I was Still young boy when the series of these songs released, Till now Im blessed. Now days Gospel songs have changed to ndombolo and so many worthless meaning. May God bless every one who watch and listen to these guys.
Binadamu atakufa tu Siku moja ufanye ya maana sasa uogope dhambi na utii Mungu wako. Kwa hivi sasa hii ndiyo paradiso tuko na jehanamu ni hapa hapa tu...... Kwa kuwa ukifa wewe ni spirit tu n'a mambo yataishia hapo. Hasawa waafrika watafute Mungu WA ukweli waacahane na hadithi za waisraeli...
hakika nyimbo hizi zinaleta tumaini zinamtukuza MUUMBA na si kama waimbaji wa injili wa leo wamepoteza mvuto kabisa eti wanakwenda na wakati mi nadhani wakati ndo unaenda na waimbaji wa nyimbo za injili wa leo, MUNGU aibariki kwaya hii aibariki sana.
Forget the 21st century artist who are doing it for fame and money...these souls did itto praise God and pass His message to the world. This explains why these songs are as fresh as they were in 80s...May God bless us all.
Reminds me of my childhood,we used to play it on a video decorder. I miss my parents, thanks mum and dad for introducing me to God. Till we meet again,keep resting...
Mungu awabariki sana ninyi muliyo weka nyimbo hizi kwenye RUclips. Hakika, nyimbo hizi za "KWA VIUMBE VYOYE" zina nijenga sana kila mara nizisikiyapo. Asante sana kabisa!
Even the beats were inspired all for the glory of the Lord, unlike today nothing from artists or even the ones playing the beats are inspiring. God bless you guys
Ulyankulu choir imenibariki kwa miaka mingi. Nakumbuka nilikuwa na hii cassette nikiwa college in 1998/1999, I used to listen to it every day and I'd put the music very loudly in my room and it blessed everyone
pangali waibaji wakingari hai miongoni mwa choir iyi ? Mungu awabariki zaidi. Mimi nimefundishwa kupiga muziki kwa kujitaidi na kurudiya emwo jinshi walipi. Kwa hiyo,nilijitayidi kusema na kujuwa lugha ya kiswahili tangu wakati ningali masomoni ya kisekondari ingawa nilifuata sayansi. Hata ivi na watoto wangu wananiuliza kwa sababu gani napenda sana album za Uryankuru choir.

Wapendwa bwana YESU ASIFIWE. Huu wimbo niliusikia kwa mara ya kwanza mwaka 1988 nikiwa nakaribia kuanza darasa la kwanza, mpaka sasa nimeoa na nina familia lakini bado napata radha yake ile ile kama niliyoipata kwa mara kwanza. Sikufanikiwa kutimiza ndoto zangu za kuiona live hii kwaya, bado ipo mpaka leo na inatoa huduma???
Very powerful the old is gold,niliskia hii kwaya walipata ajali na mahali waliaguka wakatafutwa awakupatikana ata mmoja mi usema MUNGU kama ni kweli basi MUNGU aliwanyakua wote
In the 1980's this was the best music that i listened from radio KBC. My goodness it is still inspiring up today.Whenever it rains and floods,i remember this song and develop fear of drowning,
Ahsante sana wana tanzania kwa kutukumbukumbu namna hii, tafadhali naomba album mzima ya "mwenye mamlaka' kuna wimbo nitafutao sana wa 'zakayo'. Mungu akubariki.
wakasema e Nuhu utufungulie hiiiiiiiii...... Huyo Dada pamoja na wanakwya wamenibariki sana. God bless you so much. I wish I had the contact of this choir.
Mungu azidi kuwatiya nguvu!I've been searching for this song for such a long time... And finally I found it by accident as a friend of mine posted it on her facebook, and when I first saw it on her wall I was like where the heck did my friend get that song from? I was astonished, to be honest.... Glad that I eventuelly got it. anw, I wish 'em a long life. Bless 'em! (UK ,england)
Nilichoshangaa wahusika wa hizi nyimbo hawanufaiki na nyimbo zao duh! Kweli injii itahubiriwa kwa halali na hata isiwe kwa halali Wabarikiwe waimbaji na wasamehewe wanufaika.
