Salam Alekum warkmatulahi wabarakatu honestly nilikuwa nataka kuskia hii mawaida inipe nguvu juu nahisi nimefikah mwisho but najuwa Allah ako na mimi na yatapita yataisha
Pole sana huo ushirikina unafanyiwa huko Oman? Na kama unataka kurudi Tz si uende embassy yako ya Tz kwa uvumilie ukiwa unaumwa rudi home kabla hujazidiwa ukashindwa kurudi ndugu yangu
Kam unaweza funga sunna , amka usiku muelekee Allah kwa nia watakurejesha wenyew fany wik moj mfululizo kuamka uck kwa nia thaabit ,mlilie aliye juu tu , atakup furah ya jambo lako.
Mimi nina mtihani wa mama yangu mzazi najitahidi kumfanyia wema lakini yeye haoni anachosema tu yeye nimchawi na anataka kuniua na nikifa atakunywa supu sina raha kila nikikumbuka matendo anayo nifanyia naishia kulia tu jamani naombeni dua zenu niepukane na mtihani huu maana sijui hata cha kufanya
Mimi nina mitihani na watt wangu wakimaliza kusoma wakifika sasa ni wakufanya kazi basi ndio utaanza ugomvi na kuchawanyika si wa simu wala salam kila mmoja ana kuwa hanipendi wala hataki kuniona
Allah atupe Moyo wa Subira Allah atuongoze katika njia iliyonyooka
Allah atujaliye tuwe miongoni mwawaja wake wenye kupend kutubia
Allah akubariki na akuhifadhi sheikh wetu
Shukran kk wa ukumbusho
Kipenz chetu ❤❤s.a.w ❤❤❤❤
Shukran jazzila shekh Allah Akbar atujalie mwisho mwema Inshallah
Allah atuzidushiye subra InshaAllah, shukran shekhe wetu Allah akupe umri
Shukran san 🤲 mwenyezi Mungu akupe umri mrefu zaidi Amiiin thum Amiiin kwasote yaraaaab
Biidhnilah nimekupa siri ya mafanikio ktk hii dunia.amiin
Amin Amin Amin yarabi
Mashallah mashallah swadakta
Shukran sanaa sheikh
Yaaaaaa allah❤❤❤❤❤❤
Hata wew mwenye mama mkorofi
Salam Alekum warkmatulahi wabarakatu honestly nilikuwa nataka kuskia hii mawaida inipe nguvu juu nahisi nimefikah mwisho but najuwa Allah ako na mimi na yatapita yataisha
@@Zulpha-i5d In sha Allah yatapita.
@al-hidayahonlinetv3447 Amiiin Amiiin Amiiin and Amiiin ya Allah
Swali kwa wakati
Ni mengi ambayo nazushiwa ila hakika hakuna nilichofanya Kwa kitendo wala hata Kwa mdomo tu nakiri mbele zenu na hata Kwa Allah subhanahu wataala☝️☝️
Pole sana mshitakie Allah kua na subra jitenge😢😢
Yote yatapita na utasafika in sha allah we zidi kushtakia mfalme wa wafalme majibu utayapata.
Wallah mtihani kama huo my sio wewetu Mimi mwezako
Allah nakuomba unijalie subra allah😢😢😢ameen inshaallah
Mashallah
Kwa njia hizo inshalah alah atakuepushie magumu yote
Ibada vizuri
Uliemkosea muombe msamaha
🤲🏼🤲🏼🤲🏼❤❤❤❤
Mashallah mawaidha mazuri
Unafanyiwa kwenu au oman
Allah atakujaza kheri yaraby
Someni adhkari za jioni na asubuh inaondoa msbalaa husda
Utapata maisha yenye tabu kwasababu huko karibu na mola wako
Maashaalla
Suratul falaq suratunnaass
Hio ni suluhisho la binadamu
Suratuahad
Jazakallahu kheir sheikh
Lkn km hufanyi ya alah vipi ufanikiwe
Tembelea wagonjwa
Lkn km hauko karibu na alah
Anza kutoa sadaqa
Utaridhiwa na alah na ww utaridhika
Suratul baqara someeni ktk maji mnywe
Ninaitwa Zulfa ni mtanzania Niko nchini Omani ndugu zangu waislamu Dua zenu napitia magumu pasina makosa napata maumivu ninayofanyi kishikina niombeeni tu wakubali kunirudisha nyumbani 💔😭😭
Allah Akbar ndie mueza wayote Inshallah Zaidi kuhukumia Allah
@@Sakina-j2b subhanallah Allah Akufanyie uwepesi.
Allah Akufungulie na Akuoneshe njia sahihi. Pia zidisha ibada za usiku mlilie allah Utapata Ufumbuzi In sha Allah.
Pole sana huo ushirikina unafanyiwa huko Oman?
Na kama unataka kurudi Tz si uende embassy yako ya Tz kwa uvumilie ukiwa unaumwa rudi home kabla hujazidiwa ukashindwa kurudi ndugu yangu
Kam unaweza funga sunna , amka usiku muelekee Allah kwa nia watakurejesha wenyew fany wik moj mfululizo kuamka uck kwa nia thaabit ,mlilie aliye juu tu , atakup furah ya jambo lako.
Ufanye yaliobakia niliotaja hapo
Mimi nina mtihani wa mama yangu mzazi najitahidi kumfanyia wema lakini yeye haoni anachosema tu yeye nimchawi na anataka kuniua na nikifa atakunywa supu sina raha kila nikikumbuka matendo anayo nifanyia naishia kulia tu jamani naombeni dua zenu niepukane na mtihani huu maana sijui hata cha kufanya
Tuchek kwa whatssap tushauliane in sha allah
Muombe radhi mama yake ayo maneno anayokwambia itakua umeyasema ww
Allah ndio anajua ninacho kpitia @@khadijamohammed-ub9ch
Fata ushauri nilioandika hapo
Someni qurani yote nidawa
Mimi nina mitihani na watt wangu wakimaliza kusoma wakifika sasa ni wakufanya kazi basi ndio utaanza ugomvi na kuchawanyika si wa simu wala salam kila mmoja ana kuwa hanipendi wala hataki kuniona
@@FatimaAli-of4ghpole sana. uwe ukiwatumia ujumbe unaohusu haki za wazazi zipo nyingi ktk account hii
Nenda Katie sadaqa
Mahali
Soma quran ni barka
Uliemkosea muombe msamaha