BIASHARA 5 ZITAKAZO KUINGIZIA MILIONI 2 KWA MWEZI BILA KUWA NA MTAJI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 635

  • @sachyempire5562
    @sachyempire5562 4 года назад +632

    Kwasababu hii video ina dakika 32 inabidi nisikilize huku nasoma some positive comment's😁 nani anafanya kama mm☝☝☝ give me a thumb👍👍

    • @rosecruzy6666
      @rosecruzy6666 4 года назад +2

      Kabisa

    • @kakaprinta427
      @kakaprinta427 4 года назад +3

      *Nauza bites, kama unahitaji kuwa wakala utafute wateja ili uwe unapata pesa kutoka kwenye kila bidhaa unayouza nipigie nikupe mchongo.. Malipo Ni LAKI MOJA mpka ELFU 70 kwa WIKI. +255 718 585 511 DAR ES SALAAM TU*

    • @kakaprinta427
      @kakaprinta427 4 года назад +3

      *Nauza bites, kama unahitaji kuwa wakala utafute wateja ili uwe unapata pesa kutoka kwenye kila bidhaa unayouza nipigie nikupe mchongo.. Malipo Ni LAKI MOJA mpka ELFU 70 kwa WIKI. +255 718 585 511 DAR ES SALAAM TU*

    • @princegabytv7251
      @princegabytv7251 4 года назад +1

      Kweliii

    • @jacksonmathayo6510
      @jacksonmathayo6510 4 года назад +3

      Tupo sanaa mzee jembe 🤣🤣🤣🤔

  • @louisngaiza
    @louisngaiza 4 года назад +86

    Who else noticed high quality video content from this guy this shows how serious he is....without a doubt I'm impressed...the contents are great too... hopefully Wana wamepata somo.

  • @samsonsimon7882
    @samsonsimon7882 4 года назад +7

    Am from South Africa but I got alot to learn from this guy!!!! nimependa Sana mafunzo yake😂😂😂

  • @gavingosbert
    @gavingosbert 4 года назад +217

    biashara 1 5:10
    biashara 2 12:51
    biashara 3 18:39
    biashara 4 22:00
    biashara 5 27:07
    biashara bonus 30:29
    you are welcome 😏

    • @princegabytv7251
      @princegabytv7251 4 года назад +2

      😍 summary

    • @msmaryamlyimo4503
      @msmaryamlyimo4503 4 года назад +1

      Ayeeeeh Gavin kama Gavin

    • @gillsaint
      @gillsaint 4 года назад

      Thank Tmama

    • @nazilitembwe848
      @nazilitembwe848 4 года назад +8

      Nilikuwa naazima madaftari ya watu kama nyie na ilinisaidia sana hadi university. Sasa hadi humu utube mnatusaidia sana. Thanx Bro.

    • @mercydeo4040
      @mercydeo4040 4 года назад +2

      Asante bro

  • @revocutusmayengo714
    @revocutusmayengo714 2 года назад +1

    Ur the best Kaka ni vyema utukomboe vijana maana ajila ngumu tumejaa mtaani na hali ni ngumu😳😳

  • @bitirismtey4495
    @bitirismtey4495 4 года назад +105

    You know wat bro..unajitoa sana kwa ajili ya vijana thou kuna wengine wanakucrash...May the Almighty bless you n keep the good motivation for us

  • @Coachsamwel
    @Coachsamwel 3 года назад +2

    Hakuna nadharia hata 1 hapa.... Very practical.. Commonsensical.

  • @issaomari5297
    @issaomari5297 4 года назад +4

    Kiukwel hzi tunaitaga ni inspiration tu maana nimwkusikiliza kwa video nyng sana inamaana ukiwa chuo umefanya biashara zaid ya sita ila unapotuletea kwa meza inaonekana kama ndo hyo pekee inayokuletea pesa hzo ila so mbaya hzo ni hamasa kwa vijana gud but every isue not easy god bless

  • @samwelikapepe7709
    @samwelikapepe7709 4 года назад +24

    Aiseee kakaa Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu aisee!!!🤝

  • @davielubuyih-yh7sx
    @davielubuyih-yh7sx 11 месяцев назад +1

    Ahsante bro kwa maarifa mazuri barikiwa

  • @SolderAmani
    @SolderAmani 3 месяца назад +1

    Daa raha sana sasa ukiwa unasoma chuo unawezaje kufanya kazi kama una mtaji wa laki moja

