VUNJA JUNGU MDUDU MAANA KUBWA, UKIMUONA USIFANYE HAYA USIJEKUJUTA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 855

  • @jacintamungai6493
    @jacintamungai6493 7 месяцев назад +7

    Jehovah mungu wangu 🙏 naomba msamaha kwa sababu nilimuona kwa nyumba yangu Nika mfukuza hata Nika muua .. for give me Jesus Christ 🙏🙏🙏

    • @MasanjangwesaJiganga
      @MasanjangwesaJiganga 5 месяцев назад

      Hata wewe unaanza amini ujinga Bora ATA usimtaje JEHOVAH wetu hapo Kama unaamini vitu vya hovyo soma kutoka 20:8

  • @maulididrissa5023
    @maulididrissa5023 Год назад +157

    Kueni makini kila kitu hupanga Allaah, huyo mdudu hana uwezo wowote wala hajui lolote kuhusu hayo. Imani nyingine hupelekea kwenye ushirikina.

    • @omarymollel-pl4tf
      @omarymollel-pl4tf Год назад +9

      Kuna bahazi ya maneno ni kweli

    • @maulididrissa5023
      @maulididrissa5023 Год назад +13

      @@omarymollel-pl4tf ni makosa kuamini hivyo, kama yanatokea wewe jua ni mipango ya Mungu na sio kwajili ya kumuona huyo mdudu. Kwanini leo uokote pesa bila kuonana na huyo mdudu useme Mungu kakusaidia, halafu mwezi ujao uokote pesa useme ni bahati ya kumuona mdudu kwakua tu ulikutana nae? Mungu hapendi imani hizo.

    • @mwinyikambi
      @mwinyikambi Год назад +2

      Kweli muwamini allhwa

    • @oneboytzoneboytz6789
      @oneboytzoneboytz6789 Год назад +4

      Sana baba umetisha

    • @oneboytzoneboytz6789
      @oneboytzoneboytz6789 Год назад +3

      Umetisha Sana

  • @GodnessMaleo
    @GodnessMaleo 11 месяцев назад +5

    Oooh anapenda kuingia ndan sana anafat taa huw mi namuua yesuu,, kumbe anamaana mungu anisamehe,

  • @Shedrackngailo255
    @Shedrackngailo255 Год назад +13

    Ni kweli uyu mdudu ana baraka nyingi sana tena ana ulinz mkali ..ukiwa na Imani so kila mdudu anatumika kwa mambo ya kishirikina hapana ...uyu mdudu anaishara kubwa sana sana ukimuona kwenye nyumba yako usimuee muache ataondoka mwenyewe

    • @AliciaMwalimu-ce2qt
      @AliciaMwalimu-ce2qt Год назад +3

      Jmn mimi namfukuzaga tena nakemea, uwiiii simuuwi tena

    • @consolatadhiambo6978
      @consolatadhiambo6978 Год назад

      Mimi humuuwa eti kaweza niuma

    • @JacquelineIbrahim-xj9mp
      @JacquelineIbrahim-xj9mp Год назад

      Jaman huyu mdudu kakatalia kwenye nyumba ya rafik angu Leo siku ya tatu na ni mjamzito , anavyosema anatua kwenye vitu vyenye rangi ya blue na blue bahari sijui ana maanisha nin , hebu mtusaidie jaman Hadi tunamuonea huruma atakua anahisi njaa ,
      Mpaka rafik angu aliamua kumpa Jani la tembele Wala hajala

    • @lilianhermenegild7175
      @lilianhermenegild7175 Год назад +1

      @@JacquelineIbrahim-xj9mpAtajifungua mtoto wa kiume

    • @vengageorge6574
      @vengageorge6574 11 месяцев назад

      Nimenunua Jana usiku ndan kwangu

  • @GabrielAngina
    @GabrielAngina Год назад +57

    Huyu mdudu akiingia kwa nyumba ni ishara ya mambo mazuri au wageni wenye nia nzuri

