MTUMISHI JOVIN ABEL - MAOMBI YA KUSHUGHULIKIA KILA UCHAWI NA MADHARA YAKE {MAOMBI} -TAR:27/05/2023

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 61

  • @QueenEliakim-l7u
    @QueenEliakim-l7u День назад

    Nakataa roho ya kukataliwa katika jina la yesu na uchawi ukasambae katika maisha yangu

  • @JosephOlais-wr6zn
    @JosephOlais-wr6zn 8 месяцев назад

    Asantemungu kwa mambo ya safina mimi ni Joseph olais au baba amon mungu awabariki watumishi
    bariki

  • @GidionChirspn
    @GidionChirspn 2 месяца назад

    Mungu wangu nakuomba leo hii utukinge na nguvu za giza

  • @Edward-my9wr
    @Edward-my9wr 8 месяцев назад

    we mungu nipe kibali mbele ya wanadamu

  • @TumainiTumainiMoses
    @TumainiTumainiMoses 9 месяцев назад +1

    Kwa jina la yesu kristoo nateketeza uchawi wote ktk jina la yesu

  • @GorgeUriho-m7z
    @GorgeUriho-m7z 4 месяца назад

    Nateketeza uchaw wote ktk jina la Yesu

  • @JailosMadeha
    @JailosMadeha 2 месяца назад

    Najitoa Kwa jina lake Yesu

  • @alkaullahmediaTz
    @alkaullahmediaTz 9 месяцев назад

    Roho ya Uchawi kwenye familia na maisha yangu ikateketee kwa Jina la Yesu. kwa Damu ya Yesu

  • @AnnaKaroli-xv4nq
    @AnnaKaroli-xv4nq 7 месяцев назад

    Nabarikiwa San na maombi ya safina MUNGU awabariki sana MUNGU atusimamie site🙏🙏

  • @festosalvatory
    @festosalvatory 7 месяцев назад

    kwa jina la yesu kristo by Festo Salvatory

  • @JailosMadeha
    @JailosMadeha 2 месяца назад

    Nateketeza uchawi wote Kwa damu ya Yesu

  • @Sesiliangowi
    @Sesiliangowi 8 месяцев назад

    Nafsi ya itoke kwenye mizim ya wajomba Kwa Ji la Yesu

  • @winrosematuro-n9s
    @winrosematuro-n9s Год назад +1

    Mungu awabariki sana na awatunze muishi maisha marefu

  • @VeronicaThomas-pb1cp
    @VeronicaThomas-pb1cp Год назад

    Mungu mbariki mtumishi wako jovin abeli

  • @NelsonKileo
    @NelsonKileo 3 месяца назад

    Barikiwa sana.

  • @JaneMungure
    @JaneMungure Год назад

    Naa wachawi hote wakapigwe katika jina la yesu mahali popote walipo wakapigwe katika jina la yesu

  • @hawamasomora-os9np
    @hawamasomora-os9np Год назад

    Leo nimefunguliwa nawatoto wangu kwajina layesu

  • @hawamasomora-os9np
    @hawamasomora-os9np Год назад

    Ásante yesu kwalehema ulio nipa leo nawanangu

  • @marialivingstone1781
    @marialivingstone1781 7 месяцев назад

    Wachawi wafe kwa
    Damu ya Yesu

  • @LisaTarimo
    @LisaTarimo Месяц назад

    Kwajina layesu nateketeza uchawi nauganga kwenye familia yangu nakaz yangu naviteketeza kwajina layesu

  • @lightnessgamasa6039
    @lightnessgamasa6039 9 месяцев назад

    Yamekwiiiiishaaaaaaa àsante yesuuu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @GidionChirspn
    @GidionChirspn 2 месяца назад

    Na jitoa Kwa jina la yes

  • @JosephOlais-wr6zn
    @JosephOlais-wr6zn 8 месяцев назад

    Naitwa Joseph olais kutoka siwandeti kijiji cha,Tarakwa nasikiliza nikiwa nairob Kenya mungu awabarik i mungu barking safina radio

  • @JaneMungure
    @JaneMungure Год назад

    Mungu ukawapinge mahadui hote wanaonifatiliya

  • @tajirilukumay5490
    @tajirilukumay5490 5 месяцев назад

    Kwa jina la yesu na choma

  • @VictorJackson-kw7tq
    @VictorJackson-kw7tq Год назад

    God bless you

  • @gracembwilo1455
    @gracembwilo1455 Год назад

    Uchawi ni Adui Mkubwa ktk Maisha Kiroho na Kimwili ktk Familia nyingi: Hivyo Nayateketeza ktk Familia yangu kwa JINA la YESU wa NAZARETH aliye HAI🎉🎉🎉 Ameeeen!

