Aise sheikh unatusaidia sana sisi ambao tuliozaliwa kwenye dini chotara baba mkristo mama muislam. Tumeishi maisha magumu sana kwa kusengenywa na ndugu huku mnaitwa makafri huku mnaitwa wapagani. Yaani unaleta upatanisho wa imani. Ahsante mkuu. Tuache dini sasa rumfuate mwunyaazi Mungu.
Nami nimenehemeshwa ku sikiliza wewe nabii Elia kwa kizazi hiki ili nijuwe kweli toka kwako namushukuru MUNGU kuni acha haï ili nisikilize neno hili kuwa korani imeongelea kuhusu YESU Kristo kumbe hawa wa islamu wanao kataaa YESU sio wa tu wa MUNGU ila nabii Elia ishi milele hâta kizazi kijacho ipone 🙏🙏
nakukubali nabii elia endlea kuwavumbua vipofu wasie mwamini yesu kristo kuwa ndiye masihi ajae kuukomboa ulimwengu na wakristo woote watakaa mkono wake wa kuume na wasio wakristo wataangamizwa kwa moto wa milele
Mungu mlinde shekh Amza maana huyu ni mbegu njema na umpe baraka umuongezee wasaidizi. Maana yeye hayumo miongoni mwa waisilamu wasiojua Mungu anataka nini ; wala hayumo miongoni mwa wakristo wasiojua Mungu anatakanini. Shekh Ammza Usikate tamaa endelea kutangaza neno la Mungu kwa njia ya haki nakweli tupowemgi tutakao kufuata kuamini pamoja na wewe.
Halafu acha upotoshaji , Quran haina yesu ni jina la uzushi huyo mtu ni Nabii Issa hakuna mungu anaezaliwa Nabii Issa ni binaadam kama wewe na alipaishwa na mwnyzingu kwenda mbinguni na atarud na kuonja umauti kama binaadam wengine na ndipo kiama kitakua kimefika ....Acha unafki
Namupenda MUNGU sana ku sikiliza maana ya luga neno mu kiharabu hâta swahili Haleluya Haleluya Haleluya mimi ni mu Congo ila nakufata toka Oman namupenda MUNGU kwa furaha sana ku sikiliza injili hiyi leo ao nabii huyu kumbe kuna ukweli kama huu duniani? MUNGU sifiwa milele
Yesu kweli nimekuelewa leo Yesu nimekutambua leo tafadhali nipokeee kweli wewe ndiwe mwanzo na mwisho paulo alisema ata kwamizaa watakukili jmn Yesu nakupendaa
Tangu ufukuzwe kazi kule maliasili na kuajiriwa na Wasiojulikana umekuwa mwehu Sana na unawadanganya wehu wenzako!! Inamaana wanashindwa kukuuliza kuwa Kama umemwamini Kristo kwanini hubadilishi dini kuwa Mkristo? Umeamua kuvhumia tumbo Sasa, eti nabii!!! Hovyo!!!!
Umedamshi umenwir baada ya kutokuonea haya injili ya Yesu, litangaze neno lake Bwana kwa matifa mbalimbali Mungu endelee kukujalii afya njema wanakunenea mabaya wakuone ukojuu hongera kwa kukombolewa na kuuweka ukweli waz hukwel umweka mtu huru
Hakuna injili ya kweli kumbuka mmungu alie ya vitabu vyake vinne hata kat uislam bipolar ilajili hi one punguza na kuzidishwa mmungu ana jua na nabee wake ibrahim ndio baby yao wa mitume mzungu hana mitume wala mawalii sadi yao kupunguza na kuichukia uislam na kutunga sheria zao kw kumpinga Allah mmungu ndio mweye haki na dunia yake na mitume wake vp uislam umkubali isa binmariam ila ukristo ulimpinga inamanisha wanashindana na mmungu mwenye mana bee zake mmungu alitetea mana bee wengi Na isa alisema atakuja badayangu na bee wa mwisho mumfate atakae kamilisha dini nakitabunkisicho kua na Shaka muislam hat hiyo bible ilio chakachuliwa hawaichani Lakini makafiri wazungu hichana quruani tukufu sasa nani anaemuogopa mmungu japo walikipunguza makafiri Na kuzidisha mmungu alisema hambaa manabee bada ya mtume wa mwisho muhammad saw ni kwa mwisho leo majafiri wanajita wao manabeewbila kutajwa na mmungu na kuleta mandolin mengine wao wanataka pesa na biasha
Yaaaaaa ayyuhalladhina amanu tubuu Ilallahi taubatan nasuhan ikiwa utaufezehesha uislam Allah atakufeze hesha duniani na akhrirah ittaqillaha haithu maakunta
Usimhukumu ndugu yako usije kahukumiwa lakini Jahannam inawangoja wa Islamu nyote Qur'an ya Mayunga ukulasa 533 kama unyayo soma au uliza Dr Mazinge au Dr Sule
Waislam tunatukana matusi lakini hamna hoja huyu jamaa anahoja nyingi zenyekueleweka chamsingi tuondoe kwanza ubinafs harafu tumsikilize kwa makini ili tuhoji tuache ushabiki wadini tatizo jamaa ana hoja ya maandiko ni mimi great thinker man
Laanatur Llah Alla aepushe waisilamu wote na walio kua. wakitafuta njia yenye kunyooka. na dini yaukweli. atuepushe upotovu wako na upotosho wako. apoteze Roho yake mwenyewe. nawale watakao mufuta
INALILLAH WA INALILLAH RAJIUNI!WEWE NI MUKUBWA WAMAKAFIRI,INASEMEKANA KAMA ZAMA ZAMWISHO UNGO UTAJUNGUWA PUMBA ZITATOKA,KWAHIO WEWE FUNGUA KANISA LAKO LAWA MURURADI MWENDE WOTE KABISA USIRUDI KUSEMA KAMA WEWE NIMWISLAM. UDUADINI.UTAAIBIKA SIKUZIJAZO.
Mmechagua Jambo jema. As long as you hold first this to the end, you are safe even if you die in this faith, you are a candidate of heaven. God give strength and perseverance to the end
Ukitaka kuwajua watu wasiomcha Mungu, utawatambua kwa kutukana. Ubarikiwe Ustaadh Hamza, anayekupinga alete ushahidi wa maandiko. Wanaokutakia kifo ni wana wa shetani walioshindwa kujibu hoja kama ilivyofanyika kwa Yesu wakidhani kuwa kuua mtu ni njia ya kufisha ukweli!
Huyu jamaa...atawadanganya sana nyie msio ujua uislam....kifupi hakuna muislam anaempinga yesu ht mmoja na wala injili aliopewa. Isipokua tunachopingana na wakristo ni kitu kimoja tu. Wakristo wanamuita yesu mungu nasisi tunamuita yesu ni mtume wamungu. So kumkuta yesu kwny Quran na wote wanaomuhusu ni jambo sahihi kwasabu yesu anatambulika kwny uislam km ni mtume halali wa mungu. Na kingine kaeni msome ili muelewe vzr. Quran ni combination ya vitabu 4 furqan ambayo ndo Quran yenyewe. Injili,zaburi na tauraat. Kwahiyo si ajabu kumkuta yesu na mitume mingine....so huyu jamaa asichukue kigezo cha kumkuta yesu kwny Quran ndio apotoshe umma. Quran imetaja mitume yotee kuanzia yeye mwenyewe Muhammad,issa ambae ndo yesu, nabii ibraahim, ismail,is-haak, yaaquub nawengine wengi waliopita kbl ya kuja muhammad. So km hamsomi mtadanganywa sana na watu km hawa....ila siwezi kumaliza yote humu coz mtachoka kusoma. But nataman huyu jamaa aingie kwny kumi nanane zangu nitamuuliza maswali matatu tu...na sidhan km mada itaendelea tena.....inshaallah ipo siku
christina biyengo UYO JAMAA NI MUONGO KUHUSU HUO UNABII WA MALAKI.4:5,6).YAAN AJUI UNAMANISHA NINI,HUO UNABII UNAMUHUSU YOHANA MBATIZAJI YESU ALIFAFANUA SASA NYIE JUMHIYA YA WAKRISTO MKIWA WAVIVU KUSOMA BIBLIA NDO UYO JAMAA ATAWATEKA..SOMA APA..(MATHAYO: 17-10-13).KWAIO UNABII ULITIMIA KWA YOHANA ZAIDI YA APO AKUNA NABII MWINGNE WALA MTUME AMBYE ATAKUJA KILICHO BAKI NI KUFATA MUONGOZO KUTOKA KTK BIBLIA BASI ILI UOKOKE KTK DHIKI KUU NA HARMAGEDONI AMBYO IKO MBELE YETU...
