Imebainika kuwa Samuel Mutisya mkazi wa Kibra alipigwa risasi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 окт 2024

Комментарии • 114

  • @RealJohn-g7f
    @RealJohn-g7f 3 месяца назад +20

    The wicked shall never go unpunished.

  • @Redcatek
    @Redcatek 3 месяца назад +4

    Waweke number tuchangie Mwaura

  • @rickobwoy
    @rickobwoy 3 месяца назад +6

    Imagine that guy tumesoma shule moja😢so sad

  • @rizikimohamed2449
    @rizikimohamed2449 3 месяца назад +3

    Jamani haki Iko wapi kwa wakenya haya serekali msaidieni huyo kijana yuwahitaji damu na pesa yskulioa hospital

  • @Briana_B-t9j
    @Briana_B-t9j 3 месяца назад +4

    And may God of mercy heal the injured ones for those who lost their life 😢,may they have internal rest. Amen

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 3 месяца назад +6

    Ikiwa baba Kwa familia ni MRONGO family yote ni ya warongo.ati amepigwa na umati.

  • @titus1846
    @titus1846 3 месяца назад +5

    Mnasikia tu,alikuwa anatoka kazini !

  • @bensonkirimi8065
    @bensonkirimi8065 3 месяца назад +4

    Citizens citizens number one

  • @akinyi774
    @akinyi774 3 месяца назад

    Odi Francis well done from KTN

  • @antonykioko9709
    @antonykioko9709 3 месяца назад +5

    Tafadhari mlioko karibu okeni huyu jamaa na damu mkijua ni mkenya kwa mkenya amna viongozi

  • @KimathiFelix
    @KimathiFelix 3 месяца назад

    Polisi Wameshindwa Na wezi apa Kenya xaa kazi yao kubwa Ni kuua wasio Na hatia😢😢😢😢😢😢

  • @FamousBerry139
    @FamousBerry139 3 месяца назад +9

    Police are killing people halafu DCI wanaleta fake person eti anauwa watu

    • @ummiissaabdulissaabdul8117
      @ummiissaabdulissaabdul8117 3 месяца назад +1

      D C I wala pesa tu wala sio.kuchunguza ngombe awa jinga sana mungu awalani wote

  • @YasminAli-io8xn
    @YasminAli-io8xn 3 месяца назад +1

    I'm ready but i go whar please to ondonit My blad 🙏🙏🙏🙏

  • @softjeanskhakis789
    @softjeanskhakis789 3 месяца назад +8

    Jamani. Vijani. Tulieni. Munatesa. Wazazi wenu. Shida ukipata mzazi anaumia. Tulieni please

  • @consiliawanyama1086
    @consiliawanyama1086 3 месяца назад +1

    May Christ heal him🙏

  • @dianamungai6413
    @dianamungai6413 2 месяца назад

    3:52 eiih

  • @danielwachiuri-qg7go
    @danielwachiuri-qg7go 3 месяца назад

    Mungu tunusuru na minyama kwa jina la vio gozi na vibaraka wauwaji

  • @julielagat7033
    @julielagat7033 3 месяца назад

    Mchanga pesa iko wapi?

  • @bensonngichabe946
    @bensonngichabe946 3 месяца назад

    Ruto must go, whether he like or not.

  • @patrickthariki7465
    @patrickthariki7465 3 месяца назад

    Family and friends please donate blood faster. Us kenyans will donate money. Kidogo kidogo ns tuwe wengi. Leta mpesa number. All peoples of good will we save this young man.

  • @corneliusodoo7183
    @corneliusodoo7183 3 месяца назад +1

    Kindly Kenyans let’s help this young man with blood,I wish I was in Kenya singechelewa. What Ruto’s government is doing it shall not be well with him

  • @Beliers
    @Beliers 3 месяца назад

    Ruto uko na watoto
    Mungu atakkuonyesha pamoja na Hao askari

  • @Ericmwangii
    @Ericmwangii 3 месяца назад

    Those responsible will definitely pay. Definitely.

  • @KwizeraFidel-s8w
    @KwizeraFidel-s8w 3 месяца назад

    Damu yangu napeana Bure kumbe wanauza bei kali😢

  • @dafinesmailo1984
    @dafinesmailo1984 3 месяца назад

    Yani vijana wetu wanauwawa alafu DCI inatoa taarifa za uwongo.

    • @ummiissaabdulissaabdul8117
      @ummiissaabdulissaabdul8117 3 месяца назад

      D C I wataka kuliko ibiwa pesa wakimbie wakazirambe ndpo wachukue waizi awana lolote awa wangalia pesa na sio haki

  • @jotonyae-04
    @jotonyae-04 3 месяца назад

    Yaani Serikali inatupatia habari feki tu

  • @Gffry9520
    @Gffry9520 3 месяца назад

    Now that the govt won't care; the mobilisers of these protests should quickly mobile funds for the victims too.

  • @Stephen12.
    @Stephen12. 3 месяца назад

    Na kindiki amerudishwa tena.😢

    • @petronillahosoro4828
      @petronillahosoro4828 3 месяца назад

      Aendelee kunyonga watu,round hii tutahakikisha wameenda nyumbani wote

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 3 месяца назад

    Kwani police wanataka kuua watoto wetu wote,?😢😢

  • @karutyericscomedies2783
    @karutyericscomedies2783 3 месяца назад

    Wanajaribu uongo WA kila namna kuhadaa wakenya.
    Shame on you!!!

