Mnapo enjoy content ya Obinna na Dwfb please pia munakumbuka kuwaweka kwa maombi tusibambike tu na content bila kuwafunika na Damu ya Yesu Kristo adui wamekua wengi wakiendelea na kazi yao pia sisi tunawaombea
It's true,the neighbourhood matters for any celebrity..... imagine hii ungekuwa kayole? All neighbours and passerby's wangekuwa wamesimama Kuwatch Bebii na bebii wake.
Hata kama hamuna content za kutuonyesha,,,, mkue ata mnachemsha tu maji ata kama ni mara tatu kwa wiki ❤❤tuta watch 😂😂😂the love i have to you people 😂😂
U two have made me to learn this language lm Ugandan but lm your number one fun and l keep following you avery where,bebi and bebii wa bebii love you so much
Harrier loading.......❤Bebii is very intelligent and a fast learner. Kudos Bebii's gold for always having her back. Your patience and love is on another level. Blessings!
Iam also teaching my daughter how to drive. Iam very impatient. Obinna is a good instructor to dem. You are very good and patient with her. We love you guys .
By the way she's a good drive and so soon she will be a a pro.meanwhile Bebi is a real female version of Obinna and bebi wa bebi is a male version of Bebi 😂😂❤️❤️❤️
Si story na lizz it's true Liz Ako na ni hiyo Liz a nataka kuaribu hi kipindi na kusplit funs coz watu wamefollow Liz wanaona chenya anajaribu kufanya she posts only on Wednesday and Sunday 30mins or 1 hr to premier and then anadelete after 2 hrs laiter@@juli4413
Hawa ndo mashujaa wangu nimesherehekea Leo💪♥️the bond connected btn you two is unbreakable hata mahaters wajaribu aje, my lovely love birds I can't get enough of watching you till the end♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Waow,obinna is a great patient teacher as well,I love how he is directing her in a cool manner, and she responds to it positively followed by actions❤❤❤
I love when Bebi wa Bebii gets jealous kwa Bebiiiiiiiiiiiiiiii😂😂😂eti watu wengine ndo wanabebwa na yeye hajawahi bebwa😊😊😊how sweet it sounds😍😍😍alafu lazima aguzeko toto😊🥰🥰 nawapendagako sana😂😂😂😂
Denkie denkie sasa naeza enda kukula.... Bebii na bebii wa bebii keep making us happy.... Am so inlove with you guys but am happily single until I meet tall and and handsome with a heart like obinna's ❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂unatafut wap you better wake up cz hao watu walikuf 1980s wenye walibak n magaid tupu n obinna too alibak chukua too hio gaid yako uifunz vl unatak
Waaau thank you God for these children keep on lifting and bleesing them I love them this way. OBINA mtoto wangu nakuomba kwa kijina la Yesu usijaribu kuwacha huyu mtoto wa Bishop dfb ni STAR yako Baba.mbarikiweni sana. Love you dearly.
Ladies driving ni driving school,,hio ya kufuzwa na hubby is a big Nooooooo,mara ooooh mara that,mara utagogwa nonsense...but Obinna is doing it well happy for you bebi
SI MTULETEE VIDEO TATU MOJA YA UMBEA NA MBILI ZA LIFESTYLE AMA COOKING AMA OUTINGS❤❤❤Nimeandika in capital ndio muone✌️✌️✌️✌️❤❤❤❤
Tumeona😂😂😂
😂😂❤
@@judithatieno3123 😂😂good girl
😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Good girl nice thinking
Every lady needs obinna in her life😢❤❤❤❤🎉
Mnapo enjoy content ya Obinna na Dwfb please pia munakumbuka kuwaweka kwa maombi tusibambike tu na content bila kuwafunika na Damu ya Yesu Kristo adui wamekua wengi wakiendelea na kazi yao pia sisi tunawaombea
Kabisaaa🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
There is nothing as important as someone creating time for you,he or she knows your value,nawalombotov😍😍
He's got patience 😊
🎉🎉🎉
Hii ni uchawi,saa saba na bado nawatch obinna...aish🙆♂️🙆♀️Mungu fungua njia ata mimi walionidharau wanisalimie kwa heshima na niwasaidie
😂😂😂😂Eti Uchawi😂
Connection matters peoples around u
imgn 1.00 Am awatch bebi hiinn uchawi
Aki am in love with Obinnas voice. He is so calm with his instructions. Most men need to learn from him , women we like it when a man is this soft
and obina might be the most the good hearted luo man in Africa
Obinnah is such a good teacher not forgetting his patience ♥️♥️♥️♥️🌹🌹🌹
true good teacher ❤❤
It's true,the neighbourhood matters for any celebrity..... imagine hii ungekuwa kayole?
