VIDEO YA MAGUFULI itakayokutoa MACHOZI!!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 900

  • @EnthusiasticDrumKit-on1qr
    @EnthusiasticDrumKit-on1qr 9 месяцев назад +7

    Huyu ndie raiAfrica ambae❤❤❤❤ Amazing and🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @kalamapendo2701
    @kalamapendo2701 2 года назад +26

    Rip baba wewe ulikuwa msada Kwa wengi nikiona venye ulikua unasaidia bila ubaguzi kwakweli umeacha pengo Tanzania ambalo hakuna atakaye liziba 😭😭😭 am from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Daudimoll8609
      @Daudimoll8609 2 года назад

      😭😭😭😭😭😭😭 hakika utakumbukwa milele

  • @willistonemnengo
    @willistonemnengo 2 года назад +44

    Huyu ndie Raisi Africa ambae nilimutambua ,aendelee kupumuzika Kwa Amani.🇰🇪🇰🇪

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Год назад +3

    KWA HILO NAGUFULI ULIISHINDA DUNIAA, NA INAKUHESHIMU SANAA. MAANA BAADA YA MUDA MFUPI MPAKA WAZUNGU WOTE NAO WAKAACHANA NA CARANTIINI ZAO. LAKINI HAYO YALIKUWA NI MAONO YAKO MAGUFULI.

  • @kambalekalemo9903
    @kambalekalemo9903 2 года назад +14

    Nime lia kwasababu alikufa wakati yupo kwa mikakati yakutaka kusaidia Congo🇨🇩 , aka acha akisema tu kwamba sisi wa Congomani tupo wa ndugu nawa tanzania🇹🇿❤️

  • @salastinhail5165
    @salastinhail5165 2 года назад +4

    Baba magufuli pumuzika kwa amani tulikupenda sana na mungu akakupenda zaidi

  • @AthumaniAbdalah-vg5ti
    @AthumaniAbdalah-vg5ti Год назад +5

    Mungu akupumzishe baba, umetutoa gizani ingawa kinachoendelea sasa hapa tz, sijui ndolaana!!.

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s Месяц назад +1

    Nilikuwa nampenda sana Baba Maguful kwa kumtaja Mungu ni hodar sana Masha Allah..... alijuwa yeye kuna Mungu...na Yesu sio Mungu...

  • @dehain1848
    @dehain1848 2 года назад +9

    Mtetezi wa nyonge hatuwezi kukusahau mzee continue resting in power😭😭😭😭 watching from kenya

  • @florangido202
    @florangido202 2 года назад +15

    R.I.P. BABA, TUNAKUOMBEA UPUMZIKE SALAMA UKO ULIKO,
    NASI TUTAKUJA, ILI KWA PAMPJA TUMLAKI BWANA YESU MAWINGINI!!
    AMEEN

  • @cuthbertsasagu8320
    @cuthbertsasagu8320 Год назад +9

    Magufuli tutaku miss baba yetu kipenzi. Nilikupenda sana upeo. Pumzika kwa amani baba yangu. Ameen. Wote tuko njiani.

  • @JacksonChongela
    @JacksonChongela 10 месяцев назад +3

    Namkumbuka sana huyu mwamba JPM! Mwenyezi mungu ailaze mahala pema pe

  • @NolascoMasaule
    @NolascoMasaule Год назад +6

    Mwenyezi mungu akupe pumziko la milele

    • @ExavellyWalazy
      @ExavellyWalazy 4 месяца назад

      mwenyez mungu akulaze mahari pema peponi mueshimiwa

  • @salomemtwale5370
    @salomemtwale5370 2 года назад +7

    Sawa na zaburi 109 Mungu tunaomba usinyamaze juu ya hao waliohusika na huu baba

  • @AmaniMkaine-t2r
    @AmaniMkaine-t2r Год назад +4

    Banana mungu wa mbinguni akulaze mahali pema.mungu awakumbuke uzao walk daima

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 года назад +6

    TUTAKUKUMBUKA DAIMA MUNGU AKUPUMZISHE KWA AMANI AMINA.