"Hawatokuwa radhi juu yako mayahudi wala wakiristo mpaka ufuate mila yao. Sema hakika uongozi wa mwenyezimungu ndio uongozi khasa. Na Kama ukifuata matamanio yao baada ya Yale yaliyokufikia ya ujuzi hutapata msaidizi yeyote wala mlinzi. "(2:120). N:B hamza issa sio muislam mwenzangu kuanzia leo labda urejee ktk uislam. Umefuata njia wasiopita waumini hivyo hutaweza kufauli amini ninavyokwambia. "Hakika wale wafichao aliyoteremsha mwenyezimungu ktk kitabu. Wakafadhilisha thamani ndogo (ya kidunia), hao hawali matumboni mwao isipokuwa Moto, wala mwenyezimungu hatawasemeza SIKU ya qiyama wala hata watakasa. Nao watapata adhabu iliyo kali. (2:174). "Hao ndio waliokhiari upotevu kuliko uongofu, na wakakhiari adhabu kuliko maghfira. Je wanaujasili gani wa kuvumilia Moto? (2:175). N:b tumia muda wako wa kuishi Nao ni mchache sana. Na utakapokufa utaujua ubaya wa iliokuwa ukiyafanya. Ulaaniwe na Allah ewe adui wa Allah na Mtume wake kwa haya unayofanya.. Labda utubu na urejee ktk dini ya kiislamu. Kwani hivi Sasa wewe umetoka kwenye dini yetu ya kiislam. Anasema Al immam ibn qayyim(r.a) Wansur kitabu Allah wassunan. (Kinusuru kitabu cha mwenyezimungu na sunna zake). Fainna junud atbai rassul malaika (kwa hakika jeshi la wafuasi wa Mtume ni malaika) wajunuduhum faasakiru sheitwan(na waovu ni jeshi la shetwani). N:B. Tambua kwamba hautofanikiwa katika unalolifanya. Na nakubashiria kifo kibaya Kama hutarejea ktk uislam na. Kutubu.
Kitajulikana Mungu sio Asumani. Hukumu zake ziko palepale. Na mkono wake haujapungua uweza. Kama alivyomuinua Musa hadi sasa anawainua watu awapendao wafanye kazi yake
Jesus Christ is our sevior sema ahsante yesu Kristo nilinde na wabaya wote duniani aminaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nisael Emmanuel ww jidanganye ivo ivo yesu hakuwahi kuingia kanisani tafuta biblia mzima ila utakuta alikua akiingia msikitini ww shangiria mpaka motoni yesu hakuleta ukiristo bali umeletwa na Paulo mtaliano yesu alikua myahudi ndomana mpaka leo ukienda pale Palestina katika mji wa Jerusalem hapana wakiristo zinduka
Umekosea umeifata njia iliyo nyooka na safi...waionayo ni weng matajiti...lakin iendayo kwenye uzima ni nyembamba na iliyojificha na waionayo na ni wachache ndugu....ucpoteee kizembe shetan nae alileta wa kufana na yesu baada ya yesu kuondoka ndio huyo muhamad ambae amepandikizwa na shetan kuupinga ukweli wa kristo na neno la uzima kaa chonjo cku ni chache...mmi muislam lakin kuna nguvu ya tofaut ndan ya kristo....mmi namkemea pepo kwa jina la yesu kristo bila kutumia mafuta wala njia yoyote ila in the name of jesus only...bad spirit out....na linatii linaogopa lakin wew umeenda kuswali na majin misikitin wew....kama ungekuwa umeokoka kweli ndan ya moyo wako ungetambua kweli mwenye bila kuambiwa itafute kweli kwa bdii ili ukailith nchi mpya
Mashallah! Wakristo wanaona wimbi kubwa la watu kisilimu duniani kote,sasa wanaandaa watu kama Hamza kwa lengo la (1) Kuwavunja moyo waliosilimu, (2) Kuwakatisha tamaa wanaotaka kusilimi na (3) Ikiwezekana kuwatoa Waislamu katika dini, Allah alishasema kuwa makundi kwa makundi wataingia katika dini ya haki,yeye Hamza hawezi na hataweza kushindana na yule aliyempa pumzi, anajifurahisha yeye na Wakristo wenzake.
Bwana Yesu akulinde na kila hila za mashetani na watu waovu wasiopendwezwa na mafundisho unayofundisha. Mungu akubariki sana. Watu wengi wanakulaani kwa sababu unafundisha wasiyopenda. Lakini laana isiyo na sababu haimpigi mtu. Tunakubariki sana sana sana. Wengi kama wewe watajitokeza tu.
Nimesoma history ya Mohammad, nakuelewa sana..umepatia hayo maneno Mohammad aliwaambia wafuasi wake kwamba ikiwa wana shaka wawaulize “WATU WA KITABU” hawa watu wa kitabu ndio waliomfundisha Mohammad habari za Kristo..
Usijidanganya ijili ya kale iko wapi nakuliza ww injili ya kale na isa walimtabiri atakuja muhammad saw bada yangu Mfate hi ya sasa ni ya kuzidisha na kupunguza ya wazungu mzungu hana kwao na bee ibrahim ukiona katokea irag na yy alieanzisha uislam kutoka kwa amri ya mmungu na ukiangalia mitume wote ni wa mmungu mmoja na wote wametoka mashariki ya Kati. Mzungu hana na bee na ktk quruani tukufu na na bee woote wwmetajwa mbona mmungu hakbagua isa anajua ni na bee wake na wote hao ni wamoja na isa nimmuislam safi alisujudu na kutawadha na mmungu alisema mtume wa mwisho atakMilisha dini ninuislam kufaradhisha kila kitu swaum hija sealant sajad na vitu vingi vlikamilka ktk uislam kuvunja masanam baba yake ibrahim alivunja masanam leo mana bee wanajitokeza njaa kujita wao manabee huzeqkua na bee kwa sababu mmungu mwenye dunia yake alisha sema mtume wa mwisho na kitabu kilicho kua hakina shaka ni quruan tu hivyo vilivyobtangulia bilious nusu nusu ya elim kwa wana adam ila watu wamempinga mmungu na kubadilisha injili yake ya kweli . Cc waislam tunakubaliwvitabu vyote viine taurat injili zaburi na furgan cha mwisho
Amina! Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo. Matendo ya Mitume 4:12
Isa na Yesu na kristo ni vitu tofauti sana sema Yesu kristo wa Nazareth pia uzao wao ni tofauti pia yesu kristo katabiliwa isa ajatabiliwa yesu Zizi la ng'ombe lakini isa chini ya mtende mnalishwa matangopoli hapoooo
Tangaza injili bro ukisimama kwa ukweli lazima wanadamu wakuchukie tafuta ufalme wa Baba Mungu usiangalie ya wanadama watakushusha chini. MUNGU akuinue zaidi aibisha shetan. Ukiangalia ya wanaadam watakuelekeza jehanam
Sikuzote ukiwa mkweli mbele ya umma lazima utakuw ni adui WA wale unaowaelekeza, nasimama kusema menye kumjua mungu hawezi kujilipua na kuua hata watu wasiokuwa na hatia huku wakisema kuwa watakwenda ahhela eti kisa kafa na mtu wa neema,mungu akubariki ufanye Nazi yako vile apendavyo mungu na si watu
Anacheza na akili zenu kwelikweli, anawambia takbiiiiiir nanyi mnasema Allahu Akbar yaani Mungu mkubwa. Alhamdulillahi ukuu wa Allah unatajwa makanisani tena kwa shangwe na mihemko!!!!
