UNAAMBIWA: “KISHERIA MADINI YAKIKUTWA ARDHINI KWAKO NI MALI YA UMMA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 72

  • @jamesakhabuhaya6194
    @jamesakhabuhaya6194 3 года назад +16

    Sio mali ya serikali ni mali ya Mungu,nyie serikali ndo mmeziweka uko chini,kueni na heshima na vitu vya MUNGU HIVYO

    • @mwantimazdombo6049
      @mwantimazdombo6049 3 года назад +2

      Nikweli Sio mali ya serikali MUNGU Ndio aliweka ayo madini kama nimali ya serikali mbone awakua wanajua kama pale serikali iliweka madini nidhulma tu serikali

    • @shahamtindo
      @shahamtindo 3 года назад +1

      Hahahha

    • @judithkatabaro3294
      @judithkatabaro3294 3 года назад

      Nimecheka san

    • @jamesakhabuhaya6194
      @jamesakhabuhaya6194 3 года назад

      MUNGU AKIKASIRIKA HATA HIYO TANZANITE HAMTAKAA MUIONE,JIFANYENI VYAKWENU TU MUONE.....

    • @ngwanafabian9668
      @ngwanafabian9668 3 года назад

      @@jamesakhabuhaya6194 panua ufahamu wako usikomee hapo. Elewa pia Mungu huyo huyo ndiye aliyeweka mfumo wa utawala duniani soma biblia uelewe vizuri.

  • @davidmunishi5084
    @davidmunishi5084 3 года назад +12

    Yakikutwa madini ya serikali lakini ikikutwa bangi hio ya kwako 🤣

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 3 года назад +1

    Izo Shelia Zimelenga Wizi Nasio Vinginevo Mwenye Shamba Apewe Kiwanja Ajengewe Nyumba Nzuli Serikali Ndo Wakufanya Kazi Izo Huo Ni Wizi Mkubwa Sana Na Unyanyasaji Wa Kijinsia Pia

  • @ramazubery2641
    @ramazubery2641 3 года назад +4

    Huu wizi sasa mbona viongozi fulani wanamiliki ardhi zenye madini au mnajua kuwa hatujui acheni izosheria za wizi.iyo si haki.

  • @salcle9702
    @salcle9702 3 года назад +5

    ndo maana sehemu nyingine wameyapoteza kimazingara inatakiwa mmiliki apate parcent ya asilimia flan.

  • @catholicvibemusic3151
    @catholicvibemusic3151 3 года назад

    DAWA YA ALKALINE kiboko ya kibamia..na nguvu za kiume ..... .
    Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya kibamia na nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo.
    1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia
    2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo
    3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk
    4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka
    5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha
    6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility)
    7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika
    8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU)
    9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume
    🔟 Inarutubisha mayai
    NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA
    Epuka aibu hii tumia" ALKALINE " ndio kiboko yao
    Karibuni sana ofisini kwetu msaada zaidi
    Wasiliana kwa 0622945360 /whatsapp 0719174248

  • @braystuskibassa3077
    @braystuskibassa3077 3 года назад +1

    Hapo ndo wanaposababisha matatizo mtu unatunza eneo tangu babu, bibi, n.k halafu baadae inakuwa mali ya umma hatari sana sheria hizi ziwajali wazawa

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 года назад +1

    Izo sheria ni zenu tu ila ukweli ni kua ardhi ni ya allah na hayo madini hakuna yoyote alieagiza ni ya allah tu pekee

  • @prospersanga7942
    @prospersanga7942 3 года назад +1

    Ok na bangi ikikutwa ni serikali mali yake hiyo.

  • @irakozejclaude7869
    @irakozejclaude7869 3 года назад +1

    Ila wakikuta bangi hiyo niyako.viongozi nao bana😀😀😀😀

  • @joharhamis855
    @joharhamis855 3 года назад

    Mmiliki ni mungu Sio selekar

  • @shahamtindo
    @shahamtindo 3 года назад +1

    Nikigundua mwenyewe simmwambii mtu.. Najichimbia kimyakimya

  • @rehemacosmetics483
    @rehemacosmetics483 3 года назад +1

    Kwani Madini si sehem ya ardhi jmn

  • @japharymagesa735
    @japharymagesa735 Год назад

    Lkn shamba likikutwa na bangi ni mali yako sio ya uma
    Mamae

  • @frankminja2343
    @frankminja2343 3 года назад

    Cha msingi mwenye ardhi naye apate pasent ndo mambo yakae gudaa

  • @chifupromise9575
    @chifupromise9575 3 года назад

    iv izi sheria zinapo tungwa sizani kama umma unashilikishwa mana kila kukicha nasikia mabadiliko yakisheria tena wakiwa wameka wenyew kwenye mavyumba uko

