JOYRIDE WITH BEBII WA BEBI - Oga Obinna & Dem wa Facebook

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • In this week's thrilling episode, Oga Obinna takes us on a grand adventure in his sleek new ride, the Range Rover Vogue. This luxurious vehicle becomes the stage for an episode full of laughter, fun, and positive vibes. Ride along with Oga Obinna, affectionately known as "Bebi", as he explores the city, shares stories, and spreads good vibes all around.
    Get ready for the ultimate joyride with Bebi and his Range Rover Vogue - a perfect blend of style, humor, and delight that you don't want to miss! Tune in for an unforgettable experience on the road.

Комментарии • 699

  • @Eunny-jv4kh
    @Eunny-jv4kh 3 месяца назад +136

    Wangapi mnapenda how bebi is always congulatulating obinna❤

  • @lynneaseya1375
    @lynneaseya1375 3 месяца назад +29

    Wueee..nakwambia bebii ndio anaweza fanya anything kwa giri ya Bebii ❤❤❤❤munipee likes za bebii na Bebii tuksonga

  • @mariengajane2673
    @mariengajane2673 3 месяца назад +70

    Am asking myself why this channel has not 200k while we are so many in like let's surport this two lover birds they give us vibes ❤❤❤❤❤

    • @dolfinenyabuto2947
      @dolfinenyabuto2947 3 месяца назад +7

      Pple watching and viewing without subscribing😂😂😂, wachawi tu😂😂😊

    • @joycetalai1867
      @joycetalai1867 3 месяца назад

      ​@@dolfinenyabuto2947😂😂😂

    • @Lucy-m12
      @Lucy-m12 3 месяца назад

      ​@dolfinenyabuto2947 hao wako na wivu😂😂

    • @FunnyDalmatianPuppies-qd9mj
      @FunnyDalmatianPuppies-qd9mj 3 месяца назад +2

      But bado tunasonga jana ilikuwa 168k subscribers today tuko 169k subscribers pole pole tufikishe 200k subscribers

  • @MagdalineKamau
    @MagdalineKamau 3 месяца назад +162

    Streets za online zimekauka aky😂😂😂ama ni side yangu pekee kama unamiss kuwaona wakiwa pamoja piga like tukisonga😂😂❤❤❤

    • @kerryhellen
      @kerryhellen 3 месяца назад +10

      😂😂😂😂😂 sema kuzunguka online kama gaidi hapa

    • @Nuellah-s1i
      @Nuellah-s1i 3 месяца назад +7

      ​@@kerryhellenTuko wengi ile kuzunguka nimezunguka

    • @eunicemuema7257
      @eunicemuema7257 3 месяца назад +3

      Me too​@@kerryhellen

    • @Daisy001Mwadime
      @Daisy001Mwadime 3 месяца назад +4

      Karibu nilie aki 😂😂

    • @MagdalineKamau
      @MagdalineKamau 3 месяца назад +2

      ​@@Daisy001Mwadimeaky nimelala😂😂

  • @RoseRose-v1j
    @RoseRose-v1j 3 месяца назад +114

    Bebii si mtu wa tamaaa very patient girl ,the way she is congratulating obinna ❤❤❤aki this girl will go far ❤❤

  • @Kenyanjoy
    @Kenyanjoy 3 месяца назад +30

    The way our gal talks to obinna when they are not shooting the weekly show is every man's dream..yaani sauti nyororoo na upole😂😂😂

    • @MagdalineKamau
      @MagdalineKamau 3 месяца назад +1

      Kumbe ni sisi huwa anashoutia😂😂😂

    • @Kenyanjoy
      @Kenyanjoy 3 месяца назад

      @@MagdalineKamau baana😂🤣

  • @JudyKerubo-cs8yf
    @JudyKerubo-cs8yf 3 месяца назад +100

    Ni Mimi Tu Ndo nikicomment Huku sipati likes

  • @margaretnyahendo5731
    @margaretnyahendo5731 3 месяца назад +21

    I like how calm these humans are when together. Bebii is so humble when with Obinna, heshima kama yoteee. May God bless you both❤❤

  • @Ednakoech-3041
    @Ednakoech-3041 3 месяца назад +19

    Babii the only girl who will do anything in Obinna's vehicle😂😂😂😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @joshdaphine8850
    @joshdaphine8850 3 месяца назад +6

