Mtazamo wangu binagsi naomba Jambo hili LA ngorongoro lipatiwe mbunge wa kawe alipige ndarubini In regards to his previous motion in parliament kuambatana na ndira yA taifa . We request the wisdom of mbunge askofu ngwajima hapa kwa hili suala🇰🇪
Imefika mwisho nchi hii ni kubwa sana wamasai watapewa sehemu nyingine tena kubwa kabisa ambayo haitawasumbua tena na manyama pori watabaki ngorongoro kwa maslai mapana ya taifa letu
Hii kazi ni njema sana
Wampatie jembe la Yesu Baba yangu wa kiroho Askofu Gwajima jemedari jasusi kutoka mbinguni.
Safi sana
Hii ni vita ambayo siyo yetu ni ya mungu, eee mwenyezi mungu tunusuru
Hongereni wamasai mko vizur pambaneni mpaka kieleweke arthi ni wamasai hapingwi imeenda hiyo.
Tupo pamoja nanyie watanzania wote jino kwajino
Sawasawa kabisa mnateseka Sana ndugu zetu poleni Sana mungu atawasimamia
Msikubalii none sense
Safi muwe na msimamo
Huyo rais atafia pabaya
Chief nyihoch asir
Aminaaa wazee Kama hawa ni wachachee Sana. serikali ijiongezee watanzania wameelewa nn maana ya wabinafsi
Ee mwenyezi mungu sikiia sauti ya wajakaz wako .very painfully
Mungu aingilie Kati jambo hili
Oh my God help and save our society
Wenyeji wa ngorongoro si mbumbumbu aisee 😮
❤❤❤❤
Safi sana ndugu zangu
Poleni sana
May God fight the right for our Maa People
Hamtoki hapo ni kwenu...ishini
Mtazamo wangu binagsi naomba Jambo hili LA ngorongoro lipatiwe mbunge wa kawe alipige ndarubini
In regards to his previous motion in parliament kuambatana na ndira yA taifa
. We request the wisdom of mbunge askofu ngwajima hapa kwa hili suala🇰🇪
Safisana
Unaumiza sana
Wameacha kujadili maisha nimagumu. Vitu vinapandabei. Wakobiz Na wamasai
Ngorongoro never give up
Lazaro Ni kiongozi mzuri Sana .
##viongozi hatuna kbsa jaman unataka kuwaondoa wanachi masikini uwapeleke wapi wote haooo. Waacheni watu waishi jamaan ....
Msichoke ndugu zetu nasi tunazidi kuwaombea haki itendeke juu yenu ndani ya ardhi yenu na zawadi yenu mlioiheshimu kwa karne na karne
Mko sahihi kataeni hakunakutoka
Oh my God!...tz nation dictates.
Hii tzd imekua ya laana ila MUNGU yupo msikate tamaa mbele ya MUNGU
Wadauu
Mzee ukosahihi
Haki za binadsmu ni muhimu zaidi kuliko ya wanyama
Kuna kazi hapo tena mambo vurugu vurugu mechi
Tumlilie mungu
Masai msiondoke uko ni home kwenu
Mwe mungu tusaidie watanzania wenzetu wataenda wap?
Hata dunia haina miaka elfu 7😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Inayo ww Ndio mdogo kenge ww 🤣🤣🤣
Dunia iko na miaka 4600 million
Ndo mjue kwamba hii nchi inaongozwa na uongozi wanamna gani
Mbona nasikia mnataka kuhama wenyewe?
kweli.ngorongoro.inaumia.sna.ndungu.sangu
Msimampie haki senu
Nyie msije TU huku Handeni Ili sisi tukajinyakulie mijengo ile
Kwa hiyo waziri ameongea uwongo.
Imefika mwisho nchi hii ni kubwa sana wamasai watapewa sehemu nyingine tena kubwa kabisa ambayo haitawasumbua tena na manyama pori watabaki ngorongoro kwa maslai mapana ya taifa letu
Kumbuka ngorongoro ilikuwepo na uposema ngorongo ni pamoja na wamasi
Ngorongoro bila maasai haiwezekani
wewe ndio unatonesha vidonda huku
Kwani hawa watu hawana haki
Miaka elfu 7 we masai embu Be serious!?? Alfu usiwe na Primitive Mind.
Msiondokewasiwazingue
😢😢😢😢😢😢
Mtahama tuu
You are talking nonsense better you shout up your mouth.
Yetu macho tunachoomba amani tu Tanzania
Wewe babu unataka kuendeleza ujinga.
Ujinga gn kaongea hapo ni kwao
mungu alitupatia nchi tutawale wanyama na viumbe vyote vilivyoko.C tutawaliwe.Eee Mungu tupiganie.Mwenyezi mungu pigana nao.