Allah ni mwingi wa rehma .na katika rehma alizo turehemu ni kututumia mitume. Ili tumujuwe Nani muumba wetu naye ni Allah ili tumuabudu .someni Surat Al fatiha na sulati ikhirasi kwa utulivu na kwakutaka kujuwa ukweli . na omba Allah akuonyeshe ukweli na ukujaaliye uufate
Yesu kama wewe ni binadamu sio mtoto wa mungu. Mungu Hana mtoto mungu hakuzaa wala hakuzaliwa wewe hukua muislamu usituzingue sisi wewe tunakuona kama kinyago
Kweri waislam siyo mtu yyt akipotea mlejezeni kwa unyenyekevu mcje mkaingia majaribuni lakn hapo naona mnatukana wenyewe na mnajijibu wenyewe bira hata aipo kweri uo n upofu
Isa sio Yesu. Hata maana ya majina yao ni tofauti. Isa maana yake ni 'RANGI MBILI" NA Yesu maana yake ni "WOKOVU KWA WAMUAMINIO". Jina la Isa halina wokovu kwalo. Na Yesu sio Isa kwa kiarabu..! Anachofanya huyu ustaadhi ni mtego wa INTERFAITH MOVEMENT.. ambayo inakusudia kuufanya uislam eti ni sawa na ukristo japo waislamu hawamuamini Yesu wa Biblia bali wamemzusha Isa ambaye sio Yesu..! Na hawakubali kuwa Yesu ni Mungu, alishuka duniani ktk mwili, aliteswa, akafa msalabani na kufufuka siku ya tatu katika mpango wake wa kuondoa dhambi za ulimwengu. Sasa iwapo hayo ni maneno yake Yesu mwenyewe.. na waislamu hawayaamini watasemaje Isa aliyeko kwenye kuruani ni Yesu wa Biblia.. sheikh Hamza ni mdanganyifu mwenye nia ya kuua ukristo kwa kuugeuza ukrisro kufuatat imani za kiisalmu ambazo zinapingana na zile za kikristo.. KAENI MBALI NAYE.. NIA YAKE NI KUUA UKRISTO..!
Nabii Eliya. Usimonee mtu yoyote aibu sema kile mungu alichokuitia hakuna mtume yoyote atakaporudi kuhukumu ila Mungu kamchagua Yesu.wote kuanzia waliopita pamoja na kizazi hiki nitasimama mbele ya kristo yesu .tunakua kundi moja na mchunga mmoja sio wawili .ndio utaratibu mungu aliopanga. Uwe buza uwe mpagani vyovyote vile utasimama mbele ya kristo huo ndio. ukweli .mitume wote watasimama mbele ya kristo. Kwakua nao ni wanadamu watasimama.
Msiwe wajinga, anawasigia Hali yakuwa yeye ni muislamu mbona habadoli dili kuwa Mkristo Kama ameuamini ukristo! Amewawini kwakuwa Nyinyi mnadanganyika mapema.
Toka ktk dini yetu, unadhani una elimu kumbe wewe ni mtihani sana, e mola nipe nguvu ya kuvumilia maneno haya nashindwa kwakuwa mm ni mwanadamu, sijui nifanyaje nachukia sana maneno yako, matendo yako, ACHA Kushika Qur'an wewe SI muislam, Daaaah
Yesu Alikua ni mtume wa mungu, but nyinyi wakiristo munampa cheo ambacho si chake, mungu pekee ndio atahukumu, na huyu shekh bandia anapoteza wale ambao hawajaisoma dini ya Allah
Tuje kufanya nn sasa kwa Yesu acha ujinga ww hakika dini mbele ya Mungu ni uislam tu sasa ww kama una andiko lolote linalosema km ukristo ni dini mbele ya Mungu nipe nipo tayar kuritadi km ukinipa andiko katika bibilia
Mola akuhifadhi na kukubariki. Mimi nimezaliwa na kulelewa mkiristo. Nasali nyumbani kama waislamu. Nafunga wakati wa Ramadhan na napenda kuutafuta ukweli wa mweziMungu. Nakuelewa
Kristo ndiye njia ya kufika kwa Mungu hivyo KILA anaejitahidi kumtafuta Mungu kwa kukwea penginepo ni mkristo wa uongo ,yani ajifanya amjua Mungu kumbe ni muongo, hajabatizwa wala hana ROHO wa uzima, YESU ndiye uzima
Dino Castico hapana ucseme hvo we muache mwenyeez mungu mwenyewe atamtumia uyo uyo kufksha maneno ya Allah hakika mwenyeez mungu in mbora wa vitimbi wameshndwa akna filaun yy nae atakaa sawa tu
Naaamini yesu ni issa ila mimi si mkiristo wala kamwe sita ingia kanisani.. kwakua simuamini mungu mtu amabye alikua akila na kunya kama mimi, mtu aliye zaliwa na mwanamke,. Kwakua naamini killa aliye lala kwenye tumbo la mwanamke si mkamilifu. Mmechelewa 😂😂😂
Subhanaallah yaarabi tunusuru nahaya majanga yanayo tupata duniani Hawa ndio wanaiwacha watu wende kwenye matatizo angalieni Vizuri sana ndio maana watazania tunapatika kwenye majanga watu wanaleta mathehebu ya kishetani huyu hapo nishetani anamipoteza pumbavu
Hakuna Ukristo ndani ya Kurani, unaposema sisi waislam maana yake wewe siyo Mkristo, bado ni mwislam. Shetani hai kama shetani, anakuja kama malaika wa nuru, 2Wakorinto 2:11. Shetani anakuja kwa mbinu mbali mbali, kama huna roho wa Mungu huwezi kutambua, Mungu atusaidie. Hatuwezi kuzungumza habari za Mungu tukachanganya na kitabu kingine, hizo ni mbinu za juu sana za shetani. Shetani anajua kuwa Kristo ni Bwana, hivyo anapitia humo humo ili kuwasadikisha watu uwongo.
Unakoseaaa sanaaa tafakari upya waislam na wa kristo amna dini kati ya izo mbili zina ruhusu madhambi zote zina kataa mm sionagi tofauti kati ya izo dini
Wakristo ndio waliacha dini ya yesu na kujiunga na warumi lkn waislam ndio waliobaki kuendeleza dini ya yesu.. Ila huyu jamaa ni msanii hayuko kokote na Wakristo hawajui historia ya dini wanayofuata. Kiuhalisia dini kuu za sasa duniani ni urumi (kathoric) na Uislamu lkn ukristo haupo unatajwatajwa tu
Yaani huyu jamaa anaichambua korhani tukufu wengi wanasoma lakini hawajui leo sasa inaelezewa safi kabisa asiyejua anajua kiundani kabisaa barikiwa baba
WEWE NI BWANA MWENYE NGUVU sawa sawa na Filipi 2:6 ...lihimidiwe JINA lako kwa kuwafungua uliosema " na kondoo wengine ninao ambao si wazizi hili..' shikeni sana mlicho nacho tutaonana PARADISO...
Bwana yesu akulinde na akufiche kwa damu yake ilio na nguvu na uwezo dhidi ya mpango ya yule muovu. Usifadhaike hata makafiri waliubwa,na aliye azisha kazi njema ndani yako ataimaliza na atakuwezesha usife moyo yesu ni bwana
Mungu akubariki sana sheikh kwa kueneza kweli kwa mana yeye ndio njia na kweli. Sasa kwanini kulikuwako dini ya kiislam kama mtume alimkili Yesu, huu uislam ulitoka wap. Hawa waislam waliwezaje kumkana Yesu sio Mungu kama quran inamtambua Yesu kwa kuwango hiko? Kama ndivyo uislam ulianzishaje?
