othmani ❤ tunakupenda sana. ila. shida ipo bara wanaingiliya changuzi. zetu na. kutuuwa. kwahiyo. ningumu mno. hebu. jaribuni binu katika kutangaza uchanguzi. hapo tu hata ikawa kura ya dakika mmoja. bado ccm inajuwa kuwa hawana watu. wala ccm haipo zanzibar. jamani. nyenzo zibadilishe
hakuna mtu asiyetaka mabadiliko mueleze samiya asilete maji washa na wakuriya kuja kuuwa kwani. yiyi hamji kupinga kura acheni huoujinga wakufikiriya uchanguzi hamukuona bara 👮 polis na kura na watu wamesomesha kwaluha lakini. uchanguzi umekwisha na ni maneno tu ndiyo yaliyo bakiya hebu jifuze ne. mpaka. lini kusubiri. uchanguzi upi huo. jamani bona bado mnachanga la macho. 😢
ndungu yango hiyo nji ni ya kifalime wanathisiyana kama. nji za kiarabu hao hawataki uchanguzi. tafadhalini wazanzibari. ni kuamuwa tu. hakuna jingine.
Kuweni macho CCM kuwa watakacho kifanya hawatawapisha mawakala na hawatawachia kuingia katka kuangaliya Kura ili wasiibe kwani hawashindi uchaguzi huwa wanaiba tu
waandaeni vijana. wajuwe kupingana ili kuihami zanzibar. siyo karatasi hakuna haki yoyote ndani ya ccm. hata siku moja. huo uchanguzi ni pambo tu. siku yao ni moja tu ni ya kutangaza. kisha tunaishiya. 😂 tu.

Sheha yeye ndio amekuwa magreshen Zanzibar

ndundu yangu. mimi. siamini tena uchanguzi. washajiandaa kwa. kuja jitangaza. hilo ndiowalolijuwa
waeleze ukweli hao vijana ukweli hakuna uchanguzi wajiandae kwa kuufa na marahii wawe imara ili. wasije wakajisahau. juu ya hilo kwani. sikila siku tunashinda tatizo si kushinda. mlijuwe hilo. jamani jamani. nawapenda. sana. ila. jiandaeni. sio kushinda tu. kupewaushindi wenu. kutangazwa. ndio shinda. tafadhali. wapenzi wezangu. mmmmmmm😂
Mimi naomba vyama vya upizani vishirikiane vyote itapofikiya chaguzi
Kuweni macho CCM kuwa watakacho kifanya hawatawapisha mawakala na hawatawachia kuingia katka kuangaliya Kura ili wasiibe kwani hawashindi uchaguzi huwa wanaiba tu
Muh hiyo nchi ya wagagagigikoko umesahau kile kitabu enzi hizo