AFANDE SELE KUANZISHA DINI YAKE: DEAR UPENDO, HAKUNA PESA, TUTAKUA NA VITABU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии •

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 21 день назад

    Yupo sahihi sana

  • @YasiniMahomba-mx6ux
    @YasiniMahomba-mx6ux 3 месяца назад

    Uyu kichaaa sana .bange zake zina mpereka vibaya ata wanao mfanyua interview wawe makini wasije kumkosea mungu na wao

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 11 дней назад

    Sawa

  • @EliassMakange
    @EliassMakange 4 месяца назад +1

    Tumbaku inachemka hiyooo😂😂😂

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 4 месяца назад +1

    Duuu ziroooooo kabisaaaa😅😅😅

  • @MALELEMBARIMO
    @MALELEMBARIMO 4 месяца назад +1

    YAANI ANAZIDI KUVURUGIKA MAISHA YA BANGI😂

  • @YassirRashidjuma
    @YassirRashidjuma 4 месяца назад +1

    Subhanallah

  • @199-tz
    @199-tz 4 месяца назад

    Yuko sahihi kwa imani yake

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 11 дней назад

    Wote munao mupinga hamujuwi

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 4 месяца назад

    Bangi sio chai

  • @mohamedrashid6578
    @mohamedrashid6578 4 месяца назад +1

    Tukiwa na upendo tutavuta bangi?

  • @SuleimanIddi-v3x
    @SuleimanIddi-v3x 4 месяца назад +1

    Jua kaliumba nani

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 4 месяца назад

    Serikali iendelee kuchukua udhibiti wa kutosha dhidi matumizi ya bangi nchini.

  • @douglaskomba2304
    @douglaskomba2304 4 месяца назад

    Moto ulao

  • @yassinm69
    @yassinm69 4 месяца назад +1

    Huyu mtu mpuuzi kweli

  • @mudrickbarton8911
    @mudrickbarton8911 4 месяца назад

    Naona istighfar kibaooo mnaopinga pingeni kwa hoja

    • @salumualoyce5620
      @salumualoyce5620 4 месяца назад

      Hoja gani unazozitaka au na ww unavuta bangi?
      Anauliza maswali ambayo hayana logic halafu na ww unamwona anaongea vitu vya maana?
      Hilo jua analolihusudu limetokea wap?
      Huo upendo anaousema ni maagizo ya mwenyezi Mungu na yapo kwenye vitabu sasa yeye kaongea jipya gan hapo?
      Acha atambe kwa vile ana afya njema ila wakat wake ukifika ataomba msamaha na kujutia kauli zake.
      Kama na ww ni mvuta bangi na unaunga mkono hoja zake basi jitafakari kabla umauti haujakukuta.
      "Ni bora uamini uende usikumkute kuliko kutoamini halafu uende ukamkute"
      Maji utaita mma.
      Tupunguze viburi vya uzima.

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 4 месяца назад

    Inna lillahi wa Inna ilayhi raji'un

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 4 месяца назад +1

    We ni 000000 jua ni kiumbe km ww Mungu asingeumba hilo jua ungeabudu nn hiyo ni imani yako ni ya kishetani ukifa na imani hiyo ni jahannam

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 4 месяца назад +1

    Siku ya kufa sijui wakuzike vipi Subhannallah

    • @iam_sami
      @iam_sami 4 месяца назад

      @@OfficialA83640 atazikwa kama wanavyozikwa wachina

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 4 месяца назад +1

      Hili ni kafiri2 tunafukia basi

  • @mbanguluzito5496
    @mbanguluzito5496 4 месяца назад +2

    Ni vigumu afande kueleweka mpaka uwe na maharifa ndo uta muelewa

    • @NEIRAGROUP
      @NEIRAGROUP 4 месяца назад

      Surely.

    • @paulochambila8289
      @paulochambila8289 3 месяца назад

      Tanzania elimu dunia ndogo, mtu kaongelea upendo kwa namna yake lkn mkristo na muislam awaja penda, izo vita za udini kama kungekua na upendo zisingekuwepo bas tyu ubinafsi. Afande sele ananyimbo inaitwa dini tumeletewa wakasikilize

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 11 дней назад

    Wajinga watakuponda waelewa watakusikiliza

  • @hassanikaawizy2597
    @hassanikaawizy2597 4 месяца назад

    Mbingu ya nan😂

  • @FahadMpenda
    @FahadMpenda 4 месяца назад

    Utajua hujui

  • @iam_sami
    @iam_sami 4 месяца назад +2

    Hakuna mungu dunia hi Kama mungu ypo elezea babu zko kabla ya waislam na wakristo kuja walikua wana abudu nn china awaaamini din yeyote ila ona mafanikio yao Ila ww uliletewa mungu ili ufanywe mtumwa unanuka njaa😂

    • @YassirRashidjuma
      @YassirRashidjuma 4 месяца назад +2

      Unafeli rafiki yangu

    • @iam_sami
      @iam_sami 4 месяца назад +2

      @@YassirRashidjuma nn maana ya neno imani ukijibu hii ndo tutaanzq kuelemisha na Kama aujui ina maana ujui ulitendalo punguani ww

    • @zamzamsecuritycompany7326
      @zamzamsecuritycompany7326 4 месяца назад +1

      Subr ufe utajua tu

  • @AbdullahMohamed-oj3gz
    @AbdullahMohamed-oj3gz 4 месяца назад

    Astaghafirullah, na wewe muandishi Kwa Nini unahoji watu kama hawa

  • @bilalabas9636
    @bilalabas9636 4 месяца назад

    Umelaaniwa ww

    • @199-tz
      @199-tz 4 месяца назад

      Umalaaniwa wewe mwenye kumlani mwenzako bila mamlaka

  • @199-tz
    @199-tz 4 месяца назад +1

    Yuko sahihi kwa imani yake