I started to here this song before i born again; John 3:3, it was fantastic and still very fantastic. it is a song that even you don`t know what is God, for this song you can know who is God.
Bado wapo baadhi kama uyo mama alieimba hapo anaitwa JOVITA NYANDU, alisema kuna baadhi MUNGU amewachukua, wengine walirudi kweny nchi zao, wengine waliolewa sehemu mbalimbali
This was the best gospel songs during my time. When gospel was true gospel
I was Still young boy when the series of these songs released, Till now Im blessed. Now days Gospel songs have changed to ndombolo and so many worthless meaning. May God bless every one who watch and listen to these guys.
Elihaki Salehe true my friend the current crop of singers hahahahaa
Which years were these
@@stevek8318 1980's
Songs are good but how are they downloaded from yu tube
@@stevek8318 1996
Narok Kenya where i used to listen these songs. Mum in Narok be blessed for such great songs you choose for us. Keeps me going.
Naipenda hii nyimbo 2024 ❤❤❤
🎉ata mim naipenda sana
ni wimbo na siyo nyimbo tafadhali.
Hivi nyie waimbaji wa zamani mko wapi🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hari Sana hizi nyimbo watu zamani waliimba Bwana 🎉🎉🎉🎉❤
At this time, people used to worship God for truth. Singing according to the word in the Bible, nyimbo zakujenga kabisa👌🙏🙏
Huu wimbo niliupenda tangu nikiwa mdongo nimefurahi leo kuusikiliza. Ni baraka kubwa.
Mliimba vizuri. Sauti zenu nzuri saana. Wimbo mzuri saana hadi leo 2023 unanibariki sana
Binadamu atakufa tu Siku moja ufanye ya maana sasa uogope dhambi na utii Mungu wako.
Kwa hivi sasa hii ndiyo paradiso tuko na jehanamu ni hapa hapa tu......
Kwa kuwa ukifa wewe ni spirit tu n'a mambo yataishia hapo.
Hasawa waafrika watafute Mungu WA ukweli waacahane na hadithi za waisraeli...
Siku zenu watu hawakupenda pesa sana kama leo! Hongera!
I like this song since l was 3 years still l can remember it . Especially used to sing on Sundays on the Swahili broadcast radio.
sweet melodies, surely you were born to worship and praise the living God.from Mombasa Kenya
hakika nyimbo hizi zinaleta tumaini zinamtukuza MUUMBA na si kama waimbaji wa injili wa leo wamepoteza mvuto kabisa eti wanakwenda na wakati mi nadhani wakati ndo unaenda na waimbaji wa nyimbo za injili wa leo, MUNGU aibariki kwaya hii aibariki sana.
kumcha mungu in chanzo cha maarifa.
Forget the 21st century artist who are doing it for fame and money...these souls did itto praise God and pass His message to the world. This explains why these songs are as fresh as they were in 80s...May God bless us all.
Reminds me of my childhood,we used to play it on a video decorder. I miss my parents, thanks mum and dad for introducing me to God. Till we meet again,keep resting...
Mungu awabariki sana ninyi muliyo weka nyimbo hizi kwenye RUclips.
Hakika, nyimbo hizi za "KWA VIUMBE VYOYE" zina nijenga sana kila mara nizisikiyapo.
Asante sana kabisa!
Kutoka Burundi napenda sana izi nyimbo mpaka uyu mwaka wa 2024
Nikweli ulimwengu unamwisho. Ee mungu wangu nipe mwisho mzuri baba
2023 beautiful melody. Genesis 6
Kweli hizi nyimbo zinanguvu za Mungu hatari ukiskilza tu kuna hisia fulani katika mwili Mungu awabariki sana
wimbo huuu ilinimaarisha sana hasa hii kwaya naipenda sana milele
Thank you for uploading this. Reminds me when gospel music was a sermon and teachings.
