charlesnyaluke7202
    @charlesnyaluke7202 Год назад +19

    Alafu kama umegundua hii nyimbo dizasta anajaribu kuwasaidia kufumbua mafumbo yake kwa kutumia picha zinazopita nyuma ya hii video this guy is so fucking talented no matter what 😂❤🐐

    • @kilimapozimuvinajr.
      @kilimapozimuvinajr. Год назад +1

      Huwez kuikabili kesho qwa mbinu za Jana nikaona picha ya nembo ya chadema. Ahsant broo umenisanua.

    • @rahimmlanzi185
      @rahimmlanzi185 Год назад +1

      Jee utasamehe au utalipa kisasi,,,
      Tundu lissu kadislay background daah...Asante bro nami nimesanuka...

    • @OptatusHaule-hk2zg
      @OptatusHaule-hk2zg Год назад +1

      Kweli kabisa ... Jamaa hii ngoma Ni ya siasa 😂😂

    • @japharysety6890
      @japharysety6890 Год назад +1

      Laivu umenisanua mwamba alipo sema utahama ukoo kwa kitu kidogo nmeiona picha ya lowasa

    • @hassanmakweto6299
      @hassanmakweto6299 Год назад +1

      Oya brother umetisha sana izi picha zinazopita kwenye hii video nimegundua wote ni wanaharakati💪💪huyu jamaa sio wa sayar yetu kabisa

  • @bashirusalehenandoro3128
    @bashirusalehenandoro3128 Год назад +4

    Huwez kuikabil kesho kwa mbinu za jana

  • @tanzanianaturetv1763
    @tanzanianaturetv1763 Год назад +2

    kaka
    Best
    rap
    of
    All
    Time.
    Ila mimi sijapenda tuu hiyo sura ina Waka Waka na rangi za upinde

  • @jumaibrahim4297
    @jumaibrahim4297 Год назад +1

    Dizasta Ni Akili Kubwa🔥🔥🔥

  • @alimkumba9459
    @alimkumba9459 Год назад +2

    Dizastar ni mmoja tu wengine ni paka-paka pusi-pus,, oya kama haujasuscribe fanya usubscribe hiki kichwa sio cha kukosa nyimbo zake Jah bless vina keep up💪💪💪

  • @raphaelmwangosi9295
    @raphaelmwangosi9295 Год назад +2

    Panorama my big brother ww upo peke ako na kitaa tunajua thaman yako let's keep it up ❤❤❤🎉

  • @JeremiahMyrosse-qb1yj
    @JeremiahMyrosse-qb1yj Год назад +4

    Wadau walikuwa uchi ukawavika nguo

  • @MachrissMayaula-zv2fi
    @MachrissMayaula-zv2fi Год назад +3

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 atariiiii snaaaaa

  • @EllyThegreat-bg2nt
    @EllyThegreat-bg2nt Год назад +5

    This man ni Best rapper of all time respect sana my G🔥

  • @MarcoCharlyII
    @MarcoCharlyII Год назад +7

    Dizasta Is Not Pregnant But Always Deliver Good Stuff🔥🔥🔥

  • @frednandzacharia7782
    @frednandzacharia7782 Год назад +2

    Huwezi kuikabili kesho kwa mbinu za jana...@Vina

  • @antonymodestus2872
    @antonymodestus2872 Год назад +1

    Mawe juu ya mawe

  • @ahmedsdk6736
    @ahmedsdk6736 Год назад +1

    Huwezi kuikabili kesho kw Mbinu za Janaaa

  • @dadkillerdavid766
    @dadkillerdavid766 Год назад +1

    huwezi kuikabili kesho kwa mbinu za jana

  • @kilimapozimuvinajr.
    @kilimapozimuvinajr. Год назад +1

    Leo zawadi ikumbatie ya Jana NI history.

  • @manbebo4460
    @manbebo4460 Год назад +4

    First viewer

  • @user-po2mm1iy1j
    @user-po2mm1iy1j Год назад +1

    ❤❤❤ iko juu Sana pamoja Sana Real nigga tokea huku Kenya

  • @jamesjaphet831
    @jamesjaphet831 Год назад +6

    Mwamba hajawahi niangusha mi ni fans wako toka kipindi chá goma la kanisa 💯💯💦🔥🔥

  • @Jefa_Adili
    @Jefa_Adili Год назад

    Asante kwa ku pay homage kwa ushairi wa kimapokeo; mistari umeipanga minne minne (tarbia) kama beti, halafu umetengeneza "mkufu" kwa kurudia neno la mwisho la ubeti kwenye ubeti unafuata mtindo wa aina ya mashairi ya Pindu! We ni noma!

