Wadada waliokuwa wanacheza kwenye nyimbo zako kama Selina,Ngolo warudishe me shabiki yako kutoka Muheza,Tanga halafu unachelewa sana kuweka videos zako RUclips tunasubiri sana tuletee na ya Jirani
Ujumbe unatoka kila siku tena mzuri sijui kwanini watu hatujifunzi mpaka au mpaka jambo limpate mtu ndio ajifunze kupitia kosa kwanini tusijifunze kupitia tunayoyasikia yasitupate au tusiyafanye
Kisima kuna densa wako mdada hivi ameweka brich nywele zake fup hivi napenda anavocheza kuwa anakatika flan harafu anakuwa kama ana changanya changanya mauno jaman nampenda sana msalimie
kisima nyanda majabala upo vzur sana nakukubali pamoja na direct migger kwa ukwalite wa video hongereni sana mungu awatangulie kwenye kazi zinazofata msimame imara
Kisima hongera wewe na uongozi wako Kwa ubunifu Tena wa kisasa ikiwemo kubadili dance's kuepusha kuzoeleka Kwa shabiki Kila wimbo wao TU,,,,new vision and very very creative 🔥🇹🇿💚
Nakukubali Sana kisima nyanda wa kung'wakidoyai tunaisubili kwa hamu nyimbo ya shikome pamoja na shilatu Kila la kherii tumuombe mwenyezi mungu tuishi Maisha marefu tu
Kisima mi shabiki wake toka mwamlapa bariadi simiyu ila niko zimbabwe nahitaji kuona nyimbo zako RUclips mapema nikiziona nakuwa kama nko bariadi simiyu 😮😮tuko pamoja😅sana😅
@KADEGE ASILI Tv toa ushauri kwa director siyo mimi uniambie ulivyoona wewe ni tofauti na mimi kwa hyo hatufanani ile ni mbasha na Ile ni_______😂😂😂 MIGERA PIGA KAZI
safi sana kaka namuona na dancer wa juma marco hongera sana kaka kwa mara nyingine tena miziki yako na video huwa zina relate na ujumbe pamoja na jami kiujumla hongera kwa idea
Unaweza Sana ndugu ni Mimi hapa baraka commedy
Wadada waliokuwa wanacheza kwenye nyimbo zako kama Selina,Ngolo warudishe me shabiki yako kutoka Muheza,Tanga halafu unachelewa sana kuweka videos zako RUclips tunasubiri sana tuletee na ya Jirani
Upo saw kak
Ni kweli
Kweli kabisa awarudishe bhana, hasa yule kibonge kidogo kama Mnyarwanda flani hivi
Kwer mm mwenyew nimeshuhudia show yake katoro wachezaj wale wa zur hawamo inatakiwa awarudishe asibweteke mapema
Ll
Kisima endelea kufanya vizuri kaka
wakwanza Leo nipen like zangu
nipo kasekese
unakuja mwez wangapi kasekese tumekumss mno
Ngelera mwanasam
Show yako ya kisesa juzi ilinifurahisha sana man,...karb tena kisesa mwanza
Na Leo wa kwanza 😂😂😂😂naombeni like zenu
Nakubal kaka ang ahad zako ni kwel mm wa nne like zenu wadau
Migera ni zaidi ashozi
Safi saana napenda kusikiliza nyimbo zako 🇻🇳🇹🇿 Sauti imetulia sana endelea kutuelinisha kupitia nyimbo za asili yetu❤
unajua sana broh sema nitakushikirisha napenda mashairi yako yako trains
Nakukubali sn kaza hadi kieleweke
Nyanda majabhala the biggest singer👑✅
Mimi wanne
Hizi do video sasa ambazotunataka
Ujumbe unatoka kila siku tena mzuri sijui kwanini watu hatujifunzi mpaka au mpaka jambo limpate mtu ndio ajifunze kupitia kosa kwanini tusijifunze kupitia tunayoyasikia yasitupate au tusiyafanye
Hawa hamna rudisha wale wadada kabaki rose mwenyeji
Mwanamasumbuko mrudishe na mwamasato hao wanngie nikikumbuka Wimborne wa matanga ee ilikuwa safiii
Moja kati mambo anayo takiwa kuwa nayo msanii ni pamoja na kuigiza
Da we mkali sana kalibu SEGESE kaka KISIMA
Good job welcome 🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲 mwanankanda
Kisima kuna densa wako mdada hivi ameweka brich nywele zake fup hivi napenda anavocheza kuwa anakatika flan harafu anakuwa kama ana changanya changanya mauno jaman nampenda sana msalimie
Kisima Nyanda majabala we nimoto mwingine wakimbize ila ule wimbo wa mbate dah unafumbo sana kisima
Mimi wa Tatu Nipeni Like zenu
Kisima mzeee unatisha sana chukuwa na mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉
Leta na shikome nmeigojea kwa sana
Napenda sana njumbe zako kupitia hizi nyimbo zako
Wimbo wako wa NAMONGE uliniumiza sana, yaan nausikiliza kila Muda maan unaumiza sana
Ngoma kali na maleba safari hii umenifurahisha naomba na shikome iwe namna hii yaani isadifu kinachoimbwa!
