Kwa ni mara ngapi 2020 / 2021 nilikuwa nakuandikieni hapa etu mnajisifu mmepata mama mkawa mamaeeee mama niwaandikiya kuwaambiya subirini 2024 mtakuja kuniambiya nakusikilizeni sasa Nika waambiya tena nitafuteni nikupeni muelekeo mka kauka aapo chacha
Tuanze mapema kabra ya uchaguzi awachelewi kusema tunamaandalizi ya uchaguzi tukirudi tutaweka sawa pia tukipata tume huru inaitaji maandalizi yanchi nzima
Kilichobaki ni kuamua kama wakenya maadamano. Ngumi ngumi silaha silaha kama kenya. Ndo tulipofikia . Nchi sio ya ccm. Wamejaa dharau . Kauli za kejeli wamelewa madaraka . Siasa ndo duka. Lao wao na watt wao.
Moto wa nyoka ni nyoka hakuna raia atakae Toka ccm atakubali kuleta katiba mpya maana inawarinda wezi warasilimali za inchi je? Hawa wezi SI wapo uande wa ccm na mkuu wao SI rais
Kuusu katiba shida kubwa watu awana elimu nayo jitaidini elimu iwafikie ndio wataamka mimwenyewe nilikua sina elimu nayo nilivyoijua kupitia kongamano la shinyanga nikasema dah tulicherewa wapi kwanza tambueni ilo elimu inawafikia vipi
Ivi mbona watz wanaakili sana sasa tunakwama wap , tuachie brain za watu zifanye kaz vizur, kwa mipaka yake , kwa faida ya taifa manano ya busara sana nayapata apaa daaa,..
Mwabukusi, Mungu akujaalie una uzalendo wa kiasi cha juu saana ,kama ukipata watu wawili tu wenye afya yako ya akili ,tutazifadhili nchi za nje
Wapo wengi kama huyu. Shida ni ya kijamii. Tumewatanguliza vipofu
Mheshimiwa Mwabukusi hapindishi maneno ni mtu wa kunyoosha maneno ndio maana namkubali.
Mwambukusi apewe nchi ana uzalendo usio wa kawaida
Nafikiria vile vyama 13 visivyo na uwakilishi kila mahali, viko vinawachora tu🤣🤣🤣🤣🤣 vinasubiri kuwatetea CCM.
Kwa ni mara ngapi 2020 / 2021 nilikuwa nakuandikieni hapa etu mnajisifu mmepata mama mkawa mamaeeee mama niwaandikiya kuwaambiya subirini 2024 mtakuja kuniambiya nakusikilizeni sasa
Nika waambiya tena nitafuteni nikupeni muelekeo mka kauka aapo chacha
Nikweli ndio roho yao ilipo pumnzika
✌️👊👍.
Pia elimu ya katiba na tume uru tunaitaji kripu ili tujifunze nasisi tuwafundishe mtu mmoja mmoja uku mitaani
Mbn hakun mtu Wa CCM hpo!!!!!,
Wanakimbia midaalo siku zote, watawaambia nn wananchi ksababu hakuna lichofikia mahali pazuri ktk nchi yetu
Dhurumati hawezi tia mguu hapo
Nawalaumugu sana watu waliopita kwa ujinga wakukubali vyama vingi uku mfumo ule ule wa chama kimoja
kweli vyama 14 hivi tuvishitaki kweli hata Mimi nitakwenda mahakamani kuvishitaki
Iyo tumeulu inachaguliwa na nani na wafanyakazi wake nchi nzima wanapatikana vip
Kwa nini kusiwe viti watu wakae watulie
kuwapa miyaka mingine. hawa ni wahalifu hata ukiwaapa miyaka 100 💯. please. tusirudi nyuma
Lisu akiwa mkit, mtu wa kwanza kumtoa kwenye nafasi yake ni Kigaila
Tuanze mapema kabra ya uchaguzi awachelewi kusema tunamaandalizi ya uchaguzi tukirudi tutaweka sawa pia tukipata tume huru inaitaji maandalizi yanchi nzima
Kilichobaki ni kuamua kama wakenya maadamano. Ngumi ngumi silaha silaha kama kenya. Ndo tulipofikia . Nchi sio ya ccm. Wamejaa dharau . Kauli za kejeli wamelewa madaraka . Siasa ndo duka. Lao wao na watt wao.
Moto wa nyoka ni nyoka hakuna raia atakae Toka ccm atakubali kuleta katiba mpya maana inawarinda wezi warasilimali za inchi je? Hawa wezi SI wapo uande wa ccm na mkuu wao SI rais
Niikweli kabisa
Mbinu ingine wamesafilisha wapiga kura feki wa kutumia majina hewa kama uku kwetu tumewaona nawengine wanajitapa
Yule diwani wa chama cha mapinduzi mbona simuoni hapo
Asadi dictator mato umemuwakia akakimbia akasahau mke na Fahari zake
Kuusu katiba shida kubwa watu awana elimu nayo jitaidini elimu iwafikie ndio wataamka mimwenyewe nilikua sina elimu nayo nilivyoijua kupitia kongamano la shinyanga nikasema dah tulicherewa wapi kwanza tambueni ilo elimu inawafikia vipi
Tume ya jaji Warioba ilikusanya vipi maoni ya wananchi kama hawana Elimu ya Katiba ?
Vyama 14 vifyute
Mwabukusi akili kubwa
Ivi mbona watz wanaakili sana sasa tunakwama wap , tuachie brain za watu zifanye kaz vizur, kwa mipaka yake , kwa faida ya taifa manano ya busara sana nayapata apaa daaa,..
Saf san rais
wapumbavu sana Hawa wenye vyama 14 niwashenzi
Ni kuwalambisha asari tu watanyamaza hawa wapinzani uchwara