Jamani Yesu wa Efatha ni mzuri sana Mungu akupe miaka mingi sana Baba yangu Josephat Elias Mwingira isiyo na hesabu nabaraka nyingi kama nyota za Mbinguni
Mie pia ni mchungaji mwimbaji.. kutoka Nairobi, Kenya. Natamani sana kukutane nawe ndugu mchungaji mwenzangu ulie kiongozi wa choir hii ili unipe mashauri ya uimbaji kusaidia choir yangu hapa.
Baba yangu Josephat Mwingira na mama yangu heriyakunda watoto wenu tunazidi kuinuliwa nakupatafaraja,,uponyaji Mungu awatunze ....nimemuona mwaumeee nimemuona nimemuona mwokozi nimemuonaa ,,,,nimekuwa naomba huu wimbo na unanibariki mno,wabarikiwa watumishi Mungu.
Asande sana BABA KWa mafundisho yako Ya Efatha ime nitoa Mahali . Sijui leo.hii ninge kuaje Kweli YESU NI MWANA UME WAPEKE HAKUNA MWINGINE KAMÀ YEYE. Salome Mukani..Fro .saudi arabi.
Naomba wimbo wa Ainuliwe Mungu wetu ambao.aliuimba Mercy akiwa mjamzito katika kusanyiko 2011/2012 naukupenda saana na huwa.unanibariki saana...kwa ghalama yeyote ilimradi niupate nisaidie
Efatha ni nyumbani kwangu,,mapatano yangu na Mungu,,ubarikiwee sana baba Mwingira kwa kulibeba kisudi hili,,najua na naelewa si rahisi ila Mungu amekupa nguvu na uwezo
Thanks for the video always makes me to think of this Great Gentleman even in the days of fear, when sorrows knocks me he never let me down rather he pic me off the ground. i love you Efatha.data:
Nakupenda Baba kupitia wewe Baba Mtume na nabii Mwingira nimefunguliwa Niko huru namfurahia Yesu wa Efatha
Jamani Yesu wa Efatha ni mzuri sana Mungu akupe miaka mingi sana Baba yangu Josephat Elias Mwingira isiyo na hesabu nabaraka nyingi kama nyota za Mbinguni
Mie pia ni mchungaji mwimbaji.. kutoka Nairobi, Kenya. Natamani sana kukutane nawe ndugu mchungaji mwenzangu ulie kiongozi wa choir hii ili unipe mashauri ya uimbaji kusaidia choir yangu hapa.
I really enjoyed this choir in 2017 for the October conference. I wish to come again. God bless this powerful ministry.
Baba yangu Josephat Mwingira na mama yangu heriyakunda watoto wenu tunazidi kuinuliwa nakupatafaraja,,uponyaji Mungu awatunze ....nimemuona mwaumeee nimemuona nimemuona mwokozi nimemuonaa ,,,,nimekuwa naomba huu wimbo na unanibariki mno,wabarikiwa watumishi Mungu.
Nimebarikiwa Sana moyoni mwangu,natamani niwe hapo na Mimi, mungu wa mbingu na nchi awabariki Sana Amen
I love you daddy maisha marefu nakuombea Baba yangu wa kiroho
Naipenda Efatha hasaninaposikiliza nyimbo hii inayosema nimemuona Mwanaume
Baba yangu wa kiroho unatubariki Sana watoto Wako Mungu azidi kukutunza baba yetu na mama pia Ameen
Hii nyimbo naisikiliza tangu 2018 hadi leo pia naisikiliza. It comes in my mind kila siku
Nakupenda sana Baba yangu, tangu niingie Efatha nimebarikiwa na nimejifunza kuwabariki wengine.
Mungu akubariki Baba yangu.
Asande sana BABA KWa mafundisho yako Ya Efatha ime nitoa Mahali . Sijui leo.hii ninge kuaje Kweli YESU NI MWANA UME WAPEKE HAKUNA MWINGINE KAMÀ YEYE.
Salome Mukani..Fro .saudi arabi.
Efatha furaha yangu kila mwaka tunamuona mwanaume akifanya mambo ya kushangaza tunamuona tunapomuita
maisha yangu ni ushuhuda tosha kwamba Yesu ni mwanaume. Nimeziona nguvu zake. haleluyaaa!
Maisha Yang ni s
wana Efatha bwana yesu.asifiwe napenda ibada za hata nyimbo zake zinanibariki sana mungu akubariki sana mtumishi wa.mungu.E.l.mwingira
nakupenda baba mungu akupe maisha marefu
Naomba wimbo wa Ainuliwe Mungu wetu ambao.aliuimba Mercy akiwa mjamzito katika kusanyiko 2011/2012 naukupenda saana na huwa.unanibariki saana...kwa ghalama yeyote ilimradi niupate nisaidie
naitwa Veronica Masanja hakika nimemuona mwanaume wa ukweli mungu akubariki na azidi kukuinua na kukufunulia siri za mbinguni.
hakika yesu ni wanaume wa wanaume nimefunguliwa na kupona kwa kupitia marudio ya ibada RUclips
Team Mwingira gonga like za kutosha
Efatha ni nyumbani kwangu,,mapatano yangu na Mungu,,ubarikiwee sana baba Mwingira kwa kulibeba kisudi hili,,najua na naelewa si rahisi ila Mungu amekupa nguvu na uwezo
Robert Gitonga amina
Nakupenda yesu kwa sababu ulinipend Kwanza na kwa pendo lako umeniweka karibu
vero masanja nakupenda sana baba yangu mtume na nabii JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA hakika yupo mungu wa kweli efatha.
