MPASUKO ISRAEL: Waziri wa BARAZA la VITA atishia KUJIUZULU iwapo NETANYAHU atashindwa kufanya HAYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
  • Авто/МотоАвто/Мото

Комментарии • 158

  • @abdulahmed7111
    @abdulahmed7111 22 дня назад +24

    Tunaikubal SNS mpk mwisho usiku mchana gonga like 👍 hpa mpk mwisho wana SNS

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 22 дня назад +5

    Kimaandiko ya uislamu: wayahudi hawawezi kushinda hiv vita wala kuuchukuwa masjid al-aqsa kwa kutengenez third temple isipokuwa atashuka dajjal kwa wayahudi na Allah atamleta imam Mahdi kwa waislamu akija kufuatiwa na nabii Issa ( a.s) ambae ni yesu kwa wakristo na hiy shughuli itakuwa kwa miaka 7 ambay Allah atamruhus dajjal kuitawala dunia kwa dhuluma, mauwaji, rushwa, na majanga mengin mpak pale dunia itapoisha mwisho wake kwa kuelekea maish ya milele huko akhera.
    Note: That is written.

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 22 дня назад +3

    Wachambuzi mko vizury ni professional❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @OmarNasor
    @OmarNasor 22 дня назад +6

    Kilakwenye kitabukimeandakwa watapigwa mpaka watajificha kwenye mapango hukohuko watafwatwa mwenye west mpalestina Gaza yote nimali ya mpalestina waache wapoteze muda kitawakuta chakuwakuta mungu ndiokila kitu

  • @akimanaarlene851
    @akimanaarlene851 22 дня назад +8

    😢😢😢mungu awapige hao wameuwa watoto

  • @bintqassimidarous1636
    @bintqassimidarous1636 22 дня назад +5

    Hasbiallah allah awaangamize maangamizo mazito kuliko ya firaun yaarab ijaalie GAZA nusra yako na ushindi na amani biidhinillah

  • @fatmabukuku5384
    @fatmabukuku5384 22 дня назад

    Hongera sana sana Sns kwa kutuletea djSmaa na Ally tunafurahi sana kupata machambuzi wa nyumbani.

  • @ZahoroNgoma
    @ZahoroNgoma 22 дня назад +7

    Saud ya niwanafiki

  • @user-wi9et9yl1v
    @user-wi9et9yl1v 22 дня назад +3

    Naelewa sana wa chambuz wetu asante kutupa mambo yadunia dmaaa vs masud

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 22 дня назад +5

    Saudia Arabia wanafiki tu

  • @anthonyjosephat3903
    @anthonyjosephat3903 21 день назад

    Napenda mnavyojadiliana Kwa uwazi na kuvumiliana ndomana ninawafuatilia mno...Mungu awape Afya njema

  • @user-vi7ly9zh1q
    @user-vi7ly9zh1q 22 дня назад

    Namkubali sana 🎉🎉Dj smaa

  • @user-dg7wf6fg2j
    @user-dg7wf6fg2j 22 дня назад +1

    Mngemwita na Jimmy alikuwa anabishana na ❤ djsma atoe maoni

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 22 дня назад +3

    Vita humaliza silaha kwenye gala, waeza ona Jeshi liko pamoja lakini kwenye uwanja wa vita kila mtu na mawazo na nia yake, vikiumana huwa wanatafutana

  • @Nuru-zr2yv
    @Nuru-zr2yv 22 дня назад +3

    Wao kwa wao washaanza kugeukana

  • @athmanmohamed8934
    @athmanmohamed8934 22 дня назад +7

    Kuna jambo muhimu hapa tunafaa tujifunze hapa...
    1. Inteligence ya israel inasaidiwa sana na wasaliti na vibaraka katika serikali nyingi hili linawapatia wepesi wa israel kupata information za mipango ya maadui zao. Ama hapo kwa Hamas imekua ngumu sana kwao kupata information za operation zao na harakati zao za ndani mapoja na kua wamebanwa katika kisehemu kidogo sana.
    2.israel haiwezi kukubali hamas watawale kwa sababu ni vigumu kuwacontrol hamas na pia kuwaspy.
    3. Normalization haitazuwia misimamo ya hamas. Kwani hamas ni movement na kila mpalastina na hamas na hamas ni palestina hili lipondani ya damu za wapelistina.
    4. Mauwaji ya halaiki yaliyofanywa na waisrarl ni ushahidi tosha kuwa wameshauwa future ya nchi na hivyo ni wazi israel haina future ndefu soon watapoteza kila kitu.

