Katika Viumbe Vyote, Barabara 13 - Kwa Viumbe Vyote

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Katika Viumbe Vyote vilivyoumbwa, ni binadamu pekee ndio wameumbika. Wimbo huu ndio wimbo maharufu sana katika nyimbo zote zilizoimbwa na kwaya hii.Mara ya kwanza ilijulikana kama Barabara 13 lakini kwa sababu ya umaharufu wa wimbo huu waliamua kuitwa Kwa Viumbe Vyote!

Комментарии • 267

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob 10 месяцев назад +45

    2024 huu wimbo bado unanibariki!

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob 10 месяцев назад +15

    Abarikiwe sana alieweka kumbukumbu za hizi nyimbo! Zinanitia nguvu yakusonga mbele❤️❤️

    • @Ryan-ToneUG
      @Ryan-ToneUG 2 месяца назад +1

      I love this choir i listened to them when i was six years im now 35

    • @kefaonamu953
      @kefaonamu953 14 дней назад

      ​@@Ryan-ToneUGMe too, because of my father I used to listen to these song's, how I miss those days😢

  • @ChristinemutheuKasingu
    @ChristinemutheuKasingu Месяц назад +5

    May GOD bless anyone who is listening to this song. AMEN.

  • @GivasMwananzumi-tx2ss
    @GivasMwananzumi-tx2ss 4 месяца назад +12

    October 2024 Mungu mwema sanaaaaa Toka ningali mdogo Hadi sasa namshukur mungu kukua katoka kristo.

  • @lillygod7388
    @lillygod7388 2 года назад +9

    Wimbo mzuriii enzi na enzii bado unadumu mioyoni mwetu...2023

  • @emmakosta2467
    @emmakosta2467 8 месяцев назад +9

    Wimbo huu haujachujaaaaa hadi leo hiii 2024

  • @yusterkidolezi328
    @yusterkidolezi328 Год назад +4

    1:40 waimbaji hawa walimaanisha kabisa ktk kumsifu Mungu hata ukiangalia sura zao ni uchaji mtupu nawaombea nafasi mbinguni kwa Mungu baba baada ya maisha ya hapa duniani

  • @mtutamajala4767
    @mtutamajala4767 2 года назад +7

    Natamani utoto jamani,,,,,nakumbuka tukiekewa cassettes hizi na Mama,bibi,babu aiseee mnanikumbusha mbali..Beautiful music

  • @veronicapeter1770
    @veronicapeter1770 Год назад +13

    Whenever I miss my dad I come here to listen to this ....I know this song because of him....he still plays the whole album to date

    • @musayaqub3367
      @musayaqub3367 Год назад

      Me 2

    • @VioletOmbuna
      @VioletOmbuna Месяц назад

      Me too can't forget my late Dad through this
      God bless.​@@musayaqub3367

  • @eleazarobure5297
    @eleazarobure5297 3 года назад +8

    Wimbo huu unanikumbusha wakati nilikata kauli kumkubali Yesu kama Mwokozi wangu, mnamo mwaka 2000. Nimeutafuta sana .

  • @lutagwawilliam9751
    @lutagwawilliam9751 2 года назад +1

    Hakika wema wa Mungu ulikuwa kwa waimbaji Hawa, nakumbuka mwaka 97 kaka yangu alikuwa akiziweka hizi nyimbo Kila jioni baada ya kazi za kutwa, ukweli zimetufanya kuwa Neema mbele za Mungu. Mungu awabariki na kuwarehemu watumishi Hawa. Amina🙏

    • @dicsinmwanjala7279
      @dicsinmwanjala7279 2 года назад

      Hivi wako hai kweli. Aki nakumbuka mbali sana ❣️❣️❣️❣️

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 2 года назад +49

    Wapo wapi Hawa waimbaji kwa Sasa? Mungu aliwajalia nyimbo zenye mvuto,za ujumbe Bora na hazichuji utadhani umetoka Leo asubuhi!♥️🇹🇿🙏