  • @lessomwinyimkuu1268
    @lessomwinyimkuu1268 Год назад +1

    Hii ni chakula tosha ya ubongo..🔥🔥

  • @moubrown65
    @moubrown65 Год назад +1

    Ukisikilizwa hautochukuliwa poa hata siku moja...
    chap chap naaccept wee ni fire bro

  • @eidmbarak8098
    @eidmbarak8098 10 месяцев назад

    Kesho ni mbali sjui kama ntaifika salama..
    Najipamoyo kisha naibusu picha ya mama.❤❤
    Umenikumbusha my late mama.

  • @Harmonize_skills
    @Harmonize_skills Год назад +5

    This is another masterpiece from Dizasta your lines are full of knowledge and wisdom keep your head up bro 🤜

  • @ojkolabo8737
    @ojkolabo8737 Год назад +1

    Yan ww hakuna kama ww bro
    🔥🔥🔥🔥👑👑🤴🤴

  • @sajimtz5497
    @sajimtz5497 Год назад +1

    kesho ndio starter yetu💪

  • @husseinmtima6106
    @husseinmtima6106 6 месяцев назад

    Huwezi kuukomoa mmea Kwa kuumwagilia maji machafu harakati zangu za ujamaa kama kama mision ya siafu!Kesho imenigusa sana kama unaona kilichonikuta days ago nimefanya kazi kubwa sana kweny taasisi flan halaf nimeliwa kichwa Kwa unafiki ila kesho inanipa nguvu ya kuipigania nembo ya mjeshi

  • @nakali79
    @nakali79 Год назад +1

    Mbeya City boy

  • @macberryofficial
    @macberryofficial Год назад +1

    VINA Mwenyewe, you got this man💪 love from 🇧🇮Burundi! napenda nyimbo zako, let the following be a storytelling😊💪

  • @meshackkangwe3414
    @meshackkangwe3414 Год назад +1

    Dizastavina akili kubwa kwenye uandishi🫡🫡🫡

  • @meshack2559
    @meshack2559 Год назад +1

    Nakubal broo

  • @WHYnoT255LA
    @WHYnoT255LA Год назад +1

    HipHop Legend of All the Time,On Top fvr Bro

  • @MiaTheLathini
    @MiaTheLathini Год назад +2

    uandishi✊🏿

  • @kandegewa7-gg7dh
    @kandegewa7-gg7dh Год назад +2

    More love bro

  • @edgasamwel5029
    @edgasamwel5029 Год назад +1

    Uyu jamaa

  • @jebajr
    @jebajr Год назад +12

    Natokea Dunia isiyohama, Thank you for your kind words, Dizvstv Vina. I appreciate your recognition of poetic abilities. You strive to create unique and captivating verses that stand out from the rest. Rest assured, You will continue to push the boundaries of craft, and no one will ever be able to diminish your skills.

  • @khamispondeza
    @khamispondeza Год назад +2

    Kesho nafasi ya kuanza upya.
    Kumaliza kuishi nafasi ya kuanza kufa.
    KWENYE HIP HOP UPO PEKE YKO "DZVN"

  • @paschalpizzle4597
    @paschalpizzle4597 Год назад +1

    💥💥💥💥💥💥💥💥dizasta moto

  • @paulpius5711
    @paulpius5711 Год назад +1

    Kichwa kilicho jaa madini🙌🙌

  • @XanTitle10.
    @XanTitle10. Год назад +1

    Oooy huyu mtu ni kisanga

  • @luganonsubisi3418
    @luganonsubisi3418 Год назад +5

    The really definition of hip hop

  • @mussamsigiti2733
    @mussamsigiti2733 Год назад

    Hyo background ndo inaleta majibu ya hii mistari, wewe ni 🔥🔥🔥

  • @theparagon9218
    @theparagon9218 Год назад +5

    Big up broo✊✊

  • @radothehacker4489
    @radothehacker4489 Год назад +1

    Kura chuma hichooooo❤

  • @fidelsswai2805
    @fidelsswai2805 Год назад +1

    Ooh men 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @frankaloyce6438
    @frankaloyce6438 Год назад +1