2Korintho11:"3 Lakini nachelea; kama yule nyoka alivyomdanganya Hawa kwa hila yake, asije akawaharibu fikira zenu, mkauacha unyofu na usafi kwa Kristo. 4 Maana yeye ajaye akihubiri Yesu mwingine ambaye sisi hatukumhubiri, au mkipokea roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumiliana naye!"" Enyi wandugu mtafutao ukweli wa Kristo ebu ongezeni maarifa ili msijeangamia kama Hosea 4:6 isemavyo maana Issa Bin Maryam ujio wake na maisha yake nitofauti kubwa sana na Yesu Kristo, Nandio maana Maandiko yanatuambia dhahiri kua Kristo ni Mungu lakini Quran Haikiri hilo,Kristo alituahidi na imetendeka kua Roho Mtakatifu hukaa ndani yetu baada ya Ubatizo lakini Huyo ndugu afundishae apo juu ataubatizo hajafanyiwa wala na uaminifu juu ya Roho ni kua ni Muhamad kwa wanavyo kiri kwa kitabu chao, naomba tu rejelea 2korintho11: 3 Lakini nachelea; kama yule nyoka alivyomdanganya Hawa kwa hila yake, asije akawaharibu fikira zenu, mkauacha unyofu na usafi kwa Kristo. 4 Maana yeye ajaye akihubiri Yesu mwingine ambaye sisi hatukumhubiri, au mkipokea roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumiliana naye! kisha tafakari sana sikila asemae Kristo ni Mwongofu,Simpinga Kristo maana siku ya mwisho watakataliwa na watajitetea kua walikiri Ukuu na Jina la Kristo tena hata kutoa mapepo lakini wataishia Motoni.
me sisemi mwenye macho haambiwi tazama. Yaraab nijaalie iman thabit nisiterereke na manabii wa uongo. laa ilaa haillallah waahdah laashirka lahu wanna muhammad rasulullah hadi yaumul kiyama.
Hamza sio Muislamu kama ambavyo mashabiki wa upako wanavyodhani,ni Mkristo mmoja mwenye aya mbili tatu,sijui katumwa na nani aje kuharibu akili za Waislamu kwa lengo la kuwatoa katika dini. Alhamdulillahi,naona wote walio like nakukoment kumwunga mkono Hamza ni walewale ambao huko kwenye nyumba zao za ibada na mikutano yao Mchungaji akawaambia wanywe Jiki mapepo na shida zitawatoka wanagombea kunywa "Jiki yenye upako" Ni watu wa kuamini amini kila jambo. Hamza hatampata Muislamu hata mmoja,badala yake anawaongezea giza walio gizani pamoja naye.
Aise sheikh unatusaidia sana sisi ambao tuliozaliwa kwenye dini chotara baba mkristo mama muislam. Tumeishi maisha magumu sana kwa kusengenywa na ndugu huku mnaitwa makafri huku mnaitwa wapagani. Yaani unaleta upatanisho wa imani. Ahsante mkuu. Tuache dini sasa rumfuate mwunyaazi Mungu.
Acha uongo we mjumbe wa papa, katengenezeni dini yenu ya CHRISLAM mpate kuupoteza ulimwengu wadini!!!
Nami nimenehemeshwa ku sikiliza wewe nabii Elia kwa kizazi hiki ili nijuwe kweli toka kwako namushukuru MUNGU kuni acha haï ili nisikilize neno hili kuwa korani imeongelea kuhusu YESU Kristo kumbe hawa wa islamu wanao kataaa YESU sio wa tu wa MUNGU ila nabii Elia ishi milele hâta kizazi kijacho ipone 🙏🙏
nakukubali nabii elia endlea kuwavumbua vipofu wasie mwamini yesu kristo kuwa ndiye masihi ajae kuukomboa ulimwengu na wakristo woote watakaa mkono wake wa kuume na wasio wakristo wataangamizwa kwa moto wa milele
Cyo kuuokomboa mtumishi ukombozi alishamaliza pale msalabani, Yesu atarudi tena kwajili ya hukumu au kuhukumu ulimwengu.
Piga kazi mtumishi wa Mungu kwa kipindi hiki cha neeema
safi sana sheikh toka umemjua yesu umekua na baraka sana mungu aendelee kukubariki sana
Mungu ambanike
Wakristo wanapenda mserereko. Ss wameliwa
Mungu mlinde shekh Amza maana huyu ni mbegu njema na umpe baraka umuongezee wasaidizi. Maana yeye hayumo miongoni mwa waisilamu wasiojua Mungu anataka nini ; wala hayumo miongoni mwa wakristo wasiojua Mungu anatakanini. Shekh Ammza Usikate tamaa endelea kutangaza neno la Mungu kwa njia ya haki nakweli tupowemgi tutakao kufuata kuamini pamoja na wewe.
Kabisa
Kaka seleman umesema kweli kabisa. Watu wengi awaja muelewa shehk. Yeye anacho kitaka ni kwamba tusiwe na udin
Nakukubali mtumishi. Bwana YESU atakuhifadhi na HUDUMA YAKO njema.
Napata kubarikiwa sana na venye unachambua bibilia pamoja na qurani.nitafanya juhudi zote nikipata na nikusalimie kwa mikono. Ubarikiwe sana
Ubarikiwe sana nabii elia
Ubarikiwe sana nabii elia
Darasa zuri sana Mungu akubariki mtumishi wa Mungu uko vzri kubabadua.
Siku zinakuja nitampeleka uyu mtu akahubiri injili sehemu zenye Giza nene in Jesus name.Amen
Amen
@@nabiiilyaaseliya2551 yani hamza njaa itakuuwa shezi wewe loh
Mbona hueleweki wewe muislam au mkristo ,et cc waislam halafu aleluyaa
Halafu acha upotoshaji , Quran haina yesu ni jina la uzushi huyo mtu ni Nabii Issa hakuna mungu anaezaliwa Nabii Issa ni binaadam kama wewe na alipaishwa na mwnyzingu kwenda mbinguni na atarud na kuonja umauti kama binaadam wengine na ndipo kiama kitakua kimefika ....Acha unafki
Namupenda MUNGU sana ku sikiliza maana ya luga neno mu kiharabu hâta swahili Haleluya Haleluya Haleluya mimi ni mu Congo ila nakufata toka Oman namupenda MUNGU kwa furaha sana ku sikiliza injili hiyi leo ao nabii huyu kumbe kuna ukweli kama huu duniani? MUNGU sifiwa milele
mwl mkuu wangu mimi nakuita hivyo Mungu wa baba yetu Yesu Kristo akutangulie ktk kazi hii barikiwa sana baba
Huyu mtu ni hatari Kwa imani ya wakristo.Tafadhalini kuweni makini.wakristo hatumtambui Muhammad hata chembe.
Gonga like kama huyu kenge ni njaa tu inamsumbua
ahsante yesu hakika imeandikwa kila ulimi utamkili yesu kuwa ni bwana na mwokozi wetu
AMINA.
Nambariki MUNGU ALIYE HAI KWA AJILI YAKO Ust. Hamza Issah wewe ni mtwana wa Mungu aliye hai. USIOGOPE KWAN MUNGU ALIYE HAI YUPO NAYE YUPO NA WEWE
Yesu kweli nimekuelewa leo Yesu nimekutambua leo tafadhali nipokeee kweli wewe ndiwe mwanzo na mwisho paulo alisema ata kwamizaa watakukili jmn Yesu nakupendaa
Waarabu na waisraeli wameigawanya hii dunia
Tangu ufukuzwe kazi kule maliasili na kuajiriwa na Wasiojulikana umekuwa mwehu Sana na unawadanganya wehu wenzako!! Inamaana wanashindwa kukuuliza kuwa Kama umemwamini Kristo kwanini hubadilishi dini kuwa Mkristo? Umeamua kuvhumia tumbo Sasa, eti nabii!!! Hovyo!!!!
Umedamshi umenwir baada ya kutokuonea haya injili ya Yesu, litangaze neno lake Bwana kwa matifa mbalimbali Mungu endelee kukujalii afya njema wanakunenea mabaya wakuone ukojuu hongera kwa kukombolewa na kuuweka ukweli waz hukwel umweka mtu huru
Hakuna injili ya kweli kumbuka mmungu alie ya vitabu vyake vinne hata kat uislam bipolar ilajili hi one punguza na kuzidishwa mmungu ana jua na nabee wake ibrahim ndio baby yao wa mitume mzungu hana mitume wala mawalii sadi yao kupunguza na kuichukia uislam na kutunga sheria zao kw kumpinga Allah mmungu ndio mweye haki na dunia yake na mitume wake vp uislam umkubali isa binmariam ila ukristo ulimpinga inamanisha wanashindana na mmungu mwenye mana bee zake mmungu alitetea mana bee wengi
Na isa alisema atakuja badayangu na bee wa mwisho mumfate atakae kamilisha dini nakitabunkisicho kua na Shaka muislam hat hiyo bible ilio chakachuliwa hawaichani
Lakini makafiri wazungu hichana quruani tukufu sasa nani anaemuogopa mmungu japo walikipunguza makafiri Na kuzidisha mmungu alisema hambaa manabee bada ya mtume wa mwisho muhammad saw ni kwa mwisho leo majafiri wanajita wao manabeewbila kutajwa na mmungu na kuleta mandolin mengine wao wanataka pesa na biasha
Yaaaaaa ayyuhalladhina amanu tubuu Ilallahi taubatan nasuhan ikiwa utaufezehesha uislam Allah atakufeze hesha duniani na akhrirah ittaqillaha haithu maakunta
Uisilam hakuna kitu njoon kwa Yesu achen kuabud msivyovijua
Laana za ALLAH ziwe juu yako kwa kupotosha umma. Mm nakuombea ufe hivyo2 na imani yako hiyo ukawe kuni jahannam IshaAllah.