    • @Soon815
      @Soon815 22 дня назад

      Umeanza vizuri umemalizia na pumba

    • @JamalKanani
      @JamalKanani 22 дня назад +2

      Inshaallah israel wapotee kabisaa kwa qudura za Allah

    • @JamalKanani
      @JamalKanani 22 дня назад

      ​@@Soon815ukweli unauma iwapo dhuluma ipo

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 22 дня назад

      @@Soon815
      Kakosea kipengele gani?

    • @Eng2460
      @Eng2460 22 дня назад

      sasa hao wasaliti ndo kazi ya intelijensia,hio ndo kazi ya MOSSAD ni kupata taarifa kwa njia yoyote ile so wanatumia pesa kuwapata hao wasaliti

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 21 день назад

    Pamoja from Oman

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 22 дня назад

    Saudia wazungu wale

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze 22 дня назад +3

    Waislamu soote pamoja na mashekhe tusije kubali kuondolewa pale pale pale kwenye nchi yao

    • @user-tq4lx9si1n
      @user-tq4lx9si1n 22 дня назад

      Nenda kawasadie nyistawafia din mnakufa kjnga mmbwa sjuiakriyenu ikoje nyimnawaza mismamo mikalitu

    • @user-ur7pw9ek6s
      @user-ur7pw9ek6s 22 дня назад +1

      Kwanza jifunze kuandika😂

    • @nasriprogrammingsite7026
      @nasriprogrammingsite7026 22 дня назад +1

      Mtu hajui kuandika ila anatoa hoja

  • @yuscoramadhan8462
    @yuscoramadhan8462 22 дня назад

    Naomba mtuletee kuhusu hebullah kushambulia israel

  • @doubleymkuu4267
    @doubleymkuu4267 22 дня назад

    Sns💪

  • @MavesManirambona
    @MavesManirambona 22 дня назад

    Sky mimi nakukubali ila huyo DJ Sma uchambuzi wake m’bovu sn

  • @user-nk4oq4ek9y
    @user-nk4oq4ek9y 22 дня назад +7

    Washindwe kabisa hao wauwaji jmn

  • @jamalimussa4928
    @jamalimussa4928 22 дня назад +3

    Tupo 😅

  • @arostoyaoo7098
    @arostoyaoo7098 21 день назад

    dj sma nakubali kazi yako lakini punguza kiswa kinge

  • @mohammedmfamau43
    @mohammedmfamau43 22 дня назад

    Yah good conversation hongereni Sana sky sma na Ally,ila kw ujumla wake hali ni mbaya kw hatma ya viongozi wa israel,ijapokua hata kw kuachia madaraka lkn hata km wakiendekea kutimiza lengo lao la kuimaliza hamas me sioni km wanawapiga hamas ila ni kuharibu miji na kuuwa watu wasio na hatia tofauti na hamas ambao wanafanya vizuri sana ktk medani ya kuwashambulia IDF,lkn pia ktk uchambuzi wenu mzuri mliongea ya kuwa marekani inapendelea liundwe taifa huru la palestina ni uwongo wanayosema sio ktk mioyo yao,lkn kw ujumla wake niseme huu mgogoro ni wakihistoria,ila lengo la israel linaonekana kufeli,na hapo kuna njia 2 kw uongozi wa israel wakijiuzulu tu basi wameshindwa lkn wakiendelea ndio maangamizi kwao ni km dama wakiweka kete kulia ni bao lkn wakiweka Kushoto bao.

  • @user-sj1rf8ij7f
    @user-sj1rf8ij7f 22 дня назад +3

    Ebu tupambane na matatizo yetu Afrika kama Sudan, Congo nk.. Mambo ya Israel na Gaza tumezaliwa tumeyakuta na tutayaacha

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 19 дней назад

    Hawajui wanacho kifanya
    Nendeni mkawafundishe 😂😂

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 22 дня назад

    Mungu walinde sana wanao Israel ,uwape ushind dhabit

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 22 дня назад

    ✌️👊👍.