  • @SusanMusyimi
    @SusanMusyimi 7 месяцев назад +6

    This people did worship in true worship...am here 2024 bado nikiskiza nyimbo zao

  • @lilianchepchirchir2536
    @lilianchepchirchir2536 Год назад +2

    SAUTI ZILIZOPANGWA KWELIKWELI NATAMANI SANA KUKUTANA NA KWAYA HII, HUWA NASIKILIZA NYIMBO HIZI ZAO JUMAPILI KATIKA KIPINDI CHA NYIMBO ZA ZAMA BHB STUDIO KENYA NA MCHUNGAJI FESTUS KIMUYU BARIKIWA SANA KIKUNDI NZIMA AMINA

  • @sautiyadhamani
    @sautiyadhamani 2 года назад +16

    The song reminds me of my childhood days. Be blessed brethren...☺

  • @andrewsteven994
    @andrewsteven994 Год назад +4

    Nakumbuka 1999 nikiwa Mbeya city Tz
    Christmas 🎄 Mama alikua ana tu wekea tuna angalia ili tu enjoy

  • @amani_dimile
    @amani_dimile Год назад

    Nasikia walikufa kwenye ajali ya Mv. Bukoba 97 😥😥😥😥. Miongoni mwa nyimbo za utotoni mwangu zilizonilea

  • @sadockchengula5542
    @sadockchengula5542 2 года назад +1

    Nakumbuka hii kwaya ilikuwa inanisababishia kugombezwa mara kwa mara kwa kosa la kumaliza bettri. Zilikuwa bettrii za bello na wakati mwingine National. Dah! Kitambo raha sana. Hizi kwaya leo hazipatikani.

    • @emmakosta2467
      @emmakosta2467 8 месяцев назад

      Dah hatari sana betrii za national

  • @consolatandunge2477
    @consolatandunge2477 5 дней назад

    Kwa kweli katika viumbe vyote binadamu kaumbika kuliko vyote....🎉🎉🎉

  • @doreenodhiambo9278
    @doreenodhiambo9278 9 месяцев назад +4

    Nimebarikiwa zaidi since2004sijawahi kusikia huu wimbo tena Mungu awatende mema

  • @derickkebabe4443
    @derickkebabe4443 3 месяца назад +6

    My Mom's Gospel Jams Back Then❤️As A Millennial, I Had To Rewind These Nostalgic Memories 🔥

  • @delinawakio
    @delinawakio 3 месяца назад

    Nyimbo iliimbwa nikiwa chini ya miaka kumi,Sasa tunaona mambo yameanza kutimia nko zaidi ya miaka arobaini,bdo ujumbe uko hai na mpya,utukufu Kwa Yesu

  • @Alvin247
    @Alvin247 2 года назад +10

    Wowww lovely, reminds me of early 90s listening to Biblia Husema programme whilst growing up in Kericho

  • @shadrackmusyoki4001
    @shadrackmusyoki4001 Год назад +6

    i really recommend who ever composed this song..its so spiritual and educative.May God bless this choir team

  • @NdukuMwambua
    @NdukuMwambua Месяц назад +1

    Nyimbo za nzama ever blessings my heart

  • @BARAKASANGA-h8c
    @BARAKASANGA-h8c Год назад

    Hakika MUNGU aliwapa macho ya rohoni katika kuieneza INJIRI watumishi wake, hakika maono yenu na upeo wenu Bado mnaendelea kutujenga daima nasi wa nyakati hizi kuendelea kutambua ya kuwa MUNGU ndiye asili ya vyote vionekanavyo na visivyoonekana. AMINA.

  • @bettkmax
    @bettkmax 8 лет назад +11

    I can't forget these songs, I feel good and blessed.

