Hongera sana wadogo zangu wazuri... Mungu awaongoze na aikamilishe nia na mpango wenu wa kumtumikia kama Mapadre... O God dont late them alone..guide them through out their journey of coming to you
Waaoh.. Hongera sana kwao. Japo nimechelewa kuiona. Hii ndiyo raha ya ukatoliki.. Bwana awatangulie mfikie altare yake takatifu.. Hongera pia kwa mama kanisa kuendelea kulea miito.. Ni Raymond Laurent Parokia ya Kasherero Bukoba (Safarini Berlin-Ujerumani)
Amen,kweli uwa nawakubali mnavyo andaliwa kuwa Watumishi,ni wito toka ndani ya moyo sio kutafuta kujulikana bali mnamtambulisha Kristo. Mbarikiwe sana Mungu awapiganie ktk wito wenu🙏
Hongera sana wadogo zangu wazuri... Mungu awaongoze na aikamilishe nia na mpango wenu wa kumtumikia kama Mapadre... O God dont late them alone..guide them through out their journey of coming to you
Najivunia kuwa mkristo mkatoriki mwenyezi mungu azidi kuwapigania nimewapenda bure
Ukristo rahaaa,,,napata amn nikiwasikiliza mnaimba vizur mnoooo
Waaoh.. Hongera sana kwao. Japo nimechelewa kuiona. Hii ndiyo raha ya ukatoliki..
Bwana awatangulie mfikie altare yake takatifu.. Hongera pia kwa mama kanisa kuendelea kulea miito..
Ni Raymond Laurent Parokia ya Kasherero Bukoba
(Safarini Berlin-Ujerumani)
Kama inaruhusiwa naomba jina la huu wimbo naupenda sana mungu awabariki
Nitume mimi bwana
Hongereni sana
Safi sana vijana👍👍👍
Ukatoliki Safi sana ❤upendo amani na mshikamano
Hongereni sana. Huu wimbo jamaniiii hadi rahaaa
Ubarikiwe magunisi irunde nakuona katik utume , na wote pia mbarikiwe
Nabarikiwa mno
Nitume mm bwana hongeren sana Mungu awatie nguvu katk utume wenu
Nimebarikiwa Mungu awabariki
Melania Chambala Namoba namba ya cm ya Frateli mmoja tu alieimba wimbo huu nimziri sana NO 0680 27 57 58 Nataka kutoa. Zawad
@@antony.william2575 sina namba zao mpendwa
Hongerani sana
hongereni sana Mafrateri kwa kusherehekea vema mhafali yenu. kweli inapendeza. Mungu awabariki sana.
Kwaweli kulipendeza sanaaa
Amen,kweli uwa nawakubali mnavyo andaliwa kuwa Watumishi,ni wito toka ndani ya moyo sio kutafuta kujulikana bali mnamtambulisha Kristo. Mbarikiwe sana Mungu awapiganie ktk wito wenu🙏
❤hongera sana
Hongereni sana Mungu awe pamoja nanyi
Chiwili tunda la soni
I see ma self there. Huyu Mungu Fundi
Naomba kujua jina ya hio wimbo wameimba ya pili na mtunzi
Naitwa Jovenaryyyy kutokea wapi!? Natokea Kashoziiii⛪🎶👏 nimeupenda
May God bless and guide all seminerians.🙏 #All for the greater glory of God🙏
Kweli hili ni kanisa takatifu
Nime chelewa kuiona ila nimefurah kumuona Kaka yangu hpo Alpha
Barikiwa , tuendelee kuwaombea wafikie wito walioitiwa.
huu wimbo nimzuri jamani hingereni mafrateli
Hongereni sana..
Hongeren sana wakili wamekuja nilitamani sana ila majukumu mmeimba vizuri sana mama johnson tents
Mungu awabariki kwa majitoleo yenu
Amina
Naomba jina la wimbo huo 0762 72 03 46
Yaan kwa furaha kama hizi kwanini nisimtumikie mungu
💖🙏
Naupenda huu wimbo sichoki kila SAA nausikiliza kila mda
😂😂😂😂😂 mnafurahisha vijana.h ongereni kwa furaha hyo.
Ntungano ni hatua gani kwenye haya masomo?
Falsafa