ETERNALS Movie Review | Ujio wao Duniani , Kwanini Walikuja ( inSwahili )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2022
  • #MarvelStudio #Eternals #MovieReview #Snashtz
    ETERNALS Movie Review | Ujio wao Duniani , Kwanini Walikuja ( inSwahili )
  • КиноКино

Комментарии • 75

  • @trommyx
    @trommyx 2 года назад +1

    umetish@@@@@

  • @barakamsuma3517
    @barakamsuma3517 2 года назад +12

    Umekosea kidogo lakini...kila celestial mmoja ataezaliwa anatengeneza the whole new galaxy with its own sun...sio planet moja peke ake

    • @zhang5933
      @zhang5933 2 года назад +1

      Na kingne celestial wakizaliwa (after the emergence) eternals hawafi ila wanakuwa brainwashed

    • @hmanyinja
      @hmanyinja 2 года назад +1

      Wanapasuka na dunia asee yule dada alionyeshwa robot zinazofanana na yeye kibao!! Mean ikishapasuka new robort ya yeye inakuwa Eternal

  • @asiliyetuonlinetv5063
    @asiliyetuonlinetv5063 2 года назад +5

    Yo! #snash you have a good voice be blessed.

  • @goodluckkankara9088
    @goodluckkankara9088 2 года назад +1

    Understand

  • @songeadecoration712
    @songeadecoration712 2 года назад

    Unajuwa sana kaka

  • @zamirzanjeel09
    @zamirzanjeel09 2 года назад +1

    From Bukoba
    aseee Snash umetisha kinoma noma Consept. Nimeilewa vzur. Kaz nzur Brother 👏👏👏

  • @sulerankingmoore5472
    @sulerankingmoore5472 2 года назад

    snash mmoja t big up bro

  • @vulstanandrea523
    @vulstanandrea523 2 года назад

    Umeeleweka sana kaka

  • @edgaramiani
    @edgaramiani 2 года назад

    Jamani am from Kenya thanks bro Sasa Kuna Jamaa alikufa

  • @Snapermstafa1768
    @Snapermstafa1768 2 года назад

    #snash uko pouw sanaa

  • @youngfather5118
    @youngfather5118 2 года назад +2

    Nimekuelew vilivyo🙌🏿🔥

  • @issayahsudi8653
    @issayahsudi8653 2 года назад

    Gud

  • @salimlutfimohamed832
    @salimlutfimohamed832 2 года назад +1

    Diviant walitumwa the same mission kma eternals bt walijua watakufa ndio ikawa wanauwa watu sasa aliwatengeneze eternals ili wauwe diviants population izidi kua kubwa thena alijua mapema akawambia sis sote tutakufa .....iyo kumanisha thanos alikua na idea ya haya yote ndio maana akataka kuchelewesha kusave universe

  • @ganomichael4494
    @ganomichael4494 2 года назад +1

    Umetsha bro...

  • @muranisalim3572
    @muranisalim3572 2 года назад

    Nakukubali sana #snash 😍

  • @storyzawasanii4631
    @storyzawasanii4631 2 года назад +1

    me kwa uelewa wangu post credit scene ya pili sauti iliyomuita Dane nahisi ile ni sauti ya Doctor strange

  • @rashidhaji83
    @rashidhaji83 2 года назад

    Nakubali una weza

  • @iconentertainment1057
    @iconentertainment1057 Год назад

    My best review ever

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 2 года назад

    Snash 💥💥

  • @mkandatv2801
    @mkandatv2801 2 года назад

    Nakubar

  • @stafordjr34
    @stafordjr34 2 года назад +1

    Tunapata tabu kuzipata movies nzuri aisee weekend hii tushunie movies nyingine nakul sana snash tz

  • @revocatusvevo2787
    @revocatusvevo2787 2 года назад +1

    Ila snash hujamalizia kuelezea movie vzr vp kuhusu post credit scene ya mwisho khbx kule Alf movie ndo inaisha mazima wanakwambia kwamba enternals watarud ile post credit scene ya black knight vp inakuaje pale

  • @rickmk96
    @rickmk96 2 года назад +1

    Nilitoka kuangalia eternals juz baada ya clear version nimelewa vizur kwa hii video yao usisite kutowa nyingine nice work mzeee

  • @rioicon5750
    @rioicon5750 2 года назад

    Review ya #dune brother snash

  • @selemanichristopher7188
    @selemanichristopher7188 2 года назад

    🔥🔥🔥🔥

  • @abourapcha2573
    @abourapcha2573 2 года назад

    Unatisha broe

  • @lianzombie3170
    @lianzombie3170 2 года назад +1

    Kaka please naipataje hiyo internals

  • @tanzaniamovies2471
    @tanzaniamovies2471 2 года назад +2

    ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @MuranSalim
    @MuranSalim 4 месяца назад

    Review ya secret in vasion 2:31

  • @ajreviews8638
    @ajreviews8638 2 года назад

    Bro unajua

  • @georgemwangombe793
    @georgemwangombe793 2 года назад

    Nimefurahi kujua kuna watu kama snash wanaelewa science fiction bigup sana mzee

  • @gibsonkibabi2206
    @gibsonkibabi2206 2 года назад

    💯

  • @athumanijoseph3042
    @athumanijoseph3042 2 года назад

    Tueleze kuhus post credit ya pil ukiachana na hy ya kwanza mwisho kabis maneno yanapo ishilizia

  • @mahembaelias1722
    @mahembaelias1722 2 года назад

    Uko poa sana snash

  • @Abdulkim_
    @Abdulkim_ 2 года назад +1

    post credit nyingine ya pili hujaielezea kuhusu bwana ake sersi alivyokuwa anataka kushika upanga ikaja saut ikamuuliza "are you ready for this?" @snash tanzania

  • @dives9558
    @dives9558 2 года назад

    Aspirants hawakuwatengeneza celestials, aspirants na celestials wote ni same species na wametengenezwa na The First Firmament. Tofauti ni kuwa Kundi moja lilikua linamtii first firmament ambao ni aspirants na kundi jingine lilienda against the first firmament ambao ni Celestials.