    • @witokonga45
      @witokonga45 2 года назад +1

      Hakika yesu ni watofauti

  • @isaackariuki6284
    @isaackariuki6284 Месяц назад

    Nyimbo za zama.....na mchungaji Festus.....❤

  • @andrewsteven994
    @andrewsteven994 Год назад +1

    Wamama walipendeza sana umo
    Mungu awabaliki popote mulipo

  • @DaudyMichael
    @DaudyMichael 2 месяца назад

    Yani acha MUNGU aitwe MUNGU kwaeli.MUNGU awawape kuishi katika ulimwengu wa roho amin

  • @StephaniGustaphafu
    @StephaniGustaphafu Год назад

    Nyimbo za hil kundi ki ukweli wamejaaliwa Sana, nyimbo zao ukizisikiliza kw makini zaweza kukutoa machozi, m'barikiwe sana

  • @FruitsOfOurLabour
    @FruitsOfOurLabour Месяц назад

    I love 2:24. This is God speaking in this song

  • @lilianagodfrey9403
    @lilianagodfrey9403 2 года назад +7

    When I hear flashback gospel songs my heart start beats slowly and steadily may God blesses you legends 👌

  • @gideonmwasapi8120
    @gideonmwasapi8120 Год назад +1

    This choir has got good timeless Songs.. God bless these legends of Gospel industry

  • @mugapro
    @mugapro 5 месяцев назад +1

    Hizi ndio zilikuwa nyimbo enzi zetu, hazichuji aloo❤

  • @JescaOsward
    @JescaOsward Год назад

    Hallelujah Mungu ni mwema. Waimbaji hawa walitubariki sana kwa nyimbo zao. Amina

  • @edmondniyonsavye2485
    @edmondniyonsavye2485 Месяц назад

    Amen kubwa hallelujah I'm so happy to see you guys singing Lingala song ❤❤ ,may the Lord bless you

  • @naombasanga4535
    @naombasanga4535 Месяц назад

    Wimbo wangu pendwa kwakweli nabalikiwa sana

  • @shebbyelphonce8514
    @shebbyelphonce8514 3 года назад +1

    Kwel yan mnajua mungu awabarik popote mlipo .

  • @lazaronaiman9247
    @lazaronaiman9247 8 лет назад +6

    Wimbo mzuri wa enzi zile. Mungu awabariki waimbaji!

  • @ramadhannyunza
    @ramadhannyunza Месяц назад

    Asante sana waimbaji hawa sijui kwa sasaa wapo wapi

  • @ankojei
    @ankojei 3 месяца назад +2

    ❤nazipenda sana Mungu awabariki sana hawa waimbaj

  • @mbaijohn501
    @mbaijohn501 9 лет назад +13

    I give thanks to the Almighty for whoever composed this song for it is a blessing to many as it blessed my heart, and also made it known that human beings are special creatures before the Lord. May God Bless you "Maingi Mbai, Murang'a University"

    • @danielsamweli6766
      @danielsamweli6766 Год назад

      This songs are very attractive you can even listen even from morning to night without getting tired

  • @farajashango7897
    @farajashango7897 9 лет назад +1

    Ijapokuwa ni mpagani/athist lakini hapa ni pale talent,passion na originality vimekutana hizi zilikuwa good old days.

  • @henrysalala8818
    @henrysalala8818 2 года назад +2

    Hata leo nasikiliza tena hii wimbo

  • @SamAmourin
    @SamAmourin 5 месяцев назад

    Kwa kweli waimbaji hawa walikuwa wakitumikishwa na Mungu, mubarikiwe tena kama mukingli hapa Duniani

  • @stevenmasangula2104
    @stevenmasangula2104 2 года назад

    Huu ni moja ya nyimbo iliyo na uwepo wa Mungu ndani yake kwa maana waimbaji hawakuwa mtazamo wa kibiashara

  • @judithchalamanda3152
    @judithchalamanda3152 2 года назад

    Huu wimbo nakumbuka miaka ya tisini na kitu nikiwa mdogo Kuna wapangaji walikuwa wanaupenda Sana

  • @josimakena3187
    @josimakena3187 2 года назад +3

    Glory be to GOD. This choir is so special. the songs reminds me of the preciours child memories and family members. The songs are purely bible words. God bless you dears so fearfully wonderfully a human was created. enjoying the songs from Italy

  • @IrakozeReponse-mf2nk
    @IrakozeReponse-mf2nk 2 месяца назад

    Hawa watu Mungu azidi kuwalinda myoyo yao waliyo jaliwa kumaliza vema tukutanie mbinguni ujumbe walio uacha kupitia hizi nyimbo Nina uhakika uta doom myaka yote