All neighbours and passerby's wangekuwa wamesimama
Kuwatch Bebii na bebii wake.
WE NEED MORE OF THIS…piga like tukisonga
Hata kama hamuna content za kutuonyesha,,,, mkue ata mnachemsha tu maji ata kama ni mara tatu kwa wiki ❤❤tuta watch 😂😂😂the love i have to you people 😂😂
😂😂😂😂kwisha
Nimeishaaa😂😂😂😊
I loove the way Obina teaches his bebii things "very loving,calm and caring❤❤
Kama mngekuwa mnatuletea video kaa hixi every sunday mgekuwa mnatukeep in mood tukiwait Wenesday ❤❤❤❤
Kwan ulkuw kwa mind yang😂❤
@@ZUBEDABAKARI-f9ePia mm aki
@@ZUBEDABAKARI-f9e 💜💜💜
@rosewanjiru9985 every Sunday hua tunawatch weekly show
Team milayas mnapenda umbea😂😂😂
U two have made me to learn this language lm Ugandan but lm your number one fun and l keep following you avery where,bebi and bebii wa bebii love you so much
❤very true am frm SA n still learning this language because of babie na babie
Same here, I am from Zim, also learnt/still learning swahili because of these too. I love you so much Bebii and Bebii wa Bebii❤❤❤
😂😂😂😂😂😂you are all welcome swahili is nice karibuni sana
❤❤❤❤❤❤❤
Wow karibuni sana wageni mwakaribiswha Kenya yetu hakuna mataata😊😊 we love you too our visitors ❤❤❤
🎉🎉🎉
Drop more videos of you together guys imagine ya last Sunday is almost 500k we like seeing you together
Her gold anataka kuona kama bebi ako perfect kwa kudrive,harrier is on the way.
I think so ,Yu are right Doreen
Exactly
😊 where's the lie
Let me preserve this comment
Obina umekuwa teacher mkubwa sana wa bebii umefanya mpaka amejua kuishi Nairobi,saizi unamfundisha kudrive bigup obina
If you love bebii na bebii wa bebii and you always enjoy their chemistry😂😂give me a like,love you my fav❤❤❤❤
@@FunnyDalmatianPuppies-qd9mj nipitie na mm please
Lazima tu aguze bebii, amtowe kitu kwa bra nguo mdomo etc😅😅😅😅😂😂😂
Obina uliamua kuwa a teacher in everything.thanks for being that kind
Harrier loading.......❤Bebii is very intelligent and a fast learner. Kudos Bebii's gold for always having her back. Your patience and love is on another level. Blessings!
So long as Milly is in any Content I will support 100%
❤❤❤❤
Me too
Nipitie na mm dear pls❤
@@janeatjaneat6599nipitie pls dear
Mi too❤❤❤
Thank you bebii wa bebii for making sure that bebii is a perfect driver,I love this
Obinna ni mwanaume WA Kwanza funza mtu kudrive bila hasira mimi my x is the reason sijui kudrive😅😅
😂😂😂😂
Nipitie pls dear
😂😂😂😂unapewa matusi km yote
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
It’s because they are acting
Wambea😂😂😂mshalike be4 mu watch 😅😅
😂😂sisi n wambea gang😂
💪💪😂😂😂
Nani anasmile akiwatch na mimi kama mumu 😂😂😊😊😊😊😊😍
Me
,,,😂😂😂
Mumu
Thanks obinna for being patient with your Girl.