Usimhukumu ndugu yako usije kahukumiwa lakini Jahannam inawangoja wa Islamu nyote Qur'an ya Mayunga ukulasa 533 kama unyayo soma au uliza Dr Mazinge au Dr Sule
We subilia ufe ukamuliwe mavi uende kaburini bila marinda na motoni utafika maana amna Muislam atae ingia mbinguni
Mimi namuombea asife sasahivi ili azidi kuwapotosha waliopotoka wakachomwe wote kuzimu.
Kwanini unamuombea afe...Hiyo ni roho ya Shetani..Afe ili iweje.
Utakufa wewe ili ujue aliyeshikwa mkono na KRISTO hafi bali ataishi kwa zaburi 118:17
Waislam tunatukana matusi lakini hamna hoja huyu jamaa anahoja nyingi zenyekueleweka chamsingi tuondoe kwanza ubinafs harafu tumsikilize kwa makini ili tuhoji tuache ushabiki wadini tatizo jamaa ana hoja ya maandiko ni mimi great thinker man
Yesu ww ndiwe Bwana na mokozi wa maisha yangu
Laanatur Llah Alla aepushe waisilamu wote na walio kua. wakitafuta njia yenye kunyooka. na dini yaukweli. atuepushe upotovu wako na upotosho wako. apoteze Roho yake mwenyewe. nawale watakao mufuta
INALILLAH WA INALILLAH RAJIUNI!WEWE NI MUKUBWA WAMAKAFIRI,INASEMEKANA KAMA ZAMA ZAMWISHO UNGO UTAJUNGUWA PUMBA ZITATOKA,KWAHIO WEWE FUNGUA KANISA LAKO LAWA MURURADI MWENDE WOTE KABISA
USIRUDI KUSEMA KAMA WEWE NIMWISLAM.
UDUADINI.UTAAIBIKA SIKUZIJAZO.
uijui din yako kiundan
Mmechagua Jambo jema. As long as you hold first this to the end, you are safe even if you die in this faith, you are a candidate of heaven. God give strength and perseverance to the end
Mungu akubariki sana Ustaadh kwa kazi ya MUNGU uifanyayo!
njaaa mbaya sana mnafki kama huyo yatakiwa alaniwe
Ubiri na habali ya kuzaliwa mala ya pili na ubatizo wa maji mengi nikusikilize mtu wa Mungu 2korinto 6:14-18 iyo ndo inatenga mbuz na kondoo siyo mimi
Waisilamu ni wagumu kuelewa...mambo mazuri kama haya..
Umeongea kweli mtupu
Unaelewa wew usielewa mbona wew humuelewi Mazinge
Mwambie huyo mpuuzi mwenzie aje kwenye mdahalo anawakaririsha wapuuzi kama nyie
@@jolemerci21550😊😊😊😊😊0
😊
P
P
P
P
Omba mungu njaa ibaki tumboni isihamie kichwani
Unamaanisha nn apo maana anatafsiri quruan au havimo hivo ndugu?
Ukitaka kuwajua watu wasiomcha Mungu, utawatambua kwa kutukana. Ubarikiwe Ustaadh Hamza, anayekupinga alete ushahidi wa maandiko. Wanaokutakia kifo ni wana wa shetani walioshindwa kujibu hoja kama ilivyofanyika kwa Yesu wakidhani kuwa kuua mtu ni njia ya kufisha ukweli!
Huyu jamaa...atawadanganya sana nyie msio ujua uislam....kifupi hakuna muislam anaempinga yesu ht mmoja na wala injili aliopewa. Isipokua tunachopingana na wakristo ni kitu kimoja tu. Wakristo wanamuita yesu mungu nasisi tunamuita yesu ni mtume wamungu. So kumkuta yesu kwny Quran na wote wanaomuhusu ni jambo sahihi kwasabu yesu anatambulika kwny uislam km ni mtume halali wa mungu. Na kingine kaeni msome ili muelewe vzr. Quran ni combination ya vitabu 4 furqan ambayo ndo Quran yenyewe. Injili,zaburi na tauraat. Kwahiyo si ajabu kumkuta yesu na mitume mingine....so huyu jamaa asichukue kigezo cha kumkuta yesu kwny Quran ndio apotoshe umma. Quran imetaja mitume yotee kuanzia yeye mwenyewe Muhammad,issa ambae ndo yesu, nabii ibraahim, ismail,is-haak, yaaquub nawengine wengi waliopita kbl ya kuja muhammad. So km hamsomi mtadanganywa sana na watu km hawa....ila siwezi kumaliza yote humu coz mtachoka kusoma. But nataman huyu jamaa aingie kwny kumi nanane zangu nitamuuliza maswali matatu tu...na sidhan km mada itaendelea tena.....inshaallah ipo siku
christina biyengo UYO JAMAA NI MUONGO KUHUSU HUO UNABII WA MALAKI.4:5,6).YAAN AJUI UNAMANISHA NINI,HUO UNABII UNAMUHUSU YOHANA MBATIZAJI YESU ALIFAFANUA SASA NYIE JUMHIYA YA WAKRISTO MKIWA WAVIVU KUSOMA BIBLIA NDO UYO JAMAA ATAWATEKA..SOMA APA..(MATHAYO: 17-10-13).KWAIO UNABII ULITIMIA KWA YOHANA ZAIDI YA APO AKUNA NABII MWINGNE WALA MTUME AMBYE ATAKUJA KILICHO BAKI NI KUFATA MUONGOZO KUTOKA KTK BIBLIA BASI ILI UOKOKE KTK DHIKI KUU NA HARMAGEDONI AMBYO IKO MBELE YETU...
Wanao kutukana hakika mwenyez mungu awasamehe maana hawajui walitendalo ukweli utabaki pale pale mungu akulinde
am proud of you jesus..i wish one day meet you in the heaven
Nashukulu mungu amweza kukuchagua ukajua ukweli, na ukaweza kufunza wengine. Mungu akubaliki
"Hawatokuwa radhi juu yako mayahudi wala wakiristo mpaka ufuate mila yao. Sema hakika uongozi wa mwenyezimungu ndio uongozi khasa. Na Kama ukifuata matamanio yao baada ya Yale yaliyokufikia ya ujuzi hutapata msaidizi yeyote wala mlinzi. "(2:120).
N:B hamza issa sio muislam mwenzangu kuanzia leo labda urejee ktk uislam. Umefuata njia wasiopita waumini hivyo hutaweza kufauli amini ninavyokwambia.
"Hakika wale wafichao aliyoteremsha mwenyezimungu ktk kitabu. Wakafadhilisha thamani ndogo (ya kidunia), hao hawali matumboni mwao isipokuwa Moto, wala mwenyezimungu hatawasemeza SIKU ya qiyama wala hata watakasa. Nao watapata adhabu iliyo kali. (2:174).
"Hao ndio waliokhiari upotevu kuliko uongofu, na wakakhiari adhabu kuliko maghfira. Je wanaujasili gani wa kuvumilia Moto? (2:175).
N:b tumia muda wako wa kuishi Nao ni mchache sana. Na utakapokufa utaujua ubaya wa iliokuwa ukiyafanya.
Ulaaniwe na Allah ewe adui wa Allah na Mtume wake kwa haya unayofanya.. Labda utubu na urejee ktk dini ya kiislamu. Kwani hivi Sasa wewe umetoka kwenye dini yetu ya kiislam.
Anasema Al immam ibn qayyim(r.a) Wansur kitabu Allah wassunan. (Kinusuru kitabu cha mwenyezimungu na sunna zake). Fainna junud atbai rassul malaika (kwa hakika jeshi la wafuasi wa Mtume ni malaika) wajunuduhum faasakiru sheitwan(na waovu ni jeshi la shetwani).