  • @yusuphrashidi-dr1kb
    @yusuphrashidi-dr1kb 22 дня назад

    Huyu smaa kichwa sana

  • @beatricempinga8224
    @beatricempinga8224 22 дня назад

    Haya tena Rais wa Iran apata ajali ya Helikopta na bado ajapatikana, je si washemtugua?.

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 22 дня назад

    Northern zaid y mayahudi 6,000 wamehama makaazi

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 22 дня назад +2

    MAYAHUDI WA KISAUDIA 😂😂😂

  • @FADYANALOLA
    @FADYANALOLA 22 дня назад

    Kila kitu facts

  • @MUSTAPHAMCHUCHA-sp3tq
    @MUSTAPHAMCHUCHA-sp3tq 22 дня назад

    dj sma ukovizuli najua unamapenzi la kini huchambua vizuli

  • @MavesManirambona
    @MavesManirambona 22 дня назад

    Sky mimi nakukubali ila huyo DJ Sma uchambuzi wake m’bovu sn 8:48

  • @MohamedAhmada-ie7ke
    @MohamedAhmada-ie7ke 22 дня назад

    Dj smaa ngoma mwezi wa 8 huu sio wa sita

    • @djsma255
      @djsma255 22 дня назад +1

      Doh mda unakimbiaaaa

  • @kafwimbimilambo8556
    @kafwimbimilambo8556 22 дня назад +2

    Waisraeli hawana nguvu

  • @footballfan6012
    @footballfan6012 22 дня назад

    Naomba uchambuzi wa hii case ya ICJ na impact yake mpka sasa ?

  • @bilonlestar7378
    @bilonlestar7378 22 дня назад

    Inasemekana Congo kumetokea majaribio ya mapinduzi mchana wa leo, izi habari zina uhakika ?? Tunaomba maelezo na uchambuzi zaidi kuhusu kinacho endelea Congo, apa SNS ndio sehemu tunayo tarajia kupata taarifa zaidi 🙌🏼

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 22 дня назад

    Mashoga hawajawahi kushinda hapa duniani na akhera

  • @nasriprogrammingsite7026
    @nasriprogrammingsite7026 22 дня назад

    Sasaa huyu hapa ali masubi...

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 22 дня назад

    Acha wapigwe tu,,,israel ya leo ilishamuasi mungu🏳‍🌈🏳‍🌈🏳‍🌈

  • @felisteronesmo3091
    @felisteronesmo3091 22 дня назад

    Wameshaanza kuingilia regime ya Netanyau .. plan yake sio kupata hao Mateka wakati hao hamas kawatengeneza mwenyewe, hiyo ni political plan ya Netanyau vita kutokuisha .. Two week ni nyingi kwake uchaguzi ukimalizika, Tena na shaka anaweza akawa ameshtukiwa kua Mateka kawahold mwenyewe .. it's complicated hatupaswi ku'understand rather than ku'overstand,

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 22 дня назад +1

    Wachambuzi wanachambua vita ya Israel kama hawana elim kwasababu vita. Inaleta mpasuko owe kwa taifa lolote ila vita inataka moyo tu Ili ufikie malengo

    • @omarymsusa8903
      @omarymsusa8903 22 дня назад +2

      Tungefurahi kukuona wewe mwenye elimu tukisomo uchambuzi wako humu

  • @abubakarjumakhamisi370
    @abubakarjumakhamisi370 22 дня назад

    Mwamb ukiingoe ongea habar ya kusem b4 na unarudia bora ukae kimya

  • @user-ip7mp8mn5p
    @user-ip7mp8mn5p 22 дня назад

    Naskia Marekani wanataka kumkamata kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar, tunaomba uchambuzi please!!

