Hongera sana kwa Baba Paroko ❤mbarikiwe sana kwa kuimba vizuri 🥰🙏pongezi kwa jubilee ya miaka 25 Father Chrisogon Mungu aendelee kukubariki na kukutunza kwaajl ya Taifa la Mungu❤🙏🙏🙏
hongereni sana wana kwaya wa papa yohan paul udom kwa wimbo mzuri sana .........sichokiiiiii kuutazamaaaaa,sauti zipo organized,harmonized,kinanda kimetulia,,,,,,,,,,
Wow!!! 😘Hongereni SANA kwaya ya Mt. Papa Yohane paulo Wa pili @UDOM KWA UINJILISHAJI MZURI hakika padre crisogon padre wa shirika la takatifu damu takatifu ya yesu 🙏 amekuwa kiongozi na mwalimu wa kanisa katoliki,, ukuhani wake katika kuendeleza Imani hiyo.. mungu ambariki katika siku zote za uzee wake ❤🎁🎁💌 #BY DOCTOR P..
Hongeraaa nyingiiii kwake Fr,,Christogon kwa jubilee hii ktk utume wake......Kazi nzuri kwaya hii ktk kuhakikisha zoezi hili linakwenda na nyimbo nzuriiii Kama hii ......Hongereeni Sana 🙏🙏
Awali ya yote tunamshukuru Mungu kwa yote anayo tujalia 🔥🔥🔥🔥🔥 Pongezi kwa Baba paroko Chrisogon vulstan kwa Jubilei ya miaka 25 hakika haikuwa rahisi, Mungu azidi kukulinda na tuje kusherehekea miaka 50 ya uinjilishaji 🔥🔥🔥🔥🔥Pongezi sana kwa da despina, hakika Mungu kakujalia kipaji. Azidi kukulinda na kukutangulia hata katika magumu unayopitia... 🔥🔥🔥🔥🔥Pongezi kwa wanakwaya wote kwa majitoleo yenu na Uimbaji Mzuri. Mungu azidi kuwapigania na mzidi kumtumikia yeye. 🔥🔥🔥🔥Pongezi kwa productions AVE MARIA(audio) DIVINE STUDIO (video) Hakika mmepambana kufanya kazi iwe bora na imekua Bora ndani ya muda mfupi tu. Mungu awaongoze katika kazi zenu🙏 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Pongezi na shukurani kwa wapendwa wote mnaendelea kufatilia chaneli yetu, tunatambua mchango wenu, wa comment zenu, subscription, likes pamoja na sharing hakika Mungu awabariki Nyote🙏🙏
hongera sana mtunzi wa wimbo simon mwanisenga .......hakika unaweza sio jambo dogo kutunga wimbo ,kuufundisha ,kupiga kinanda,na kuuimba ❤❤❤
Shukran sana🙏 Tumshukuru Mungu🙏
Good bless you my family
Hongera sana kwa Baba Paroko ❤mbarikiwe sana kwa kuimba vizuri 🥰🙏pongezi kwa jubilee ya miaka 25 Father Chrisogon Mungu aendelee kukubariki na kukutunza kwaajl ya Taifa la Mungu❤🙏🙏🙏
Amina tumshukuru Mungu 🙏
Hongereni na mzidi kubarikiwa
Kwa kumuimbia bwana...... By Mr Temba @Udom humanities😊🎉
Amina
hongereni sana wana kwaya wa papa yohan paul udom kwa wimbo mzuri sana .........sichokiiiiii kuutazamaaaaa,sauti zipo organized,harmonized,kinanda kimetulia,,,,,,,,,,
Tumshukuru Mungu🙏
waaaaaaaaaaaaaaaaaoooooh .....wimbo mzuri sana kwa paroko baba chrisogon parokia udom
🎉🎉hongera sana Baba yetu padre Christogon kwa utume wako
Hongera sana baba Padre, Hongera dada Despina kwa sauti nzuri na tamu❤❤❤❤
Hongereni jamani mmeimba vizuri sana....
Hongera pia kwa Father Chriss👏👏👏
😊😊😊❤inavutia,inahamasisha na inatia moyo pia
Kaz nzuriii vijana wanguuu
Mungu awabarik ☺️☺️
Hongeren sana Wimbo Mzuri sana. Hongera Baba Kwa kufiakia miaka 25 ya utume Mungu akuongoze vema ufikie miaka 50.
Amina🙏
Wow!!! 😘Hongereni SANA kwaya ya Mt. Papa Yohane paulo Wa pili @UDOM KWA UINJILISHAJI MZURI
hakika padre crisogon padre wa shirika la takatifu damu takatifu ya yesu 🙏 amekuwa kiongozi na mwalimu wa kanisa katoliki,, ukuhani wake katika kuendeleza Imani hiyo.. mungu ambariki katika siku zote za uzee wake ❤🎁🎁💌
#BY DOCTOR P..
