VIONGOZI SABA WA CCM WANAOTAJWA KUZIBA NAFASI YA KINANA HAWA HAPA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 10

  • @jituakilimali15
    @jituakilimali15 18 дней назад +1

    Dk bashiru hawezikufanya kazi na samia wanamitazamo tofauti uwezi kuweka maji na mafuta

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 19 дней назад +1

    Mama Rudisha Bashiru 💪💪💪

  • @asiamkandara1801
    @asiamkandara1801 15 дней назад

    Bashiru anafaa mala mia. Kati ya wote hakuna anaye weza kama Bashiru. Raisi wetu kipenzi chagua kwa makini.

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i 17 дней назад

    HAO WOTE SIO. YUPO MMOJA LKN HUKUMTAJA . NI MAPEMA MNO KUMTAJA

  • @hamadhamud-n4j
    @hamadhamud-n4j 18 дней назад +1

    Wasira anafaa hakuna kama yeye.

  • @SadickMuswadiko-mr9df
    @SadickMuswadiko-mr9df 18 дней назад

    CCM,MSITURUDISHIE AKIANA SUMAYE.

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 16 дней назад

    Nani Wasira?

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 19 дней назад

    Ww vipi kila kitu mwaname , mwemyekiti na makamu vipi ww

  • @mtangag774
    @mtangag774 18 дней назад

    Hahahhaa hii imeenda