N:B. Tambua kwamba hautofanikiwa katika unalolifanya. Na nakubashiria kifo kibaya Kama hutarejea ktk uislam na. Kutubu.
ARAFA MIKIDADI ,
ARAFA MIKIDADI hahahahahaha duuuuu...
Swadakta wa barakta Umesema kweli
Ww arafa nawe mfia din
ARAFA MIKIDADI we kweli mpuzi anae panga kifo na cha aina gani ni Mungu tu nasi vinginevyo
Ndugu okoka Yesu njo njiya na uzima wa milele ,Una ni bariki sana.Mazinge kipofu ana omba Yesu amu okowe
Maandiko yanatimia, ni kwli kila ulimi utamkiri Kristo yakua ni bwana
Kitajulikana Mungu sio Asumani. Hukumu zake ziko palepale. Na mkono wake haujapungua uweza. Kama alivyomuinua Musa hadi sasa anawainua watu awapendao wafanye kazi yake
Jesus Christ is our sevior sema ahsante yesu Kristo nilinde na wabaya wote duniani aminaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nisael Emmanuel ww jidanganye ivo ivo yesu hakuwahi kuingia kanisani tafuta biblia mzima ila utakuta alikua akiingia msikitini ww shangiria mpaka motoni yesu hakuleta ukiristo bali umeletwa na Paulo mtaliano yesu alikua myahudi ndomana mpaka leo ukienda pale Palestina katika mji wa Jerusalem hapana wakiristo zinduka
Amem
Aminaaa
Nisael Emmanuel weeeeee kuma
Uchizi unakusumbua wewe
Mungu akubariki uendelee kutufundisha.Asante sana
Sema kweli shehe na mungu akubariki na kuongeze maisha marefu ..... Waisilamu ilo wnalijua ila jeuri tuu
Kama yeye bwana na baba sasa baba yako na bwana yako ndio nani?
Nimekubari kweri hamza sio muisilamu wewe kafili nia ualibu uisilamu na hautouweza tunajivuna mashe wetu wapo makini sana kwenda zako na kufuruzako
mimi nilikuwa mukristu leo niko Muisilamu wakuamina. kuwa Mungu ni mmoja nayeye ndie anae paswa kuabudiwa pasipo mwengine.
Umekosea umeifata njia iliyo nyooka na safi...waionayo ni weng matajiti...lakin iendayo kwenye uzima ni nyembamba na iliyojificha na waionayo na ni wachache ndugu....ucpoteee kizembe shetan nae alileta wa kufana na yesu baada ya yesu kuondoka ndio huyo muhamad ambae amepandikizwa na shetan kuupinga ukweli wa kristo na neno la uzima kaa chonjo cku ni chache...mmi muislam lakin kuna nguvu ya tofaut ndan ya kristo....mmi namkemea pepo kwa jina la yesu kristo bila kutumia mafuta wala njia yoyote ila in the name of jesus only...bad spirit out....na linatii linaogopa lakin wew umeenda kuswali na majin misikitin wew....kama ungekuwa umeokoka kweli ndan ya moyo wako ungetambua kweli mwenye bila kuambiwa itafute kweli kwa bdii ili ukailith nchi mpya
Mashallah!
Wakristo wanaona wimbi kubwa la watu kisilimu duniani kote,sasa wanaandaa watu kama Hamza kwa lengo la
(1) Kuwavunja moyo waliosilimu,
(2) Kuwakatisha tamaa wanaotaka kusilimi na
(3) Ikiwezekana kuwatoa Waislamu katika dini,
Allah alishasema kuwa makundi kwa makundi wataingia katika dini ya haki,yeye Hamza hawezi na hataweza kushindana na yule aliyempa pumzi,
anajifurahisha yeye na Wakristo wenzake.
Ww umeipima hiyo roho za uislamu????? Inatokan na mungu
Bwana Yesu akulinde na kila hila za mashetani na watu waovu wasiopendwezwa na mafundisho unayofundisha. Mungu akubariki sana. Watu wengi wanakulaani kwa sababu unafundisha wasiyopenda. Lakini laana isiyo na sababu haimpigi mtu. Tunakubariki sana sana sana. Wengi kama wewe watajitokeza tu.
Siku za mwisho simefika kila nafsi itamujua yesu kabla siku ya kiama
Kwa kweli nimependezwa na mafundisho haya mungu akuwezeshe kufundisha zaidi
Dahaaaaa nimekuelewa sana
Yesu nijibu
Jesus all the way
Watu watachagua kwenda Mbinguni au kumkataa YESU ili waende jehanamu ya moto. Hongera Shekhe Amza
MWENYEZMUNGU hakosei na LAANAYAKE Ikojuuyako nawatakaokufuata AMIN
Nawala huna elimu hats uzito waharadali.inabidi ukasome ujue ukweli ukowapi
Jamani mbona matusi
Mungu akuongoze injili iwafikie waisilamu wote
Nimesoma history ya Mohammad, nakuelewa sana..umepatia hayo maneno Mohammad aliwaambia wafuasi wake kwamba ikiwa wana shaka wawaulize “WATU WA KITABU” hawa watu wa kitabu ndio waliomfundisha Mohammad habari za Kristo..
Usijidanganya ijili ya kale iko wapi nakuliza ww injili ya kale na isa walimtabiri atakuja muhammad saw bada yangu Mfate hi ya sasa ni ya kuzidisha na kupunguza ya wazungu mzungu hana kwao na bee ibrahim ukiona katokea irag na yy alieanzisha uislam kutoka kwa amri ya mmungu na ukiangalia mitume wote ni wa mmungu mmoja na wote wametoka mashariki ya Kati. Mzungu hana na bee na ktk quruani tukufu na na bee woote wwmetajwa mbona mmungu hakbagua isa anajua ni na bee wake na wote hao ni wamoja na isa nimmuislam safi alisujudu na kutawadha na mmungu alisema mtume wa mwisho atakMilisha dini ninuislam kufaradhisha kila kitu swaum hija sealant sajad na vitu vingi vlikamilka ktk uislam kuvunja masanam baba yake ibrahim alivunja masanam leo mana bee wanajitokeza njaa kujita wao manabee huzeqkua na bee kwa sababu mmungu mwenye dunia yake alisha sema mtume wa mwisho na kitabu kilicho kua hakina shaka ni quruan tu hivyo vilivyobtangulia bilious nusu nusu ya elim kwa wana adam ila watu wamempinga mmungu na kubadilisha injili yake ya kweli . Cc waislam tunakubaliwvitabu vyote viine taurat injili zaburi na furgan cha mwisho
Yaa hamza soma na hii najua biblia unayo Warumi 10:9-10
Barikiwa sana Mungu anataka akutumie kwa uweza wa ajabu sana
Waisilamu wezangu mfikie mahali mkubali kuokoka
@@michaelrobert3593 huo Ukristo unasema hakuna kuokoka
@@michaelrobert3593 we si muislamu na kama ni muislamu huna elmu ata chembe
Mtumishi uko sawa kabisa,lakini bila ubatizo bado huja maliza safari,ila naomba mungu sana isikuwe ni crislamic imeanza.
Amina! Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.
Matendo ya Mitume 4:12
Mungu ahimidiwe milele na milele amina,hakika mungu hana upendeleo alivyo sema petero
Allah, anakuona unamuudhi sana, unamchukuza sana, ww ni mtihani sana, umechagua Dunia zaidi, umeniudhi sana siwezi kuacha kuonesha hisia zangu, umefeli jirekebishe kabla hujafa
Huyu umekula kwake mteme tu , anadalilisha dini
waislamu mko wapi wanye wamapinga kristo bwana yesu asifiwe AMEN
Shaitwa is using an advantage of Poverty, may God protect all Muslims yarabi
Wewe masikini duniani na akhera.