Even the beats were inspired all for the glory of the Lord, unlike today nothing from artists or even the ones playing the beats are inspiring. God bless you guys
1980s,ooooooh goodness,music that was and is inspiring,this breathrens must be old by now,Mungu awabariki sana.
Nabarikiwa sana kusikilizaga hz nyimbo
Ulyankulu choir imenibariki kwa miaka mingi. Nakumbuka nilikuwa na hii cassette nikiwa college in 1998/1999, I used to listen to it every day and I'd put the music very loudly in my room and it blessed everyone
pangali waibaji wakingari hai miongoni mwa choir iyi ? Mungu awabariki zaidi.
Mimi nimefundishwa kupiga muziki kwa kujitaidi na kurudiya emwo jinshi walipi.
Kwa hiyo,nilijitayidi kusema na kujuwa lugha ya kiswahili tangu wakati ningali masomoni ya kisekondari ingawa nilifuata sayansi.
Hata ivi na watoto wangu wananiuliza kwa sababu gani napenda sana album za Uryankuru choir.

Munatukumbu nyakati za zamani, mubalikiwe sana
Wapendwa bwana YESU ASIFIWE. Huu wimbo niliusikia kwa mara ya kwanza mwaka 1988 nikiwa nakaribia kuanza darasa la kwanza, mpaka sasa nimeoa na nina familia lakini bado napata radha yake ile ile kama niliyoipata kwa mara kwanza. Sikufanikiwa kutimiza ndoto zangu za kuiona live hii kwaya, bado ipo mpaka leo na inatoa huduma???
Very powerful the old is gold,niliskia hii kwaya walipata ajali na mahali waliaguka wakatafutwa awakupatikana ata mmoja mi usema MUNGU kama ni kweli basi MUNGU aliwanyakua wote
kwaya hii ilifanya kazi njema ya kueneza injili kupitia uimbaji
Everytine I listen to these songs there is a new revelation.
I Love the song very much God bless you all , I'm violet wakungwi from kakamega and I stay in Mombasa town
In the 1980's this was the best music that i listened from radio KBC. My goodness it is still inspiring up today.Whenever it rains and floods,i remember this song and develop fear of drowning,
Waibaji wa nyimbo sa kiroho na mpango mafasi masuli hawana marangi kwa midomo na makusha wanaimba na ROHO MTAKATIFU
Was very young but I still recall the song and blessed wabarikiwe walioimba na mwenye amepostpia
nyimbo za ukweli.really blessing.
The song still remains to be the best. I love it. I used to listen when I was a youth.
asante sana, nimetafuta mno hii choir ckukumbuka jina! napenda nimesikiliza toka miaka 5
ukiacha roho mtakatifu akaimba utaenjoy du nawapenda xna mnanifanya niitafakar siku ya mwisho du Mungu nisaidie
wimbo huu unanikumbusha mbali sana kipindi chamimi kujifunza gitaa ameni kubwa sana
wakat wanuh unanikumbusha mbal ndugu tumrudien mungu
Ahsante sana wana tanzania kwa kutukumbukumbu namna hii, tafadhali naomba album mzima ya "mwenye mamlaka' kuna wimbo nitafutao sana wa 'zakayo'. Mungu akubariki.
may God remember these beautiful sound and keep the choir to entertain us in heaven as well as they do to day
Kwani walisha kufa?
Nimefurahi kuona wimbo huu nimenikumbusha mbali.Mungu awabariki
mungu awatie nguvu katika utumishi wenu!
i still love the songs they had meaning. God bless u
wow, i looooove this song.....and the lady soloist has a very beautiful voice.........
kabisa!! hii ni kwaya ya kuenea. huu wimbo unanifurahishaka sana. musonge mbele n'a kutuhimarisha.
Wonderful voice I love it I'll never forget .
corona brought me here..
Mungu awabariki sana! huu ndio uimbaji wenyewe maneno yana sikika!! Mungu atusaidie waimbaji tuimbe kwa kumaanisha! sio kwakuonekana km tunaimba Tu!