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 2 года назад +7

    Acha hbr za maneno ya Kuambiwa mzee Muache mzee wetu wetu apumzke

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 года назад +4

    Hapa alikuwa ameanza kuumwa jmn,na msiba wa kijazi ulimuumiza sana😭😭😭😭😭😭😭😭😭RIP baba

  • @RehemapaulMsumanji
    @RehemapaulMsumanji Год назад +3

    Namkumbuka magufuli
    Munguakupe
    Kaulisabti magufuliwetu

  • @monikamasasi7582
    @monikamasasi7582 2 года назад +8

    Tutakukumbuka daima 😭😭😭😭😭Hadi kesho tutaendelea kuumia Sana

  • @martafrancisco4319
    @martafrancisco4319 2 года назад +11

    Dkt John P Magufuli. May his soul Rest In Peace.
    He lives in our minds, I loved and I still loving his comments!!!
    From Moz, 🇲🇿❤️🇲🇿❤️🇲🇿❤️

  • @RoseMbwawa
    @RoseMbwawa 9 месяцев назад +2

    Utakumbukwa daima baba i mc u Mungu akulaze mahali pema peponi Amina

  • @MpembaChapa
    @MpembaChapa 11 месяцев назад +3

    Mama Janeth Magufuli Mungu akutie nguvu akupe uvumilivu kwa baba yetu mpendwa kutuacha najua inauma sana ni pengo kwa taifa kwa ujumla 😢...... Mungu atuwezeshe watanzania kwa ujumla Amina❤❤❤❤

  • @ConsolataKalili
    @ConsolataKalili Год назад +2

    Mungu akulaze mahala pema pepon baba magufuli. Amina

  • @charlesmaina360
    @charlesmaina360 Год назад +4

    Asanite kwa mheshimiwa Marehem
    Kwa kusimama na MUNGU siku sake zote akiwa Raise wa inichi.
    MUNGU yuko nae huko alitangulia
    Amen 🙏❤️🙏❤️ you

  • @MosesKiula-c3y
    @MosesKiula-c3y 2 месяца назад

    ❤❤ Baba tunakuenzi binafsi nilikupenda napaka sasa Imani iliyokuwa unatupandia ni Imani am ayo tutaiishi

  • @jtdphenom
    @jtdphenom 2 года назад +22

    I love this man. He is a true leader. God bless his soul!

  • @ChaulaKelvin
    @ChaulaKelvin 25 дней назад

    Mungu ailazee sehem Salam roho na magufuli nilimpenda sn huyu rais mtu wawanyonge ❤

  • @LindaNgongi-pn9tf
    @LindaNgongi-pn9tf 11 месяцев назад +4

    Tutakukumbuka mirere jemedar magu turkupenda rakni mungu kakupenda zaid ustarehe kwaamani ameni

  • @BarakaMasabo-kb6hk
    @BarakaMasabo-kb6hk Год назад +3

    Hakika ni Nani atakae tufuta machozi sisi pia tunakuenzi vip mzee wetu mbona umetuacha papaya mamma hii

  • @dogstz4473
    @dogstz4473 2 года назад +5

    ASANTE SANAAAAAAAAAAA 💪 mzee umetuachia urithi wa maneno na tunayafata kama 2pac vile🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ThomasiKaminyoge
    @ThomasiKaminyoge 4 месяца назад +1

    Mungu akuweke pepon hayati rais magufuli😂😂😂

  • @patrickkwibe4431
    @patrickkwibe4431 2 года назад +6

    Wazungu,walitumia ndugu zetu ili wakuue maana walijua wazi kwamba Africa utaibadilisha na kuwa Kama paradizo ndogo ya duniani,sitasahu pale ulisemaga kwamba utaweka Barbara ndani ya ziwa la Tanganyika mpaka DRC,ili mradi uchumi uongezeke,Baba we ni kichwa,we ni Simba,we ni mzalendo na uliipenda Sana Africa,RIP

    • @elizabethpetro1258
      @elizabethpetro1258 2 года назад +2

      Umeandika kwa uchungu Sana' Mungu akufariji ' haya ya kaisali yasikukatishe tamaa.

  • @EliasJosefh-y7f
    @EliasJosefh-y7f 12 дней назад

    Nilikupend tulikupenda lakni Mungu alikupenda zaidi, Mungu akupumzishe milele mbinguni.