Amina, tumshukuru Mungu 🙏
Hongera kwa Fr Chrisogon ! Mzee wa kutunyoosha
Wawoooo
Hongeraaa sana baba Fr chrisogon kwa jubilei iliyotukuka
Mungu akupiganie ufikie jubilei nyingine
Amina
Great!! Wimbo mzuri sana . Hongera sana Fr Chrisogon kwa 25 yrs Utume, Mungu aendelee kukupigania uzidi kuenenda ktk njia impendezayo
Amina
MUNGU awabarikii.. nyimbo nzuri❤
Hongera Sana baba yetu father chrisogon katika jubilee ya utume hongera pia kwaya yangu pendwa John Paul
Tumshukuru Mungu 🙏
Kazi nzuriiiii kabisa ❤ya uinjikishaji.....utume mwema,maisha marefu kwa fr wetu kipenzi CHRISOGON❤🎉
Amina
Ni haki yake jamn🎉💫✨
Hongeraaa nyingiiii kwake Fr,,Christogon kwa jubilee hii ktk utume wake......Kazi nzuri kwaya hii ktk kuhakikisha zoezi hili linakwenda na nyimbo nzuriiii Kama hii ......Hongereeni Sana 🙏🙏
Tumshukuru Mungu 🙏
Hongereni sana ndugu zangu
Hongera father chriss kufikisha miaka25 ya utume! Hongeraa pia kwaya yangu pendwa pope yohane paul the second hakika mmeupiga mwing💥💥💥💥💥🌹🌹🌹🌹
Tumshukuru Mungu 🙏
Hongera Fr Chrisogon
Hongereni wanakwaya kazi nzuri sana
Tumshukuru Mungu 🙏
🎉🎉 congratulations nice song
Hongera Sana baba
Kazi nzuri sana🙏🙏
Hongeren nyimbo ina maneno matamu🎉🎉
Tumshukuru Mungu🙏
Hongereni!
Wimbo mzuriii Sanaa, mbarikiwee❤️
Tumshukuru Mungu
❤❤❤ nyimbo nzuri Sana, hongera baba yetu
Hongereni nyote
Hongereni kazi nzuriiiiiii🎉
Tumshukuru Mungu 🙏
Awali ya yote tunamshukuru Mungu kwa yote anayo tujalia
🔥🔥🔥🔥🔥 Pongezi kwa Baba paroko Chrisogon vulstan kwa Jubilei ya miaka 25 hakika haikuwa rahisi, Mungu azidi kukulinda na tuje kusherehekea miaka 50 ya uinjilishaji
🔥🔥🔥🔥🔥Pongezi sana kwa da despina, hakika Mungu kakujalia kipaji. Azidi kukulinda na kukutangulia hata katika magumu unayopitia...
🔥🔥🔥🔥🔥Pongezi kwa wanakwaya wote kwa majitoleo yenu na Uimbaji Mzuri. Mungu azidi kuwapigania na mzidi kumtumikia yeye.
🔥🔥🔥🔥Pongezi kwa productions
AVE MARIA(audio)
DIVINE STUDIO (video)
Hakika mmepambana kufanya kazi iwe bora na imekua Bora ndani ya muda mfupi tu. Mungu awaongoze katika kazi zenu🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Pongezi na shukurani kwa wapendwa wote mnaendelea kufatilia chaneli yetu, tunatambua mchango wenu, wa comment zenu, subscription, likes pamoja na sharing hakika Mungu awabariki Nyote🙏🙏
🎉🎉baba hongera kwa utume,,
Mungu awajalie hekima na moyo wa kujitoa daina John Paul II
Asante tumshukuru Mungu🙏
Hongeren 👏🏽👏🏽Kaz nzur🎉🎉
Tumshukuru Mungu
Hongereni sana wimbo mzuri sana
Tumshukuru Mungu 🙏
Hongereni sana, Mungu azidi kuibariki kazi yenu ya uimbaji❤
Tumshukuru Mungu
Hongera fatherrr wetuuu
Waooh Fantastic hakikaa baba Chris kafurahii mno I hope waooh
Hongereni sana John Paul, Hongera Baba Paroko
Tumshukur Mungu 🙏
Hongereni sana vijana! Kweli anastahili pongezi nyingi sote tunampenda sanq
Amina
Kazi nzuri mungu awabariki sana
Tumshukuru Mungu 🙏
Hongereni sana wapendwa mmeimba vizuri 🙏 Mwenyezi Mungu azidi kuwaongoza katika utume wenu
Tumshukuru Mungu 🙏
Hongereni sana wapendwa Mungu awabariki.
Amina
Hongera sana Mwanisenga Bafakwita kaka umefanya kazi nzuri na kwaya imejua kutendea haki wimbo Hongereni sanaaaaa🎉🎉
Tumshukuru Mungu kaka🙏
Hongereni kwaya ya Mt Yohane Paulo wa 2
Tumshukuru Mungu
waaaaaaaoaoooooooooohhhh 💥💥💥💥💥💥💥👊✊✊wimbo mzuri sana familia yangu
Tumshukuru Mungu 🙏
Hongereni sana 🎉
Tumshukur Mungu
Wow hongereni sana
Hongereni wanakwaya..hongera pia father chrisogon kwa utume
Tumshukuru Mungu 🙏
congrants to john paul 2 choir udom for amazing song to father chrisogon
Thanks to God🙏
Hongereni Sana
Tumshukuru Mungu 🙏
Nakumbuka enzu za udom na akiwa singida, happy anniversary kwake
Amina
Hongereniiiiii sana
Tumshukuru Mungu 🙏
Hongera saàn paroko Wetu wa UDOM kwa jubilei ya Miaka 25
Congrats a lot 👏 💓
Thanks to God
Kazi nzuri sana japo kuna namna wametupunja quality
Mbn ipo vzr mkuu
❤❤❤ hongereni jmn kah mpaka wivu cjui na mimi niwe padre😂 ila hongereni
Milango ipo wazi kabisa
Kassian ww n daimaa😂😂😂
amazing song
Ongera mkunde
🤔
familia🎉🎉
🎉🎉🎉
🎉🎉❤
❤❤❤❤
❤❤🎉
❤
1:26
ila Kassian
Hongereni sana
Hongereni nyote
❤❤❤
❤❤🎉
❤❤
♥️♥️🎉