Jameni kwenye hicho kipengele cha kukubaliana na mtu halafu anakuja kukugeuka mimi mwenyew nashida hiyo, kila nikipata deal la kazi linaenda vizuri mwisho wa siku deal linapaa, imenitokea hivo mara nyingi sana mpaka nimeshachoka
Jamani Mimi nimekuwa nikiota ndoto nafanya mtihani lakin kila ikifika siku ya kufanya mtihani unakuta sijajiandaa alafu pia kuna ndoto imekuwa ikinisumbu sana nimekuwa nikiota nimekuwa kipofu ninapokaribia kwenye neema yangu najikuta sioni nahitaji msaada wako mtumishi
Bwana Yesu asifiwe! Mimi nilikuwa na swali kwa alie toa ushuhuda, angetuambia asili ya mali zake, na apo mwanzo wakati mafanikio yake yanaanza alikuwa atoi sadaka?
Ila jini mahaba ameharibu maisha ya wengi sana
Jameni kwenye hicho kipengele cha kukubaliana na mtu halafu anakuja kukugeuka mimi mwenyew nashida hiyo, kila nikipata deal la kazi linaenda vizuri mwisho wa siku deal linapaa, imenitokea hivo mara nyingi sana mpaka nimeshachoka
Mungu akuweke baba ❤🙏
Asante Mungu kwakua naelewa neno afundishalo mtumishi wako
Nimependa ushuhuda WA kaka alifanya maamuzi yakumtafuta Mungu kweli kweli
barikiwa sana mtu wa Mungu,somo zuri sana...Asnte Roho Mtakatifu kwa maarifa haya....
Asante Yesu! Yani Mtumishi umeongelea matatizo yangu yote makubwa. 🙆♀️
Amen mtumishi barikiwa sana
Mtumishi hayo yote nayapitia Mimi Mungu nisaidie
Ameen Mtumishi wa Mungu ubarikiwe Sanaa 🎉
Ameni Mtumishi nimepokea kitu cha thamani sana
🙏🙏🙏
Jamani Mimi nimekuwa nikiota ndoto nafanya mtihani lakin kila ikifika siku ya kufanya mtihani unakuta sijajiandaa alafu pia kuna ndoto imekuwa ikinisumbu sana nimekuwa nikiota nimekuwa kipofu ninapokaribia kwenye neema yangu najikuta sioni nahitaji msaada wako mtumishi
Mungu akupiganie Mtu wa MUNGU Unaweza kufika kanisani the reality of Christ Sinza mori au Uwasiliane na uongozi kwenye namba za huduma
Nahitaji namba za huduma pzl
Nikweli,tumemkemeasana roho wamungu
😂😂😂😂😂
Mungu tusamehe
Amen
1Wakorintho 2:10
🙌🏿🙏🏿
😊😊
kujikana ni jambo la msingi
Bwana Yesu asifiwe! Mimi nilikuwa na swali kwa alie toa ushuhuda, angetuambia asili ya mali zake, na apo mwanzo wakati mafanikio yake yanaanza alikuwa atoi sadaka?
Sio kwa ubaya, bali ni kwalengo la kujifunza
Hizo stage zote 3 nimezipitia🙆♀️🤦♀️
T
😢😊