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 2 года назад +7

    Magufuli mpendwa wetu,binafsi naamini maneno yako yanaishi.Duuh nyie huyu baba R.I.P a man of God who lead Tanzania,😭😭😭💔💔

  • @shukuruamani6797
    @shukuruamani6797 Год назад

    président pumuzika ❤ 🙏.umeenda kama haunashida na DRC .mama suluhu mungu akupe nguvu. niwewe unajaribu sikiliza shida za wacongomani katika viongozi mbalimbali asante.❤🇨🇩🌹💪

  • @vincentagwata9459
    @vincentagwata9459 Год назад +3

    May you continue resting in peace Rais magufuli, you listened your electorate and help ed them solve problems without favouring the rich. Be blessed abundantly

  • @IrenBeyanga-u5s
    @IrenBeyanga-u5s 28 дней назад

    😭😭 wew ndie kila kitu wew ndie wew sjui hata nisemaje😭😭 baba angu mungu akulaze mahali pema

  • @cnm2976
    @cnm2976 2 года назад +3

    MUNGU Ndiye Muweza! Asante baba JPM.

  • @EdyFyz-cf9qw
    @EdyFyz-cf9qw Год назад

    Best President ever🙏🙏🙏

  • @annadotto2429
    @annadotto2429 2 года назад +5

    Endelea kupumzika kwa Amani baba, hakika sitakusahau milele

  • @FelistaDugange-cm4xp
    @FelistaDugange-cm4xp Год назад +1

    Pumzika kwa amani raisi wetu John pombe magufuri tulikupenda Sana ulilipenda taifa lako la Tanzania

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 2 года назад +6

    Huyu mwamba alikuwa jiwe hasa. Kipindi balozi Kijazi alikufa corona ndo iko peak times..lakini hakuna mteule wake aliyevaa barakoa.. JPM aliishi maneno yake.. R.I.P kiongozi wetu

  • @faustinerobertmombo99
    @faustinerobertmombo99 2 года назад +2

    Unajua mtu mwenye wito wa uongozi huwa anaonekana tu hyo ndo alikuwa Kiongozi sasa but for now tunaendesha tu R.I.P JPM 😭😭😭😭

  • @wilfredkiruilimo
    @wilfredkiruilimo Год назад +3

    Rip african legend.How u loved ua electorates; visited them, heard their tribulations and sorted them head-on; delights my heart tremendously.May the rest of African leaders emulate this.❤ from 🇰🇪

  • @paschaziamathias5090
    @paschaziamathias5090 Год назад +1

    Hakika umeacha pengo kubwa sana ktk Nchi yetu ya Tz, Baba,tunakukumbuka kwa mengi sana kipenzi chetu.
    Mungu akupokee ktk nuru ya USO wake, na utuombee nasi tuufikie Uzima huo wa milele. Aminaa.

    • @meysampaul
      @meysampaul 10 месяцев назад

      mteteziwawa nyonge ulalesalam

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 2 года назад +6

    Hatukuoni ila tunashindw kukusahau Ewe yesu kristo wa Nazaleth ulie mfufua lazaro mkumbuke kipenzi chetu rais wa wa nyonge bado tunakulilia

  • @lesikaredward2754
    @lesikaredward2754 2 года назад +2

    Mungu akutangulie miss you presedent magu

  • @bestfriendokitokapalata6137
    @bestfriendokitokapalata6137 2 года назад +3

    Mungu ailaze roho yako mahala pema peponi, sijawahi kona raisi kama wewe mpaka mwisho wa dunia hii hata kuwepo maana jina la Mungu ulilitumia sana kwenye mipango yako yote Mungu aipokeye nafsi yako kwa amani

  • @safeprint9418
    @safeprint9418 Месяц назад

    Huyu Rais wa Tanzania Wema wake sasa ulihama Tanzania na kuelekezwa upande wa Kenya,wakenya wanampenda sana raisi wao wa sasa Daktari william Ruto Akitoa hotuba yake wakenya wengi wanashangilia kwa shangwe na nderemo mungu ampe maisha marefu rais wetu

  • @sarafinasakalla1156
    @sarafinasakalla1156 2 года назад +4

    Duu Mungu akupumzishe kwamani 😭😭

  • @afidhabui6767
    @afidhabui6767 2 года назад +1

    Wanaomcha mungu siku moja tutakutana na maguli

  • @emilynyaki5590
    @emilynyaki5590 Год назад +4

    Rest in eternal peace the second father of our Nation,,, we will miss you dady🙏🙏🙏🙏🙏