    The Obinnaz on it again 💪💪❤️❤️love how bebi is not stopping to say congratulations to her gold and effortlessly appreciating how beautiful the car is!! And she talks so calmly around obi😍😍❤️Obi and bebi Kudos 👑👑

  • @hanningtonkubwa4329
    @hanningtonkubwa4329 3 месяца назад +28

    Wow, finally our Bebii ako kwa Range . Kudos Obinna for helping many people and opening their door's too. Be blessed 🙌 😇 🙏. Watching from Doha Qatar 🇶🇦 🇰🇪 ❤❤

    • @annwairia3491
      @annwairia3491 3 месяца назад

      Waoow,,, Doha Qatar tuko ndani

  • @maggienthambi9133
    @maggienthambi9133 3 месяца назад +29

    The way i love these two ,wacha tu. Nani mwingine anawapenda kama mimi

  • @ValaryJelimo
    @ValaryJelimo 3 месяца назад +12

    msijifanya hamjaskia song,,,,eti pretty pretty gal for me alf macho za obinaaa😂😂😂😂ooow

  • @AnnNjoki-si6cd
    @AnnNjoki-si6cd 3 месяца назад +22

    Wanaongea polepole huezi sema ni wale huwa wanashout kwa umbea😂😂😂😂.love bebii

    • @sharonIjaza
      @sharonIjaza 3 месяца назад

      So true aki😂😂😂😂😂

    • @NeemaChikodi
      @NeemaChikodi 3 месяца назад +2

      Tena hata hapa wameongea kwa sauti. Ukiangalia ile clip wakiwa Aiport Kisumu ndo utaelewa.

  • @Esthermbute
    @Esthermbute 3 месяца назад +19

    I love how obinna is setting the standard for our girl teaching everything. Keep doing it.

  • @venerandahmutiovahenryhenr6048
    @venerandahmutiovahenryhenr6048 3 месяца назад +10

    😚😚🥰obina usipoowa huyo Dem,sijui kutakuwaje aki.umesikia amesema mtakuwa mkitafuta kura na hiyo gari.😂😂

  • @DianaAyako-t7f
    @DianaAyako-t7f 3 месяца назад +19

    Na vny nimezurra Leo haky,they have already made my day hata naeza doz,, and who else has noticed that bebii can even ask unnecessary question BT still atajibiwa in a polite request ❤️❤️

  • @AGNETTAHKALEY
    @AGNETTAHKALEY 3 месяца назад +4

    Finally my people, my loves...nawapenda sana bebi na bebi wa bebi....Hawa nao nawafuata kila mahali kama nyuki❤️❤️

  • @jojoTv254
    @jojoTv254 3 месяца назад +22

    Kidogo nikuje niwqpige ngumi ya mgongo😅😅😅hamwezi kosa kutupea dose ....huku kumekauka leo kwa hizi streets....but I'm glad nimemeza dose sasa minyoo inaweza tulia😅😅
    We love❤❤❤❤

  • @rhodakithimba4284
    @rhodakithimba4284 3 месяца назад +4

    This girl kandon a jokes mingi she is very respectful alikataa kupitia hapo katikati aende mbele ingekua ni wengine wangekua washaa inua miguu wapite hapo she is very wise and patience she dont brag wuiiii

  • @deborahcharles1469
    @deborahcharles1469 3 месяца назад +5

    I like how this is girl is comfortable and happy around him. Much love to you guys

  • @linetcheptoo2808
    @linetcheptoo2808 3 месяца назад +4

    I just love the way she's herself ❤❤❤❤ everything comes out naturally ❤❤

  • @SharonMideva
    @SharonMideva 3 месяца назад +8

    Bebii ni firstborn wa obizee😂😂 obinas love to this girl is to the moon and back ❤❤❤❤

    • @janet6736
      @janet6736 3 месяца назад

      Aki saa hii akiweza pigiwa simu kitu imefanyikiya Dem mbio na stress anaweza kuwa nao weeh the love can't be hidden by the way❤

  • @RoseWairimu-z1p
    @RoseWairimu-z1p 3 месяца назад +30

    Hapo kwa tutakuwa tunasalimia wananchi tukiomba kura mark the words it will happen❤😂😂😂😂

    • @tinnah30
      @tinnah30 3 месяца назад

      Was about to comment on the same❤It will surely happen.Anything said by this girl always come to pass,let's keep this comment for future.