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 4 месяца назад

    Aisee manyamera

  • @sharifabdul6085
    @sharifabdul6085 3 года назад

    Ardhi mtu amenunua unasema mali ya serekali we kaka mzima,na kulipwa mtu isiwe ni ihsani iwe ni kwa mujibu wa sheria msidhulumu wenzenu

  • @saidbakari1127
    @saidbakari1127 3 года назад +2

    Vipi bangi ikikutwa kwenye ardhi yangu inakuaje Mali ya umma au😂😄

  • @thebenzclassic1905
    @thebenzclassic1905 3 года назад

    Duh 🙄 nomaa sana

  • @allytausi7450
    @allytausi7450 3 года назад

    Duuh sawa chetu choo tu

  • @yohanaagustino4610
    @yohanaagustino4610 3 года назад +3

    Ila viazi ndo vya kwetu aya bhn

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 3 года назад

    Je ikikutwa na Bangi pia ni mali ya Umma

  • @ngwalesma3681
    @ngwalesma3681 3 года назад

    Siku unakuja kuambiwa huyo mke wako na yeye sio mke wako ni mali ya uma kwa hiyo husiwe mbishi kunyang'anywa

  • @mwebpro9698
    @mwebpro9698 3 года назад

    ukigundua kuwa shambani kwako kuna bangi hiyo ni yako
    madini tu ndiyo mali ya selikali😁😁😁😁😁😁😁😁😁👌👌👌👮

  • @shaqirhassan2352
    @shaqirhassan2352 3 года назад

    Kwan hii serikali Ni ya nani? Mm nimenunua kiwanja kwa iyo ni bahati yangu tungekuwa tunapewa bure viwanja sawa, yani kiwanja ninunue mimi halafu kukionekana Kuna madini waniambie Mali ya umma

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 3 года назад +2

    Serikali uonevu tu😂😂😂😂😂

  • @willisonTheonest
    @willisonTheonest 10 месяцев назад

    Wewe

  • @kasumilikamilius1338
    @kasumilikamilius1338 3 года назад

    Serikali hajawi kuunda ardhi ila ni mwizi wa ardhi

  • @pachamc5145
    @pachamc5145 3 года назад +3

    Serikali ni nini? Na Public ni nn?

    • @ramazubery2641
      @ramazubery2641 3 года назад

      Swali zuri tena limekwenda shule👌

    • @pachamc5145
      @pachamc5145 3 года назад

      @@ramazubery2641 shukrani bro

  • @haikamnzava6582
    @haikamnzava6582 3 года назад +1

    Achen wiz nyie mm skubali hata kidgo

  • @mohamedhaidar8040
    @mohamedhaidar8040 3 года назад

    Huyu jamaa uongeaji wake tuu..😂😂

  • @Jozeetz1
    @Jozeetz1 3 года назад +1

    Na bangi ikipatikana shambani mwako ni mali ya nani?

    • @emanuelleopod3949
      @emanuelleopod3949 3 года назад

      @@aubreykasoyaga1665 Imeota yenyewe kwahiyo ni mali ya Serikali hiyo

  • @joharhamis855
    @joharhamis855 3 года назад

    Embu kwendeni huko

  • @hassanmsangi1155
    @hassanmsangi1155 3 года назад +1

    na bangi pia iwe hvo hvo sasa 😄

  • @drookiemaik8393
    @drookiemaik8393 3 года назад

    Na hatuwaambii kudadeki

  • @romanusmathius9213
    @romanusmathius9213 3 года назад +2

    Kwann iwe ya uma angali kiwanja ama shamba ni langu , naje, mi nanufainikaje ama wananisaidiaje kwa galama nlizo nunulia "?

    • @theresiacostantine132
      @theresiacostantine132 3 года назад

      Serikali ni nini?imetokana na mimi?

    • @theresiacostantine132
      @theresiacostantine132 3 года назад

      Na nini? Sielewi

    • @JUMANNEMOHAMED
      @JUMANNEMOHAMED 3 года назад

      Ndiyo mahana huwa hatusemi🤐

    • @sadockjonson7167
      @sadockjonson7167 3 года назад

      Hiyo Sheria imepinda xana inatakiwa malekebisho ,ardhi n mali ya God

    • @rosemaryemily311
      @rosemaryemily311 Год назад

      Basi nais katika fikra na uhelewa hapo nilikwama.Ila Kama ningelielewa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ndegejr4218
    @ndegejr4218 3 года назад

    Noma sana

  • @1xbet111
    @1xbet111 3 года назад

    na bangi je

  • @tanjaniyoman3160
    @tanjaniyoman3160 3 года назад

    Weee..subutuuu

  • @jumakiatu.628
    @jumakiatu.628 3 года назад +1

    hiYo.uOnEvU.jAmAni.sHeLiA.iYo.ni.viZuLi.iLeKeBisHiwA.uPyA.tU.

    • @ngokaelihudi6705
      @ngokaelihudi6705 3 года назад

      Ukigundua tu, wahi kutafuta licence ya uchimbaji