  • @princessashura4742
    @princessashura4742 Год назад +5

    Nifundishe bishala Nayo wezakufanya hata kama sipo Tanzania mimi nimfa nya kazi wambali na tanzania

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 4 месяца назад

      Shagala😂😂😂

  • @IsaacJavan
    @IsaacJavan 4 года назад

    Brilliant

  • @gospelthusiast
    @gospelthusiast 4 года назад +4

    Jeffu ee.... Nna wateja Vibua ka 100! Nikuletee wangapi kwenye yard ya MT4? Affiliate marketing😀But yea asante sana Sir Jeff for such knowledge! This channel should be credited! We are lucky because some other place we have to pay for this!!! God bless you...

  • @jimmyally5974
    @jimmyally5974 2 года назад

    So respect to sir Jeff Dennis ok nimekuelewa

  • @selestinemnegelwa2572
    @selestinemnegelwa2572 4 года назад +2

    Sawa,kaka umesomeka ila kwa ulimwengu huu yahitaji uwe mwaminifu sana japo wapo na mtapeli na wenyewe wanapiga mbaya.somo nimelielewa.

  • @ramlamussa9144
    @ramlamussa9144 4 месяца назад +1

    Ahsante sana kaka, unatupatia madini ya ukweli

  • @hassanmsuya6692
    @hassanmsuya6692 4 года назад +2

    Hii ni video kali sana! Nimejifunza vingi

  • @__saidhassan
    @__saidhassan 2 года назад

    Dahh yani bro unafahamika vzr sanah, yanai biashara zote hizo ilkuw nazitambua but skujuw nguvuzake biashara hizo. Santeh sanah bro

  • @jamillajackson2165
    @jamillajackson2165 3 года назад +1

    Dah nzuri sana

  • @christianyouthinbusiness
    @christianyouthinbusiness 4 года назад +3

    Super bro👊👊👊👊👊.... we pay you on what you know... I like it thanks bro

  • @gavingosbert
    @gavingosbert 4 года назад +31

    points zinaanza at 5:10 , you are welcome!

  • @mwajumafadhili9268
    @mwajumafadhili9268 4 года назад

    Kiukweli mkaka umenifungua macho Asante Sana na mung akubariki

  • @StewartManisi
    @StewartManisi 11 месяцев назад +1

    Thank you for your help

  • @BoniphaceManasse
    @BoniphaceManasse 15 дней назад +1

    Punguza maneno mengiii kijanaaa.

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 4 года назад +5

    Masomo mazuri..
    Usiongee sana nenda moja kwa moja kwenye point

  • @piusthomas5713
    @piusthomas5713 4 года назад +5

    mpaka imebidi ni download sasa
    shukran bro

  • @charitymsola9676
    @charitymsola9676 4 года назад

    Thanks Jeff 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😘😘😘😘👍👍👍👍

  • @dishakotecha8933
    @dishakotecha8933 3 года назад

    Sir u r the best, u made me realise that I can be also rich

  • @harounramadhani1662
    @harounramadhani1662 4 года назад +6

    Imekaa poa sana brother Jeff ubarikiwe sana

  • @sitymohd3818
    @sitymohd3818 4 года назад +4

    SirJeff kwa somo lako la leo u’ve just got a new subscriber nimependa sana somo lako

  • @eddahhawa7471
    @eddahhawa7471 4 года назад +5

    Ufafanuzi mzuri.....kutumia biashara ya mtandao Ni asilimia Mia inawezekena lakini kwa kufanya kazi kwa bidii na uaminifu mkubwa

  • @shaydebby8084
    @shaydebby8084 4 года назад

    Kutangaza biashara kwa mtandao pia unalipia alafu mpaka upate jina ila biashara ya pili ni nzuri hata mm naifanya God bleess u

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 4 года назад +29

    😅sio rahisi kiiivo but yeah u can make some bucks izo pia zinategemea sana network yako ..na umesahau learning time so izo mill unazosema mtu anaweza pata kuanzia 9 months kupanda baada ya experience

