sema mm cjawah comment youtube, ila leo naomb niseme unachelewa San kutoa movies in Swahili. Hadi tunasahau please naomb jitahidi utupe hata mara mbili kwa mwezi
Nadhani mtoa comment alitaka movie nzima 😂😂, tumwambie tu hapa tunapewa movie kwa ufupi Ili tupate mwanga, kama anataka kutafsiriwa movie nzima awaone wahusika 😅
@@Ochuh kwa kweli pale hamna kitu nilidhani nimeligundua peke yangu 😂😂, kwanza jamaa waliforce kumpa ule usuper power, af mtu anawezaje kudandia ukuta na kurukia miti akiwa na mikono mitupu??? At least wangemuwekea hata makucha, in short nilipoteza bundle langu pale, hiyo kraven ni hakuna kitu kabisa, hiyo storyline wameiforce mno 😅😅😅
Na kubali bro 🎉🎉🎉🎉
tunaomba review ya venom the last dance
Mbona ashaitolea mda sana
Bado veneom the last dance@@kingpower8848
One of my favorite channel in RUclips
Umetisha snash kinoma noma kaka saaaaluuuutiii
Tupe review ya kraven the hunter
Safi bro mimeelewa xaxa
Nakubali snash,,,
Nakubali kaka
Kaka Naomba Ufanye review ya #Canalblack
Dubwana la venoma kaka snash tz tutembeze views
🎉🎉
Nilikua nikisubiri sana walahi
Majina magumu😅
Duuh.. Kitambo saanaa..
DENZEL amepewa nafasi mbaya sana
Review ya A cure for wellness
Waanzilish wa revie tz nd hawa
Iyo nafasi DENZEL afai kuwa apo kwa iyo nafasi
Bonge moja muvi
venom vip
2naomba review ya dirty angels
sema mm cjawah comment youtube, ila leo naomb niseme unachelewa San kutoa movies in Swahili. Hadi tunasahau please naomb jitahidi utupe hata mara mbili kwa mwezi
Tunataka na venom
Dah kunasemu iminichanganya kidogo
🔥🔥🔥
kraven the hunter
Siku izi mpk tunashindwa kukufwatilia...watu wa muvi na games unatutenga
Brooo unatisha san
Saf san snash
Wakwanza sasa
Sasa Kaka kwann usiwe una tafsili move kabisa
Naomba kutajiwa movie za muundo huu wadau wa movie
Spartacus hiyo ndo imebeba maudhui yote ya humu
Snash asiv umepoa sn movi zinakupita nyingi
Ulipokuwa unatoa review za magar ulikuw powa sana lkn saiv umeloose
We matak on beat fany wew bas
acha ungese dogo hujaitwa hapa
Unataka stor za magar akat hata baiskel hujui utanunua lin
Maisha hayaendi kwa kuamka na kulala tu
Chizi sana we jamaa,et ameloose ww ulichogain n nn?nyie ndo mlikuaga wa mwisho darasani Leo mnaanza kutusumbua
Nikama unahadithia movie badala yakuichambua Ungejaribu kupitia Review za wengine uone tofauti
Mkuu huo ni mfumo tofauti na pia kama ujui huyu jamaa ni master wa hao wengine
Nadhani mtoa comment alitaka movie nzima 😂😂, tumwambie tu hapa tunapewa movie kwa ufupi Ili tupate mwanga, kama anataka kutafsiriwa movie nzima awaone wahusika 😅
Ilo mouvie linapatkina wapi Netflix au premier video
Netnaija store
Fanya ku review filamu ya CRAVEN THE HUNTER kwangu mm naona ndio filamu kali ya kufungia mwaka
Hamna movie pale craven wamezingua
@@Ochuh kwa kweli pale hamna kitu nilidhani nimeligundua peke yangu 😂😂, kwanza jamaa waliforce kumpa ule usuper power, af mtu anawezaje kudandia ukuta na kurukia miti akiwa na mikono mitupu??? At least wangemuwekea hata makucha, in short nilipoteza bundle langu pale, hiyo kraven ni hakuna kitu kabisa, hiyo storyline wameiforce mno 😅😅😅
Apana kuna vitu ving haujaelezea
My dear hii ndo maana ya review au recap, hapo akielezea yote au vitu vingi itakua ni sawa na kutafsiri movie
Mzee tufanyie review movie ya BOOK OF CRALANCE
My chanel tena veep