    • @rehemaomary1739
      @rehemaomary1739 Год назад +1

      Mmh! Mm sikujua kuna siku nimemuona chumban juu ya begi lakin nilimtoa nje

    • @RizikiMollel-m8y
      @RizikiMollel-m8y Год назад +1

      Duu Kila mara huwa anapenda kuingia ndan kwangu

    • @kassebo
      @kassebo 11 месяцев назад +1

      😂

    • @suzanbegas4139
      @suzanbegas4139 7 месяцев назад

      Nikweli kbs

    • @juliethhope7281
      @juliethhope7281 6 месяцев назад

      Yan mie nimemuua week ilopita.uwa nawaua jmn.sijuagi mm

  • @atuganileluvanda1525
    @atuganileluvanda1525 Год назад +9

    Kama n kwel basi MUNGU ashkuriwe sn Kwa kutuletea wanyama/ wadudu 🙏🙏

  • @carolinemwita7197
    @carolinemwita7197 Год назад +6

    Mungu ndio mwenye uweza wote sio vunja chungu🥰😘😄🙏😇

  • @yvettemamdogo2289
    @yvettemamdogo2289 Год назад +6

    Asante Sana Mungu akubariki

  • @anndaniel4055
    @anndaniel4055 Год назад +7

    Hii ni kweli kabisa juu juzi juzi nimepata kwa mlango yangu sikufukusa , but after some days Baraka miracles nimepata , na shukuru Mungu 🙏🙏🙏 kumbe ni kweli

    • @vailethmaji2158
      @vailethmaji2158 Год назад

      kumbe alikua na rangi gani mimi nimemuona wa kijivu

    • @karenwillypaulthisiswhatwe127
      @karenwillypaulthisiswhatwe127 11 месяцев назад

      I feel so bad nilikua nikimuona nsmuwa namini ni mdudu mbaya tangu udogoni bt I thank to god now nimejua hata nimempata sijafanya kitu I just feel blessing in my home alhamdulillah 🙏❤

    • @happyerasto-yt8sh
      @happyerasto-yt8sh 6 месяцев назад

      😊😊😊

  • @ShanazShaheen-gr6gd
    @ShanazShaheen-gr6gd 11 месяцев назад +2

    Weeh mm nilimpata kitandani nikamgonga na kiatu tobah sikujua kama ni mbaya kumfukuza wala kumpiga Mwenyezi Mungu anisamehe nilimuogopa ila naomba Mungu anisamehe sasa nimepata ilmu kumhusu siku nyingine sitowai mfukuza wala kumgusa

  • @REBAWANYAMA-mk7ng
    @REBAWANYAMA-mk7ng Год назад +3

    Damu ya YESU inaweza yote msalabani,huyu mdudu yuko China yangu katika Jina la YESU. Hizo ni itikadi tu ,mimi naamini MUNGU. Muache kupotoshwa jameni!!

  • @SauliNdinadyo-ht5op
    @SauliNdinadyo-ht5op Год назад +31

    Tumupe mola wetu maisha na sifa siyo vinja chungu

    • @astridachiwalala9664
      @astridachiwalala9664 10 месяцев назад

      Amina.

    • @Albert-p4y
      @Albert-p4y 6 месяцев назад

      Kijijin kwetu wamejaa mashambani tu apokua tunalima niwengi tu

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Год назад +7

    Mwezi Wa Tano Dar.Wanakua Wengi Sana Ndio Msimu Wao Ndio Hu

  • @joyceeshunwa6549
    @joyceeshunwa6549 Год назад +14

    In our culture we believe when it comes in your house you will get visitors

  • @witnesbundala
    @witnesbundala Год назад +9

    Huyu mdudu ni mzur sana kwetu tunamuita ngogotwadeno ndiyo anabaraka nyingi

  • @janethedward4631
    @janethedward4631 Год назад +13

    Mimi kiukweli 🙌namuogopa Sana huyu mdudu 😥 na Huwa nikimuona namfukuza

  • @BrendaJuma-i3u
    @BrendaJuma-i3u 7 месяцев назад +4

    Mungu atusamehe maana na sisi tume wauwa wakiingia kwenye nyumba

  • @frolashulla9337
    @frolashulla9337 Год назад +8

    Mungu ameumba viumbe na maajabu yake❤

  • @MerinaJohn
    @MerinaJohn Год назад +11

    Jamani mm 😭😭 mwenzenu nimuona karuka kaja kutua kwenye mtandio wangu ambao nimevaa nikuwa sehemu ya kazini kwangu nikamfukuza Na kumpona Na jiwe maana kimuona vunja jungu natamani kutapika 😭😭jana tena nikuwa nafua kaja kutua mngongoni mwangu nikapiga kelele nimponga nda tena Na jiwe jioni naenda dukani kwamangi bodaboda nusu inikate mguu eee MUNGU naomba unirehemu