Nyimbo zisizozeeka. Nazipenda mno
wakasema e Nuhu utufungulie hiiiiiiiii...... Huyo Dada pamoja na wanakwya wamenibariki sana. God bless you so much. I wish I had the contact of this choir.
exactly....that lady soloist is AWESOME.... kwanza that part wakasema e nuhu tufungulie......
Powerful Message..Kbc hoiyee
Naupenda nyimbo huu! Unanikumbuka mbali sana... Mungu awabariki.
Mungu akutie nguvu mama awatunze ninyi niazina isiyoisha utamu
3:14 that Mama's voice is unmatched.
hiii kwaya Bado ipo kweli?? jamaan Hawa ndio walikuwa wanaimba kwa akili na kwa roho hakikka
Asante kutumbusha miaka ile.
since my childhood until now, listening to this song, God bless you so much barabara ya 13 choir
thank you so much for posting this song.God bless you
Mungu aendelee kuwabari
Hizi ndio nyimbo sasa
yes kweli nazipenda nyimbo hizi za zama
Mungu awatunze uko mliko
Mungu azidi kuwatiya nguvu!I've been searching for this song for such a long time... And finally I found it by accident as a friend of mine posted it on her facebook, and when I first saw it on her wall I was like where the heck did my friend get that song from? I was astonished, to be honest.... Glad that I eventuelly got it. anw, I wish 'em a long life. Bless 'em! (UK ,england)
Wimbo zenye ujumbe mzuri sana mbarikiwe sana
Nilichoshangaa wahusika wa hizi nyimbo hawanufaiki na nyimbo zao duh! Kweli injii itahubiriwa kwa halali na hata isiwe kwa halali Wabarikiwe waimbaji na wasamehewe wanufaika.
wimbo mzuri sana na unabariki sana
Wimbo huu unanibariki Sana mungu awahifadhi sana
nakumbuka mbali sana,
Hakika Mungu ananipenda
Hila Hawa saa hzi watakuwa wazee Mimi wakati nasikiliza nilikuwa mdogo
Napenda nyimbo zao Sana Sana nabarikiwa.
Fabulous song. Very touching. Takes me back in time to the days of ananda Sakwa. Does he still exist?
Yes he is still alive
I started to here this song before i born again; John 3:3, it was fantastic and still very fantastic. it is a song that even you don`t know what is God, for this song you can know who is God.
hv naomba nikulize hv hawa wana kwaya bado wapo hai kwel mana wakitambo sna
Bado wapo baadhi kama uyo mama alieimba hapo anaitwa JOVITA NYANDU, alisema kuna baadhi MUNGU amewachukua, wengine walirudi kweny nchi zao, wengine waliolewa sehemu mbalimbali
si wewe me mwenyewe nakumbaka ndo wimbo nilianza kuujua utotoni mangu
Vemeso. Mary wangui. Na robert thanks nduguzanguni mushaasema yote
From 1990 have always loved to listen to this song,God bless you.
Nyimbo zenye uwepo na nguvu nyingi za Mungu
Asante sana mungu wabariki kokote mriko
am trully blessed since my youth.GOD BLESS THOSE OLD SERVANTS NOW WHO ARE STILL LIVING
God bless you mama,you have an amazing voice
I do remember on those old good days 1990's
Kila napo sikiza wimbo huu. Nahisi viema sana.
Am blessed by this song.I have confidence in God as my salvation.
It makes me remember my parents back in 1990😪😪
How can I download these song to watch and in my private times of worship
Hata mimi yanikumbusha miaka mingi mno.
message still relevant...30 plus so years...wabarikiwe sana hao waimbaji kule wako
When I listen to this song I remember my parents 🙏🙏 God bless all
was a nice work done......... are you still ministering through music?
nyimbo tamu sana ya kufunza na ya kiroho
This were the days when choirs played real songs with a lot of teachings...........
In fact its like parents trying to caution and advice. A very good song.
jst a nice jod done
mungu awabaliki sana
thank you for sharing this, ina nikumbusha mbali sana
HAKIKA NI UJUMBE MWEMA SANA