Kusema ukweli kisima uko juu na uwezo wa kuzaliwa
Saf sana kaka
Safi sana kisima
Nakupenda Sanaa Wee Msanaiii Basi Tu 🙏🙏
Msanii Wangu Bora Wa 2022
kisima nyanda majabala upo vzur sana nakukubali pamoja na direct migger kwa ukwalite wa video hongereni sana mungu awatangulie kwenye kazi zinazofata msimame imara
Toka (Chuga) Arusha nakufatilia sanaaa
Hili goma ni tamu
Tupe na no zako tuwe tunakusalimia
Yule dada black yuko wapi kisima mbn unafel bro eb mludishe kaka huyo ndo danser wa ukweli nampenda sana
❤❤❤❤ tuache utani kisima ni mtambo,lake zone sijaona.
Next time mambo yanakua 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kisima hongera wewe na uongozi wako Kwa ubunifu Tena wa kisasa ikiwemo kubadili dance's kuepusha kuzoeleka Kwa shabiki Kila wimbo wao TU,,,,new vision and very very creative 🔥🇹🇿💚
Kiomboi usukuman ntuzuu onee
Naona mambo ya MTC 💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nakukubali Sana kisima nyanda wa kung'wakidoyai tunaisubili kwa hamu nyimbo ya shikome pamoja na shilatu Kila la kherii tumuombe mwenyezi mungu tuishi Maisha marefu tu
Kazi nzuri sana
We we ni topu wa nyimbo za asili tz
Npigie mpya za 25🎉🎉🎉🎉🎉
Bomba sana
DJ KONK Ndani ya mwamashimba hapa nimechelewa kidogo leo kukuchotea goma rako brother kisima
Tuko pamoja
Moja ya kazi nzur sana wakwetu
Shikome wapi ngika wa ngw'akasuka walombwa na ngalu wa ngw'abhusagara uyu to zunije ngika 💪💪
Nyimbo nzur
Kisima mi shabiki wake toka mwamlapa bariadi simiyu ila niko zimbabwe nahitaji kuona nyimbo zako RUclips mapema nikiziona nakuwa kama nko bariadi simiyu 😮😮tuko pamoja😅sana😅
Ameniuma sana dada yule mweusi aliecheza kwenye nyimbo ya Selina alie nyoa kumuacha akaenda baby
Kisima uko vizuri sanaa unajituma sanaa karibu isenye
Nyimbo Kali sana jamaa hakika unaweza
Safi ilimbo lawiza kaka upo vzl sana nyimbo zinafundisha sana naisubilia niangalie shikome,jiran,chacha,shilatu nahamu nizione nazipenda sana ❤❤❤❤
Keep up brother👍
Nimeipenda hiyo
Japo naumwa siwezi kuacha kumpa pongezi msanii wangu kipenzi kisima pamoja na director migera mzee wa video kaliiiiiii
pole ugua salama mr amosi
@@massanja21 asante bc naomba tusaidizane kuisapoti hii kazi
@KADEGE ASILI Tv toa ushauri kwa director siyo mimi uniambie ulivyoona wewe ni tofauti na mimi kwa hyo hatufanani ile ni mbasha na Ile ni_______😂😂😂 MIGERA PIGA KAZI
pa1 sana kisima🔥🔥
Pamoja sana kaka
Simiyu boy
Weee jama ninoma💥💥💥
hongera bana nimeipenda hii nikiwa ndani ya mpanda Katavi TANZANIA 😂😂
Jamaa🎉🎉🎉❤❤
Wa kwanza pamoja sana mtc
Achia na shikome na chacha
Nataman san mufike,huku dar
Kisima Mpeni Maua Yake 🎉🎉🎉🎉
Pa1 Na Director Migera
Hapo sawa
safi sana kaka
namuona na dancer wa juma marco hongera sana kaka kwa mara nyingine tena miziki yako na video huwa zina relate na ujumbe pamoja na jami kiujumla hongera kwa idea
Unyama xanaa kalii 💖🔥🔥
Fanyeni chapu jaman😂😂😂
Congratulations Kaka mim ngoma zote zako nazikubali🔥🔥🔥🔥❤️💞
Safi sana,ipo cku hata cc wadogo tutakua kinamigera wa kesho,I believe in God 👏
Kwani migera ninani?
Kweri naminakuunga mkono minikogeita
Jamani unaakili sana braza nyimbo zako zko vizur
Nakukubali sanaa Kaka kisima🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Good job brother
Thanks
kaka naitwa nyanda pagi kutoka meatu simiyu naomba namba yako tuwasiliane nataka kolabo na wewe kaka
Nakubal mwamba unawezaaa broo.
Nyimbo zako kisima nzuri sana ila video unachelewa sana kutoa
Good songs snow from Arusha 4:57
Asant fahari ya bariadi
Rudisha wale madansa wakiongozwa na mtaalamu MAJANGATA
Nlkuw naisubir kwa hamu sn ❤️❤️❤️❤️
Kwenye mpira hapo umeupiga mwing
Yan www
Chuma kwa chuma .. ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🚒🔥🔥🚒🚒
Soma hiyooo simu ya baba Haina chaji 🤣🤣🤣🤣
pambana.kakaang'mungu'yupo'nawe
Ndekubhona ong'wise 🔥 🔥
Mmmh shida😅😅😅
Bebe olelwinzeeew
Sana kaka Sina neno juu ya kazi yako
Safi sana kiongozi
Good work
Pwpw
Pamoja sana mwanang nakukubali sana mwanang
Unajuwa we😂😂
Safi
Nakubal
Video ya jikome mbona hujatoa
Hakik kisim unatish San nyimb Zak ni fundish tosh kw m2 mweny hakil zan
Saaawa
Nakuamini
Bro
Naomba namba yako bro
Dogo ka Edit fresh sana yan
Naqubal man
🔥🔥🔥