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 22 дня назад

      Hata wakimkata viongozi wapo wengi mbona 😂😂😂😂

  • @MavesManirambona
    @MavesManirambona 22 дня назад

    Sky mimi nakukubali but huyo DJ Sma uchambuzi wake ni m’bovu sn

    • @user-rt1wf6se5f
      @user-rt1wf6se5f 22 дня назад

      Mavi acha nongwa Sasa unachokubar nn unachokataa nn mtoto wa kiume mbona unakua na majibu mawili

  • @ce-08
    @ce-08 17 дней назад

    Kuna mmoja anafanya kuitaji kukubalika zaidi na wananchi wake na kunammoja anafanya kwaajili ya kumsaidia Biden kwenye kampen za uchaguzi kukubalika😂😂

  • @user-sc4ql5kf9v
    @user-sc4ql5kf9v 22 дня назад

    Gorilla warfair wayahudi hawawezi

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 22 дня назад

    Haijawahi kutokea wapalestina kufa wengi kiasi hiki

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 22 дня назад

    Wapalestina wamekufa wengi sanaaaa jamani hawa hamasi watasababisha wapalestna waishe

  • @MAHAN-099
    @MAHAN-099 22 дня назад

    Tuchambulieni kuhusu Hezbollah tunaona wanashambulia sana lakin hatujui malengo yao wala wamefikia wapi

  • @snkhannassoro2404
    @snkhannassoro2404 22 дня назад +1

    Bibi nyau, hatopata ushindi,na mwaka huu ndio mwisho wake madarakani

  • @saidiyusufumuhode3159
    @saidiyusufumuhode3159 22 дня назад

    Huyu waziri mkuu hajielewi yaani unawezaje kumaliza hamas na anajua wapalestina wengi wapo nje zaidi ya million 6

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 19 дней назад

    Kuleni maharage mlale
    Mnadhani vita ni maneno kama yenu.
    Kundi la hamasi wako wengi

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 22 дня назад

    Houthis na washirik wengine wamehack mfumo wao wa Israel wa ulinzi wa makombora kiukweli yanafik sehem husik saiv wanapolenga

  • @MUSTAPHAMCHUCHA-sp3tq
    @MUSTAPHAMCHUCHA-sp3tq 22 дня назад

    israeli jeshi la kitatu hamas jeshi elfu selasini hivi hamuoni israeli mpaka apewesilaha na usa

  • @OmarAyman-pn6ck
    @OmarAyman-pn6ck 22 дня назад

    Kubaliana na HAMAS, wasiruhusu jeshi la inch yeyote eti kuwasaudia kwa sababu wanafiki na majasusi wanakuwepo kwenye hayo majeshi ya kutoka nje.

  • @user-oh8ig2cy9q
    @user-oh8ig2cy9q 22 дня назад +1

    Anateua wengine wako kibao

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 22 дня назад

    SNS tupe story ya IBRAHIM TRAORE Rais wa Bukinafaso alie amua kuwanunulia wananchi wake mitambo ya kilimo

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 22 дня назад

    Hakuna taifa linaloendesha kitu bila wazee lakini wazee siyo wanaweza kupiga chochote

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 22 дня назад

    Mimi siamini kama Israel atafanikiwa hii vita anapoteza muda ataua raia pasipo sababu na anatengeneza uhasama mkubwa zaidi na mataifa makubwa ambayo yataifanya vita hiyo isiishe leo wala kesho

    • @allyopi6101
      @allyopi6101 22 дня назад

      Hawezi kufanikiwa a nazidikuoandikiza chuki ambayohaitaisha milele kwavizazi vyao

  • @user-gk1uw9sy5r
    @user-gk1uw9sy5r 21 день назад

    Mashambulizi yote aliyofanya israel wewe unasema israel wamefili!? Wew I zaidi ya magaidi wa hamas

  • @user-tq4lx9si1n
    @user-tq4lx9si1n 22 дня назад +1

    Uyu haly uyojama nimsomi naanajua nn mahana yahabari nauchambuz siyokulopoka lopokatu naushabiki wamismamo mikali kamauyo dj sm yeye urusi nachina ndokwake wajuaj wakraktu rakin uyohaly anajua sana

    • @benardmakori4012
      @benardmakori4012 22 дня назад

      Ni ukweli ndugu yangu pia wewe umeona hiyo,DJ sma ni shabiki Tu eti ni mchambuzi bora sns wanamutegemea kiukweli ni upuzi tu

    • @dhali6828
      @dhali6828 22 дня назад +1

      @@benardmakori4012 Nyinyi ndio washabiki ambao mmebeba element za udini ndani yenu, Chambuzi zinafanyika kufuatana na kila aina ya ushahidi. Hivyo hawezi kuwa chini ya matakwa yenu.