  • @AshuraJackson-jh7cu
    @AshuraJackson-jh7cu 9 месяцев назад +1

    Nampenda huyo mdudu akingiaga ndani mwangu nashika Hela sana tna anapenda sana kuingiza ndan mwangu nampenda sana

  • @ORG960
    @ORG960 Год назад +15

    Ni kweli huyu mdudu yupo lkn kwa namna anavyoelezewa mpaka anapata hadhi ya ki- Mungu fulani, kimsingi ikiwa jambo lotote Mungu hajalizungumzia kwa namna ambavyo watu walitafasiri unakuwa unatenda dhambi tena ni kufulu mbele za Mungu aliye juu sana. Take care

    • @mariachacha9572
      @mariachacha9572 Год назад

      Watu wanaabudu miungu so kwao ni kawaida..... na ndio maana wakimuona wanamwabudu.....

    • @JoanThomas-og7dv
      @JoanThomas-og7dv Год назад

      Mimi nilisikia kua ana aminika ktk ushirikina

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 Год назад +7

    Katika Iman ya jamii yetu tunaamin mdudu huyu huhusika na kufikisha ujumbe, akija nyumban kwako akawa amekaa juu ya mlango wako au akaingia ndani ni ujumbe kaleta baada ya siku utapokea taarifa yoyote kutoka nyumban mara nyingi huleta taarifa nzur au mbaya mfn msiba au ajali

    • @OlyUpowerfuljesus
      @OlyUpowerfuljesus 9 месяцев назад

      Juzi nilimkuta mlangoni kwangu nikitoka kazni nilimpiga na kiatu nikamuua

  • @veronicamabele8462
    @veronicamabele8462 Год назад +23

    Mi huyu mdudu Kila akinirukia Huwa nashika ujauzito...... Watoto wote huyu mdudu kanipa ishara Naamini Mungu aliweka kitu KWAKE.... Sifa na utukufu umwendee Mungu muumbaji wetu. 🙏

    • @dianachivui290
      @dianachivui290 Год назад

      😮😮

    • @lebonlbk2577
      @lebonlbk2577 Год назад +2

      Sasa inamaana huyo ndiyo baba watotowako?

    • @merryaugustin8814
      @merryaugustin8814 Год назад

      @@lebonlbk2577😂😂😂😂ww

    • @Maua-jq3tt
      @Maua-jq3tt Год назад

      Mimi nikimona chumban kwangu nikamuuwa na kweli nilkkua na mimba dah mungu anisamehe kwali sikujua

    • @angolina1768
      @angolina1768 7 месяцев назад

      Amina na mm nikapate watoto kama ww mpenzi wangu ❤❤

  • @soundsteps255
    @soundsteps255 Год назад +6

    Me nawauwaga sana hawa, nikitembelea maeneo ya ifakara 😂😂

  • @sabrinageofrey-pf5fq
    @sabrinageofrey-pf5fq Год назад +3

    Ahaaa sawa mtaalamu Justine Shedy kanyewest la Kibena

  • @mugishapanther
    @mugishapanther Год назад +16

    Hii nime ipenda
    Ila kusemakweli nilikuwa sijawahi kusikia haya kabla lakini nilijikuta na mpenda tu mdudu huyu
    Mi ni mkatili kwa wadudu wengine ila huyu kanishinda kufanyia ukatili
    🙏

  • @justinsimbeye
    @justinsimbeye Год назад +33

    Mimi nakumbuka nilipo muona huyu mdudu nikataka kumshika ghafla mama akaniambia usimshike huyo ukimudhika utaenda kivunja vyungu nyumbani nika shanga kweli 🥱 lakinin nime amini huyu mdudu anatambulika kote duniani from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @JohnKatyega
    @JohnKatyega Год назад +7

    imani niliyowahi kuisikia na ikanitokea kama mala mbili ni ile ya kukutana nae nabukaweka imani kuwa nyapata bahati kweli ni kama mala mbili napata bahati mbili nzuri tofautitofaut

  • @An-neema
    @An-neema Год назад +7

    Allah Anadufunza binging gupjtia viwumbe vyake

  • @seciliafabian1222
    @seciliafabian1222 Год назад +17

    Akii nimemwona usiku huu na mamaang akampiga na kumuua daa roho imeniuma Sana kusikia hiviii...

    • @elisimalongo4965
      @elisimalongo4965 Год назад

      Elisia nilimkuta ndani mkubwa kiasi kwamba niliogopa na Mara nyingi namkuta mlangoni mwa nyumba yangu au mlango wa ofisi na Mara zote nikimwona lazima nimuue na kumchoma moto daa nasikitika kusikia hii.