    • @hellenoponyo2415
      @hellenoponyo2415 3 месяца назад

      Maneno yake Huwa haendi bure

  • @Terry-e8e
    @Terry-e8e 3 месяца назад +53

    Leo nimezunguka nikiwatafuta aki kama umezunguka kama anguka na like tukisonga with our stress remover much love ❤❤❤

    • @violetwanyama4865
      @violetwanyama4865 3 месяца назад +2

      @@Terry-e8e Hawa watu walituroga imagine 😂

    • @marykahunda
      @marykahunda 3 месяца назад +1

      Tuko wengi hadi appetite ilikuwa imepotea😂😂😂😂😂wacha nikule sasa

    • @elinagideon
      @elinagideon 3 месяца назад +1

      Mm pia majaribu kulala lkn wap

    • @farahali6041
      @farahali6041 3 месяца назад +1

      😂😂😂😂

    • @Zipporahgisemba
      @Zipporahgisemba 3 месяца назад +1

      I have visited and revised, hadi ningekuwa na nambayao ningewashtua

  • @carebiandiva5733
    @carebiandiva5733 3 месяца назад +11

    My peps❤❤once again may the good Lord protect you and may this bond never break🎉🎉🎉

  • @phoebeouma
    @phoebeouma 3 месяца назад +26

    Aki team bebi na bebi wa bebi so mnipe like leo

  • @GraceNeema-dj4yi
    @GraceNeema-dj4yi 3 месяца назад +12

    Finally our happiness is here vile nmezunguka hii online Leo kama chizi ❤❤❤❤❤❤

  • @Patryksm
    @Patryksm 3 месяца назад +25

    Humble,simple girl ona hadi anakanyaga chini,si wale wa oohh hapana siezi na kwao ata mamake ana nyumba,,mwanaume mwenye ataoa milly atakuwa very lucky,,akothee type kuinvest ndio priority,,at her age na hajakuwa kwa industry sana anajengea mamake,akona mangombe mara mambuzi home na hana class,,to my surprise mtu kama amberay amekuwa kwa limelight miaka na ndio saa hii anajengea mamake,matako kubwa na huna akili kazi nikuzunguka usiku club to club ukivuta shisha kama gari ya moshi,,milly nakuombea upate your soulmate mtu hardworking with brains kama wewe mtaenda nbali

    • @Malath72
      @Malath72 3 месяца назад +8

      We are not here to compare people or to lift one and destroy the other we are here for good vibes and every person has their own season. whether it will come earlier or later what's made for you will always come

    • @Patryksm
      @Patryksm 3 месяца назад +1

      @Reeny73 toka kwa comment yangu we si milly kabla nichemke

    • @fridahmumo6862
      @fridahmumo6862 3 месяца назад

      Kwani obi ni manyoya ya kuku?

    • @elizabethmoraa2919
      @elizabethmoraa2919 3 месяца назад

      ​@@fridahmumo6862😂😂😂😂😂waaaaa

    • @Malath72
      @Malath72 3 месяца назад +1

      @@Patryksm utachemka tu na ujipoeshe dada

  • @ElizabethKimetu-s2o
    @ElizabethKimetu-s2o 3 месяца назад +8

    Ile kuboeka nilikua nimeboeka wacha tuu...now team gulf we ar hea watching our lovely mentors 😊😊

  • @ruthee1895
    @ruthee1895 3 месяца назад +2

    I'm really addicted to watching these two love birds .Bebi ameacha viatu nje and she does not care ,yeye bora amepanda Range

  • @bezaaimee1008
    @bezaaimee1008 3 месяца назад +21

    ❤❤ najua inawahusu pia lakini wacha niwashow bebi anapendwa na bebii wa bebii❤ sawa nenda mulale basi tomorrow is tha day occupying social media paka next year 😂😂😂😂

  • @violetochar6261
    @violetochar6261 3 месяца назад +4

    Wuee..nimezunguka..kuwatafutahadi nikajihurumia..😅😅..finally nimewapata ..proud of you ❤❤

  • @_Lisathebosslady
    @_Lisathebosslady 3 месяца назад +7

    Mimi naye mtu akijaribu kuniguzia Obinna na bebii, walahi, navuka bugiri Uganda watu wachizi😅😅😅😅,,, Obinna be blessed 😊

  • @MondeKerry
    @MondeKerry 3 месяца назад +21

    Nani ameona kitu nimeona kumbe bebi anajua kila kitu bwana anaweka wapi how else anajua hivo❤❤❤❤