    Huwezi kuishinda kesho kwa mbinu za jana...Vina Dizasta.🙌🔥

  • @majirabonphace
    @majirabonphace Год назад +1

    Dom city tunaku appreciate sana broo

  • @hassanmakweto6299
    @hassanmakweto6299 Год назад +1

    Dizasta ni zaidi ya jini

  • @johnnycynaite8226
    @johnnycynaite8226 Год назад +1

    Ni noma kt og

  • @gardimarks7419
    @gardimarks7419 Год назад +1

    For generation ya 2090 nilipata bahati ya kusikiliza hip hop Kali from big brain dizasta vina 2023..

  • @LANDLORD_TV
    @LANDLORD_TV Год назад +1

    Jiwe juu ya jiwee😊

  • @isackmrope1231
    @isackmrope1231 Год назад +1

    Noma sana

  • @valvederraymond6125
    @valvederraymond6125 Год назад +1

    Upendo wa marafiki hufifia ( nan mwingine kaona pic ya rapcha kwa mbaliiii)

  • @ibrahimkambunga3081
    @ibrahimkambunga3081 Год назад +1

    Dizasta hujawahi kuniangusha 🔥🔥🔥

  • @kilalakaila9762
    @kilalakaila9762 Год назад +1

    Hapa ndo real hip hop ilipo✊✊🏿

  • @shaddyqualityfurniture3595
    @shaddyqualityfurniture3595 Год назад +2

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @youngcee3145
    @youngcee3145 Год назад +2

    My Best rapper in est afrka heshima kwako bro Dizasta vina🤜

  • @hamzermahundu6371
    @hamzermahundu6371 Год назад +1

    Noma

  • @denzafighter
    @denzafighter Год назад +1

    😮 daah bro nikipata pesa nakuja mbeya town center apo najenga sanamu yako Dizasta

  • @starboss8131
    @starboss8131 Год назад +1

    Nilizani kusikiliza audio tu inatosha 🙌 KESHO one of my best songs of all time No doubt You’re the greatest rapper of all time ..big thing Tanzania will ever see 🎉 🫡Prof Tungo

  • @navigatormoses6151
    @navigatormoses6151 Год назад +3

    GOAT eating grass as expected!

  • @tariqkhassim4059
    @tariqkhassim4059 Год назад +1

    BIG NACOMMENT LEO ILA KESHO NIPE NGOMA MPYAAA🙌🙌😂😂😂😂

  • @tnftz1461
    @tnftz1461 Год назад +1

    We jamaaa noma🙌🔥🔥🔥🔥

  • @comicsbongo
    @comicsbongo Год назад +3

    First😊

  • @patrickhauletv7263
    @patrickhauletv7263 Год назад +1

    Shikamoo kaka Dizasta

  • @mudriqsound
    @mudriqsound Год назад +2

    Dezastar👊🔥🔥

  • @jumaomari2030
    @jumaomari2030 Год назад +3

    The king of story telling skills

  • @mpokigwadaniel5520
    @mpokigwadaniel5520 Год назад +1

    unyama vina

  • @mbondeitv8747
    @mbondeitv8747 Год назад +1

    ❤ umetishaaaaa vinaa

  • @super_boy_tz
    @super_boy_tz Год назад +3

    Kaka uliweka tu basi lazima niwe wakwanza kusikiliza maboya hawatupati

  • @massytv9601
    @massytv9601 Год назад +2

    Kama umegundua dizasta kaja na kitu tofaut neno la mwisho kwenye kila mistar Ake ndio linakua neno la kwanza kwenye lain inayofata

  • @izvibez6823
    @izvibez6823 Год назад +1

    Leo zawadi ikumbatie Jana ni history

  • @edsonkondo9657
    @edsonkondo9657 Год назад +1

    Tisha san, huyu jamaa ana Kill mastanza namkubal san

  • @wamtei
    @wamtei Год назад +1

    D teacher🙌🙏

  • @hanspopular
    @hanspopular Год назад +2

    Karaoo, dah VINA 🙌

  • @JaymaderMakaveli-tv3sc
    @JaymaderMakaveli-tv3sc Год назад +1

    One love

  • @salimrashid8871
    @salimrashid8871 Год назад +1

    Hataree 🔥💯🥵