    • @KulwaSaid-cx8lo
      @KulwaSaid-cx8lo 5 месяцев назад

      Mam kakoxea xn

  • @MilkaMuro-qz1yw
    @MilkaMuro-qz1yw Год назад +9

    Kweli huyu mdudu namuogopa mno maana wanasema anakata masikio

  • @pembemussa2804
    @pembemussa2804 Год назад +9

    Huyu mdudu kwa kiluga chetu tuna mwita Tengasi huyu mdudu alikuaga akionekana kwetu mida ya usiku basi mzee wetu alikuaga akituelekeza aachwe asisumbuliwe na alikua akituambia ujio wa huyu mdudu kuna jambo jema litatokea na kweli mambo yalikua yakitokea

  • @ErikJeremy-go6nf
    @ErikJeremy-go6nf Год назад +2

    Ni kweli uyo mdudu ni ishara njema has ukimuta ndani kwako au akakupanda mwilini sio imani ila ni vitu ambayo mungu kaviweka tu kumpa ishara mwanadamu

  • @eliassaguda50
    @eliassaguda50 Год назад +10

    Hii story ni ya kweli kunajamaa alimkuta huyu mnyama kwenye pikipiki yake akamuacha asaiv jamaa NA hella chafu sana

  • @SamiMapesa-jg6xo
    @SamiMapesa-jg6xo Год назад +7

    Niliwai kusikia mdudu uyu anatumika sana kwenye swala LA 👊👊💪💪💪 nikweli kabisa

    • @hawaladha
      @hawaladha Год назад

      Nikweli hiyu mdudu anaishara Nzuri saana akija ndaniyanyumba lazima utapata mafanikio makubwa pesanyingi saana nikweli kabisa

    • @DorothyMitagato
      @DorothyMitagato 3 месяца назад

      Weeee,kweli Huwa anapenda kumuona ndani mwangu ​@@hawaladha

  • @KusekwaJohnCyprian
    @KusekwaJohnCyprian Год назад +3

    Mdudu namuogopa sana huyu mungu anisamehe nisha wauwa mno nawanapenda kwangu mno

    • @suhaabomar8144
      @suhaabomar8144 7 месяцев назад

      Basi weye kma mie na mie wanapenda sana kuja wangu na nawaogopa asaaa

  • @sabbathmtesigwa7848
    @sabbathmtesigwa7848 Год назад +4

    Asante Sana baba nimejifunza mengi

  • @pezasally8204
    @pezasally8204 Год назад +9

    Naomba utuelezee Ukweli juu ya Wimbo mpya wa Jericho ambao unatrend sana mtandaoni ni kweli wa kishetani..?

  • @carolyneliona9866
    @carolyneliona9866 Год назад +4

    Ukimwona jua Kuna mgeni anakuja.

  • @gressluhimbo1020
    @gressluhimbo1020 Год назад +8

    kweli mama angu akikutana nae Kama ananguo iliyochnika anakata kipande anasema nenda kavalishe wanao nilikuaga sielewi 🤔

  • @EmanuelyLuka
    @EmanuelyLuka 2 месяца назад

    Mungu nisamehe kwakuwa sikujua narudisha utukufu wako ameen

  • @Irene-qt5zq
    @Irene-qt5zq Год назад +5

    Ni kweli huyu mdudu alinipandilia mama mmoja akaniambia kuna bahati inakuja akataka kumtoa nikamwambia amuache mpaka atoke mwenyewe zilipita siku tatu nilikuja kupata wateja kwenye biashara yangu ambao sikuwahi kuwaona tangu nianze biashara siku nzima nilifanya biashara hadi usiku

  • @machibyajohn9746
    @machibyajohn9746 Год назад +15

    Wasukuma tunamwita LUGAKA tunaamini ni Mdudu wa Bahati edapo utakutana nae mambo mazuri yatakutokea baadae

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 Год назад +2

    😂😂😂😂tlikua tkimuona tnamliza kwenu wpi akigeuza kichwa tu basi tnaridhika very funny 😊

