TRAORE AMEPEWA ZAWADI YA DOLLAR MILLION 220 NA RAIA WAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 ноя 2024

Комментарии • 132

  • @PrivaAgust
    @PrivaAgust 22 дня назад +1

    Mungu atupatie Tanzania kiongoz kama TRAORE.

  • @AvitiNjau
    @AvitiNjau Месяц назад +18

    Traore ni jembe la africa mungu amlinde daima

  • @AllySaid-k1s
    @AllySaid-k1s Месяц назад +8

    Daaaaaaàh hawa ndiyo viongozi wazalendo taifa kwanza Mimi baada🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹pokeya mauwa yako

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz Месяц назад +13

    Mwalimu nipo ujerumani nakukubali sana huyu nimwamba mungu amlinde popote alipo

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 29 дней назад

    UNAVYOMPENDA WEWE MWALIMU HUYU TRAORE UNIPITI MIMI NAMPENDA KAMA MALEHEMU MAKUFULI MUNGU AMBALIKI KUMLINDA AMEEN ❤❤❤

  • @linnusaloyce6559
    @linnusaloyce6559 Месяц назад +6

    Hivi punde tutampata wakwetu kutoka jeshini nasisi mungu ajawahi itupa tanzania yetu niswala la muda tu inshallah 🙏

  • @anny19988
    @anny19988 Месяц назад

    Traore atoe namba yake Afrika nzima tumchangie. Natamani nimchangie hata mimi ni vile tu sina jinsi. Je t'aime Ibrahim Traore beaucoup.

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f Месяц назад +4

    Safi sana, huyu ni mtu wa mfano. Good. 🎉🎉🎉

  • @MohammedJuma-i3k
    @MohammedJuma-i3k Месяц назад

    Ndugu maoni yangu kama muafrica,hawa raia wa inch za africa kulazimisha viongozi waungane na hii miamba mitatu kukombo africa kwa jumla.maana raia ndio wenye inch,💪🤝👍

  • @Contentislamic123
    @Contentislamic123 Месяц назад +6

    Mungu amubariki traore

  • @nkurunzizaabdul-aziz7211
    @nkurunzizaabdul-aziz7211 Месяц назад +1

    Nakukubali sana nilikua na ku miss nilikua nakutafutia ku IBM TV kube uko hapa

  • @MatambashNgoidiko-d8k
    @MatambashNgoidiko-d8k Месяц назад

    God bless you comand,

  • @pascalvitalis
    @pascalvitalis Месяц назад

    Traole Mr presdent of Africa🎉🎉🎉🎉 welcome Tanzania😢

  • @MartinNduwayo-ju8df
    @MartinNduwayo-ju8df Месяц назад

    berson mm nakupenda sana unavopenda kutupa habar za maisha ya inchi zetu za kiaffica mungu akubaliki

  • @jacksonmalamla5681
    @jacksonmalamla5681 Месяц назад

    Shida waafrica wanafiki saaana! Naaamini miongoni mwa wabukinabe wapo wanajifanya jitihada za kunikwamisha huyu mzalendo halisi wa Nchi Yao!Alotuloga hatujamtambuaaaa!Tunamuombea huyu mwamba aifikishe mbali Nchi yakee🌺☘️🌹💐🏵️🍀🥀🏵️💐🌸🌷 tafadhari

  • @saadmohamed3186
    @saadmohamed3186 Месяц назад +2

    kwahuyu angeamua hata kuomba dunia nzima Imchangie pesa kwa ajiri ya maendeleo ya nchi ingechanga coz huyu ni kiongozi sahihi kwa wananchi wake ni mzalendo ni wachache sana Africa, anawatoa watu wa bukinafaso kuzimu na kuwaletea neema waliopoteza kwa miaka mingi!!! traole is a brave !!!

  • @HasaniKidibule
    @HasaniKidibule Месяц назад +4

    Huyu kijana traore, anaungwa mkono na watu wenye akili,ila wasio na akili hawawezi kumkubali hata kwa bahati mbaya, maana si hawana akili,?

    • @gwakisakaswaga5249
      @gwakisakaswaga5249 Месяц назад

      Uzao wa panya hawawezi kumuelewa Traore... wao ni kula tuuu

    • @rashidsalinja4252
      @rashidsalinja4252 Месяц назад

      Umeongea point kubwa sana na yenye ujumbe mzito

  • @kitosio
    @kitosio Месяц назад +3

    Kwa hakika Huyu ni Talent kichwani ndio maana.

  • @JASTINSEZA
    @JASTINSEZA Месяц назад +2

    ❤❤❤hakika huyu ni tunu ilo bakia Africa

  • @JOBLOKORO
    @JOBLOKORO Месяц назад

    Iam together with u Ibrahim traore one love one Africa.