    • @dhali6828
      @dhali6828 22 дня назад +1

      Dogo rudi darasani ukasome, unaonyesha bado wa chekechea!!!😂

    • @user-tq4lx9si1n
      @user-tq4lx9si1n 22 дня назад

      @@dhali6828 iyoshule ww inakupa nn

  • @user-zs4qz4wm2n
    @user-zs4qz4wm2n 22 дня назад +5

    Watu leo wamelala hakuna kuomba like wapuuzi nyie😂😂

    • @Nuru-zr2yv
      @Nuru-zr2yv 22 дня назад

      Sijui wanapata faida na izo like

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 22 дня назад


      😅Ndiooo_🤦🏿‍♀️ 😅

  • @JeanMalilo
    @JeanMalilo 22 дня назад

    Sky, huyo Smah usiwe na mleta bana

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 22 дня назад

      Hamtaki kukubali ukweli

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 22 дня назад

      Jean mchawi wewe yani wewe umemuondoa mama yako unataka na mwezio andolewe

    • @wadantz123
      @wadantz123 22 дня назад

      Unataka amlete baba ako

    • @JeanMalilo
      @JeanMalilo 22 дня назад

      @@wadantz123 aaaa daahako

    • @JeanMalilo
      @JeanMalilo 22 дня назад

      @@wadantz123 keep my dad's name out of your fuking mouth

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 22 дня назад

    Israel swala kushinda vita ishinde mara ngapi huo ni uchochozi watu wasio na hatia hao ni binagamu kama cc wamekufa na amas yupo ktk mapango wspalestina chakula hakuna israel kazuia chakula kisingie kinachotakiwa hao magaidi wakubali kushindwa warudishe mateka mapema

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 22 дня назад

    Gaza amas wamefanya uchokozi mkubws whabidhibiwe sana maana wamewaponza wapelestina maana bila wao kufanya hayo palestina isingefanyika vita amas inajua kuwa haina nguvu zozote chokozi la nn?

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 22 дня назад

      Umezaliwa mwaka gani na ulipo fikia umri wa kujifahamu ulikua mkoa gani tuanzie hapo kwanza

    • @wadantz123
      @wadantz123 22 дня назад

      Kuandika kwenyewe ujui fisi maji ww

  • @kinggeorge9770
    @kinggeorge9770 22 дня назад

    Wewe wachambuzi wako na haohao tu???

    • @niffonlinetz7214
      @niffonlinetz7214 22 дня назад

      UNATAKA UONGEZEKE NA WEWE

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 22 дня назад

      Afu ni waongo waongo tu. Muda si mrefu Hamas itabaki kuwa historia.

  • @EmmanuelMajele-ny2hk
    @EmmanuelMajele-ny2hk 22 дня назад

    Israel wana shelia moja gusa nikuguse hawa angalii wanapigana nanani lakini ukigusa namimi nakugusa llo mimi nalikubali %100

    • @KhamisOmar-kt4kz
      @KhamisOmar-kt4kz 22 дня назад

      Nan kawagusa ni Hamas au watoto na wanawake hizi ni falsafa za kike au kishoga mwanake ukimpiga yy Ata kukutafuna poa tu hawa waesrael hawajielew hamas nawakula hata pele hawakunwi