  • @EnjoyMaiko-eu1ps
    @EnjoyMaiko-eu1ps 8 месяцев назад +1

    Duhuu vizuliuwa avidum mungu akulaze mahalipema

  • @jacksonbalili6041
    @jacksonbalili6041 2 года назад +4

    MUNGU Alinde sana Tanzania

  • @LeonoraTossi
    @LeonoraTossi 10 месяцев назад +1

    Pole baba Mungu anajua mwanadamu hawezi

  • @samsonkaboko5137
    @samsonkaboko5137 2 года назад +5

    Namuona yuda esikaliote na barakoa

    • @JanethFaida
      @JanethFaida 3 месяца назад

      Duuuh nimejokuta nacheka tuuu

  • @josephatodimary3633
    @josephatodimary3633 2 года назад +2

    JK anadhani ataishi milele

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 года назад

      Matendo mema yanaongeza umri hata kama atakufa utasubiria sana

  • @elibarikioffical
    @elibarikioffical 2 года назад +4

    RIP MAGUFULI MY PRESIDENT,,Never forgettable

  • @EstherKanjinura-b4l
    @EstherKanjinura-b4l Месяц назад +1

    Mungu alikutumiya baba kiukwer ulikuwa ukituhubilia nakumtanguliza mungu 😂😂😂❤

  • @muhammadbamus5767
    @muhammadbamus5767 Год назад +3

    May your soul continue rest internal peace baba pombe magufuri, mahari tumefika tuna kumbuka neno lako kwa uzuli si kwa ubaya

  • @jamesmwangi8598
    @jamesmwangi8598 2 года назад +2

    Huyu ni kiongozi mtetezi wa wanyonge

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 2 года назад +4

    Alivyomalizia '...na sisi tupo njiani,tunakuja..'

  • @Ndegesela
    @Ndegesela 10 месяцев назад +2

    Bba yetu hakika wew ulikuwa jembe la watanzania htutapta kiongozi kma wew mungu akupumzishe kwa aman

    • @Ndegesela
      @Ndegesela 10 месяцев назад

      Mungu hawez kkuacha hko ulipo akupe maisha ya milele...cku ikipendezwa tutakaa pamoja na kufrahi pamoja mungu muangazie mwanga wa milele

  • @hojaerenest7543
    @hojaerenest7543 2 года назад +3

    Mungu akuweke mahalipema zaidi amin

  • @BildadKakule
    @BildadKakule Месяц назад

    Huo ni ujumbe wa kweli wa hati makufuli, tuelekeze watu kwenye mungu, apana ku wapotosha, kuwaachia shetani ili awameze. Apumuzike salama.

  • @aishagobren4098
    @aishagobren4098 2 года назад +3

    Tutakukumbuka daima kwa maneno yako mazuri baba .tutakulia daimma I

  • @neemabenjamin2176
    @neemabenjamin2176 2 года назад

    Magufuli best president

  • @abedisofia2764
    @abedisofia2764 2 года назад +3

    Kweli yako hakuna linalo kufika mbaka mungu atake nice one, mungu atakusamehe

  • @CresenciaCastor-rk2ty
    @CresenciaCastor-rk2ty 11 месяцев назад

    I love you my dady even if you dead but still remember forever 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @soudsaidi9708
    @soudsaidi9708 2 года назад +3

    Yaaan daaaaah kwel chuma kimeanguka nchi hii inayumba yumba tu Kila sehem tozo watu bidhaa wanajipangia pangia Bei tu mitandao ndio usiseme

    • @elizabethpetro1258
      @elizabethpetro1258 2 года назад

      Usisahsu makato ya kutoa pesa kwenye benk na cm Ni balaa tupu

  • @AgnesKibuga-d3j
    @AgnesKibuga-d3j Год назад +1

    Jp ungekuwepo mpaka leo hii nchi yetu ingekua
    Mbal sana duh binadam
    Wabaya mh nitazid kukuombea magu

  • @albartpaulo1183
    @albartpaulo1183 2 года назад +6

    Hakika kifo wewe ni katili sana ila ujinga mwingi uliyo nao wewe kifo unasahau kwamba unamuondoa mtu tu duniani lakini matendo yake yanaishi duniani na tutaendelea kuyaishi mazuri yake.