  • @ingurucyizitv7394
    @ingurucyizitv7394 2 года назад

    Mwaka wa1994 nilikuwa nasikiya iyi nyimbo wayimbaji wakingali paka sasa yivi nazani siyo wengi

  • @justinasamson312
    @justinasamson312 7 месяцев назад

    Mungu awabariki sana. Nyimbo hazichuji kabisa. Mko wapi jamani. ❤

  • @ETROPIALAURENTMATHIAS
    @ETROPIALAURENTMATHIAS 3 месяца назад

    Nabarikiwa na Wimbledon huu azidi pewa sifa MUNGU

  • @patrickngugi8747
    @patrickngugi8747 7 месяцев назад

    After asking myself endless questions because of the pain caused to me by people, God has brought this song to my mind. Glory to God

  • @antonyiyona5937
    @antonyiyona5937 15 дней назад

    Wabarikiwe Sana huko waliko

  • @hatiagk4447
    @hatiagk4447 Год назад

    Waimbaji wazuri sana nyimbo zenye ujumbe halisi. Wakina Habona

  • @LeonardMaundu-pj5hx
    @LeonardMaundu-pj5hx Месяц назад

    Wapi like za kufungua mwaka wa 2024

  • @mecksy4473
    @mecksy4473 Год назад +9

    2023 pita na likes

  • @nelsonronoh151
    @nelsonronoh151 2 года назад +2

    Glory to God. He created me in His own image and the bible continues to say that his creation to subdue and gives names to His creation. What an honour He gave us.
    This song reminds me 1980s Bibilia usema studio

  • @justinthobias8804
    @justinthobias8804 3 года назад +12

    2022 Bado inaishi maishani mwangu na inanibariki sana.

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi Год назад

    Waimbaji wa sasa pia Mungu anawatumia warekebishe mambo madogo madogo

  • @marthakiio
    @marthakiio Год назад

    2024 nko uku in full force.i belong to tbt❤

  • @wilsonkaijage9991
    @wilsonkaijage9991 9 лет назад +1

    Nimeupenda sana wimbo.walinizunguka kama nyuki st.veronika mko juu

  • @doiyzamda3428
    @doiyzamda3428 8 лет назад +3

    nyimbo bora kwa wakati wote. kazi nzuri ibarkiwe daima.

  • @georgematemba6642
    @georgematemba6642 8 лет назад +2

    Kwa kweli kwaya hii kwa viumbe vyote . mungu awabariki

  • @kulwamakango2909
    @kulwamakango2909 3 года назад +1

    Mungu awabariki sana waimbaji wa wimbo huu, na mtunzi wa wimbo huu.

  • @MercyMushi-f8q
    @MercyMushi-f8q Месяц назад

    Hizi ndo nyimbo tulizokua nazo❤

  • @linanoella4641
    @linanoella4641 8 месяцев назад +1

    I will never ever forget a singe lyric in these songs

  • @ElizabethMwanri
    @ElizabethMwanri Год назад

    Mungu awabariki sana hawa waimbaji walinibariki ni kiwa mdogo.

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 2 года назад

    Enzi hizo...hata kuzaliwa bhado.Nyimbo nzuri sana

  • @bantukauky5408
    @bantukauky5408 4 месяца назад +1

    1988 mpaka 2024 bado ni wimbo bora kwangu

  • @FaustaLyimo-c6e
    @FaustaLyimo-c6e 9 месяцев назад

    Mungu awabariki sn Wana mwaya ya Ulyankulu❤❤

  • @thomasezekia6741
    @thomasezekia6741 Год назад +1

    I wish one day any promoter to prepare an event where all the old choirs and singers will meet and perform their old hits

  • @judithonsomu4472
    @judithonsomu4472 6 месяцев назад

    Huu wimbo hunibariki mno. Asante waimbaji.

  • @Lemtheachiever
    @Lemtheachiever 4 месяца назад

    Wow! My sist found it just today and shared it with me! We did grow listening to this. Thanks for sharing ❤

  • @johnnnko8651
    @johnnnko8651 Месяц назад +1

    Amazing and touching

  • @emanuelikisanga7513
    @emanuelikisanga7513 7 месяцев назад

    Mm ulibariki sana huu wimbo 1992

  • @ssjc02
    @ssjc02 8 лет назад +10

    We used to listen to this song on a cassette back in 1995.

