Shinda KESI MAHAKAMANI kwakutumia URADI HUU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 ноя 2024

Комментарии • 19

  • @Moxproh
    @Moxproh 9 месяцев назад +5

    Shekhe nisaidie nilipwe madeni yangu

  • @mbaroukkhalfani9244
    @mbaroukkhalfani9244 11 месяцев назад +6

    1.alamnaahrah
    2.innaanzlnahu
    3.walasir
    4.alamtara
    5.ilaffykuraish
    6.ihlasi/kulhuwaallah
    7 falafel
    8nas
    9.fatha
    10 ayatkuraiyu
    11.fawaka haqa wabatwala makanu yaaamaluna fahalibu hunalika
    12.waankallabu swahilini
    13.laila haila Allah laadhimu halimu.laila haila Allah rabuarshi Alkarim.laila haila Allah rabual samawat warub ardhi warabu arshi karim
    14 swala ya mtume

  • @aaikndy
    @aaikndy Месяц назад

    Asante sana skeikh

  • @omaryteddy535
    @omaryteddy535 2 года назад +1

    Mashaallah

  • @anthonynyakunga6270
    @anthonynyakunga6270 Год назад

    Duu wengine ni madhehebu mengine itatusaidia je shehe wangu nimependa tiba yako

  • @OlivaOnesmo
    @OlivaOnesmo 2 месяца назад

    Wakristu tunafanyaje?

  • @abdulhamidabubakar2888
    @abdulhamidabubakar2888 2 года назад

    Asalam aleykum...
    Alhamdulillah...Barakallahu fih shekh kwa kufundisha vizuri Allah akujalie ekher..
    Kifupi Surah zote zinatoka kwa Allah ukiwa na yakini basi hata Surat Fatha inaondoa majini kwahiyo ...
    Naamini katika kuzitumia hizo surah zote na kuchanganya ufundi I aleta tija na dua kujibiwa ...
    Jazakallahu

    • @awadhluqqman2597
      @awadhluqqman2597 Год назад

      Asalaam alaykum warahmatullahi wabarakatu me Nataka kujua hizo Aya zipo sura Gani?

  • @suleimanlutumo4667
    @suleimanlutumo4667 2 года назад +1

    Swadacta

  • @PartayeYaile
    @PartayeYaile Год назад +1

    Ndugu yangu UST.wangu,mfuasi wa Mtume(sw).anafanya mambo yake kutokana na mafundisho ya Mtume wake.jee Mtume sw amefunza hivi?tunataka dalili.Kama huna dalili,basi usizue ili usipate dhambi

    • @muhsinchambega
      @muhsinchambega 2 месяца назад

      Kwani mtume alitumia youtube?...

    • @swalehseifmuhammed8289
      @swalehseifmuhammed8289 Месяц назад

      Ama kweli wahabi yoyote ni kichwa maji😊

    • @swalehseifmuhammed8289
      @swalehseifmuhammed8289 Месяц назад

      Na kwan mtume alikwenda hospital kutumia panadoli kisha qur ani nishifaa kwa waumin ss ww kama haumuamin wacha tu

  • @mugzmuhammad2491
    @mugzmuhammad2491 2 года назад +3

    Hii iko wapi kwa mafunzo ya Rasulullah (saw) ?????

    • @mohammed.alghurabaa9266
      @mohammed.alghurabaa9266 2 года назад +2

      Jiazari kuskiliza mawaiza ya masheikh wanao futuru wali kutoka kwa ubalozi wa america 🇺🇸

    • @abdulmalickupete9015
      @abdulmalickupete9015 2 года назад

      Ugali unao kula Kila siku uliupata wapi?ktk mafunzo ya mtume ?ACHA upuuzi watu wasitumie'' KIYAASI'' KATIKA QURAANI WAENDE KWENYE MAFIKIRA YENU YA KISALAFI ACHENI WATU TUNAFAIKE NA QURAANI KULIKO KUWAFUATA MLIOJITWISHA HUKUMU KWA WAISLAMU WENZENU SASA SIJUI ALLAH SWT ATAHUKUMU NINI WAKATI NYINYI MMESHA WAHUKUMU WAISLAMU WOTE KUWA NI WAKOSAJI ILA NYINYI TU NDIYO MPO SAWA MBELE YA MOLA WETU!!!!!

    • @mugzmuhammad2491
      @mugzmuhammad2491 2 года назад +3

      @@abdulmalickupete9015 nilikuwa nafikiri utanisaidia kujibu hilo swali manake mimi nimesilimu na ninaendelea kujifunza dini. Lakini kwa majibu ulionipa na kuandika insha refu isio na maana, nitakusamehe ujahili wako. Jifunze maadili. Usianike upumbavu wako wazi wazi, tunafuata mtume na mafunzo yake, hatufuati maoni ya watu. Jirekebishe na ujifunze heshima

    • @1nesoch
      @1nesoch Год назад +2

      Iko katika Bulugh-al-Maraam.

    • @SaidFupi
      @SaidFupi 4 месяца назад

      Ameuliza dalili mtu unajibu upuuzi kiuhalisia Hawa mashekh hua hawatoi dalili