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 Год назад +3

    Mimi nikiona vunja jungu huwa nakimbia 😅😅😅😂😂

    • @LearntowinLTN
      @LearntowinLTN Год назад +1

      Hahahah

    • @BerylSeer1
      @BerylSeer1 Год назад

      ​@@LearntowinLTN ee ni kweli eliud wanatisha Sana siwezi Ata wakaribia 😢

  • @KhairathNkindwa-k4o
    @KhairathNkindwa-k4o 5 месяцев назад +1

    Me kila nikimuona huyo mdudu kuna jambo baya lazima litokee namuomba mungu aniepushe nae jmn

  • @nusurasalumnusura1106
    @nusurasalumnusura1106 Год назад +3

    Nimemuona jana tu kwa kweli nilifurah mana tulifundishwa uyu ni mdudu wa kuleta baraka

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi Год назад

    MUNGU pekee ndiye anayestahili kuabudiwa,siyo mdudu😅😅😅

  • @RobertNdalu
    @RobertNdalu Год назад +3

    Aliwahi kutua kifuani kwangu nikamtoa kwa unyenyekevu nakumpeleka kwenye tawi la mti nikamwambia nenda kwa amani
    Lakini nikaomba mambo yangu yaende vzr
    Baada ya wiki mtoto wa dadangu alinitumia niliomba moja na laki 3 akasema amenipa tu nifanyie mbambo yangu wala nisihangaike kumlipa
    Kwahio huyo mududu ukimuona usimuue ila muweke mahali salama muombe jambo lako hakika lira kuwa kwa muda mipira sana

  • @Lazarolosero
    @Lazarolosero Год назад +2

    Mdudu huyu ni kweli inatumika sana konye masala ya imani sana maana sisi kikwetu akija kwako airusiwi umpige yaani akija inatakiwa umletee masiwaa au chochote ulicho kuwaa nayooo ❤❤ inafurahisha sana tu Kikwete

  • @FelixJKwechi
    @FelixJKwechi 5 месяцев назад

    Mm binafsi namushukuru mududuhuyu ananipatia baraka napia ninamuheshimisana naomba nawengine wamu2nzevizuri mududuhuyu amina

  • @vailethudson2771
    @vailethudson2771 Год назад

    kumbe hawa wateja naopata hv n huyu vunja chungu aliingia kweny biashara yangu 😂😂❤njoo tena

  • @hadijajuma3773
    @hadijajuma3773 День назад

    Ni kweli huyu mdudu ni salama kabisa,Ilikuwa akitokea nyumbani basi hudondoshewa samli katika eneo alilopo,Ni mdudu ambaye kwa asili ya kwetu anaheshimika sana.

  • @JoanithaLutenta
    @JoanithaLutenta Год назад +1

    Asante Sana nimefahamu maana yake,mmi nilikuwa nikimuona namkandamiza na jiwe maana niliambiwa eti analetaga uchonganishi na ugomvi

    • @habibashaibu5584
      @habibashaibu5584 Год назад

      Sio siri ni kweli sijawai muua maana anakua mkubwa wa kijani hila nikimuona tu kitu chochotee kibaya kitatokea

    • @evenymathias3788
      @evenymathias3788 7 месяцев назад

      Na mimi muanga wa hilo nikimuona mlangoni kwako mpaka nigombane na mume wng

  • @budodianthony8094
    @budodianthony8094 11 месяцев назад

    Ukweli kabisa huyu mdudu huyu kwetu kimila ni mwendo wa kufanikiwa ❤❤ tena ni baraka kwa wazazi wetu huwa na wapenda nikii kutaa amekufa napo ishii ni maumivuu

  • @rebeccahnyaleso-rl8zr
    @rebeccahnyaleso-rl8zr Год назад +2

    Mimi nilimuona kwa nyumba kama leo na kesho nikabarikiwa na mtoto.he is such ablessing in your life

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Год назад +2

    Imani nilioikuta mm kutoka kwa wazee ukimshika huyo vuja chungu utavunja vyombo nyumbani

  • @christinezosi3317
    @christinezosi3317 Год назад +8

    Wow mimi ni mmoja wa haoo wenye kuamini mdudu huyu kweli usimfanye lolote huwa ni wa baraka na nimeamini ni kweli..imeshawahi tokea kwangu mara nyingi..dada yangu alinishauri kuhusu huyu mdudu..na nikaona kweli ..