    • @Janice-sd7hl
      @Janice-sd7hl 3 месяца назад +2

      Obbina alisema amechoka kumficha na boom akamposti

    • @Esthernjoki-eb6ii-o7l
      @Esthernjoki-eb6ii-o7l 3 месяца назад

      And then he's very open with her, then assurance yake iko juu and he trusts her with the car, anasorora kila mahali ❤❤❤❤❤❤

    • @GraceNeema-dj4yi
      @GraceNeema-dj4yi 3 месяца назад +2

      ​@@Esthernjoki-eb6ii-o7lshe the truthful woman ❤❤Obinna said

  • @Magretkerubo-g1d
    @Magretkerubo-g1d 3 месяца назад +14

    Finally my painkiller kichwa kimepoa naeza lala nikingoja kesho show live🤣nawapenda sana💋💋💋💋

  • @shammillajibera9007
    @shammillajibera9007 3 месяца назад +7

    The way bebii wa bebii anasema ahsanti😂😂😂😂❤

  • @violetwanyama4865
    @violetwanyama4865 3 месяца назад +13

    Obinna mi utakua ukinitesa ivyo nakutafuta Kila. Mahali 😂😂

  • @victoriakeshy2017
    @victoriakeshy2017 3 месяца назад +3

    Eeeish siku hizi mnatujali😍🥰🥰happy soul here...meno nje kama kawa😂

  • @DolphinIminza
    @DolphinIminza 3 месяца назад +21

    Kwa hii obinna tv kama kuna anapendqa na obinna ni dem wa fb anampenda kutoka ndani ya loooooo sio kujifanya yani iko ndani kabisa ..mungu unganisha hii ndowa ❤❤

  • @SarahNyakara
    @SarahNyakara 3 месяца назад +87

    The only person who can do anything kwa gari😂😂

    • @MondeKerry
      @MondeKerry 3 месяца назад

      It's only obii nobody else

    • @MondeKerry
      @MondeKerry 3 месяца назад +5

      Yaani bebi hakuna kitu ajui pahali inawekwa waaa Hadi pesa yawa kumaanisha ??? Sisemi malizia sentenzi ,,,,,???!!

    • @Lucy-m12
      @Lucy-m12 3 месяца назад

      😂😂😂

    • @lindakiage2916
      @lindakiage2916 3 месяца назад

      😂😂😂😂

    • @DorcasEtyang-ej6sm
      @DorcasEtyang-ej6sm 3 месяца назад

      ​@@MondeKerry😂😂😂😂😂😂

  • @sharonIjaza
    @sharonIjaza 3 месяца назад +1

    I really love the other side of these people ❤❤❤❤❤❤ the calmness and respect iko great

  • @GladyxKanny
    @GladyxKanny 3 месяца назад +3

    Mmmm my stress remover 🥂 more love both of you ❤❤❤❤❤ keep shinning and congratulations am happy for you ❤❤❤❤❤

  • @AsiaNazi-w1q
    @AsiaNazi-w1q 3 месяца назад +114

    Kama umezunguka kuwatafuta kama Mimi weka like hapa🌹🌹

    • @annitamisiko3597
      @annitamisiko3597 3 месяца назад

      Leo nmewatafuta wacha2

    • @lyzlisa753
      @lyzlisa753 3 месяца назад

      Aki na Leo ni sunday ama walikuwa wamesahau

  • @AlvineChebet
    @AlvineChebet 3 месяца назад +4

    The way obinna is caring her girl ❤🥰 actually I love this pipo

  • @maryannrose683
    @maryannrose683 3 месяца назад +4

    Finally mumepatikana❤❤❤❤❤ nawza lala n amani

  • @violetwanyama4865
    @violetwanyama4865 3 месяца назад +100

    Kumbe munaweza ongea tu Pole pole kama watu wawili wenye wanaishi pamoja❤❤❤

  • @kkkssiMJAnsnsnn
    @kkkssiMJAnsnsnn 3 месяца назад +1

    Woa yani bebii congrats bebii w bebii nice aki ❤❤❤❤ zz nimepona acha nigoje vutuko z Monday ss❤❤❤

  • @dianahmogiti8299
    @dianahmogiti8299 3 месяца назад +3

    Sema kuzunguka hadi nikaanza kurewatch from sushi date mpaka nikafika kwa blowing then boom,here now happy for this🎉