    • @judithchalamanda3152
      @judithchalamanda3152 2 года назад

      Nakumbuka mbali Sana miaka hyo

    • @granciamsanisa5369
      @granciamsanisa5369 Год назад

      Namkumbuka enzi hizo walipatika Makazi ya Ulyankukulu Wilaya ya Urambo ambapo kwa Sasa Ni Wiliya ya Kaliua Mkoa wa Tabora ukweli walivuma sana

  • @juliusbarno2044
    @juliusbarno2044 2 года назад +5

    30 years on . This song is a great blessing]

  • @BenjaminChombo-o8o
    @BenjaminChombo-o8o 27 дней назад

    Amina nikiwa namiaka kuminatatu.

  • @rosewafula2990
    @rosewafula2990 4 месяца назад

    Wonderful song. Blessed this 2024 listening and reflecting

  • @KasondeSamwel
    @KasondeSamwel Месяц назад

    Amen you still instill the blessings to me until today🌿🍀🌹🥀💐🌷🪷🌸💮🏵️

  • @JuliusWanjala
    @JuliusWanjala Год назад

    My favorite since 1990.. Touches heart so much. God bless them richly

  • @sylvestermuthama
    @sylvestermuthama Год назад

    Nice music ever🙏🙏may continue blessing them wherever they're 🙏

  • @webijacktan6668
    @webijacktan6668 2 года назад

    Hawa walikuwa ni waimbaji wa kipekee sana walikuwa wanaimba na kuweka picha za kile wanachokiimba siku hizi ni mastepu ndio yanayoonyeshwa:

  • @DaimaKyabatima
    @DaimaKyabatima 5 месяцев назад

    Mulitumika vizuri mungu atawalipa

  • @noahmisholi1080
    @noahmisholi1080 4 года назад +2

    Bado tupo hapa 2020, nyimbo ni tamu sanaaa

  • @JacintaMueni-l9k
    @JacintaMueni-l9k 3 месяца назад

    Asante sana ...Nyimbo za zama zinabariki

  • @jobsila8356
    @jobsila8356 4 года назад +4

    One hundreds years coming it Will remain that's songs

  • @lameckmlyangaa6589
    @lameckmlyangaa6589 2 года назад

    Hongereni Sana waimbaji

  • @khadijajacobo627
    @khadijajacobo627 2 года назад +1

    Nyimbo ambazo hazichuji maishan mwangu

  • @joytekla94
    @joytekla94 4 месяца назад

    Mungu na hawabariki tu sana

  • @abodetidings8392
    @abodetidings8392 4 года назад +3

    this is very very old song, i bought this choir tape 18 years ago in Arusha

  • @aughstusmasila8673
    @aughstusmasila8673 2 года назад

    Barikiwa sana 🙏 🙌 👏 amen amen 🙏 🙌 👏 wimbo safi sana 🙏

  • @thomasg.kollie6245
    @thomasg.kollie6245 2 месяца назад

    Let us pray for the late Senator of Nimbia Co General Johnson was a decent human for Nimbian his death was shocking to many Liberian one of the greatest Senator of Liberia who represent nimbia con in the house and today is our last day of seen him but however, soldiers die another soldier take place, he actually a great soldier in Liberia. May his soul rest in perfect peace and let all perpetual light shine upon him.

  • @shadrackngonga8213
    @shadrackngonga8213 8 лет назад +2

    Thanks brethren. You are a blessing. I hope the same faithful God who gave you that grace has kept you through all those years, for a lot has changed since that time.

  • @philemanda8625
    @philemanda8625 2 года назад

    Amen . Mungu atukuzwe kwa wimbo mzuri

  • @danielmusicschasha2116
    @danielmusicschasha2116 4 месяца назад

    Barikuwa aliye weka huu wimbo

  • @NdayikezaMarc
    @NdayikezaMarc 27 дней назад

    Mbarikiw sana

  • @lizyliz5357
    @lizyliz5357 2 года назад

    Thank you Jesus for having created me the greatest product on earth