    • @abdulraufshabani4269
      @abdulraufshabani4269 Год назад +2

      Xio nyie tu hata mm pia nilikua naaamini kwmba anauchawi ndani yake ila kumbe hata ni mdudu kama wengine

    • @SilivaniVenansi-n1l
      @SilivaniVenansi-n1l Год назад +1

      Duh mi nimemfukuza juzi ijajua kama ni asifukuzwe

  • @sarahomary3615
    @sarahomary3615 Год назад +10

    😢😢😢😢Mmmmmh mimi kila siku Namuona jamani ngoja nione nitapata nini baadae

  • @rosechemaiyo4900
    @rosechemaiyo4900 Год назад +1

    Walikuwanga wengi Kwa nyumbangu keshoye wageni tele 😅😅😅

  • @chichiereyh
    @chichiereyh Год назад

    Me namuuaga jaman😢😂😂😂😂😂😂nasemaga koma shetan koma kwa jina la yesu🙌🏾

  • @happinesspamba3834
    @happinesspamba3834 Год назад +2

    Mimi nilivyokua mjamzito nilikuta Vunja changu mkubwa kitandani yaaani kanona na badae nkajifungua Bby girl

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 Год назад +11

    Subhana Allah

  • @muichorekishagani1751
    @muichorekishagani1751 Год назад +6

    kule kwetu tuna muita Mako, lakini ajabu ya mdudu huyu ukinuuliza upande wa dunia kama upande wa kasikazin kusini , mashariki na mgaharibi ana kuonesha bila wasi kwa ishara ya mikono yake

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk Год назад +1

    Tulio Ndani Ya Yesu, Hatu ongozwi na wadudu tukiamua kumwacha aishi tuna mwacha tukiamua kumu ua tunaua. Haya Twende kazi.

    • @joyniabella5985
      @joyniabella5985 Год назад

      lkin ni viumb vyake .tunahamin kila kitu kimeumbwa na yey

    • @KasOgba
      @KasOgba Год назад

      Kwani alieumba nani alafu nyie walokole kwaasilimia kubwa mnatudanganya sana sana

    • @issamakamba5569
      @issamakamba5569 Год назад

      Yesu ndio anakufundisha uue

  • @shakacharles9634
    @shakacharles9634 Год назад +2

    Mke wangu alitaka sana mtoto wa kike ,ila kuna siku alitokea mke wangu alikuwa na ujauzto wa miezi saba alitokea vunja jungu mkubwa tu nikamwambia usimpige mimi nitamtoa nje huyo hana sumu basi nikamtoa nje inawezekana hiyo imani ni kweli mke wangu kajifungua mtoto wa kike aliomba Mungu kila kukicha apate wakike tena ana afya nzuri mweupe

  • @shufaadagharo3443
    @shufaadagharo3443 Год назад +1

    Asante mwandishi huo ni ukweli mtupu mm huwa nikikutana naye lazima nishike pesa

  • @saidkasonta3174
    @saidkasonta3174 Год назад +34

    Huyu mdudu ana pande zote mbili, negative and positive! Itategemea umemuona katika mazingira gani? Na akiwa na Hali gani!
    Mfano ukimuona yule mwenye rangi ya kijani, mkubwa, na baadae ya kukuona akatanua mbawa zake kama anataka kuruka! Basi ni ishara mbaya ya mikosi na kuharibikiwa jambo lako kubwa ulilokuwa ukitarajia karibuni.
    Ukimuona, akakuona na akawa mtulivu kabisa, basi mambo Yako yatafanikiwa bila shida,bila makelele Wala mivutano na watu!

  • @zehrahaji1566
    @zehrahaji1566 Год назад +4

    Namuogopa huyu mdudu, mpk atolewe Ndo napita yaani simpendi kwakweli namuogopa Sana

    • @nawafbawazir8065
      @nawafbawazir8065 Год назад

      Hata mm namuogopa namuona kama spider

    • @evenymathias3788
      @evenymathias3788 7 месяцев назад

      😂😂😂Et spider, yaan wewe hunifikii mimi kwa kumuogopa, nikimuona huyu mdudu kwangu hadi namuita jilan akanisaidie kiukwel sijuhi kama nitakuja kumuelewa

  • @everlinemuhadia2754
    @everlinemuhadia2754 Год назад

    Our grand parent used 2 tell us takecare it s dagerous . With our Nose. . Surgry direct.