  • @malkiawagiza1327
    @malkiawagiza1327 Месяц назад +5

    Ni wazi kuwa wananchi wanamheshimu mno.

    • @davidlyamboko7477
      @davidlyamboko7477 Месяц назад +1

      Wapo pia wànanchi vichomi kama wale wa Tz wanaopanga maandamano ya kuvuruga nchi

  • @KulthumSalum-d6p
    @KulthumSalum-d6p Месяц назад +1

    Jaman tunaomba aje Tanzania japo kwa week tu awashangae hawa viongozi wetu matapeli na mafisad😢😢

  • @shebyabdallah5854
    @shebyabdallah5854 Месяц назад +1

    Tanzania angetokea jeshi 1akafanya yakè tutakota kwenye ukoloni

  • @StephanoMoses
    @StephanoMoses Месяц назад

    Magufuli wa pili
    Thomas sankara wa 3
    Robert mugabe wa 4 etc

  • @lukemelyemwenga2910
    @lukemelyemwenga2910 Месяц назад

    Aiseee, Inawezekana Africa Tajiri Kwa nn tukakopee, n kuhujumianaaa tu😢

  • @wilsonsamsonwilliams
    @wilsonsamsonwilliams Месяц назад

    Mungu amlinde traore

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 Месяц назад

    Asante sana kwa uchambuzi mkuu.

  • @KamardinTebe
    @KamardinTebe Месяц назад +2

    Magufuli alisema Tanzanian na africa kwa ujumla ni matajili hamkumuelewa sasa wacha tubaki kuwa watazamaji

  • @BonivetureShija
    @BonivetureShija Месяц назад +2

    Hata Africa nzima wanaweza kumchangia

  • @GeorgeJuma-bv2lb
    @GeorgeJuma-bv2lb Месяц назад +2

    Magufuli na Traore ndio jembe la afrika

  • @nzirubusakhamissi3329
    @nzirubusakhamissi3329 Месяц назад

    Kbs hapo kweny tozo na code ndo raia tunaumiliy, sas vp bidha zitapand bei ingawaje sisi wenyew tunalima hatutegemei nch kadha, mchel maharag na vinginevyo tunalim wenyew iwej vitu vinapanda bei, mung ibariki Tanzania na Africa kwa ujuml

  • @johnsarwat-ih7ik
    @johnsarwat-ih7ik Месяц назад

    Hakika kunavingi vyakuigwa kwahuyu jama mungu amlinde nakumpa maisha marefu nawale waliolala waamke ususani watanzani

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 Месяц назад

    Africa inafelishwa na Viongozi wake wenyewe

  • @rashidsalinja4252
    @rashidsalinja4252 Месяц назад

    Angetoa namba hadharani tukamchangia 🎉🎉 . Ma lais wangekuwa wanaelewana wangempa hata miaka miwili akaongoze Afrika nzima . Shida ma laisi wa magharibi wataweza ku andamana

  • @EsterLucksford
    @EsterLucksford Месяц назад +8

    Watoe namba hata mimi nahitaj kumchangia

  • @AbelMasanja-w5q
    @AbelMasanja-w5q Месяц назад

    Next move to Africa

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 Месяц назад +1

    Jina Ibrahim maana yake ni mtu mwenye moyo mzuri, thabiti na wa kweli

  • @AllySaid-k1s
    @AllySaid-k1s Месяц назад +2

    Wezetu wanatoka kwenye utumwa wao wanaukimbiliya# sasa nimwendo wakifaransa

  • @Sixtus-k7v
    @Sixtus-k7v Месяц назад +1

    Anfaa san mkali huyo good man

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 Месяц назад

    Kwani unadhani Viongozi wa Africa wakiamua kuacha ubinafsi Africa na watu wake wataendelea kuwa Masikini.
    Yaani mpaka huwa najiuliza hiz hela watu wakifa wanakutana nayo huko wanakoenda.
    Toshekeni na Raia wenu wafurahie Raslimali zao

  • @AkwiliniMale
    @AkwiliniMale Месяц назад

    Ziara yaRac

  • @sayidabdillah8505
    @sayidabdillah8505 Месяц назад

    I like Herro Traore for Allah sake

  • @JoshuaLoth-qy1yk
    @JoshuaLoth-qy1yk Месяц назад

    Leo uzalendo umenishinda aiseeee huyu ni mtu wa maana🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DansonMtambi-fq2ff
    @DansonMtambi-fq2ff Месяц назад

    Mwalimu endelea kutuhabarisha juu ya ukuu wa muafrica ❤❤❤

  • @ScentsationalHeven
    @ScentsationalHeven Месяц назад

    Habali unazo zitoa Ni fundisho kwa Viongozi wetu hongela

  • @HuseinNasoro-t3i
    @HuseinNasoro-t3i Месяц назад

    Adui wa africa 🌍 niviongozi wetu

  • @KalalaErick-n7d
    @KalalaErick-n7d Месяц назад

    Africa tunaweza

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k Месяц назад

    Nyie nyie ewe mungu tunakuomba umlinde hyu raisi Ameen

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 Месяц назад +1

    Wafaransa wanaotaka kichwa chake mungu awalaani kwa kumwinda huyu mchapa kazi.