    • @valentinekerubonyangara
      @valentinekerubonyangara 3 месяца назад

      😅😅😅😅kumbe si mm pekee hupenda kurudia

    • @shymaadelamor1784
      @shymaadelamor1784 3 месяца назад

      Mimi nimeanza from cooler cooler show hadi kwa swimming date😂😂am now happy wamepost

    • @ArshMarsha
      @ArshMarsha 3 месяца назад

      I thought I was alone 😅😅😅😅

  • @kanzkanguha
    @kanzkanguha 3 месяца назад +9

    Nimesikia poa demwf akiambiwa si ukuje hapa mbele❤

  • @annnasieku2309
    @annnasieku2309 3 месяца назад +20

    Wakuu let's take "Namposti" to 2Million kabla they release the new song,much ❤❤ our people.

    • @FunnyDalmatianPuppies-qd9mj
      @FunnyDalmatianPuppies-qd9mj 3 месяца назад +3

      Imagine now naposti iko 1.6m views, tukishikana sisi wote pamoja by date 14 tutakuwa tumefikisha 2m views,i love ❤❤🔥🔥 this song i always listen daily

  • @Daisy001Mwadime
    @Daisy001Mwadime 3 месяца назад +10

    Uweeeeh Ile mbio nimekuja wacha Tu 😂😂 hey the obinaz

  • @Roselyne254-p3j
    @Roselyne254-p3j 3 месяца назад +15

    Congratulations to me watching at 590😂👏👏👏👏👏 subscribe,, finally dose imewasili rumama RWA Gulf 😂😂😂

  • @agneskasimu6911
    @agneskasimu6911 3 месяца назад +1

    Obinna explains everything in detail,the eye contact expresses love!,alittle bit touch on bebiis thigh though bebii anahepa😂😂…,bebii congratulates him genuinely,Obinna assures her everything will come on its own time…,bebii ni DCI kuona kama kuna anything that’s feminine 😂😂 so obizze has to explain everything where he got it from…..,Obinna before this lady is calm n listens….❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂….love story continues…

    • @ArunaMaulidi
      @ArunaMaulidi 3 месяца назад

      ❤❤❤❤❤ aaaaaauu,the simplicity is dope

  • @judymemz
    @judymemz 3 месяца назад +8

    You should be giving us this content daily bana they are our stress reliever alaf inapunguza kelele kwa ndoa 😂

    • @22_favouredQueen
      @22_favouredQueen 3 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂coz utaconcentrate na wao😂😂😂😂😂

    • @AsmaaSheikh-p3r
      @AsmaaSheikh-p3r 3 месяца назад

      Mimi niliachana Na ndoa yangu niconcentrate na hawa😂😂

    • @PurityAnn-yr3hd
      @PurityAnn-yr3hd 3 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @emilynyoike1986
    @emilynyoike1986 3 месяца назад +6

    What we love to see.... Flowers pokea obinna

  • @kerubotrizah3445
    @kerubotrizah3445 3 месяца назад +82

    Mkiachana aky watu wa Kisii na ukambani tutawaroga mrudiane😂😂😂 bundles zetu hazitaenda hivyo🤣

    • @sabinaNyaboke-je8kh
      @sabinaNyaboke-je8kh 3 месяца назад +14

      Uzuri uncle wa bebii ni mganga😂😂😂

    • @Bilali-w6m
      @Bilali-w6m 3 месяца назад +3

      ​@@sabinaNyaboke-je8kh😂😂😂 kabisaa

    • @catekikuva4767
      @catekikuva4767 3 месяца назад +2

      😂😂😂😂😂😂ewuuh hii kama mkamba imenikuta offline

    • @catekikuva4767
      @catekikuva4767 3 месяца назад +2

      ​@@sabinaNyaboke-je8kh😂😂😂😂🙌🙌🙌

    • @phennyongonga6056
      @phennyongonga6056 3 месяца назад

      @@kerubotrizah3445 🤣🤣🤣🤣plus our time tumeinvest

  • @tabithanzisa9755
    @tabithanzisa9755 3 месяца назад +2

    Finally mumetupostia ju wee ile kuzunguka uwa nazunguka hii RUclips kwa ajili yenu❤❤

  • @FunnyDalmatianPuppies-qd9mj
    @FunnyDalmatianPuppies-qd9mj 3 месяца назад +3