  • @FredHamisi-h7k
    @FredHamisi-h7k 3 месяца назад +1

    Pesa zinamiminika kwa maisha yako

  • @annastaziarenatus9880
    @annastaziarenatus9880 Год назад +1

    Uyu mdudu namuogopa sana maana huwa na kuona mara kwa mara nanikimuona ndani sipati usingizi mpaka aondoke sijawahi kumzoea namuogopa sana na sijui kwa nini namuogopa na huwa namuona mara kwa mara

  • @halimaiddy8691
    @halimaiddy8691 Год назад

    Nimeji funza ki2 hapa 👍👏❤️❤️❤️❤️❤️

    • @AbedyAlly
      @AbedyAlly Год назад

      Alikuja kwangu nikiwa mjamzito nikajifungua mtoto wa kiume

  • @marcd.masalla1491
    @marcd.masalla1491 Год назад +4

    Kweli kuna ukweli wa hayo ulosema, hasa ukikutana na yule wa Kama kahawia... Ni ishara ya pesa na bahati nyingine ziletazo furaha, (huleta habari njema)

  • @neemanicholaus5468
    @neemanicholaus5468 Год назад +3

    Duh nilimuona dirishani nikamfukuza, natamn arudi nimuombe msamaha anaeza kuwa amekasirika eti jaman?

  • @Bkamandawazam
    @Bkamandawazam Год назад +24

    Dah Mungu anasababu zake hakuna kitu hapa duniani ambacho kipo bure

    • @japhetjacob4800
      @japhetjacob4800 Год назад

      AP

    • @aquarianairy4740
      @aquarianairy4740 Год назад

      Ni kweli kaka

    • @mswakisaid2320
      @mswakisaid2320 Год назад

      Ndivyo ilivyo.
      Kila kitu Mungu kakiweka kwa sababu maalumu.
      Tunabaki kutitambua kabisa,au kutambua machache tu.
      Mungu ni mjuzi wa kila jambo.
      Tumuombe atufundishe Siri za mambo ya viumbe

  • @ShamimChepkorir
    @ShamimChepkorir 4 месяца назад

    Iliingia kwangu nikamfukuza mungu anisamehe sikujua

  • @allyahmushi125
    @allyahmushi125 Год назад +2

    Kwa hiyo kumwona Dume ni bahati sana..wengi washatafunwa😂🙊

  • @juma67
    @juma67 Год назад

    Kikubwa ulichokisahau nikwamba mdudu huu unasumu balaa tena hatari sana.brothers, sisters
    Imani ni kitu kingine, kwa hiyo usituaminishe vitu ambavyo havipo

    • @naylamohamed517
      @naylamohamed517 Год назад

      Lkn kwny maelezo yake kasema hana sumu

    • @juma67
      @juma67 Год назад

      Marehemu bibi yangu ulimung'ata matokeo tuliyaona

  • @LevonaErasto
    @LevonaErasto Год назад +1

    Jaman uyo mdudu kwetu tunamwita tengas yan mm ata simuogop bali nampenda toka nipo mdogo nimekua nikisikia mdudu huyu kama akija nyumban ikiwa kuna mtu ni mjamzito bas atazaliwa mtoto wa kiume, na hata kwangu imetokea nilikua mjamzito na wakawa wanakuja sana kwangu tena ndan mme wangu alitaka kumuuwa nikamkatalia na kumwambia mdudu huyu mzur na ni kwel nilijifungua mtoto wa kiume

    • @msemombelwa47
      @msemombelwa47 Год назад

      ❤❤❤

    • @neemalaizer-hv9ef
      @neemalaizer-hv9ef 5 месяцев назад

      Mimi wanapokezana hapa kwangu mlangoni ,mara wa kijani mara brown ila mi mjamzito wacha nkijifungua ntajua ukweli

  • @magomunathan
    @magomunathan 10 месяцев назад

    Please can you give us or else you have that in english thanks so much god bless you

  • @ShaniaAbdalah-z8b
    @ShaniaAbdalah-z8b 4 месяца назад

    Ukiamini kutipia Mungu, unapata baraka nikweli vunja chungu anabaraka

  • @jamesjameswisdomtz1577
    @jamesjameswisdomtz1577 Год назад +12

    Duh nimekumbuka Mbali Sana kumuona huyu mdudu

  • @LovelyKiteFlyer-tv9bd
    @LovelyKiteFlyer-tv9bd 10 месяцев назад

    Mim nilimuona uyo wa aina ya panzi kadooogo kma mala mbili ila cha kushangaza mambo yangu yanaenda vibaya sana tofauti na nilivyokuwa sijamuona

  • @oscarmwakisyala17
    @oscarmwakisyala17 10 месяцев назад

    Nimewaua wengi sana home, nataka Mungu anisamehe sana. Amen.