  • @thomasmsangwademule7875
    @thomasmsangwademule7875 Месяц назад

    Abarikiwe sana

  • @LukindoMbuleti
    @LukindoMbuleti Месяц назад

    Kaka duwa nyingi sana kwako Mwakirembe

  • @ericosambi2736
    @ericosambi2736 Месяц назад

    Yaanii ni hatarii saanaa hii mwakilembee unge tujuzaa kwa helaa yetuu ni kiasii gaanii

  • @ahmedbaga26
    @ahmedbaga26 Месяц назад

    Mungu amlinde

  • @oscarmario466
    @oscarmario466 Месяц назад

    Mungu alinde Ibrahim tuaore

  • @katunguzabalyaruha4382
    @katunguzabalyaruha4382 Месяц назад

    Huyu I. Traore ni mfano wa Magufuli tofauti na marais wengine. Tumuombee.

  • @SalumMasengwa-b9s
    @SalumMasengwa-b9s Месяц назад

    Ukuu wa Muwafrika udumu milele kati yetu ktk imani zetu pamoja
    Mimi nipo hapa nimekaa pande za Uroa skuli Zanzibar nikipata upepo mwanana kutoka baharini Wacha nione uraaàaaaaaaaaaaa

  • @ahnedalasmi9155
    @ahnedalasmi9155 Месяц назад

    Nasisi Tz tutapata 2025 raisi kama Ibrahim kutoka jeshini au chadema

  • @JohnBanda-e6b
    @JohnBanda-e6b Месяц назад +1

    Tinaomba kusambaza saaana mafanikio ya Traore

  • @abdullahhashimu2380
    @abdullahhashimu2380 Месяц назад +1

    Huyu ndie kiongozi wa afrika

  • @StephanoCyprian
    @StephanoCyprian Месяц назад

    Dood

  • @namaanwilson6467
    @namaanwilson6467 Месяц назад

    Ndaga fijo brother ❤

  • @rajabuathumani1586
    @rajabuathumani1586 Месяц назад

    Rais wangu

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 Месяц назад +2

    Mungu tureteee magufuli mwingine tanzania au mungu nipe mm inchi niongoze iri niwanyoshe vibaka

  • @muhala410
    @muhala410 Месяц назад

    Traoré ni kiboko yao amini usiamini
    Kiigizo bora afrika

  • @salummilanzi7936
    @salummilanzi7936 Месяц назад +1

    Naomba sapt yenu nipo hapa

  • @MARWACHOGO
    @MARWACHOGO Месяц назад

    Kifo cha Nyabi miti yote huteleza.Wazungu hata wasemeje,wafanyeje waliwatumia VIBARAKA wasomi wa KIAFRIKA kuwaua viongozi wazuri wakweli kwa nchi zetu.Gadafi,MAGHUFULI,SANKARA Kwa sasa mambo yako wazi.Afrika tunaweza sana tupunguze kujiua sisi wenyewe.

  • @AZIKURashid-fz3ur
    @AZIKURashid-fz3ur День назад

    Asate saana kua maeleo

  • @mavinyaalloyce5502
    @mavinyaalloyce5502 Месяц назад

    Afrika tujikomboe wenyewe tuachane na mataifa ya magharibi

  • @DancanoumaMulanya
    @DancanoumaMulanya Месяц назад +1

    Nisaidia number yake nimwambia aje Kenya tunaumia

  • @djoe8266
    @djoe8266 Месяц назад +1

    Ata mm naweza mchangia huyu mwamba

  • @DjFae.b255
    @DjFae.b255 Месяц назад

    Kazi nzur

  • @KheiriBafadhili
    @KheiriBafadhili Месяц назад

    Nawakubali sana kuhusu huyo kijana

  • @mavinyaalloyce5502
    @mavinyaalloyce5502 Месяц назад

    Traore ndio kiongozi Bora Afrika kwa sasa

  • @lukemelyemwenga2910
    @lukemelyemwenga2910 Месяц назад

    Magufulii

  • @kingngojea
    @kingngojea Месяц назад

    Uyu mwamba MUNGU amulinde traore

  • @johnlightmkose4723
    @johnlightmkose4723 Месяц назад +1

    VIONGOZI WA TANZANIA WAMUIGE IBRAHIM TRAORE

  • @ObadiaChengula
    @ObadiaChengula Месяц назад

    Ningekua naeleweka ningegombea uraisi nifanyie kitu nchi yangu

  • @KimbaKantempa-o3b
    @KimbaKantempa-o3b Месяц назад

    MUNGU ASAIDIE AFRIKA TUPATE MARAISI WENGI KAMA HUYU.