Iam also teaching my daughter how to drive. Iam very impatient. Obinna is a good instructor to dem. You are very good and patient with her. We love you guys .
Bebii na bebii wa bebii tuko na nyinyi hadi mwisho ❤ Hata watu waseme nn hatubanduki Hadi nyinyi mtuambie 😂😂😂😂😂
Praying tomorrow to be a good day aki this week imekuwa mrefu kwangu bila obinna live
Bebii wa bebii na bebii wake hadi milele wenye wivu tafuteni kiti mkae chini mkunywe maji mengi safari bado 😅😅🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂❤kabsa
Ongeza volume wasikie maanake watahara
@@hellenoponyo2415 aki wewe😃😃😃
Wataskia hivo
@@MakokhaMary-p6i you can say it again and again dear 😂❤❤❤
you have manufactured that lady my friend into fantasy world
Wuee Wacha Mimi ningojee bebii na bebi wake my stress removers mambo na politics tuachie wenyewe.
Kabisaa😂😂😂
By the way she's a good drive and so soon she will be a a pro.meanwhile Bebi is a real female version of Obinna and bebi wa bebi is a male version of Bebi 😂😂❤️❤️❤️
Obinna is understanding boyfriend na anajua kufundisha bebii❤❤❤
Nipitie na mm dear
I can't wait to bebii being driven by his queen❤❤from Atlanta Georgia
Waiting izi ndo tunataka every sunday mnajua tu nyinyi ndo stress remover zetu hakuna kwingine n hapa tu ❤❤❤
Yaaaaaas 😊
The whole of this month hatujaboeka kumbe mnatujali 😂we love you guys we're waiting❤❤❤❤❤❤🎉🎉
I think we are wenting on well... Next month birthday plus home coming ❤❤❤
But kumekua na bad spirit inajaribu sana kuingilia hii relationship yetu...
@@Moh_ose nakwambia watu wanaboo wanangojanga bebii akipost wanaanza story za liz
@@Moh_oseishindwe
Si story na lizz it's true Liz Ako na ni hiyo Liz a nataka kuaribu hi kipindi na kusplit funs coz watu wamefollow Liz wanaona chenya anajaribu kufanya she posts only on Wednesday and Sunday 30mins or 1 hr to premier and then anadelete after 2 hrs laiter@@juli4413
❣️❣️❣️❣️ bebiiiiiiiiiiiiiii and bebii wa bebii keep prospering haters you will die of anger,you can't compete with God,❣️❣️❣️much love
L
Thanks obinna for being patient to our girl mm nilikua nafuzwa na kelele jah bless you ❤❤❤🎉🎉🎉🎉 team hamamm gonga like tukisonga🎉🎉🎉🎉🎉
Hawa ndo mashujaa wangu nimesherehekea Leo💪♥️the bond connected btn you two is unbreakable hata mahaters wajaribu aje, my lovely love birds I can't get enough of watching you till the end♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Waow,obinna is a great patient teacher as well,I love how he is directing her in a cool manner, and she responds to it positively followed by actions❤❤❤
Watu wa manual tuinue mkono juu kwanza ladies 🎉🎉🎉
I love when Bebi wa Bebii gets jealous kwa Bebiiiiiiiiiiiiiiii😂😂😂eti watu wengine ndo wanabebwa na yeye hajawahi bebwa😊😊😊how sweet it sounds😍😍😍alafu lazima aguzeko toto😊🥰🥰 nawapendagako sana😂😂😂😂
Another car on the way❤❤❤❤❤❤
It's official every Sunday and Wednesday happy days for team wambea❤❤❤❤❤guys mtu aambie bebiii aweke logo kwa content zake surely😢😢we are losing alot
I better rewatch the episode nomatter what 😢 can't get enough of weakly show ata mseme till further notice
Obi thanks for being patient with our gal you have a heart of Gold may our good lord shower you with blessings.
