Mkasi - SO7E08 With Afande Sele

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 39

  • @georgematahimba5242
    @georgematahimba5242 4 года назад +2

    Afande Sele anaishi kama Nyerere ANAKUNYWA CHAI NA MAANDAZI. Safi sana kamanda

  • @edwinmollel6584
    @edwinmollel6584 9 лет назад +2

    Nimependa sana hii sehemu, ... huwezi kulima mazao ya biashara pekee ukaacha kulima mazao ya chakula... Afande Sele safi sana!!!

  • @francismwakalebela9935
    @francismwakalebela9935 5 лет назад +1

    Daah long time sana unanikumbusha mbali sana Sele.

  • @doiyzamda3428
    @doiyzamda3428 7 лет назад +1

    I came to realize that u r blessed wth abundant wisdom!

  • @NickMasao
    @NickMasao 11 лет назад +1

    Jamaa ameongea fresh sikutegemea. He is wise, anahitaji management nzuri ili arudi kwenye chart. Naamini bado anaweza vizuri.

  • @liliantheodory5423
    @liliantheodory5423 11 лет назад +4

    yeeees wewe ni mfalme hakuna bongo, solute,

  • @soshazaofficial4885
    @soshazaofficial4885 4 года назад

    Salute Afande

  • @demungamsenga2250
    @demungamsenga2250 5 лет назад

    Ulimwengu umebAlika jiunge na yutubu of America boy

  • @minjila
    @minjila 8 лет назад +1

    MKALI WAO
    #NODOUBT
    KING SULEMANI

  • @slayingtee6044
    @slayingtee6044 6 лет назад

    Mkasi rudisha show number one In town

  • @muriiki
    @muriiki 11 лет назад

    This is one of the best hip hop artist Tanzania has ever produced...but I think he is not confident enough...if he was he would have conquered EASTAFRICA....and eventually Africa just like Kalamashaka did in the 90's & 2000's or M.anifest of Ghana is doing currently.

  • @MasterRegan
    @MasterRegan 8 лет назад

    Noma sana Afande

  • @raphaelrupia4288
    @raphaelrupia4288 11 лет назад +1

    Safi

  • @hilalalshidhany1652
    @hilalalshidhany1652 11 лет назад

    Guud

  • @barbienavy
    @barbienavy 11 лет назад +1

    imetulia

  • @omaryjitu7684
    @omaryjitu7684 8 лет назад +1

    #legend

  • @edisonmjema2620
    @edisonmjema2620 7 лет назад

    Salute lion king Sele

  • @Sossy2010
    @Sossy2010 11 лет назад

    duh Muba kaua eti >> " hiyo sehemu itakua milimani hiyo jinsi ulivyopiga KAZO..umemuona alivyonigongea KAZO" haha ndio anamaanisha CASUAL
    au !?!?!

  • @innocentsiyars4826
    @innocentsiyars4826 8 лет назад

    afande na taman nijue kuandik km so braza nifanyeje plz

  • @masalumanyanda1028
    @masalumanyanda1028 4 года назад

    Tutulisu. Jana

  • @mangamteteziunique6341
    @mangamteteziunique6341 5 лет назад

    afande sele umetisha sana

  • @tumahamsini
    @tumahamsini 11 лет назад +1

    Umetisha afande,

  • @shabanimarijani662
    @shabanimarijani662 5 лет назад

    Unajuwa ndugu dunia hii na watu wake ni ngumu sana,na tofauti unavyofikiria wewe.malaika disliked human being before Allah created us,you can see how people do bad and live in hope but they are not understand what is going on.afande sele said that he can't believe in Allah that never seen,instead he believe in god fire which is against. Don't you see that this man went wrong? Smoking is not good at all because may lead to the changing of your future like afande did.

  • @liliantheodory5423
    @liliantheodory5423 11 лет назад +2

    yani natamani nimrudie tu Afande anavyoongea duuuh .

  • @samirabdallah2845
    @samirabdallah2845 10 лет назад

    Kuna mto yoyote anajua nyimbo ya coca cola ?

  • @mohammedsalim6425
    @mohammedsalim6425 11 лет назад

    Aa fatma ajatisha

  • @BarakaAndrew
    @BarakaAndrew 10 лет назад

    Mbunge anayepeleka bangi??
    Hii bongo bna

  • @elizabethnyamwela2971
    @elizabethnyamwela2971 6 лет назад

    Namkubali mno huyu kaka

  • @Sossy2010
    @Sossy2010 11 лет назад +1

    Point za kutosha

  • @mohammedwaziri1770
    @mohammedwaziri1770 11 лет назад

    we need FID Q

  • @Simulizitulivuu
    @Simulizitulivuu 11 лет назад

    bariiida

  • @leonardmponzi49
    @leonardmponzi49 6 лет назад

    Kweli jembe

  • @mohammedsalim6425
    @mohammedsalim6425 11 лет назад

    Oya vipi

  • @timothmanyanda7559
    @timothmanyanda7559 6 лет назад

    Nimekukubali ulipo kubali kuwa umeshuka

  • @TheDinhoDesign
    @TheDinhoDesign 11 лет назад

    Afande kaonesha ni jinsi gani alivyo hang'ati sasa hivi. Meno yote yameng'ooka.