  • @Daguudickson026
    @Daguudickson026 3 месяца назад

    Imgn unatokea hustle 😢

  • @happytsalakushe141
    @happytsalakushe141 3 месяца назад

    Qr kijana

  • @WakadiNali-tp2yt
    @WakadiNali-tp2yt 3 месяца назад

    Number ikuje tuchagie huyu shujaaa

  • @franciskiarie3396
    @franciskiarie3396 3 месяца назад

    Haaaiya tu

  • @Beliers
    @Beliers 3 месяца назад

    I wish God can revenge for this pple, mm onekana

  • @AbcdEfgh-wd1wu
    @AbcdEfgh-wd1wu 3 месяца назад

    Why allow Kenya police to shot the pple????? Ruto and your Ministers should go immediately

  • @alextercisio
    @alextercisio 3 месяца назад +3

    Wote wanasema walikuwa wanatoka kazini 😂😂😂 kazi ya kurushia polisi mawe na kupora ?

  • @bernardkariuki2615
    @bernardkariuki2615 3 месяца назад +4

    Nani alikutuma maandamano?????

    • @evansokemwa6587
      @evansokemwa6587 3 месяца назад +1

      stupid question

    • @georgekenya7867
      @georgekenya7867 3 месяца назад +3

      Wewe n shenge

    • @bernardkariuki2615
      @bernardkariuki2615 3 месяца назад

      @@georgekenya7867 wewe kwanza tahiri uache kukaa kama mbwa Malaya hii

    • @agnesmutindi3094
      @agnesmutindi3094 3 месяца назад +2

      Vitakuja kukupata pia wewe, shameon you

    • @michaelbuyayi8980
      @michaelbuyayi8980 3 месяца назад +3

      Very despicable question.... what of the one who was coming from work, and not in demos? Boss don't advertise your ignorance in full glare of the public.

  • @bglad1387
    @bglad1387 3 месяца назад

    Y are you showing his face?

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 3 месяца назад

    😭😭😭😭😭😭😭

  • @musaandre
    @musaandre 3 месяца назад +4

    wakiwa kwenye maandamano wanakua na umangaa xana but,mtu akipatikana anajikunja kama kiwete.wametuibia xana na wanafaa kulipia

    • @MuniraShughuli-kc7vj
      @MuniraShughuli-kc7vj 3 месяца назад

      Kwenda zako w

    • @omwangegriffins7000
      @omwangegriffins7000 3 месяца назад

      Matako wewe

    • @Mohalira
      @Mohalira 3 месяца назад

      Usiongee mdomo wazi...leo kwa mwenzako kesho kwako.

    • @MuthamaSabastian
      @MuthamaSabastian 3 месяца назад

      Ingempata mtoto wako ungejua kuongea.

    • @Travelwithfred
      @Travelwithfred 3 месяца назад

      Nyinyi ni wale mnamgojea WENGINE wawapiganie mkipiga kelele hapa malenge hii bila brains

  • @gordonomondi7161
    @gordonomondi7161 3 месяца назад +2

    Where are the human rights bodies in Kenya?

    • @juliaannenderitu
      @juliaannenderitu 3 месяца назад

      They're not available for now.... the invisible hand of evil couldn't allow those organisations, they have their calling n funding from specifications that connects with leadership so for now in the particular scenarios of Kenya they are not available....find wisdom to understand

  • @bernardkariuki2615
    @bernardkariuki2615 3 месяца назад +2

    Pia mtuletee wale wanapora maduka??

  • @harrynjenga
    @harrynjenga 3 месяца назад

    Tuwache hii mambo ya Protest. Gen Z hawatukusaidia ukijipata pabaya

  • @benlangat2082
    @benlangat2082 3 месяца назад

    Wajinga,si wangekaa nyumbani,mpigwe risasi tu,

  • @augustinekaio411
    @augustinekaio411 3 месяца назад

    Heri waliokufa juu wengi wa vijana hatuna maana juu pesa hatuna

    • @jenifferKimeu
      @jenifferKimeu 3 месяца назад

      You came under sun alone it's ironical to talk in plural, when you don't need gift of life thirst for death alone without speaking for others infact what you lack is what others have .
      Such satanic comment is only for educated silly idiots.
      Those who think money is life like you may you get it and be hospitalized when fighting for such life is what shall make you understand why you take it for granted

  • @JustinRwibagiza
    @JustinRwibagiza 3 месяца назад +4

    Awa wa kibra ndiyo walipora rongai na kitengela stupidness

  • @davidthuks2128
    @davidthuks2128 3 месяца назад

    Wapigwe risasi kabisa wasisamehewe

    • @brianmutugi-t8c
      @brianmutugi-t8c 3 месяца назад

      Untill your family member becomes a victim don't wish others bad luck

    • @bonfacemaingi5106
      @bonfacemaingi5106 3 месяца назад

      Think twice

    • @ob4ra
      @ob4ra 3 месяца назад

      I hope you are older than me. I watched the cabinet list and nikapandwa hasira cause it's the same people riddled with scandals from previous jobs. Mi nikasema apana, I will protest. Someone has to stand up to this bullshit. Alafu weeewe! Unawish the many people who think like me tupigwe risasi! Dude!

    • @vanlivasia
      @vanlivasia 3 месяца назад

      Wewe David hujui Si waadamanaji tu waliopatwa na risasi hatawapitaji , kwa hivyo usifuhie watu kupigwa risasi hata wewe unaweza kuwa victim pia

    • @samwelWaweru-wi6fz
      @samwelWaweru-wi6fz 3 месяца назад

      Wewe kijana mjinga sana