Hakuna mahali mnaenda na nimefungua macho vizuri kuona😂😂😂 aki nyinyi. Very important people in the country ❤❤❤
TuKo tunagonja kama birthday ya bebi na homecoming ya bebi wa bebi hatubanduki....
We are here to stay ❤❤❤
Imagine from home coming ya obinna house warming ya bebii na birthday... Wat a week we gonna have..... Team gulf woi.... Tutarudishwa 254 aki yawa
Here to stay
Yani tunawasubili Kwa hamu
Tukoooo ndani habanduki hata iweje labda Obbina na Dem wa watuambie ,ya watu haitushutui😂😂😂😂❤❤
Waooow she's a good driver
I just like this man may God continue protecting you for as team bebbi wa bebbi na bebbi❤
My ex hubby was my instructor then I forgot instead ya breaks nilikanyanga mafuta 😂 wee ile kofi aliniweka mbele ya watu 😊😊😊
Just love how Obinna u patient with Bebi on that driving, 3 point turn, the driving skills💪🏿💪🏿🔥🔥🤜🏽🤜🏽🤜🏽
Wewe bebii make sure you drop a video of you two every Sunday 😘
Obinna you are so kind, loving and caring 👌
Wow! That was awesome,from shopping,from car parking tips everything is on top.thanks obinna for holding this baby girl.
Love the patience of obinna God bless you. Bebbi good job.was a refresher driving class for me amd i learnt few things.
He's got patience indeed
Waiting tunataka video kama hizi every Sunday if it's possible, much love for you guys🥰😍
Obinna is very humble and down to earth
Yaani haters hata mkuje na mambo gani hapa hatutoki hawa ni sisi na wao hadi mwisho
Kweli hatubanduki hata waseme nini
Mutaumwa vichwa😂😂😂
Obi is very polite and humble plus patience
Aki nyinyi mlinifanya nichizi aki nazunguka nikiwatafuta kwa mtandao love u guys ❤❤❤❤❤❤❤
Denkie denkie sasa naeza enda kukula.... Bebii na bebii wa bebii keep making us happy.... Am so inlove with you guys but am happily single until I meet tall and and handsome with a heart like obinna's ❤❤❤❤
Hawako obinna tu ndio yuko wengi walikufaaa
😂😂😂😂😂😂😂
@@DolphinIminza woi wacha nikae tu na furaha staki kueka kwa mind this is not real.... 😔😔😔
😂😂😂😂😂😂😂unatafut wap you better wake up cz hao watu walikuf 1980s wenye walibak n magaid tupu n obinna too alibak chukua too hio gaid yako uifunz vl unatak
@@MobileZone-pv9nt huyo zii staki kulia🤣🤣🤣🤣
That my happiness seeing you people together
Design yenye tumeinvest Kwa hii relationship wacha tu 🤣 🤣🤣🤣🤣 akuna kuachana mkiachana maandamano samaki samaki akh 🤣🤣🤣
Is it officially every Sunday we will be expecting something from this 2 lovers bird's 🎉❤🎉
Aky wafanye hvo😊😊
Kuna hopes
Wanadate?
@@ck2023. Haja yangu ni content the rest sijui
This is sweet. Yaani in life we need this type of friendship and chemistry
Ile bond mungu anaweka btn these two souls nobody can separate, much love❤❤
Amen🙏🙏
Nikiona video zenu huwa natafuta tu earphones ndyo niskie voice ya bebii wa bebii vizuri much love my people❤
Kumbe siko pekeangu 😂
@@valentinecherop305wengi😂😂😂😂
We love you guys...... Sijui wengine wetu tulikozea wapiiii
Who iam to.misss!!! Nipo na nyinyi mpk mwisho!!
