UJUMBE MZITO WA SHEIKH WALID KWENYE NDOA ZA WATU 100 AMWAMBIA MANGUGU YANGA WALITUOTEA GOLI MOJA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии •

  • @LabiloWabikongo
    @LabiloWabikongo 4 месяца назад +1

    mashaallah sw sheikhe wald mi nakuelew sana allah akujaliykher ishallah

  • @harunamadebo2944
    @harunamadebo2944 4 месяца назад +10

    BARAKA LLAHU LAKA NAKUPENDA SANA SHEKH WALID, NIKWAMANENO YKO MATAM YENYE KUONGOZA

  • @mwanahawanyambi9440
    @mwanahawanyambi9440 4 месяца назад +4

    MashaAllah Shekhe wetu Kipenzi cha Watu .Allah akuhifadhi.

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 4 месяца назад +1

    MashaAllah mwenyezi mungu azifanye ndoa zenu zidumu nafuraha

  • @mwinjatheson2367
    @mwinjatheson2367 4 месяца назад +7

    Mungu akuhifadhi Sheikh Wetu WALID tuzidi Kufaidika na Alichokurudhuku ALLAH

  • @sheikhsabaya7234
    @sheikhsabaya7234 4 месяца назад +3

    Amin Allah awahifadhi viongozi wetu wote waadilifu

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 4 месяца назад +5

    Mashallaa😂😂 umemaliza vizuri, Allah akuhifadhi Shekh wng

  • @AishaHamis-r7x
    @AishaHamis-r7x 4 месяца назад +2

    Sheikh walid asante sana kwa maneno yako matam Allah akubariki

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 4 месяца назад +3

    MASHA ALLAH pili na mwomba ALLAH awafuraishe wana ndoa na wahusika wote waliyo jitoleya kufanikisha jambo la heri mmno amin 🤲 amin 🤲 YARABI amin 🤲

  • @saidmanjuti7441
    @saidmanjuti7441 4 месяца назад +3

    Allah akujaze kheri sheikh walid ahsanye kwa nasaha nzuri

  • @FatimaMohamed-n5h
    @FatimaMohamed-n5h 4 месяца назад +2

    Baraka llahi lakuma wanataka alaikum bikulli kheiry na jamiya musliimina❤

  • @HaririHamisi
    @HaririHamisi 4 месяца назад +2

    Allah akuhifadhi shekh akupe umri mrefu tuzidi kunufaika nawewe

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 4 месяца назад +1

    Natamani ningekuwa mmojawapo Wallah ila wakati wangu utafika InshaAllah, kheri kwa wote wenye Mungu amewaruzuku jambo hili InshaAllah

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 4 месяца назад +1

    Jazzaka llahu kher shukraan shem Walid

  • @AbeidAbeid-d2k
    @AbeidAbeid-d2k 4 месяца назад +2

    بركه الله ف خير

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 4 месяца назад +1

    Jazaq Allahu kheyr Sheikh Walid A.M.Kawambwa,nasaha murua/njm kabisa kwa vjn,shkrn.

  • @FarajiMlilo
    @FarajiMlilo 4 месяца назад +1

    Maashaallah Jazaakumullaahu khayra wanandoa na haadhwiriin....

  • @abdulazizhabib4581
    @abdulazizhabib4581 4 месяца назад +3

    Allah ampe umri

  • @iddykhamis4558
    @iddykhamis4558 4 месяца назад +5

    Khakika hiii nafasi ya sheikh wa mkoa Walid umefiti aswaaaaaaaaa

  • @AthumaniAmiri-fv5zp
    @AthumaniAmiri-fv5zp 4 месяца назад +4

    Ustadh waleed ana kipaji sana Allah amzidishie jamaa ana sharaf sana ja ametulia sana ktk kuongea nataman yuoe bachu angekua anaongea kwa hekima kama hivi angekua mbali na yeye ila jazba maskin zamfanya hatumuelewi

    • @msarama5406
      @msarama5406 4 месяца назад

      Bachu bado kijana mdogo anamihemko ya Ujana atakapofikia umri kama wa Walid tumuombee kwa Allah atabadilika Inshaa Allah

    • @ayshahamisi
      @ayshahamisi 4 месяца назад

      Amiiin ​@@msarama5406

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 4 месяца назад

    Allah akubarik sana

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 4 месяца назад

    Mashaa Allah
    Nasaha nzuri sana

  • @SuleFaki-ne4my
    @SuleFaki-ne4my 4 месяца назад

    Mashaallah

  • @ibrahimmohammed3100
    @ibrahimmohammed3100 4 месяца назад

    Mashallah Shekh Walid

  • @fadhilmandaliabdalla6736
    @fadhilmandaliabdalla6736 4 месяца назад +1

    Asalam Aleikum warahmatul Allah wabarakat, naomba anaejua hii Aya ipo katika sura gani na ni Ayah ya ngapi tafadhali anisaidie. Jazaqa Allah kheir

    • @swalahudinmohamed2666
      @swalahudinmohamed2666 4 месяца назад +2

      وعليكم السلام ورحمه الله وبركاته
      Surat Annur Aya ya 32
      Na waozeni wajane miongoni mwenu na wema katika watumwa wenu na wajakazi wenu. Wakiwa mafakiri Mwenyezi Mungu atawatajirisha kwa fadhila yake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa Mwenye kujua. 32

    • @swalahudinmohamed2666
      @swalahudinmohamed2666 4 месяца назад +3

      وعليكم السلام ورحمه الله وبركاته
      Surat Annur Aya 32
      Na waozeni wajane miongoni mwenu na wema katika watumwa wenu na wajakazi wenu. Wakiwa mafakiri Mwenyezi Mungu atawatajirisha kwa fadhila yake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa Mwenye kujua. 32

    • @fadhilmandaliabdalla6736
      @fadhilmandaliabdalla6736 4 месяца назад

      @@swalahudinmohamed2666 Alhamdullilah, shukran Jazaqa Allah kheir, Allah akubarik

  • @fadhilmandaliabdalla6736
    @fadhilmandaliabdalla6736 4 месяца назад +2

    Apa sheikh tunae Mashaka 😅 Allah akutangulie Sheikh Walid

  • @AminaAfrica-pr3gi
    @AminaAfrica-pr3gi 4 месяца назад

    Mashallah tu to ambishwe koni jamanii na hayo hasa ndio mahaba

  • @harunamadebo2944
    @harunamadebo2944 4 месяца назад +13

    Kipindi mashekh wengine wamekalia mipasho, SISI TUKO MAKINI NAKALAM PEMBEN KWA MANENO LAYIIN YENYE HUDDAH,

  • @ramamtambo4675
    @ramamtambo4675 4 месяца назад

    Dah aisee kumbe na yeye alikua dhaifu kitandani

  • @AminaAfrica-pr3gi
    @AminaAfrica-pr3gi 4 месяца назад +1

    Aaaa unatucuana live

  • @RidhiwaniAlly-s9h
    @RidhiwaniAlly-s9h 4 месяца назад

    Mashaallah