  • @omarysquare2218
    @omarysquare2218 4 года назад

    I will follow to success

  • @emmanuelnyamageni3436
    @emmanuelnyamageni3436 4 года назад

    Hii nzuri sana Kinana. Endelea kuwaelimisha Vijana wafunguke

  • @AngelAfrica-w5x
    @AngelAfrica-w5x 4 года назад +1

    Unafaa kufanya matangazo kaka yes .... asante kwa somo

  • @directormaxtz8928
    @directormaxtz8928 4 года назад +21

    Today i needed to hear this..skills za social media marketing nnazo, nafikiri its my time to connect the dots sasa na kuanza rasmi.. Anayehitaji kujifunza japo kdg abt social media marketing..reply hapa, ITS GONNA BE FREE LESSON na tutatengeneza connection ya kuanza kufanya these businesses

    • @harunandyanabo3069
      @harunandyanabo3069 4 года назад +2

      Niko tayari: tuna wasiliana vipi?

    • @directormaxtz8928
      @directormaxtz8928 4 года назад +1

      @@harunandyanabo3069 nitext whatsapp 0713626525

    • @editatairo9667
      @editatairo9667 4 года назад

      Am in

    • @directormaxtz8928
      @directormaxtz8928 4 года назад +1

      @@editatairo9667 lets connect on whatsapp 0713626525 , wakiongezeka na wengine tunaunda group ..nichek asap

    • @editatairo9667
      @editatairo9667 4 года назад

      @@directormaxtz8928 okay

  • @bernarddeus3441
    @bernarddeus3441 4 года назад +3

    Shukrani sana kaka

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 2 года назад

    Udalali ni kazi nzuri sana

  • @afyakwanza3810
    @afyakwanza3810 4 года назад

    U learn us very very fantastc

  • @mrmajaliwatv1492
    @mrmajaliwatv1492 2 года назад

    👍👍👍👍
    Kwa habar za michezo Mr majaliwa tv

  • @just_zainab5139
    @just_zainab5139 4 года назад +2

    Fx mzee vp

  • @AmiryAdam-f8i
    @AmiryAdam-f8i 2 месяца назад

    Unamawazo mazur sana brz nimekuelewa

  • @harunandyanabo3069
    @harunandyanabo3069 4 года назад +3

    Respect; hii content umeitoa iko rich sana. Vijana washindwe wenyewe

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 4 года назад

    dah,hongera sana kaka umefungua macho kwavijana wengi kwenye hii video.
    tuko pamoja mkuu.

  • @paulomagingo21
    @paulomagingo21 3 года назад

    nimekuelewa sana GOOOOOOOD

  • @thetopnotchtrader3517
    @thetopnotchtrader3517 4 года назад +3

    Umetisha brother

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 года назад +8

    This is fresh, good and a really very interesting Jeffism. Thank you brother for your time, knowledge and good motivation to Tanzanians 👍

  • @aisaviron6079
    @aisaviron6079 4 года назад

    Wow thank you

  • @barakamawela7924
    @barakamawela7924 4 года назад +2

    Good broo

  • @asherndullahasherndullah1946
    @asherndullahasherndullah1946 4 года назад

    Nice... Yan uyu kaka amenifanya nijiamin kuanza biashara

  • @kasingemukolera9707
    @kasingemukolera9707 4 года назад +13

    Hii video ni kali sana,ina madini ambayo hautakaa uipate bure kokote kule duniani.