  • @CarolineMathewSimite-mv2nw
    @CarolineMathewSimite-mv2nw Год назад

    Mungu niondolee kila roho kwenye mikono yangu

  • @FelixAlbert-hs7ls
    @FelixAlbert-hs7ls 9 месяцев назад

    Shaloom. katika jina la YESU tunateketeza kila uchawi na uganga ushirikina na ulozi katika Familia yetu. amen.

  • @kelvinkimath4987
    @kelvinkimath4987 Год назад

    Yeyote Alie nifanyia uchawi awe wakime ama wakike umrudie mwenyewe ktk jina ya yesu kupitia maombi haya Leo mungu amridhie

  • @JanetSnay-v7d
    @JanetSnay-v7d 9 месяцев назад

    Tumepenya hapa ugeruman hasande bwana

  • @EmmanuelPius-vq9be
    @EmmanuelPius-vq9be 8 месяцев назад

    Kwajina layesu kristo uteketez uchawi

  • @JanethUrasa-qs5ot
    @JanethUrasa-qs5ot 11 месяцев назад

    Amen

  • @hawamasomora-os9np
    @hawamasomora-os9np Год назад

    Uchawi kwenye family yangu leo inakombolewa

  • @Jackline-ek1gp
    @Jackline-ek1gp 10 месяцев назад

    Kwa jin la yesu jin la yesu ninasambaratisha uchawi wote kwa jin la yesu

  • @emanueljmassawemassawe-qs2zl
    @emanueljmassawemassawe-qs2zl Год назад +1

    Kwa Jina la yesu nateketez uchawi uganga katika Familia yangu na kazi yangu kwa damu ya yesu 🇮🇱 🙏 🇮🇱

  • @IsayaMoineto
    @IsayaMoineto 2 дня назад

    Aminaa watumis

  • @samweljames
    @samweljames Год назад

    Mwenyezi mungu ☝️ awabariki Sana ❤

  • @hawamasomora-os9np
    @hawamasomora-os9np Год назад

    Uchawi nauga kwenye family yangu dukani kwangu kwenye biashala yauseni itoke

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 9 месяцев назад

    Kwa jina la Yesu Kristo hallelujah hallelujah hallelujah

  • @Jackline-ek1gp
    @Jackline-ek1gp 10 месяцев назад

    Madhara ya uchawi ninasambaratish kwa dam ya yesu

  • @laretoninjake
    @laretoninjake День назад

    nahitaji maombi kwa ajili ya biashara

  • @majormajomjohn3775
    @majormajomjohn3775 Год назад

    Mungu awabariki watumishi wote wa safina

  • @MayjuneMayjune-uj5rd
    @MayjuneMayjune-uj5rd Год назад

    amina

  • @malaikakoku3339
    @malaikakoku3339 9 месяцев назад

    Kwa jina laYrsu uganga, uchawi wowote ule ktk familia ninayozaliwa na niyoolewa uteketee kwa moto wa roho Mtakatifu

  • @yustermathew9448
    @yustermathew9448 Год назад

    Ameen

  • @imediatv26
    @imediatv26 4 месяца назад

    Jaman kagera frequency ni zip

  • @the_vipper_killer7910
    @the_vipper_killer7910 10 месяцев назад

    Tunaombeni jamani kibaha tupate uduma ya radio dsm kibaha pwani

  • @jumaissa4887
    @jumaissa4887 Год назад

    Uchawi umeharibikA

  • @JaneMungure
    @JaneMungure Год назад

    Nahend kuchoma uchawi katik jina layesu

  • @hosianamunuo15
    @hosianamunuo15 Год назад

    🔥🔥🔥🔥

    • @priscashiyo9392
      @priscashiyo9392 Год назад

      Mungu atiye nguvu na mkae miaka mingi watumishi wa Mungu

  • @GidionChirspn
    @GidionChirspn 2 месяца назад

  • @AsiyaSalim-s8d
    @AsiyaSalim-s8d 6 месяцев назад

    Kwajina LA yesu mchawi anaenitesa afe kwa damu yayesu

  • @GidionChirspn
    @GidionChirspn 2 месяца назад

    Na jitoa Kwa jina la yes

  • @SmilingPanther-uw7sz
    @SmilingPanther-uw7sz 10 месяцев назад

    Amen

  • @JaneMungure
    @JaneMungure Год назад

    Nahend kuchoma uchawi katik jina layesu

  • @noelamunis9145
    @noelamunis9145 15 дней назад

    Amen