C kila Sunday mkueko mnaturushieko ruvideo hivi atleast roho zetu zikueko nafuraha teletele vajamaa
😂😂🥰🥰
Obinna you are a good instructor now Bebii can understand Driving better. i see you opening a Driving School soon Amen 🙏. Tuned in from Qatar 🇶🇦 🇰🇪 ❤
Waaau thank you God for these children keep on lifting and bleesing them I love them this way. OBINA mtoto wangu nakuomba kwa kijina la Yesu usijaribu kuwacha huyu mtoto wa Bishop dfb ni STAR yako Baba.mbarikiweni sana. Love you dearly.
Atleast leo nmeona watu wakiwa serious 😂❤❤❤
I like the way you are patient with her❤
Obbie God bless you for the care and good desires you have for Millie
Aki na smile kama mjinga😂😂😂❤❤❤❤God wa dmfb locate me,,more love bebii
I love Obinnas patience.❤
Nilidhani nimefika mapema kumbe mshafika😂😂😂
Obinna our are soon humble my God bless you ❤❤❤❤❤
You two are a divine item...God's art work at hand❤
Mngejua tu raha yettu nikuwaona pamoja......
You can say that again 😊😊
Acha sisi tuwatch mashujaa wetu kwa amani .
Am happy for you bebii
I rebuke every spirit sent to attack bebii's mind,,girl you are strong don't allow negative messages torment you
Amen
Amen
Amen
Amen Amen Amen
Amen
Mwenye alinunua ii apron😂😂😂😂😂
Atafute ingine alete aki
Alifanya vizuri coz hajui kukaa😂😂
Wow that's amazing obina you are doing job to our baby girl ❤❤❤❤❤sijawai ona mwanaume kama ww
Ladies driving ni driving school,,hio ya kufuzwa na hubby is a big Nooooooo,mara ooooh mara that,mara utagogwa nonsense...but Obinna is doing it well happy for you bebi
Mkue mnatuletea every Sunday ndio Wednesday tu wait umbea love you guys na ulipelekwa driving baby girl inakulemea
Eeh ahki ndio tu watch Sunday Mon na Tues tuboeke kidogo tukingoja wend kwa fujo.
Caretaker ashajua obinas car and that he can visit any time😂
Mkiona hivi,HARRIER is on the way.
Nxt month
Amen
On her birthday next month
Nawaombea Mungu azidi kuwapendanisha kila siku upendo yenu iko mikononi ya God...kiukweli mnivutia kupenda
Nyinyi wote mko uku naomba mnipitie ❤🙏🙏🙏
Done do so
Yes
Tupitiane wakuu...Acha comment nitakam back
Done ✅ nipitie
Done
Sasa hasira za waiguru venye alinigombanisha eti nimekunywa laban mungu naye si kamau mumenipunguzia stress nawalombotov 4rom Saudi Riyadh ❤❤❤❤❤
Pole next time uadd maji😅😅😅 ndio asijue😅
😅😅😅😅😅😅😅 huku ndio tunatolea stress za waiguru mamaa don't worry
@@MercyIndasi😅😅😅😅😅 n ivyo akili juu
@@MercyIndasi nilifanya hivo mara ya kwanza akajua
Nipitieni niwapitie kindly
Perfecting uendeshaji
Akuna video huisha kama bebi hajaguzwa😊😊❤❤❤
You're a good observernt 👏👏👏🤣🤣🤣
Unanifanya nirudie kuona alipomshika kipande gani maana wengine tukiwaona hivi tunafurah hadi vingine hatuon
Nimeona😂😂 ❤❤❤❤
Nimeona 😂😂hadi raha❤❤❤
Rudia mamy utaona😂😂😂
Hawa ndio mashuja wetu
Yani natoka church nakutana n wapenzi wangu more more ❤❤❤❤❤❤❤ nawalombotovu sana
This is so sweet.... Aaaaah! Where are the married and dating men?