  • @hassanhamady4870
    @hassanhamady4870 2 года назад

    Sasa apa nmeelewa ila nlipochek muv iliniacha kushoto

  • @rahelkiteka
    @rahelkiteka 2 года назад

    Snash mtu mbad😍

  • @aggnessylvester4045
    @aggnessylvester4045 2 года назад

    Lakn kaka hajamalizia mpk mwisho kwa yule kaka alipofungua like boks lenye panga refu embu try to check

  • @princejalice777
    @princejalice777 2 года назад

    Mwanang mm mwenyew sikuielewa kiukwel.

  • @msusasandali5833
    @msusasandali5833 2 года назад +1

    Watu wanaosema sio kali hii movie ni kwasababu Labda wanapenda action kuliko kutaka kuelewa story... Ila story ni nzuri na inaeleweka na wamejitahid kumuelewesha mtazamaji ajue nini movie imelenga... Na ya pili itakuwa poa Sana Sana.....

  • @joelmachaku7815
    @joelmachaku7815 2 года назад

    Snash weka basi namna ya kudownload movie yeyote mpya

  • @mimikeny
    @mimikeny 2 года назад +4

    Au yule mikalla wa kanumba nae ni mmoja kati ya hao Eternals 🤔🤔 kwasababu hakui 🥲

  • @tarickmpemba9871
    @tarickmpemba9871 2 года назад

    Gorden voice

  • @gameridertz4559
    @gameridertz4559 2 года назад

    Kaz hii naikubaliii

  • @salimmgandi337
    @salimmgandi337 2 года назад

    Tupe rvw ya the matrix 4

  • @emmanuelmvula167
    @emmanuelmvula167 2 года назад

    fanya ya bongo movie mwanamuziki

  • @salimulaya4113
    @salimulaya4113 2 года назад

    Hizi movie tatizo lake stori nzima ni mambo ya kufikirik ru

  • @esthermkokotawa7975
    @esthermkokotawa7975 Год назад

    This movie is the best

  • @elnathanmigenda9242
    @elnathanmigenda9242 2 года назад

    hiii movie kwangu ndo best kuliko MCU movies zote ni kali kinomaaa......

  • @amilikinyogory6349
    @amilikinyogory6349 2 года назад

    Unatishaaa mwambaaaa

  • @godfreymtazama4581
    @godfreymtazama4581 2 года назад

    Unatisha

  • @januaymagori4642
    @januaymagori4642 2 года назад

    Kingine celestials ndio waliumba multiverse pamoja na binadamu

  • @hassamdavid8792
    @hassamdavid8792 2 года назад

    mkubwa malizia na Post Credit ya pili iko dakika ya mwisho kabisa ya movie

  • @isayadavid7031
    @isayadavid7031 2 года назад

    Post credit ziko mbili bro na wewe umeeleza moja tu!

  • @josepherneus6508
    @josepherneus6508 2 года назад

    snash mtu atari..... natamani kumjua na yule WHITMAN (Dane) anaoneka anaunyama wake uyu

  • @leonardkahimba9815
    @leonardkahimba9815 2 года назад

    Tufanyie review ya crocodile movies

  • @emmanuel5413
    @emmanuel5413 2 года назад

    snash movie mwisho kabisa kuba post credit nyingne mzee angalia mpk mwisho

  • @brayanjames9953
    @brayanjames9953 2 года назад

    Ulivo kazia kati kati kati😅😅😅😅😅😅😅

  • @ganomichael4494
    @ganomichael4494 2 года назад

    Kabisa kaka, Eternals ni Bonge la Movie... Watu watulie waelewe...

  • @januaymagori4642
    @januaymagori4642 2 года назад

    Fatilia tena Thanos ana asili ya Eternal I think

    • @salimlutfimohamed832
      @salimlutfimohamed832 2 года назад

      Thanos alikua kua arishem atakuja kudestroy izi planet ndio maana aliwapungusa na snap of the finger huyo dem akutaka waingilie vita ili wasijae sababu arishem ataweka celestial ambyo itakavyo destroy earth

  • @kherykapongo6059
    @kherykapongo6059 2 года назад

    Mbn Hawapo kumi

  • @richardkwayson7202
    @richardkwayson7202 2 года назад

    Director mchina ndio katuangusha

  • @topzone238
    @topzone238 2 года назад

    Hiyo movie Amna kitu bro ndo maana marvel awajafanya vizur 2021 kwa movie hiyo.mbayaa

  • @arnoldnickson2912
    @arnoldnickson2912 2 года назад

    kuna kpande kingne kpo mwsho kabsa wa movie yakisha isha maandishi ukiachana na hko kinacho muhusu ndugu yake na thanos kpo kngne mzee jarbu kuangalia vzur mwsho kabsa yaan cjakielewa maana yake!🙁

  • @kabeza_itech
    @kabeza_itech 2 года назад

    Kaka movie ni kali

  • @salimmgandi337
    @salimmgandi337 2 года назад

    Tupe rvw ya the matrix 4