ALIYEANDALIWA NA NEEMA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- KANISA LA REALITY OF CHRIST MINISTRY (ROC) LIPO SINZA MORI DAR ES SALAAM LINAONGOZWA NA WATUMISHI WA MUNGU PASTOR SUNBELLA KYANDO
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our RUclips: www.youtube.co....
#sunbellakyando #pastorsunbellakyando #pastorjohnsembatwa #realityofchrist
Mtumishi wa Mungu BwanaYesu asifiwe nimebarikiwa sana na mahubiri yako Ubarikiwe sana na Mungu akupe Afya njema
Pastor nakuombea maisha marefu, nabarikiwa sana na mafundisho yako
Amina amina Amina Bwana azidi kukutumia,na hii neema iliyo ndani yako itujilie
Nimebarikiwa sanaaa
Amen mtumishi barikiwa sana
Kweli mtumishi wa mungu
Baba umeugusa moyo wangu 😭😭😭😭Am in training for know 🙏🙏ooo lord nisaidie . Juu utukufu wa mwisho ni mkubwa sanaa.
Wooooh 🔥🔥🔥holy Spirit 🙌🙌
Baba Sunbella ...sante sana kwa fundisho ili
Bwana Yesu asfiwe,natamani sana kutoa Baba lakini siwezi
𝐊𝐰𝐚𝐧𝐧𝐢 𝐦𝐩𝐞𝐧𝐝𝐰𝐚𝐚?
Amen. Baba naomba Bwana Yesu unipeuvumilivu wakuukaa ktk hiyo Neema inayooniandaa.
Nabarikiwa
Amen
🙏 AMEN 💞 AMEN 🙏
Amen amen amen
Naomba umuombee Elton naRehema
naomba nipate utaratibu nije pls pastor ,ninaamini majibu yangu unayo yapo kwako please
❤
Mtumishi Tanga mtakuja lini?
Amen
Amen
Amen
Amina
Amina