  • @eliamamilo8974
    @eliamamilo8974 4 года назад +2

    Great, we got you mentor

  • @jabirwella893
    @jabirwella893 4 года назад +4

    The video is educative

  • @ibn_swaleh9809
    @ibn_swaleh9809 4 года назад +4

    Great content

  • @kulwakituliko8671
    @kulwakituliko8671 4 года назад +5

    Ina sound gud😀👍

  • @Aishamtam
    @Aishamtam 10 месяцев назад +3

    Asante

  • @FadhiliHamidu-m2b
    @FadhiliHamidu-m2b Год назад

    Upo good sana brow

  • @bajunihilali95
    @bajunihilali95 4 года назад +1

    Nimekuelewa sana mzazi

  • @anithakaijage9078
    @anithakaijage9078 4 года назад +1

    This guy is very smart

  • @Du_boiz_Mnyama
    @Du_boiz_Mnyama 10 месяцев назад

    Kariakoo inawabeba Vijana weng san😂😂. Big up kariakoo

  • @johnsonmgaya5620
    @johnsonmgaya5620 4 года назад +1

    Nimeipenda Sana hii kitu kiukwel bro

  • @dmsknb1541
    @dmsknb1541 4 года назад +16

    Mawazo mazuri bro Ila unavosema unaweza kuanza bila mtaji ndio hapawezekani coz mtaji sio tu Ile hela ya kununua bidhaa vile vile marketing na mizunguko mwisho wa siku unachoongelea ni kama mtu ajipe course ya biashara mpaka azoee na kuna mambo mengi hapo hayajagusiwa ambayo ni gharama sana kama makosa ya kwanza katika kujifunza hiyo biashara kiufupi 2m unaweza kupata Ila sio faida almost yote itarudi mtaani mpaka utapozoea biashara husika

  • @piscorukundo4528
    @piscorukundo4528 4 года назад +1

    Thx bro

  • @msellah1717
    @msellah1717 4 года назад +1

    Nmekutaman una akil sana nioe bac 😂😂😂🥰🥰🥰

  • @gavingosbert
    @gavingosbert 4 года назад +80

    Jeff nimependa sana initiative yako na intention yako ya kusaidia watu. Lakini intro ya video yako imechukua muda mrefu sana ukichanganya na wewe ulivyoongea, imemaliza dakika 5 na sekunde 10 kabdla hujaanza kutoa summary ya hizo biashara. video yako yote ni 32:41 hii n defu sana. nashauri zako ziwe fupi and on to the point .

    • @gillsaint
      @gillsaint 4 года назад +2

      Valid Point

    • @__thereal_unclechibo_7953
      @__thereal_unclechibo_7953 4 года назад +1

      Wabongo wavivu sana

    • @josephsmith412
      @josephsmith412 4 года назад

      acha uvivu

    • @hopehellen1575
      @hopehellen1575 4 года назад

      Yeah seriously..
      Make it short and straightforward

    • @gavingosbert
      @gavingosbert 4 года назад +3

      @@josephsmith412 huwezi kwenda South Africa kupitia Nigeria eti sababu hutaki kuwa mvivu. Kama unaenda Afrika kusini nenda moja kwa moja Afrika kusini. Jeff anafanya kazi nzuri sana lakini kuna vitu anatakiwa avipunguze ili kupunguza urefu wa video usiokuwa wa lazima. Ni maoni yangu tu lakini.

  • @aloyceenhardnombo7604
    @aloyceenhardnombo7604 4 года назад +8

    Bonge la madini bro sijutii kukufahamu Katika ujana wangu

  • @wilfredotieno4396
    @wilfredotieno4396 4 года назад +2

    I love what you are doing bro

  • @alexkilyenyi5190
    @alexkilyenyi5190 4 года назад

    Safi sana kaka ni madini ya kutosha katika ubongo wangu

  • @RichardSwai
    @RichardSwai 4 года назад +1

    video nzuri bro endelea kutufundisha vijana wenzako

  • @mudathirmeky16
    @mudathirmeky16 3 года назад

    Asante saana ila suali lipo palepale lazima t uwe na mtaji km huna labda uwe na MTU ambae anakufaham
    Hemrudia tena apo katka kufanya kazai ya kuuza cm kumbe ulikuw unanunua ndipo unawauzia watu wa chuo sasa sual lipo hapa !
    Lazima t mtu awe na mtaji ndo atafanya mpango uwo

  • @humphreypaul9735
    @humphreypaul9735 4 года назад +4

    Shakha zuru be blessed

  • @TANZANIAFILMMAKINGTV
    @TANZANIAFILMMAKINGTV 4 года назад +2

    Bro ! Just subscribed bse of u got good content keep them coming

  • @abdallahmaulid8083
    @abdallahmaulid8083 4 года назад +2

    Noma sana....