Kweli kabisa
Isa na Yesu na kristo ni vitu tofauti sana sema Yesu kristo wa Nazareth pia uzao wao ni tofauti pia yesu kristo katabiliwa isa ajatabiliwa yesu Zizi la ng'ombe lakini isa chini ya mtende mnalishwa matangopoli hapoooo
Tangaza injili bro ukisimama kwa ukweli lazima wanadamu wakuchukie tafuta ufalme wa Baba Mungu usiangalie ya wanadama watakushusha chini. MUNGU akuinue zaidi aibisha shetan. Ukiangalia ya wanaadam watakuelekeza jehanam
Sikuzote ukiwa mkweli mbele ya umma lazima utakuw ni adui WA wale unaowaelekeza, nasimama kusema menye kumjua mungu hawezi kujilipua na kuua hata watu wasiokuwa na hatia huku wakisema kuwa watakwenda ahhela eti kisa kafa na mtu wa neema,mungu akubariki ufanye Nazi yako vile apendavyo mungu na si watu
Huyu mzee kachanganyikiwa
Innalillah wa Inna ilayih rajiun Yesu mwenyewe hakufundisha ukristo wap Muhammad kafundisha wambie wakupe tu.
Kwa sababu yy ndiye Kristo.
So watu wengine ndiyo wanaofundisha ukristo.
Anacheza na akili zenu kwelikweli, anawambia takbiiiiiir nanyi mnasema Allahu Akbar yaani Mungu mkubwa. Alhamdulillahi ukuu wa Allah unatajwa makanisani tena kwa shangwe na mihemko!!!!
Jamani tuwe makini nawatu hawa
Halafu tafsiri anavurumisha tu ili afikie malengo ya kuwapelekesha hao wafuasi wake😀
Fundi wa upotofu kwa wasiojua tafsiri ya Qur-an maana yake.
Allah ni mwingi wa rehma .na katika rehma alizo turehemu ni kututumia mitume. Ili tumujuwe Nani muumba wetu naye ni Allah ili tumuabudu .someni Surat Al fatiha na sulati ikhirasi kwa utulivu na kwakutaka kujuwa ukweli . na omba Allah akuonyeshe ukweli na ukujaaliye uufate
Hahaaaa Allah kwani mungu
Nampenda sana huyu jamaa
Wee uyo jamaa humjui t, uyo anapinga vyote.
Huyu nabii bonoko hajielewi mungu akusamehe hauna lolote wawapoteza hata hao unaowafundisha
Nakufinika kwa damu ya yesu...
Hautakufa malaika Wana simama kwa zamu kukulinda..... mpaka utimize mapenzi ya Mungu duniani
Amen
Hatokufa! Jahahahaaaa. Ila yesu alikufa duuh
@@rahmashaban8693 alikufa kwa sababu ndio maana akafufuka
@@ayobumwakila6259 Issa hajafa ww ni mzushi
@@mgeniali1768 alienda wapi sasa at niambiee dunia inaamin hvo wew ni nani ucamin....
wanaokupinga wengi wao wanaburuzwa kwenye dini hawana wanalo lijua katika mungu😢😢wamerithi tafsri za vitabu toka kwa mababu zao ☺mungu mmoja
Yesu kama wewe ni binadamu sio mtoto wa mungu. Mungu
Hana mtoto mungu hakuzaa wala hakuzaliwa wewe hukua muislamu usituzingue sisi wewe tunakuona kama kinyago
kwani mpera unaaga na Nani?
mwenyez mungu huwa uwislam anaulinda mwenyewe mwachen apotoshe ila ipo cku atarudisha pumzi kwa allah
Alla ndonan
Hata ukaichukia Dini ya Kiislam huwez kuizima nuru kashindwa fir-aun jee ww
Nabii wewe ulirogwa katafute mganga akuague
Taqbir
Kweri waislam siyo mtu yyt akipotea mlejezeni kwa unyenyekevu mcje mkaingia majaribuni lakn hapo naona mnatukana wenyewe na mnajijibu wenyewe bira hata aipo kweri uo n upofu
Isa sio Yesu. Hata maana ya majina yao ni tofauti. Isa maana yake ni 'RANGI MBILI" NA Yesu maana yake ni "WOKOVU KWA WAMUAMINIO". Jina la Isa halina wokovu kwalo. Na Yesu sio Isa kwa kiarabu..! Anachofanya huyu ustaadhi ni mtego wa INTERFAITH MOVEMENT.. ambayo inakusudia kuufanya uislam eti ni sawa na ukristo japo waislamu hawamuamini Yesu wa Biblia bali wamemzusha Isa ambaye sio Yesu..! Na hawakubali kuwa Yesu ni Mungu, alishuka duniani ktk mwili, aliteswa, akafa msalabani na kufufuka siku ya tatu katika mpango wake wa kuondoa dhambi za ulimwengu. Sasa iwapo hayo ni maneno yake Yesu mwenyewe.. na waislamu hawayaamini watasemaje Isa aliyeko kwenye kuruani ni Yesu wa Biblia.. sheikh Hamza ni mdanganyifu mwenye nia ya kuua ukristo kwa kuugeuza ukrisro kufuatat imani za kiisalmu ambazo zinapingana na zile za kikristo.. KAENI MBALI NAYE.. NIA YAKE NI KUUA UKRISTO..!
Inna lillah wa inna lillah lajicuun. Mola akusamehe jihurumie Mwanadamu siku ya haki mbeleni utakosa lakusema.
Huyu mutu mungu amusamehe
Kwani kakosea
Wala hajakosa kasema.kweliiii
Bora mpe Yesu maisha yako ili siku ya mwisho update Neno la kusema kwamba nilikukiri Yesu
Nabii Eliya. Usimonee mtu yoyote aibu sema kile mungu alichokuitia hakuna mtume yoyote atakaporudi kuhukumu ila Mungu kamchagua Yesu.wote kuanzia waliopita pamoja na kizazi hiki nitasimama mbele ya kristo yesu .tunakua kundi moja na mchunga mmoja sio wawili .ndio utaratibu mungu aliopanga. Uwe buza uwe mpagani vyovyote vile utasimama mbele ya kristo huo ndio. ukweli .mitume wote watasimama mbele ya kristo. Kwakua nao ni wanadamu watasimama.
Victory belongs to Jesus oh yes!!!!Amen.
Msiwe wajinga, anawasigia Hali yakuwa yeye ni muislamu mbona habadoli dili kuwa Mkristo Kama ameuamini ukristo! Amewawini kwakuwa Nyinyi mnadanganyika mapema.
Y
Amen
Toka ktk dini yetu, unadhani una elimu kumbe wewe ni mtihani sana, e mola nipe nguvu ya kuvumilia maneno haya nashindwa kwakuwa mm ni mwanadamu, sijui nifanyaje nachukia sana maneno yako, matendo yako, ACHA Kushika Qur'an wewe SI muislam, Daaaah
Njooni kwa YESU KRISTO enyi watu wa Mungu tupo ukingon MASIHI ANARUDI KUUHUKUMU ULIMWENGU
😠😠😠😠ujinga kilamtu naimani yake😢😢😠😠roh yabibi yako
ubarikiwe
Yesu Alikua ni mtume wa mungu, but nyinyi wakiristo munampa cheo ambacho si chake, mungu pekee ndio atahukumu, na huyu shekh bandia anapoteza wale ambao hawajaisoma dini ya Allah
Kweliii
Tuje kufanya nn sasa kwa Yesu acha ujinga ww hakika dini mbele ya Mungu ni uislam tu sasa ww kama una andiko lolote linalosema km ukristo ni dini mbele ya Mungu nipe nipo tayar kuritadi km ukinipa andiko katika bibilia
Mola akuhifadhi na kukubariki. Mimi nimezaliwa na kulelewa mkiristo. Nasali nyumbani kama waislamu. Nafunga wakati wa Ramadhan na napenda kuutafuta ukweli wa mweziMungu.
Nakuelewa
Ww umemfahamu sasa huyu kafiri mtizame klip zake nyengine sasa ajita nabii ilyas
Endelea kuwafungua macho ili damu yao isije ikadaiwa mikononi mwako wewe uliyeitwa kwa ajili ya mataifa
Jamani waislam
Mnapinga nn wakati yote yameandikwa kwenye Quaron takatifu....
Msiwe na Mioyo Migumu...