    • @niffonlinetz7214
      @niffonlinetz7214 22 дня назад

      KWA IRAN ILIKUWAJE

    • @abdillahiharuna0029
      @abdillahiharuna0029 21 день назад

      Asa nani anae anza kumgusa mwenzake kam sio huyo huyo muisrael

    • @Bahati47
      @Bahati47 21 день назад

      ​@@niffonlinetz7214swali zuri sana

    • @Bahati47
      @Bahati47 21 день назад

      Anamuonea mpalesten maana hana jeshi Wala silaha yaani ameiteka ameishika kiganjani na kuhusu kugusa amewaua wa Palestine zaidi ya miaka 75 hamasi ni wapigania uhuru wao ni walichoka na Yale maisha ya kukabwa yakuuliwa Kila siku na hamasi ni mtu wa ki Palestine waleo ambae amepoteza Kila kitu amebaki yeye tu

  • @user-tq4lx9si1n
    @user-tq4lx9si1n 22 дня назад

    Uyo ben gans nawashlika wake mbonakama malayatu Netanyahu hanapambana na magaidi wakiislamu yy hanaleta ujngaujnga

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 22 дня назад

      Hebu nenda Shule kwanza

    • @user-tq4lx9si1n
      @user-tq4lx9si1n 22 дня назад

      @@MohamedAhmada-ie7ke ww shule imekusaidia nn au kujua din

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 22 дня назад

      Kosoma na kuandika na kufuta ujinga kichwani

    • @abdillahiharuna0029
      @abdillahiharuna0029 21 день назад

      ​@@user-tq4lx9si1nwe huon kama kukosa kwako elim ndo inakufanya uje ku comment ujinga

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze 22 дня назад +1

    Naamini muungu amesema israili atauwaa laiki baadae mauti yatamrudiya yeye mwenyewe

  • @user-pq3jt5rb2l
    @user-pq3jt5rb2l 22 дня назад

    Huyu mchambuzi wako Dj huwa ni shabiki tu hanaga fact's ila ndo anajikuta mjuaji kweli kweli na yupo kidini always kwenye kila uchambuzi wake 😂 Bora ulimuongeza jamaa Ally maana niliacha kabisa kusikiliza Habari yoyote inayomhusisha dj

  • @raymrash
    @raymrash 22 дня назад

    Chapa Hamasi mpaka kieleweke.

    • @user-mm9qr7em8k
      @user-mm9qr7em8k 22 дня назад

      Umell ww hhhhh..hamasi sio watt. .muizrail anaua watt tu .sio hamas .muislam hajawahi .kushindwa vita marekani kakimbia Iraq kakimbia afhanistan.

    • @hassanbinsalman1437
      @hassanbinsalman1437 22 дня назад

      Rawmarsh Hamas inakuhusu nini wewe chuki yako itakutia ulemavu tu na uchizi.

    • @JamalKanani
      @JamalKanani 22 дня назад +1

      Hamas wapo na watakuwepo daima milele

    • @raymrash
      @raymrash 22 дня назад

      @@hassanbinsalman1437 Hamasi ndio wanaokwamisha Uhuru wa Wapalestina wasio na hatia...alafu unasema nin chuki ! Kwa hiyo ulitaka nitetee magaidi!?? Shame on you!

    • @raymrash
      @raymrash 22 дня назад

      @@JamalKanani na wataendelea kuchapwa daima

  • @MavesManirambona
    @MavesManirambona 22 дня назад

    Sky mimi nakukubali ila huyo DJ Sma uchambuzi wake m’bovu sn

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 22 дня назад

    Ina maana huyo gans anataka anaiona natanyau anawachelewesha kuwa maliza hao hamas

    • @Bahati47
      @Bahati47 21 день назад

      Wa Israel karibu wote wanatamani Ile Gaza ipotee ili waichukue wao na ndiomana hata mwanzo wa vita walisema siku 7 tu Gaza itakua jivu na ndiomana wanatumia silaha Kali sana

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 22 дня назад

    Saidia ndio taifa teule kwawaislam lakini waislamu Tena wanalitaja taifa Hilo kamawanafiki waislamu wanakuwa kuju

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 22 дня назад

      Sisi hatuna taifa teule kama kwenu uko mataifa yote ya Mungu, ila sisi tuna mji mtukufu kwa ajili ya ibada, sio kupewa mamlaka ya kufanya chochote kua na kuiba😂😂😂

  • @MavesManirambona
    @MavesManirambona 22 дня назад

    Sky mimi nakukubali ila huyo DJ Sma uchambuzi wake m’bovu sn