Efatha ministry inatosha na Mtume na Nabii ndiye Baba
Mwanaume , Mwanaume ni kiboko!! thanks mass choir you have done a great service! our almighty God will bless u!!!
I love You So Much my Dady Apostle MWINGIRA Nakupenda saana BABA Yangu.
shalom naomba muuchie wimbo wa Twaingia malangoni mwako kwa kuimba, Ni jubilee, naupenda sana, Efatha oyeeee
umenitoa mbali Yesu ww ni mwanaume wa wanaume
jamani nimemuona mungu wa efatha alivyonitendea miracles god is gud everytiym and may god bless u Apostle Elias mwingira
love you dady ni kweli mwanaume wa wanaume yupo Efatha nimemuona ktk maisha yangu
Hakika ww ndio mchungaji mungu akubariki
Amina Dady Mungu azid kukubariki nabarikiw na nyimbo za efatha snaa
Nawapenda sana naipenda Efatha nampenda mpakwa mafuta Pastor Mwingira
Kwakweli Yesu wewe ni bonge la Mwanaume.
AMINA BABA YETU MWINGIRA.Nmemuona mwanaume wa kweli
Nikweli hakuna mwanaume kama yeye,, YESU KRISTO
Eee, Mung Asante kwa kusud LA Efatha pamoja na mbebakusud wako safar ni njema
Nimependa, nitapataje wimbo Mungu awabariki
Mungu in mwema kwa mtume mpaka hapo alipofika kongoza kusudi La Mungu na kuandaa waimbaji
Efatha .tv
Mbarikiwe sana wapendwa...hapo Yesu in bwana ...
Nmebarikiwa sana na huduma ya Efatha
Nabarikiwa sana na wimbo huu
Asante Sana maana kupitia huu wimbo maajabu yametendeka
Efatha is where I belong..I love you daddy Mwingira
hakika ni memuona mwanaume hakuna aliye kama Mungu, Mungu nimwanaume wa wanaume
Asante munguwangu nimebarikia nanyimbo
Hakika uu wimbo unanibariki mno
Nabalikiwa Sana Mungu akubaliki mtumishi wamungu
yyan nakupenda baba ang MWINGIRA mungu azid kukutumia mpakwa mafuta wetu im proud of u!
Prisca Fadhili safi sana
mwingiraaa sir go azd ku mtunzaaa
hakika nimemuona mwanaume mungu wa efatha anafungua mungu zidi kutubariki
akika baba tunazidi funguliwa nakupenda baba
amen yesu ni mzuri
yesu ni mwanaume wa kweli
nashkru sana kua chin ya kusud LA efatha
Andrew mgana, kweli ni wapekee, asante yesu
Nakupenda Baba yangu mwingira
I love 💕💕💕💕 day josephat mwingira
The drumist and the trumpet guy are amazing... Award winning....
am blessed wth dis song. i can say lov yo tripl annointed girls ana mercy & esther
nashkru sna kua efatha
Nawapongeza sana kwa uimbaji mungu awainue sana
Im blessed with the song,and words from man of God ..may God continue to reveal himself through your ministry Apostle J.E.Mwingira.
Efata tv
Thanks for the video always makes me to think of this Great Gentleman even in the days of fear, when sorrows knocks me he never let me down rather he pic me off the ground. i love you Efatha.data:
Praise God Almighty for EFATHA Choir.
Much love to u our spiritual father
kumtumikia Mungu kunalipa
Mungu asifiwe sana
kwa yesu raha jamn....
I love u Efatha bcs you are my way
Hakika Mtume J.E.Mwingira unanibariki
Jamani efatha in nzur
mungu ni mwema ni mwanaume wa wanaume hakika
Amina baba yangu
Likee jos katot suomesta
hakika yesu ni wanaume wa wanaume nimefunguliwa
YESU NI MWANAUME WA WANAUME
kweli nimemuona na nitamwona nampenda
Amina Baba
Much love you dady
I love you man of God.
mwanaume wa wanaume yesu
Mungu ni mwema
Nampend sn baba yang
❤efatha
Blessed 🙏
Ameni ameni
thank u for this video.. be blessed.
mwingila mungu akutie nguvu zaidi na zaidi ubalikiwe sana
Hakika Yesu mzuri jamani,
EFATHA tunae mt waMUNG
mahubiri ya dr moses kulola
Sijawahi kujuta kuwa naye,
nimemuona kwenye maisha
nimemuona wa kweli
baba Nipe ulicho nacho
anaonekana sana tu
Kwakwer nyimbo tam sana
Nashukuru sana kwa hayo
kweli kweli
Amina baba
Akuna audio Kama audio
IME MUNAA!!!!!
AMEN AMEN.
Thank you all..
Nimemuona akinitetea
Blessed.
luv u dady
Ameeen baba