Kristo ndiye njia ya kufika kwa Mungu hivyo KILA anaejitahidi kumtafuta Mungu kwa kukwea penginepo ni mkristo wa uongo ,yani ajifanya amjua Mungu kumbe ni muongo, hajabatizwa wala hana ROHO wa uzima, YESU ndiye uzima
Endelea kuchafua dini ya haki itafika mwisho wako utaenda kumjibu allah kwa hayo unayo yatenda..tujichungeni na njaa jamaa njaa mbayaaa.
anasema ukweli
Jamn kwn anasema yake au yaliyoandikwa
Nimefurashishwa sana na mafundisho yako mungu akubariki
Inshaallah mungu akuweke na mwisho udhalilike mpaka ardhi ikukatae.
Dino Castico hapana ucseme hvo we muache mwenyeez mungu mwenyewe atamtumia uyo uyo kufksha maneno ya Allah hakika mwenyeez mungu in mbora wa vitimbi wameshndwa akna filaun yy nae atakaa sawa tu
Kama unamuamini yesu ambae Issa wewe ni mkristo
Na je anayo yasoma sikweli au kweli
Naaamini yesu ni issa ila mimi si mkiristo wala kamwe sita ingia kanisani.. kwakua simuamini mungu mtu amabye alikua akila na kunya kama mimi, mtu aliye zaliwa na mwanamke,. Kwakua naamini killa aliye lala kwenye tumbo la mwanamke si mkamilifu. Mmechelewa 😂😂😂
ubarikiwe sana mana wewe umetambua ni ipi Dini ya kweli.
Wewe njaa inakusumbua
Utaulizwa na Mwenyezi Mungu weye fanya mzaa tu
jamaa amejitambua na hakuna atakae Muona Mungu aspo mkiri Yesu
Subhanaallah yaarabi tunusuru nahaya majanga yanayo tupata duniani Hawa ndio wanaiwacha watu wende kwenye matatizo angalieni Vizuri sana ndio maana watazania tunapatika kwenye majanga watu wanaleta mathehebu ya kishetani huyu hapo nishetani anamipoteza pumbavu
Hakuna Ukristo ndani ya Kurani, unaposema sisi waislam maana yake wewe siyo Mkristo, bado ni mwislam. Shetani hai kama shetani, anakuja kama malaika wa nuru, 2Wakorinto 2:11. Shetani anakuja kwa mbinu mbali mbali, kama huna roho wa Mungu huwezi kutambua, Mungu atusaidie. Hatuwezi kuzungumza habari za Mungu tukachanganya na kitabu kingine, hizo ni mbinu za juu sana za shetani. Shetani anajua kuwa Kristo ni Bwana, hivyo anapitia humo humo ili kuwasadikisha watu uwongo.
Yesu yujuu ya yote
Unakoseaaa sanaaa tafakari upya waislam na wa kristo amna dini kati ya izo mbili zina ruhusu madhambi zote zina kataa mm sionagi tofauti kati ya izo dini
Ili umtambue lazma atokee huko usipopapenda
ni sawa na wokovu husio wokovu unaoitwa karismatiki ndani ya ukatoliki.huwezi kuwa na wokovu alafu ukaendelea kuvunja amri ya kwanza ya Mungu
Wakristo ndio waliacha dini ya yesu na kujiunga na warumi lkn waislam ndio waliobaki kuendeleza dini ya yesu.. Ila huyu jamaa ni msanii hayuko kokote na Wakristo hawajui historia ya dini wanayofuata. Kiuhalisia dini kuu za sasa duniani ni urumi (kathoric) na Uislamu lkn ukristo haupo unatajwatajwa tu
Yaani huyu jamaa anaichambua korhani tukufu wengi wanasoma lakini hawajui leo sasa inaelezewa safi kabisa asiyejua anajua kiundani kabisaa barikiwa baba
WEWE NI BWANA MWENYE NGUVU sawa sawa na Filipi 2:6 ...lihimidiwe JINA lako kwa kuwafungua uliosema " na kondoo wengine ninao ambao si wazizi hili..' shikeni sana mlicho nacho tutaonana PARADISO...
fala kweli
Mashallah mungu hakupe nguvu sherk hamza nimejifuzia kitu kizuri Leo
Ali Ali wewe huyu muongo mkubwa fatilizia Quran
tamaa itakuua ww.pumbavu mkubwa ww.laana za Allah zitakushukia.
Chunga athabu isikurudie wewe..
@@zacharynganga2124 hakuna icho kitu jiangalie musije ikakukuteni wewe na uyo mnafik apo
Bwana yesu akulinde na akufiche kwa damu yake ilio na nguvu na uwezo dhidi ya mpango ya yule muovu.
Usifadhaike hata makafiri waliubwa,na aliye azisha kazi njema ndani yako ataimaliza na atakuwezesha usife moyo yesu ni bwana
Yesu ndo kimbilio
@@gnakognako9478 Amen Amen Yesu ni bwana.
Pigaaa injiliii
Mungu akubariki sana sheikh kwa kueneza kweli kwa mana yeye ndio njia na kweli. Sasa kwanini kulikuwako dini ya kiislam kama mtume alimkili Yesu, huu uislam ulitoka wap. Hawa waislam waliwezaje kumkana Yesu sio Mungu kama quran inamtambua Yesu kwa kuwango hiko? Kama ndivyo uislam ulianzishaje?
Aliye na skio na asikie, Yesu ni Bwana Wa yote
Amen
Ni kweli kabisa sisi sote tu wa ktristu
na Mungu ni mmoja Yesu Ktristo
2Korintho11:"3 Lakini nachelea; kama yule nyoka alivyomdanganya Hawa kwa hila yake, asije akawaharibu fikira zenu, mkauacha unyofu na usafi kwa Kristo.
4 Maana yeye ajaye akihubiri Yesu mwingine ambaye sisi hatukumhubiri, au mkipokea roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumiliana naye!""
Enyi wandugu mtafutao ukweli wa Kristo ebu ongezeni maarifa ili msijeangamia kama Hosea 4:6 isemavyo maana Issa Bin Maryam ujio wake na maisha yake nitofauti kubwa sana na Yesu Kristo, Nandio maana Maandiko yanatuambia dhahiri kua Kristo ni Mungu lakini Quran Haikiri hilo,Kristo alituahidi na imetendeka kua Roho Mtakatifu hukaa ndani yetu baada ya Ubatizo lakini Huyo ndugu afundishae apo juu ataubatizo hajafanyiwa wala na uaminifu juu ya Roho ni kua ni Muhamad kwa wanavyo kiri kwa kitabu chao, naomba tu rejelea 2korintho11: 3 Lakini nachelea; kama yule nyoka alivyomdanganya Hawa kwa hila yake, asije akawaharibu fikira zenu, mkauacha unyofu na usafi kwa Kristo.
4 Maana yeye ajaye akihubiri Yesu mwingine ambaye sisi hatukumhubiri, au mkipokea roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumiliana naye!
kisha tafakari sana sikila asemae Kristo ni Mwongofu,Simpinga Kristo maana siku ya mwisho watakataliwa na watajitetea kua walikiri Ukuu na Jina la Kristo tena hata kutoa mapepo lakini wataishia Motoni.
Allah akusamehe
Wewe hujasoma yani kama umeshindwa kumwelewa huyo mwalimu basi wewe ni maamuma.
Laiti kama watu wangekua na akili kama yako ya kutambua hivi akika wangeokoka tatizo ni ujinga ndo umetawala big up sana
UBARIKIWE MILELE
me sisemi mwenye macho haambiwi tazama. Yaraab nijaalie iman thabit nisiterereke na manabii wa uongo. laa ilaa haillallah waahdah laashirka lahu wanna muhammad rasulullah hadi yaumul kiyama.
Yesu anaokoa
Ushapotea ALLAH akuongoze
Quran Ndio anayo soma sasa kapotea nn kisa anasema ukweli
Hamza sio Muislamu kama ambavyo mashabiki wa upako wanavyodhani,ni Mkristo mmoja mwenye aya mbili tatu,sijui katumwa na nani aje kuharibu akili za Waislamu kwa lengo la kuwatoa katika dini.
Alhamdulillahi,naona wote walio like nakukoment kumwunga mkono Hamza ni walewale ambao huko kwenye nyumba zao za ibada na mikutano yao Mchungaji akawaambia wanywe Jiki mapepo na shida zitawatoka wanagombea kunywa "Jiki yenye upako"
Ni watu wa kuamini amini kila jambo.
Hamza hatampata Muislamu hata mmoja,badala yake anawaongezea giza walio gizani pamoja naye.