IBADA YA JUMAPILI 23 June 2024 - IBADA YA KUTOBOA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025
  • IBADA YA JUMAPILI 23 June 2024
    Kanisa linapatikana kimara bonyokwa ndani ya Jiji la Dar es salaam, kwa wale wanaotokea njia ya mjini kwa kutumia njia ya morogoro road ukifika kimara mwisho upande unaoshukia wa kushoto utaona stendi ya bajaji na magari yanayokuja bonyokwa,kwa wale wano tokea njia ya mbezi mwisho ukishuka kimara unavuka upande wa pili wa barabara ukipanda hayo magari au bajaji utashuka kituo kwa Bendera kanisani utakua umefika, Kwa wale wanaotokea stendi ya segerea panda Bajaji au magari yanayokuja bonyokwa mwisho ukifika hapo ulizia kwa Bendera utaelekezwa.

Комментарии • 16

  • @MpembaRose
    @MpembaRose 7 месяцев назад +1

    Ameen Baba

  • @FeysarFeysar
    @FeysarFeysar 7 месяцев назад +1

    Najiungamanisha na ibada nimetoboa

  • @NathanaelIlunda
    @NathanaelIlunda 7 месяцев назад

    Ameen baba nimetoboa Kwa Imani kutoka Arusha

  • @JboyJ
    @JboyJ 7 месяцев назад

    Nami nimepokea kutoboa kimaishaa katika fedhaa Aminaaa

  • @jamesukombozi5216
    @jamesukombozi5216 7 месяцев назад

    ❤🎉🎉🎉 napenda sana hotuba zako BABA yangu

  • @FatumaKakoa
    @FatumaKakoa 7 месяцев назад

    Aminaa baba nimetoboa balikiwa sanaa nipo sumbawanga

  • @tumainitemu
    @tumainitemu 7 месяцев назад

    ❤❤❤

  • @MarryMavuno
    @MarryMavuno 7 месяцев назад

    Amen

  • @MutumeSolomonSayuunichur-ty6gj
    @MutumeSolomonSayuunichur-ty6gj 7 месяцев назад

    Some English for us Baaba

  • @JboyJ
    @JboyJ 7 месяцев назад

    Nimetoboa kimaishaa leo ASANTE BABA YETU

  • @patricktito8009
    @patricktito8009 7 месяцев назад

    Ameeen

  • @JboyJ
    @JboyJ 7 месяцев назад

    Nimetoboa kimaishaa leo ASANTE BABA YETU

  • @JboyJ
    @JboyJ 7 месяцев назад

    Nimetoboa kimaishaa leo ASANTE BABA YETU

  • @JboyJ
    @JboyJ 7 месяцев назад

    Nimetoboa kimaishaa leo ASANTE BABA YETU

  • @JboyJ
    @JboyJ 7 месяцев назад

    Nimetoboa kimaishaa leo ASANTE BABA YETU

  • @JboyJ
    @JboyJ 7 месяцев назад

    Nimetoboa kimaishaa leo ASANTE BABA YETU