  • @redeptamfuruki619
    @redeptamfuruki619 2 года назад

    I am impressed

  • @hassanyassin5600
    @hassanyassin5600 Год назад

    Brother....good job

  • @allanmzomozi3424
    @allanmzomozi3424 4 года назад +5

    Imekaa Powa sana✔✔

  • @abeldevet8469
    @abeldevet8469 4 года назад +3

    Imekaa poa sana iko poa sana#jeffondemand #kingsharkshakazuluuuuuu

  • @johnmanase2874
    @johnmanase2874 4 года назад

    I lean a lots from this guy.God bless u

  • @abduladruss3625
    @abduladruss3625 4 года назад +4

    Daah bro wee unajua

  • @abdhemed5470
    @abdhemed5470 3 года назад

    Big thinker

  • @KHATIBUOTHMAN
    @KHATIBUOTHMAN 4 года назад

    Good job kijana

  • @godfreyzenda9027
    @godfreyzenda9027 4 года назад +1

    I like it..!!

  • @salumchaola6944
    @salumchaola6944 4 года назад +2

    Bro sir Jeff wewe ni mgodi unaotembea🙏

  • @KibashaEvarister
    @KibashaEvarister 11 дней назад

    Point sasa mbna maongez mengi

  • @misheckranda4828
    @misheckranda4828 2 года назад +1

    Nakufatilia sana broo mimi naitwa mishack landa nipo ilinga nakufatilia sana tena naomba namba yako ninashida nawe sana naomba kaka naomba mimi jaman

  • @orakyadanda2104
    @orakyadanda2104 4 года назад +10

    Uko vizuri bro, kwanza video yako Ina quality nzuriii, inaonesha how serious you are, big up... Nimejifunza vingi kwakwel, God bless you

  • @andersonsamuel9214
    @andersonsamuel9214 4 года назад +3

    Mbona maneno mengi. Nenda kwenye point. Unachosha na maneno mengi

  • @michaelmaige6879
    @michaelmaige6879 4 года назад

    Hii video mashine sana... Hongera bro

  • @frejascompany6094
    @frejascompany6094 4 года назад

    Nimekupenda

  • @eaterfrancis8081
    @eaterfrancis8081 3 года назад

    Kwa aliyefanikiwa hebu ajijuze vizuri

  • @didisapong7204
    @didisapong7204 2 года назад +1

    Dooh anaongea uyoo

  • @boazsebastian358
    @boazsebastian358 4 года назад

    kitu hii nimeipenda sana ,kunakitu nimejifunza

  • @chrispinmgina8851
    @chrispinmgina8851 Год назад +1

    Yet active in 2023 here

  • @Onge-shabani1994
    @Onge-shabani1994 Год назад +2

    Uyu kaka anajuwa ila ana hongea sana kuliko kwenda mara Moja kwenda somo

    • @ramlamussa9144
      @ramlamussa9144 4 месяца назад

      Hii elimu tunaipata kwa kulipia bando, hiyo ndio ada yetu. Na yeye anafaidika kupitia sisi. Hivyo inawezekana anatumia mbinu hii ili kufanya sisi tutumie bando kubwa kias na yeye afaidike zaidi. Yuko kwenye biashara na sisi tuko shule , tunalipa ada , japo ada yetu ni kidogo sana ukilinganisha na madini tunayopata.
      Nafikiri hivyo, sijui uhalisia

  • @iamlisley5092
    @iamlisley5092 4 года назад +20

    Passing thru comment na cjaona summary😂😂32mins are so long ase

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 4 года назад

    Asante sana kaka

  • @albanimhagama6207
    @albanimhagama6207 4 года назад +4

    leo nimekuwa wa kwanza

  • @barakafanuel4612
    @barakafanuel4612 4 года назад +8

    Jeff big up sana brother,nilikutafuta sana kwa kipindi kirefu sana kuna kipindi uliongea ishu ya forex jamii foram nikaipenda sana lkn jinalako nikawa najua kwa jina la ontario sasa kila nikikusearch sikupati nilikatatamaa lkn leo hii nimekuona baada ya kusikiliza video yako ya forex ilipokutoa na ulipoanzia kiukwel sikujua kama ni ww but uliposema kuwa ulikuwa unatumia jina la ontario jamii forum aseee nimefurah saaaaaaaaaaaana hatimaye leo nimekupata hata hii youtube acc nimecreate leo sababu yako.IAM WATCHING YOU BROTHER.