  • @LameckZakaria-u9y
    @LameckZakaria-u9y Месяц назад +1

    Watz sasa tumekalia kuogopa ni omba omba

  • @mchapakiza3737
    @mchapakiza3737 Месяц назад

    Kisekedi chilombo ndiye raisi bora wa Africa🇨🇩

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 Месяц назад

      Mbona majangiri wamejaa kila siku watu wanakufa yeye yupo tu,yule ni kibaraka wa wafaransa ndio maana wafaransa wanatuma ndege zao kupakia madini mistuni nayeye yupo tu,yule ni boya mmoja tu

    • @TedyMwakyendenge
      @TedyMwakyendenge Месяц назад

      Shenzi unawajua vibaraka ww

  • @yaziduhusseni3916
    @yaziduhusseni3916 Месяц назад

    Hivi Kwan Tanzania hawezi tokea kiongozi wakijeshi akawa kama traore au ndo Kaz yao kuwalonda waiz wa ccm tu

  • @maulidjuma9203
    @maulidjuma9203 Месяц назад

    Mwenye number yake please nami nimchangie ata dollar 1000

  • @Ebenezerymethuthela-w5w
    @Ebenezerymethuthela-w5w Месяц назад

    Mungu mwema na atamlinda mara 13 amekoswa koswa kufa

  • @IbrahimShan-qu3um
    @IbrahimShan-qu3um Месяц назад

    Mama samia mi5 tena 🤣

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 Месяц назад

      Aisee mahali anapozungumzwa traore usizungumzie mama samia bhana unaharibu mb zetu😮

  • @RamcoTreding
    @RamcoTreding Месяц назад

    Wewe mwakilembe ukizungumzia Kodi ya mkate na tozo zengine Tanzania ndio inatozo za maajabu kwa wanainch wake . Na watanzania hawezi kujitoa katika minyoro ya tozo hizo

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 Месяц назад

    Mim binafsi kiongozi ninae mtaka awe mla bata awe anajali mambo yake yani (mbinafsi)

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 Месяц назад

    Dolla milioni 220 unazijua wewe? Mbona mnakurupuka sana.

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 Месяц назад

    This boy should should bring civilian leadership in this country those guns will not help you forever

    • @anny19988
      @anny19988 Месяц назад

      What did civilian leadership do in Burkina Faso after 60 years of Independence? The so called civilian leaders are just corrupts and puppets eg Ruto and Tinubu

  • @EmmanuelChaCha-l2v
    @EmmanuelChaCha-l2v Месяц назад

    Traole oooeeeeeee

  • @ndayijeanclaude5094
    @ndayijeanclaude5094 Месяц назад

    Jembe sana huyu

  • @IsackRafael-q2p
    @IsackRafael-q2p Месяц назад

    Yanayofanyika hapa uongeleii au na wewe umejaa unafiki

  • @Levimakokha-ch6id
    @Levimakokha-ch6id Месяц назад

    🙌👏🌷🙏🌹🌺

  • @bornifacecharles2
    @bornifacecharles2 Месяц назад

    Mwalimu tupe vitu

  • @johnlightmkose4723
    @johnlightmkose4723 Месяц назад +2

    TANZANIA IGENI KWA TRAOLE

    • @KamardinTebe
      @KamardinTebe Месяц назад

      Hatuwezi kuiga tulipewa magufuli na mungu tukamwita dicketa

  • @felicianmsigwa3907
    @felicianmsigwa3907 Месяц назад

    🎉

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 Месяц назад

    UNAONGEA MAMBO MENGI YA HOVYO BILA POINT ZA MAANA

    • @YohanaMagembe-i6z
      @YohanaMagembe-i6z Месяц назад

      Inaonekana wewe jamaa unaemoonda nimiongoni mwa wanufaika wa ufisadi tunaofanyiwa

  • @solobennymwanshinga6714
    @solobennymwanshinga6714 Месяц назад

    Madikiteta wote wako hvyo hvyo, hzi ni propaganda

  • @abdulrahimsaid7864
    @abdulrahimsaid7864 Месяц назад

    😂

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Месяц назад

    Pia usisahau umeme wa maji ni cheap

  • @chikundeboy9450
    @chikundeboy9450 Месяц назад

    HIKI NI CHUMA CHA CHUMA CHA PUA