Kwa Viumbe Vyote Barabara 13 Ulyankulu Wakati ule wa Nuhu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии •

  • @williamsagala7081
    @williamsagala7081 11 месяцев назад +3

    Siku za nyuma,,, kabla Dunia hahija kuwa gunia,, timeless music,

  • @sylvesterjulius2879
    @sylvesterjulius2879 11 месяцев назад

    2024 bhulyanghulu kakora shinyanga 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽 still listening

  • @smallhugs8290
    @smallhugs8290 2 года назад +3

    Greatest song of all time. The voices are golden. Be blessed.

  • @laylathmathias1337
    @laylathmathias1337 3 года назад +5

    Hakika nyimbo hizi ziliimbwa kwa roho na kweli

  • @hopelazaro8570
    @hopelazaro8570 6 месяцев назад

    I love this songs 🙏🏼

  • @moseskapyuku114
    @moseskapyuku114 3 года назад +2

    Nyimbo hizi ndizo zilinifanya nimjue Mungu wa kweli mbarikiwe sana wapendwa

  • @ananiafransic1257
    @ananiafransic1257 5 лет назад +3

    Hakika mrikuwa mnaimba uharisia mavazi yenu ya heshima nywere zenu za uharisia mbarikiwe sana wapendwa

  • @FosiaMbash
    @FosiaMbash Год назад +1

    Very nice song I love it

  • @bensonlucasmbunda2489
    @bensonlucasmbunda2489 2 года назад +1

    mbarikiwe watu wa Mungu...ombi langu kwa Mungu...awape mwisho mzuri...vita mvipige vizuri na imani muilinde kabisa

  • @wakatiponda8557
    @wakatiponda8557 5 лет назад +6

    Hakika nyimbo hizi zinautamburisha
    Urokole wa asili Mungu awabariki

  • @leonardndimbo6663
    @leonardndimbo6663 2 года назад

    Mungu awabariki sana
    maana nyimbo imenigusa moyoni kabisa

  • @AgnessNjeri
    @AgnessNjeri 8 месяцев назад +1

    Yale yanayotendeka sasa ni mabaya sana kuliko wakati huo

  • @edwardmuema9453
    @edwardmuema9453 Год назад

    Hii choir ilikuwa imejitolea kuinba wimbo huu.Asanteni sana

  • @dominickkapumbe6629
    @dominickkapumbe6629 4 года назад +2

    I remain Speechless, hapo zamani jamani.. Mungu ni mwema..

  • @amosndunda7035
    @amosndunda7035 4 года назад +3

    Hizi nyimbo unibariki sana

  • @elaineeliudi2497
    @elaineeliudi2497 3 года назад +1

    Nyimbo zenye nguvu ya MUNGU hata sasa zinabariki mioyo yetu. MUNGU awabariki sana

  • @tommulongo3441
    @tommulongo3441 Год назад

    Tafadhali ningependa nijue hawa wapendwa maisha yao sasa.Nyimbo za kubariki sana

  • @enocktinega2707
    @enocktinega2707 Месяц назад

    Hawa wapendwa are heroes and heroines.This was the true gospel.GOD'S WILL BE DONE

  • @AgustinoMtenda
    @AgustinoMtenda 9 месяцев назад

    Nawapenda sana mungu awabaliki sana

  • @noelamtesigwa6819
    @noelamtesigwa6819 3 года назад +5

    2021.. nyimbo za mama angu

  • @samsonkidomvyi5350
    @samsonkidomvyi5350 2 года назад

    Hakika nyimbo hizi ninazipenda sana maana kipindi hiki ndoo walikuwa wanaimba nyimbo zenye ujumbe namahubiri ndani yake

  • @justusgetate8081
    @justusgetate8081 3 года назад +1

    Nimebalikiwa sana na uhu wimbo

  • @Muhabwantebe
    @Muhabwantebe 4 года назад

    Mubarikiwe sana Mwakutukumbusha Imani yatu yazamani pia desturi njema yakikristo

  • @AgustinoMtenda
    @AgustinoMtenda 9 месяцев назад

    Nawapenda

  • @allysonda7871
    @allysonda7871 2 года назад

    Yaaan dah old is gold mbarikiwe saaana

  • @rebmansunzu813
    @rebmansunzu813 3 года назад +2

    2021 bado imenishika

  • @jacobpatrick7936
    @jacobpatrick7936 4 года назад +2

    October 2020,here we go

  • @evanslangat5661
    @evanslangat5661 2 года назад

    Powerful indeed! God bless the Barabara 13 Ulyankulu Choir and their families...

  • @erickasenga2594
    @erickasenga2594 2 года назад

    nakumbuka nilikua mtoto hizi nyimbo zilikua mto

  • @johnmuli4250
    @johnmuli4250 2 года назад

    Nice one

  • @onyangosilvia3059
    @onyangosilvia3059 2 года назад +1

    powerful song used to listen while young

  • @EmmanuelMvelengi
    @EmmanuelMvelengi Месяц назад

    Mpo wapi kwasasa wapendwa wamungu.

  • @masakondikunyownachiwona9906
    @masakondikunyownachiwona9906 2 года назад

    2022 bado naifatilia nabarikiwa Sana na huu wimbo

  • @tsawe-mungachidongo2103
    @tsawe-mungachidongo2103 2 года назад

    Amina milele

  • @jackson8825
    @jackson8825 2 года назад

    Good songs

  • @jackson8825
    @jackson8825 2 года назад

    God bless u all

  • @emmanueltugara9633
    @emmanueltugara9633 2 года назад

    Ivi hii album ilikua ni ya mwaka gani!?? 80s?

  • @josephsamweli896
    @josephsamweli896 2 года назад

    Amen

  • @GraceGeorge-l5t
    @GraceGeorge-l5t Месяц назад

    Vp Hawa waimbaji wapo wapi jaman au hii Kwaya ip0 kweli

  • @emmyjohn3970
    @emmyjohn3970 3 года назад

    Powerfully

  • @Bruno-ed1ps
    @Bruno-ed1ps 2 года назад

    Natamani kuwaona hawa watu live msaada wenu tafadhali

  • @binamutawa9637
    @binamutawa9637 3 года назад

    Vipaji adimu

  • @jylishura7665
    @jylishura7665 2 года назад

    2022

  • @leonardndimbo6663
    @leonardndimbo6663 2 года назад

    Mungu awabariki sana
    maana nyimbo imenigusa moyoni kabisa