𝖯𝖱𝖤𝖲𝖲 𝖢𝖮𝖭𝖥𝖤𝖱𝖤𝖭𝖢𝖤: KOCHA MATOLA & ZIMBWE JR KUELEKEA MCHEZO DHIDI YA JKT TANZANIA/"MCHEZO MUHIMU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 28

  • @DicksonJoseph-f3g
    @DicksonJoseph-f3g 4 часа назад +3

    ❤❤❤❤i love simba

  • @Annaonesmo-x5b
    @Annaonesmo-x5b 3 часа назад +1

    Love you simbaaaa

  • @luluray2115
    @luluray2115 4 часа назад +3

    All the best simba

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn 3 часа назад +1

    MUNGU ibariki simba yangu❤❤❤

  • @claraluoga6828
    @claraluoga6828 52 минуты назад

    Mwenyezi Mungu tunakuomba tujalie ushindi timu yetu ya Simba tunakuombaMungu tujalie wachezaji makosa ya sijiludie nawawe tiali kupokea maelekezo kwa makocha na bechilaufundi kikamilifu

  • @robertdavidmkude
    @robertdavidmkude 4 часа назад +3

    Mungu ibariki ssc

  • @MohamedMngazija
    @MohamedMngazija Час назад

    God bless our team Simba

  • @NicksonMfikwa-l2g
    @NicksonMfikwa-l2g 4 часа назад +2

    Mungu ibariki Simba point 3 mhimu

  • @fatoommeraje2133
    @fatoommeraje2133 4 часа назад +1

    Allah ibariki simba ishinde

  • @JescaSolomon
    @JescaSolomon 4 часа назад +2

    kila la kheri simba yangu

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 2 часа назад +1

    Simba kesho tena Mungu isaidie ipate ushindi wa gori3-0jkt

  • @KhanashyAlmassi
    @KhanashyAlmassi 3 часа назад +1

    Kesho ushindi inshallah

  • @agripinaapolinary1362
    @agripinaapolinary1362 4 часа назад +1

    Tunamwomba sana Mungu azidi kuwatunza wachezaji wetu,Ili kesho waamuke salama na wakapambane vyema Ili tupate ushindi mnono AMINA

  • @tumaini37
    @tumaini37 2 часа назад +1

    Tuwanatakia Mnyamaaa ushindi mnonoo, Goli 3 kwenda mbeleee🎉🎉🎉

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 4 часа назад +2

    Tunawatakia Kila laher kuelekea mchezo wakesho Simba nguvu moja

  • @sedekiantibahoha2245
    @sedekiantibahoha2245 5 часов назад +8

    Hap kesho mapema tu wnakula zao Kwa uwezo wa MNG 😊

  • @iddiramadhan
    @iddiramadhan 3 часа назад

    Kila la khery mnyama Simba sports club hapo kesho Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲

  • @FRANSKALITUSI4937
    @FRANSKALITUSI4937 Час назад

    Nguvu moja

  • @NicholausLwaipa-c3j
    @NicholausLwaipa-c3j 2 часа назад +1

    Tatu bila3

  • @mbwanajangwa
    @mbwanajangwa 3 часа назад +2

    Habari? Kwenye hii mikutano tunaomba tuyasikie maswali yanayoulizws kwa kila kikao makocha huwa tunawasikia vizuri lakini waandishi huwa hatuwasikii pale wanapouliza maswali.
    TAAAAFADHALI.

  • @PakatJames
    @PakatJames 2 часа назад

    Simba nguvu moja. Mchezo mgumu na muhimu ni moja ya hiyo michezo ya maandalizi ya CAF CONFEDERATION. Kama kawaida wachezaji wa timu hizi za madaraja ya chini siku zote ni wa kujitoa kupita maelezo na ni kwa wachezaji wa simba wao wenyewe kukubali kuzalilishwa au kulinda heshima yao kama wachezaji wa simba.

  • @yeslamahmad1986
    @yeslamahmad1986 2 часа назад +1

    Kesho tunashinda mabao 3-0

  • @KhadijaYahya-f6b
    @KhadijaYahya-f6b 4 часа назад +3

    Mungu ajalie tufunge goli nne

  • @Nuru8700
    @Nuru8700 4 часа назад +2

    Nawakumbusha tu viongozi msijisahau na majirani zetu kuweni makini

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 часа назад +1

    MUNGU IBARIKI SIMBA IPATE USHINDI.MABEKI KUWE I MAKINI SANA KWANINI MNAHAMA KWENYE LANGO LENU? HUWA MNAKIMBILIA KWENDA KUFUNGA MNAACHA LANGO LENU WAZI

  • @HalimaMussa-p3z
    @HalimaMussa-p3z 2 часа назад +1

    Ubaya ubwela bingwaa hauna mpinzani mpanzu apewe mauwa yake

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 2 часа назад

    Kila laheli chama langu ila tukasafishe uwanja tutuoe uchawi wa nyuma mwiko tukatoe uchawi wa yule alubino