Huyu jamaa anaeongea yale nilivyokua Ninayoyawaza mm elimu yetu haimkomboi kijana ajikomboe inamjenga awetegemezi kuajiriwa na sio kutumia elimu yake kujikomboa na kulikomboa taifa
Mbona MATUSI tena msikitini? Unapoyasemea MADHEHEBU ni vyema ukawa na ujuzi nayo. Lkn pia upo uwezekano wa kutumia picha ya uongo inayofanana na ukweli.
Masha allah mungu akuhifadhii
Huyu jamaa anaeongea yale nilivyokua Ninayoyawaza mm elimu yetu haimkomboi kijana ajikomboe inamjenga awetegemezi kuajiriwa na sio kutumia elimu yake kujikomboa na kulikomboa taifa
Nikweli kabisa na ndoo maana wanapi pewa Hela za miladi hazi fanyi kazi za naendeleo .Zina pigwa tu
Mbona MATUSI tena msikitini?
Unapoyasemea MADHEHEBU ni vyema ukawa na ujuzi nayo.
Lkn pia upo uwezekano wa kutumia picha ya uongo inayofanana na ukweli.