    Wow finally our medicine is here,, love you my people🥰🥰🥰🥰

  • @ednanjogu7513
    @ednanjogu7513 3 месяца назад +2

    Wow was waiting for this finally it's here

  • @MercyNyakio-kp7ok
    @MercyNyakio-kp7ok 3 месяца назад

    Waow,actually am learning alot from this two pple,very much humble,obinnas character is of hardworking,wah,,for sure I really need to work hard and dedicate my self to God inorder to achieve my dreams❤❤❤❤

  • @tinnah30
    @tinnah30 3 месяца назад

    Mambo ya God,Obinna being blessed from one level to another,this Vogue iko chonjo.More blessings ❤

  • @melvinmuhongo8636
    @melvinmuhongo8636 3 месяца назад +9

    Six days to go kisumu we are coming ❤❤, nawakumbusha tu occupy social media tunaaza date 7 kuoccupy hadi date 18 so tutamtafuta bundles za kutosha😂

  • @SharonMildred-sx8zm
    @SharonMildred-sx8zm 3 месяца назад +5

    Finally I find something to watch

  • @Dorcaswayua975
    @Dorcaswayua975 3 месяца назад +4

    Bebi vile ako busy kuchunguza ii machine,mapenzi wewe mpaka anapewa viatu asikanyange chini❤

  • @lynneobillo718
    @lynneobillo718 3 месяца назад +2

    Range my dream car. Obinna kudos to the great job you're doing to dem wa fb. May God keep blessing both of you❤❤❤❤🎉

  • @dinahjahenda-ho1cn
    @dinahjahenda-ho1cn 3 месяца назад +42

    Aki nyinyi watu mmefanya tumechizi walae😢😢 ghaiii 😂😂😂😂Dear Lord protect this people for us🙏🙏Masaa hazikuwa zinasonga😢

    • @FunnyDalmatianPuppies-qd9mj
      @FunnyDalmatianPuppies-qd9mj 3 месяца назад +5

      Haki hawa wasipoposte kitu,, stress zinatumaliza wallai😂😂😂may God protect you always the obinnaz💞💞💞💞

    • @eunicemuema7257
      @eunicemuema7257 3 месяца назад +1

      Aky wasipopost nasikia kulia

    • @edithaluvale4924
      @edithaluvale4924 3 месяца назад +3

      ​@@FunnyDalmatianPuppies-qd9mjaki very true mm hta nashangaa nlikuwa nmwjamia kila mtu hta aikutaka kuongea online tena bt kujaribu kufungua tu nakutana nao sema furaha ❤

    • @AlyshaAbdi
      @AlyshaAbdi 3 месяца назад

      Haki hawa wasipopost ninakuwa mgonjwa😂

    • @AsmaaSheikh-p3r
      @AsmaaSheikh-p3r 3 месяца назад

      Karibu nishikwe na depression 😂

  • @okayosalma6020
    @okayosalma6020 3 месяца назад

    Hopelessly in love with this two❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @EssieMusubaho
    @EssieMusubaho 3 месяца назад +1

    Weldone for serving the way monitoring here be blessed to be good Mr obinna

  • @rozziewachira9808
    @rozziewachira9808 3 месяца назад

    I just but love how she celebrates obinnas wins....Obinna thanks for treating this girl well❤❤❤❤

  • @vellahamagove9935
    @vellahamagove9935 3 месяца назад +5

    Venye nlikuwa nmeboeka aki asanteni❤❤❤

  • @vivianluvuka6573
    @vivianluvuka6573 3 месяца назад +4

    Nitakuja vunjika mm😂😂😂I love them ❤❤❤

  • @MaxSupper-u5b
    @MaxSupper-u5b 3 месяца назад +4

    A love so beautiful!!