  • @oscarmangwangwa1052
    @oscarmangwangwa1052 Год назад

    Neno ushirikina limetumika kama siraha yakumtia ujinga mtu mweusi. Pia neno ushirikina limetumika kumtia usingizi mtu mweusi asijitambue. Poleni watu weusi.

  • @FatmaSaid-nm6cx
    @FatmaSaid-nm6cx 7 месяцев назад

    Kweny Imani ya waganga humtumia sana vunja jungu sant

  • @NdilahombaSamson
    @NdilahombaSamson Год назад

    Ahsante kwa kunifungua akili, me nilikuwa namuona tu lakn cjui chochote, ckumbuki mara ya mwisho nilimuona lini ila nmepitia mengi mazuri na mabaya

  • @MichaelMathew-ke6bi
    @MichaelMathew-ke6bi Год назад

    Mimi namjua sana huyu mdudu. Lkn jina lake kwakweli nilikuwa silijui. Kumbe anaitwa vunja jungu huyu mdudu. Hahahahahahaa

  • @PendoMaganga-ie4zg
    @PendoMaganga-ie4zg 9 месяцев назад

    Kwetu tunamuita kitengas, Mungu anisamehe nmeshauaa weengi saaana

  • @messaabbas739
    @messaabbas739 Год назад

    🙊vunja jungu 🙆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aisee si nimejua leo jina ili jina la uyu mdudu 😂😂😂😂😂❤️❤️❤️❤️❤️❤️

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Год назад +1

      Acha bas😆😆

    • @messaabbas739
      @messaabbas739 Год назад +1

      @@nancyg8664 aki ya mungu 😅😅😅😅

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Год назад +1

      @@messaabbas739 ukawa unawaitaje😆😆na iyo mikono yao

    • @messaabbas739
      @messaabbas739 Год назад

      @@nancyg8664 ,,panzi bichwa 🙆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,,,, miye namfahamu tu kwa kiengereza kwa Kiswahili namwita panzi bichwa ivyo tu,, 😂😂😂😂😂

  • @ZainaMkamba
    @ZainaMkamba 7 месяцев назад

    Anabaraka sana na amini sana katokea kwangu ndani naona mabadiliko sana

  • @AnithaMbogoye
    @AnithaMbogoye 10 месяцев назад +1

    Nimemuoona jana tu nilikua naenda kuoga Eeeh Mungu Asntee

  • @papaamkinga_
    @papaamkinga_ Год назад +5

    Wanga tume wai uwa uyu mdudu utotoni

  • @ChristinaNoel-e8y
    @ChristinaNoel-e8y Год назад

    Mungu hutaka kujitukuza pia Kupitia viumbe wake. Lkn huyu ni sawa na wadudu wengine tu. Japo anaakili nyingi na wakati mwingine hujibadili kama kinyonga.

  • @StelaEnyasi
    @StelaEnyasi Год назад +1

    Jaman niliambiwaga na mama kuwa huyo mdudu hatakiwi kupigwa lkn mm jaman nimemkuta chini ya kabati ya nguo amekufa amekauka jaman sijui inamaanisha nn Mungu tu anisaidie

  • @MONIKALOBI-hu8pv
    @MONIKALOBI-hu8pv Год назад +1

    Mim nilishi nikiambiwa na bibi ukimuona huyu mdudu usimpige wala usimufukuze hatakama atakuwa amekupangiria mwirin akidai kuwa nibalaka ko Mimi huwa nawaheshim sana kama nikiwaona hao wadudu

  • @MmM-dl9yl
    @MmM-dl9yl Год назад +4

    Nikiwa mdogo mara kwa mara nilikua nikiona kwa nguo yngu ama kwa kitanda shosh wangu aliniambia leo tunakula nyama na ni ukweli

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 Год назад +2

    Mimi namuokopaga sana tena sana,fasi nikimuona siwezi kupita,siku moja alinibana kwenye bega duh,nilivuwa nguo nilikuwa navaa nikakimbia uchi.

  • @kingofart2999
    @kingofart2999 Год назад +3

    Nilimuona mwenye rangi za maua maua ya kupendeza mchanganyiko na meupe mazur mixer combat si combati dirishan kwetu kipindi bdo mdogo wa miaka kama saba,nikata kumuua marehem babaangu akaniambia usimuue leo tutapata pesa,kweli nikashangaa tuna siku kama mbili pale nyumban hali ilikuwa mbaya lakin siku hiyo alipoenda miangaikon alirudi boss.