ALLAN OKELLO NI BALAA JIPYA MSIMBAZI/REKODI ZAKE NI ZA HATARI ANAFUNGA NA KU ASSIST
HTML-код
- Опубликовано: 22 дек 2024
- Kupitia Simba Pro tunakuletea uchambuzi wa kina kuhusiana na Allan Okello nyota ambae anauwezo mkubwa sana wa kufunga na kupiga mashuti
Nyota huyu anahusishwa kutua Simba SC na ni mara ya pili kwa nyota huyu kuhusishwa kutakiwa na Simba SC
Heavyweight Dullah anatupitisha katika rekodi za nyota huyu na ubora wake
Kama unahitaji kuungwa kwenye group la Simba PRO tuma ujumbe kwa namba 0626629644