  • @SharonNyambua
    @SharonNyambua 3 месяца назад +1

    I love this 😍😍💟💟

  • @sumeiyaaswani9559
    @sumeiyaaswani9559 3 месяца назад

    Thank you for coming may God bless you wau so calm girl

  • @SHEILACHELAGAT-yo3gs
    @SHEILACHELAGAT-yo3gs 3 месяца назад +3

    Aki leo nilikuwa nimeteseka sana weee my dawa❤❤😊

  • @KarungiDinah-uy5mr
    @KarungiDinah-uy5mr 3 месяца назад +18

    Utube with out you two is useless, missed you sana sana

  • @Sisline
    @Sisline 3 месяца назад +20

    For someone who was sick, hii enegy ilitoka wapy😂😂😂😂bwana na range ndio dawa😅😅😅😅

    • @MugiraseAime
      @MugiraseAime 3 месяца назад +2

      I love this guys and watching from rwanda

    • @Janice-sd7hl
      @Janice-sd7hl 3 месяца назад

      Hata Mimi nilizangaa

  • @LucyWambui-w6b
    @LucyWambui-w6b 3 месяца назад +3

    My happiness niki wa ona they are all happy🙏🙏🙏

  • @FelistersElima-y5s
    @FelistersElima-y5s 3 месяца назад

    Kumbe mlienjoy jana but nimefika, nawapenda ❤❤❤❤

  • @JudyNjoki-u6c
    @JudyNjoki-u6c 3 месяца назад +4

    Waaaw tumewamiss😘😘😘

  • @EmilyFemale
    @EmilyFemale 3 месяца назад +1

    Its a nice machine .congrats obby

  • @linetkhavugwi209
    @linetkhavugwi209 3 месяца назад +4

    Wakati wa mungu ❤❤❤❤

  • @maryteacherofficial
    @maryteacherofficial 3 месяца назад +2

    Wah! Sema kungoja. Asante hata kama ni saucer it's better than none 🙏.

  • @suzzieDavis
    @suzzieDavis 3 месяца назад +3

    Kupendwa raha ❤🥰

  • @Zipporahgisemba
    @Zipporahgisemba 3 месяца назад +2

    Aaki guys we love you.aki zimnapendwa vibe yen 2is on another lever in all social medial platforms ❤❤❤❤

  • @tonuicarol2717
    @tonuicarol2717 3 месяца назад

    Why do you want to kill me with laughter😂😂😂😂😂😂😂

  • @Fridahkuria
    @Fridahkuria 3 месяца назад +15

    Karibu tu chizi kwa kukosa hii painkillers 😂😂😂😂😂😂

    • @AmidaWesonga-s5q
      @AmidaWesonga-s5q 3 месяца назад

      True

    • @Fridahkuria
      @Fridahkuria 3 месяца назад

      @AmidaWesonga-s5q weee for me sikuwa sawa until hii video was posted

    • @AlyshaAbdi
      @AlyshaAbdi 3 месяца назад

      Waah nilikuwa nauma na kichwa until I saw their video 😂😂

    • @Fridahkuria
      @Fridahkuria 3 месяца назад +1

      @AlyshaAbdi tuko wengi 🤣🤣🤣

    • @AlyshaAbdi
      @AlyshaAbdi 3 месяца назад

      @@Fridahkuria karibu nipate depression 😂

  • @cecilwachuka
    @cecilwachuka 3 месяца назад +3

    We wish you well in your endovers....may God show you his ways...

  • @eunicemuema7257
    @eunicemuema7257 3 месяца назад +3

    My love to you two is unconditional ❤♥

  • @paulinanduku2748
    @paulinanduku2748 3 месяца назад +5

    My love for this two is unconditional❤❤

    • @Safiya_said
      @Safiya_said 3 месяца назад

      Nipitie nkupitie ❤

  • @mapesamumia4129
    @mapesamumia4129 3 месяца назад

    Nawapendaaaa bure
    Learning alot always

  • @lufunonenguda5517
    @lufunonenguda5517 3 месяца назад +2

    My favorite ppl, I love you guys ❤❤❤❤

  • @clarechemutai9406
    @clarechemutai9406 3 месяца назад +3

    The only girl who is allowed to use obina perfume and do every shit ❤❤❤❤

  • @ValentineMuyama
    @ValentineMuyama 3 месяца назад +3

    They always make my day ♥️🙏

  • @GraciousCollection
    @GraciousCollection 3 месяца назад +1

    Great people with great mind you will go far

  • @lauriemutheu5114
    @lauriemutheu5114 3 месяца назад

    Obinna your perfectionism scares my perfectionism wueh! You see every detail.

  • @bezaaimee1008
    @bezaaimee1008 3 месяца назад +2

    Guys we love you aki oooh my God this couple 😍 ❤❤❤❤

  • @ChristineMsafi
    @ChristineMsafi 2 месяца назад +2

    Nani ako huku baada ya kiannounciwa kama wife❤❤❤❤

  • @the_blisskenya
    @the_blisskenya 3 месяца назад +8

    One thing napenda sana nivile huwa mnaona future yenu ikiwa kubwa pamoja..tutaenda,tutafanya...that's really nice