KWA KIKOSI HIKI CHA SIMBA,SINGIDA BLACK STARS ANAKUFA MAPEMA SANA/ELIE MPANZU NA KIBU NDANI
HTML-код
- Опубликовано: 27 дек 2024
- Kuelekea mchezo wa Simba vs Singida Black Stars
Simba pro tumekuja na utabiri wa kikosi cha Simba kitakachoanza katika mchezo dhidi ya Singida BS
Kama unahitaji kuungwa kwenye group la Simba Pro tuma ujumbe kwa namba 0626629644 ili tukupe utaratibu wa jinsi ya kuungwa