  • @jordinmbavazi3126
    @jordinmbavazi3126 11 месяцев назад +1

    Unforgettable president dear Tanzanians

  • @muhalakibwana4026
    @muhalakibwana4026 2 года назад +7

    Huyu Mzee Tanzania na Africa nzima hatasahaulika alikuwa mwamba na nguzo muhimu Kwa wengi

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 2 года назад +2

    Pole Sana Baba ulituvusha.salama.kwenye Corona hatujukaa.ndani.wala.kufa njaa mungu..atakulipia .haki.yako JPM bado tunakulilia. Rl P JPM

  • @noelias_de_humbled
    @noelias_de_humbled 2 года назад +5

    R.I.P Magufuli may God put your soul in enternal peace ☮️

  • @RahmRahmmy
    @RahmRahmmy 10 месяцев назад +1

    Enyewe mungu umemchukuwa raisi mwaminifu, uzidi kumweka mahala pema peponi. Hakuna raisi Kama huyu duniani hapa😭😭😭😭

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 2 года назад +3

    Wewe mtandao unatuumiza
    Unampomguza Hayati Magu.
    Ninakuomba uache kutuletea
    Sura ya mpendwa wetu tunaumia sana

  • @JosephOgola-mm6iw
    @JosephOgola-mm6iw Месяц назад

    It is one of the best sons of Africa who has no comparison. May the good lord rest his soul in peace. I respect him and all Tanzanians.

  • @ruthyohana23
    @ruthyohana23 2 года назад +3

    Tanzania yetu sote wapo wanao Seema yao ila watapita ns wataiacha

  • @bennyjohn1412
    @bennyjohn1412 2 года назад +2

    Jamani Mzee amepumzika muache kurusha mambo ya ajabu

  • @EthanElisha-x5l
    @EthanElisha-x5l 4 дня назад

    Inauma San tunakukmb baba ming haweke roh yk pepon❤❤❤❤

  • @emanuelxavery1185
    @emanuelxavery1185 2 года назад +3

    Mtetezi wa wanyonge R.I.P😭😭

  • @FredsonHytham-dx4xk
    @FredsonHytham-dx4xk Год назад +1

    Baba sina neno mm ,😭😭😭😭

  • @patrickkwibe4431
    @patrickkwibe4431 2 года назад +5

    🇨🇩 We love you so much I am always proud of you go well Papa

  • @EnthusiasticDrumKit-on1qr
    @EnthusiasticDrumKit-on1qr 9 месяцев назад +1

    Ooooooh❤❤❤

  • @emmanuelnsavyimana2218
    @emmanuelnsavyimana2218 2 года назад +4

    mungu akulinde mzee wangu

  • @jescamuijsers4206
    @jescamuijsers4206 2 года назад +2

    Maumivu ya kifo cha rais wetu magufuli ni milele 😭😭😭

  • @torokokorobert5841
    @torokokorobert5841 2 года назад +6

    mh we huyu mzee bas😭❤️

  • @EnjoyMaiko-eu1ps
    @EnjoyMaiko-eu1ps 8 месяцев назад +1

    Kwanini mungu anaacha watu wenyelohombaya waishi alafu watuwemakama wewe magufuli wanakufahalakaa duuuuu cjui nichaguwelipi kati yakuwa kama magufuli au niwe nalohoo mbaya makatili wanaishisana duuuuu🙏🙆

  • @mariamshafii1622
    @mariamshafii1622 2 года назад +3

    Mungu ailaze roho yake maharage pema peponi tunakukumbuka sn baba

  • @mansonnyamwela1801
    @mansonnyamwela1801 2 года назад +12

    Tears will never stop coming out.

  • @patricksadock6198
    @patricksadock6198 2 года назад +1

    really right ,, hakuna kama magufuli

  • @Max-kl8hv
    @Max-kl8hv 2 года назад +8

    Rip Dad watching from 🇰🇪🇰🇪 Kenya

  • @EdwardSiriki
    @EdwardSiriki 3 месяца назад +1

    Pia dhamira yake wakati akiwa mwanafunzi alipenda awe askari trafiki

  • @morangazachary4793
    @morangazachary4793 Год назад +2

    My all time legend and a true African icon. Continue resting in peace

  • @ZumratNuhu-ub1bt
    @ZumratNuhu-ub1bt Год назад

    Tunakukubuka sana baba tutazidi kklilia baba😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @moses4873
    @moses4873 2 года назад +5

    May God protect's soul and countiue RIP until we meet again shujaa. 🇰🇪🇰🇪

  • @MANIWAMICHANO
    @MANIWAMICHANO Год назад

    Kifo ni pigo kbwa saana kwetu,,hata dunia nzima tkiandamana hatuwezi weza,,mng baba wa mbingini ,,ingilia Kati mwenyewe wanao tnaangamia,,inauma saana Tena saana,,,daaaaaaass🎉🎉🎉🎉🎉